MWANASHERIA APANGUA HOJA ZA MAKONDA MBELE YA WANANCHI BILA WOGA "MKAKATE KIKAO USIKU KUNA UMEME"

  Рет қаралды 136,335

KUSAGA TV

KUSAGA TV

6 ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 218
@tzasafaritv9937
@tzasafaritv9937 6 ай бұрын
Ndugu yangu Makonda, Mungu akulinde na akupe hekima na busara kwa hiki unachokifanya, dhuluma imetamalaki watu wa halo ya chini wananyanyasika, wafute machozi, wamekosa wa kuwatetea, Big Up!
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l 6 ай бұрын
Ndugu yangu nani mwenye haki hapo
@stevensteve7519
@stevensteve7519 6 ай бұрын
Kitu ambacho hukijui nikwamba hayo matatizo au kero za wananchi wanazopigia kelele wao ndiyo wanaozisababisha. Ukilijua hilo huwezi mpongeza makonda
@tzasafaritv9937
@tzasafaritv9937 6 ай бұрын
@@stevensteve7519 Ninaelewa na ndiyo maana nime-comment hivyo, @stevensteve7519 iko hivi haijalisha matatizo yanasababishwa nani lakini ikitokea mtu anaonyesha ndiya au kuthubutu kutatua tatizo hilo basi hakuna budi kupongezwa na kumpa moyo aendelee.
@user-ov3bt3pf1b
@user-ov3bt3pf1b 6 ай бұрын
Kweli makonda unajua sheria. Ubarikiwe sana
@jerome3143
@jerome3143 6 ай бұрын
wa tanzania mnashida sana mjielewi tu mpaka leo
@kelvinkiangokipingu370
@kelvinkiangokipingu370 6 ай бұрын
Hahahahahaha nchi ndio inakua ivyo, huko mbele watoto wetu wakiwa wanaangalia highlights wataenjoy sana.
@benignatairo4722
@benignatairo4722 6 ай бұрын
Makonda hiyo nafasi ni kibali Toka Kwa Mungu ili ukisaidie Chama .Ccm Oyeeeeee.
@user-lr1sd3wq4d
@user-lr1sd3wq4d 6 ай бұрын
Nenda ngorongoro tujue ukweli wa mali ya wanainchi
@HabibuHemed-hy5qr
@HabibuHemed-hy5qr 6 ай бұрын
Soma land Act section 4 sub 1 ambayo inasema all land is public land vested by president as trustees.
@stevensteve7519
@stevensteve7519 6 ай бұрын
Utawala bora unahitaji mfumo uliorasmi na unaoeleweka. kutatua kero za wananchi kwastaili hii nikufeli kwa mfumo wa utawala bora.
@josephcleopa4652
@josephcleopa4652 6 ай бұрын
Tunafeli sana kama nchi. Elimu kubwa inahitajika
@ahz6907
@ahz6907 6 ай бұрын
Kwanza sidani kama zinatatuliwa😊
@konradkapinga6744
@konradkapinga6744 6 ай бұрын
Tunyoooooooshe mpaka tunyoookee Brother
@ELIUDSADICK-tr8jy
@ELIUDSADICK-tr8jy 6 ай бұрын
Sifa za karibu mwenzi ni kama hizi anazozifanya mwenzi taifa makonda hongera kwako makonda endelea kukiimalisha chama Kwa nguvu na chama kisonge mbele naitwa eliud sadick karibu mwenzi msitafu wa tawi la ilongoboto kiwira tukuyu mbeya
@rasnchimbi
@rasnchimbi 6 ай бұрын
Serikali ni ya ccm inatengeneza lililoharibiwa na serikali ya ccm😂😂
@PyramidSupply-mx1oe
@PyramidSupply-mx1oe 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@samweldoe5750
@samweldoe5750 6 ай бұрын
Huwezi kutatua migogoro ya ardhi kwa mtindo huu, huku ni kudanganyana.
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 6 ай бұрын
Bashite hamna kitu kabisa
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 6 ай бұрын
​@@OdiloMagungu-uf5iskibaka wa idara za serikali wakati hana taaluma zote ajitathimini
@judicalosika7642
@judicalosika7642 6 ай бұрын
waTanzania Bado sana, chama siyo Serikali!!! Chama ni propaganda tu. Ndiyoooooo!!!!!, Ndiyooooooo!!!
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 6 ай бұрын
Hivi katibu muenezi wa ccm ndiye mkuu wa serikali
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 6 ай бұрын
Hakimu wa kila daawa na uarifu wa aina zote ndiyo majukumu ya KATIBU NEC
@thomasluhanga6439
@thomasluhanga6439 6 ай бұрын
Kabisa uko vizuri makonda
@user-jb2vp8rt7z
@user-jb2vp8rt7z 6 ай бұрын
Big up brother
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 6 ай бұрын
Mungu akulind 🙏Makonde
@johnmtumishi8554
@johnmtumishi8554 6 ай бұрын
Muh:Makonda unaakiri nyingi ,hongera
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 6 ай бұрын
Makonda uko vizuri sana hiyo nyomi inawatishia watu hicho nikibali kikubwa sana nakuombea ukawe makamu wa rais
@erastushamari770
@erastushamari770 6 ай бұрын
Sijui tutaelimika lini. Mungu atusaidie.
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 6 ай бұрын
Niuongo tu. Acha kejeli makonda! Mungu anakuona wananchi wanashida kubwa.
@user-vj8eu7ih4k
@user-vj8eu7ih4k 5 ай бұрын
Kwan we shida zote ulizomuomba mungu akutatulia ,umetatuliwa? Huenda Kuna sabab ndo mana hujatatulia kwahy makonda n Binadam kama ww zipo shida zinaweza kusoviwa na zingne zisizoviwe
@MwajumaAbdalah-pg7jr
@MwajumaAbdalah-pg7jr 5 ай бұрын
mungu akuweke makonda uenderee kuwatetea wanyonge
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 6 ай бұрын
Sanaaa tupu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Kweli kazi ippo tunangoja ukifika kibondo
@KhadijaMhenangu
@KhadijaMhenangu 6 ай бұрын
Big up makonda
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 6 ай бұрын
Makonda hiyo System unayotumia kupokea kero za wananchi na kuzimaliza nakushauri iwe endelevu, kero zitaisha wananchi watapata amani. Na sio uchaguz ukiisha ututelekeze tena jamani, fanya hilo zoezi kila baada ya miezi 3. Itapendeza sana, yani hata Mungu atakusamehe makosa yako yote ya siku za nyuma.
@danielljohn
@danielljohn 6 ай бұрын
Makin sanaa mwamba yuko kazni kwel
@danielkanso
@danielkanso 6 ай бұрын
Siasa sometime ni shida sana watu wanachezewa akili sana
@denismabubu291
@denismabubu291 6 ай бұрын
Makonda unaakiri nyingi sana ni tunu ya taifa la Tz msada wa wanyonge
@noelbryson7840
@noelbryson7840 6 ай бұрын
Mnyonge ni nani? We unaandika vitu gani mitandaoni ?
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 6 ай бұрын
Naye ni mporaji kama hao waporaji wengine . Tatizo wa TZ tunasahau haraka sana👁️
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 ай бұрын
​@@noelbryson7840😂😂😂😂 eti mnyonge nani 😂😂 eti unaandika vitu gani mtandaoni
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 6 ай бұрын
Maendelezo ya kiwanja hayahusiani na umilki wa awali wa ardhi hiyo. Mhindi anapaswa aidai manispaa na manispaa ilipe mhindi. Lakini kama ardhi ni uwekezwaji ambao haukuendekezwa Selikali ikabatrisha matumizi ya ardhi hakuna kesi.
@HabibuHemed-hy5qr
@HabibuHemed-hy5qr 6 ай бұрын
Usikute muhindi ana uraia wa Tanzania. Kama hana lazima afuate procedures za ku own ardhi kwa wagen ambap lazima apitie Tanzania investment commission ili apate kibali hiko
@jacksonsawe2301
@jacksonsawe2301 6 ай бұрын
Nimekukubali Makonda
@VincentOlioruko
@VincentOlioruko 6 ай бұрын
I wapo upo kwa niaba na kwa ajili ya wananchi nenda Ngorongoro na Loliondo ukasimame upande wao tujue UKWELI NA HAKI
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 6 ай бұрын
watZ wengibado wakokwenyegizatotoro Walahawaelewi porojo zamaccm wahuni, yaani KESI yangendere umupelekee nyani itawezekanaje kuajibisha, ndgyangu watZ tubadirike fikila ilitusichewe, wametengeza tatizo halafu wanalitatua wenyewekwawenyewe, wananchi mnashangilia ujinga mtupu
@noelbryson7840
@noelbryson7840 6 ай бұрын
Kabisa kabisa. Mtu akikunyima elimu ameharibu maisha yako
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 5 ай бұрын
Kwahiyo Makonda asingezunguka kuuliza haya yasingejulikana .Maafisa wa serikali wako wapi?
@Majariwauser-jj6si5vm6n
@Majariwauser-jj6si5vm6n 6 ай бұрын
Tunaona mtetezi wawanyonge mupya mungu akulinde kiongozi
@Marjeby
@Marjeby 6 ай бұрын
Makonda ishu za shule usiwe unagusia aiseee utaturudisha nyumba bnaa
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 6 ай бұрын
Watanzania amkeni acheni uzuzu hapa hakuna cha maana ccm wanajinadi kuwageresha tu
@lucykinabo
@lucykinabo 6 ай бұрын
Yec, wanapumbazwa tuu hpo
@noelbryson7840
@noelbryson7840 6 ай бұрын
Wanawadanganya wasiojitambua ndugu yangu .. Ila hata hao wasiojitambua kuna siku akili zitakaa sawa..
@danielmanko9164
@danielmanko9164 5 ай бұрын
Hii ni Wizara ya "kusikiliza Kero za Wananchi zilizoshindikana kutekelezwa na serekali".
@sylvestermitanda3502
@sylvestermitanda3502 6 ай бұрын
Tanzania ni Nchi yenye utawala wa sheria kwa kufuata utaratibu.Makonda acha majukwaa ya kutafuta Kiki ya urais,huna sifa
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 6 ай бұрын
Nenda wewe Sasa mwenye sifa ukatatue kero
@emmanuelzephania989
@emmanuelzephania989 6 ай бұрын
Acha zako wew unaweza hata kutafuta kiki
@TheNichym
@TheNichym 6 ай бұрын
Unajua maafisa wa serikali kujibu kwamba sikuwepo, au nilikuta tayari, n.k. ni blah blah! Wewe ndo uko ofisini sasa na hayo ni yako kwa sasa. Hutakiwi kujitoa kwenye lawama zinazoelekezwa kwenye ofisi yako.
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 5 ай бұрын
Ni kama vile katika ngazi za mikoa na wilaya hakuna serikali. Makonda anaivua nguo serikali. Ingefaa haya mambo yaongelewe kwenye vikao vya ndani sio hadharani
@user-yi3jk5vd8l
@user-yi3jk5vd8l 6 ай бұрын
Hii .nikuonyesha serikari haipo kazin. Mpaka mwenezi afanye hili. Wakati. Kuna mkuu wamkoa. Waziri nk
@mohamedkitwiko3675
@mohamedkitwiko3675 5 ай бұрын
We tulia aliejitoa uyo makonda Wacha aendelee selikali inawatu
@mohamedkitwiko3675
@mohamedkitwiko3675 5 ай бұрын
Makondaaaaaa
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 6 ай бұрын
Makonda hula ubavu acha kuweka siasa kwenye mambo ya kutumia akili. Waporaji mko wengi chechemee
@shanelmbunga1301
@shanelmbunga1301 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@lilianlema4744
@lilianlema4744 6 ай бұрын
CCM HOYEEEEEÈ MAMA HOYEEEEE KWA HILI MUNGU AWABARIKI NA KUWATANGULIA NA KUWATIA NGUVU KATIKA MAMBO YOTE. CCM HOYEEEEEEE.
@user-nr3uw7bq1r
@user-nr3uw7bq1r 6 ай бұрын
Kusaga, mwanasheria amgaragaza makonda!!!!!!!!!!! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dennisishengoma2743
@dennisishengoma2743 6 ай бұрын
Yaani hovyo kabisa!!
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 6 ай бұрын
Manispaa imlipe muhindi pesa zake sio wananchi.
@stevenkileo7484
@stevenkileo7484 6 ай бұрын
Shida watu hawajui sheria,
@helsonjonathan
@helsonjonathan 6 ай бұрын
😂😂😂 sema makonda kamgalagaza jamaa vibaya
@mohamedkitwiko3675
@mohamedkitwiko3675 5 ай бұрын
Umeonaeeee
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 6 ай бұрын
Unafiki ni mkubwa sana, inauma sana
@CatherineMollel-uh6dd
@CatherineMollel-uh6dd 6 ай бұрын
Makonda Makonda Makonda🎉
@yonasaimoni1302
@yonasaimoni1302 6 ай бұрын
Unawapenda kwa sababu wote wezi na wakina kayombo
@user-sp4xo9rm8l
@user-sp4xo9rm8l 6 ай бұрын
Ila wana CCM bwana wanavurundaaa hawataki hata kushaurika,ukikaribia uchaguzi wanaanza kujiosha utadhani malaika, CCM ni walewale WAJINGA NDIO WALIWAO.
@masakamgalla9273
@masakamgalla9273 6 ай бұрын
1917 huyo jamaa alikuwepo ni noma
@ramadhanisalum7476
@ramadhanisalum7476 6 ай бұрын
WEWE SIO JIBU LA KUMWAMBIA HUYO MZEE MATATULIE MATATIZO HUYO MZEE
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 6 ай бұрын
Mbona sisi Watanzania tumejenga nyumba zetu na tunalipa kodi ya jengo Serikalini,kwani Serikali ilitujengea hizo nyumba?
@olomweneabongela1717
@olomweneabongela1717 5 ай бұрын
Dunia nzima ardhi niya serikali
@Marjeby
@Marjeby 6 ай бұрын
Mikutano ya kihuni kabisa na udhalilishaji tu
@abdalahmwendafeysal9093
@abdalahmwendafeysal9093 6 ай бұрын
Haikuhusu tulia
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 6 ай бұрын
Kabisa
@noelbryson7840
@noelbryson7840 6 ай бұрын
Anakusanya watu wasiojitambua, wenye uelewa mdogo na kuwadanganya..
@emmanuelzephania989
@emmanuelzephania989 6 ай бұрын
Anawadanganya nn sasa hapo acha jamaa kapige kazi
@user-lx9to6jd7w
@user-lx9to6jd7w 6 ай бұрын
hii inamaanisha mfumo wa sheria umefeli, case hazitakiwi kusolviwa hivi bali mfumo wa sheria kusikiliza pande mbili na kutoa haki sawa sawa.
@user-rn2zm7lu5w
@user-rn2zm7lu5w 6 ай бұрын
Hi
@jaanjaan111
@jaanjaan111 6 ай бұрын
Siasa za hivi kweli kuna nchi inayoweza kupiga hatua kwa ujinga huu
@kilianngailo3269
@kilianngailo3269 6 ай бұрын
Kama CCM ingetatua matatizo hivi siku zote basi nchi yangu Tanzania ingekuwa Paradiso ndogo
@princejoseph5818
@princejoseph5818 6 ай бұрын
Anapenda kuona polisi wakiwa wamevaa gwanda especially wale ambao Mungu amewajalia
@josephdionizy2868
@josephdionizy2868 6 ай бұрын
Kama hujachanja huwez elewa
@Assay-gn1wv
@Assay-gn1wv 6 ай бұрын
Makonda anahitaji shule kwa kweli
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 6 ай бұрын
Makonda mjanja sana anasafisha njia kwa nguvu sana😂
@user-lr1sd3wq4d
@user-lr1sd3wq4d 6 ай бұрын
Nchi ya wananchi wa Tanzania au ya mhindi?😂😂😂😂
@jamesmfinanga1717
@jamesmfinanga1717 6 ай бұрын
Maeneo kweli yanaweza kuwa ya kambaita ila yalibaki pori kwa muda wananchi waachwe kambaita apewe maeneo mengine na halimashauri ndiyo vile .....
@eliasingano4787
@eliasingano4787 6 ай бұрын
Khaaaa
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 6 ай бұрын
Wananchi mnaghilibiwa na maneno marahisi sana.
@shanelmbunga1301
@shanelmbunga1301 6 ай бұрын
Unataka wafanyeje
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 6 ай бұрын
Kwakweli nchi yetu bila katiba ni mazingaumbwe tu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 ай бұрын
Katiba ipo na ipo vizuri, kama haifuatwi na HAITEKELEZWI hiyo issue nyingine.
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 6 ай бұрын
Haswa we usmesema hat hiyo iliyopo haifanyiw kazi kwahiyo nishida tup kila mtu ana mamlaka wanyonge tuende wap sijui.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 6 ай бұрын
Katiba mpya ni suluhisho.. Nyie mnaotetea hii ya sasa kuna mahali inawafaidisha..
@erastisamsoni3162
@erastisamsoni3162 6 ай бұрын
Siasa za Tanzania hazimsaidii mwananchi. Haki hakuna.
@user-dh2nm4xv8f
@user-dh2nm4xv8f 6 ай бұрын
Makonda kuna mwingine yupo kibamba anaitwa kaim msaídizi anaitwa faziri mwingíne anaitwa hamisi kàmishina arizi wa ubungo kipíñdi mkuu wa wiraya ànaitwa herí jemsi wametusumbuwa sana tafazarí makonda ujé
@nyansilujoseph-pm8im
@nyansilujoseph-pm8im 6 ай бұрын
Tifu tifu kama hili ni kipindi Cha kutafuta kura tyu 😂😂😂
@user-pg1ex8vk5m
@user-pg1ex8vk5m 6 ай бұрын
Alafu kiutaratibu haitakiwi mtu kujibu chochote ambacho Makonda anauliza maana anauliza maswali ya kiutendaji wa serikali na yy sio kiongozi wa serikali.
@pendokimathi99
@pendokimathi99 6 ай бұрын
Uyo mwwkezaji afuatwe na kufutiwa uwekezaji wao upo sawa makonda ila usiongee kama siasa tu tekeleza
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 6 ай бұрын
Makonda acha kuvuruga
@mkanyafamily
@mkanyafamily 6 ай бұрын
Hii hainatofauti na imetokea uku kwetu KIGOMA na wananchi wakavunjiwa MAKAZI yao kwa NGUVU
@Darian2550
@Darian2550 6 ай бұрын
Anachokifanya makonda ni kudhihirisha udhaifu wa vyombo vyetu vya haki!
@jerome3143
@jerome3143 6 ай бұрын
mbona siasa nyosha maneno
@al-bashirclinic3326
@al-bashirclinic3326 6 ай бұрын
Mzee una siasa nyingi be forward 😅
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 6 ай бұрын
Inchi hii imeoza
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 6 ай бұрын
Vipi kama mhindi akisema hauzi eneo lake watoe nyumba zao,,hiyo ndo maana ya kujumuisha maendeleo yaliyofanyika
@sylvestermitanda3502
@sylvestermitanda3502 6 ай бұрын
Huyu Makonda mbona anachemsha? yeye ni mtu wa chama,na sio mtu wa Serikali.Hii ya kuwahoji watendaji sio kazi yake.
@akidajulius1581
@akidajulius1581 6 ай бұрын
Ccm ndio serikali kaka, ukisha kuwa kiongozi wa chama wewe tayali unaweza kumnyosha yoyote aliepo serikalini,pasipo kujali cheo chake ,mladi nimfanyakazi wa serikali,lazima amtii kiongozi yoyote wa ccm,
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 6 ай бұрын
Serikali ya CCM ndio imewaajili hao mwenezi ni msemaji wa chama
@billgussy6099
@billgussy6099 6 ай бұрын
Hii ina onyesha serikali ya ccm imekufa au imelala kabisa kabisa. Ina maanisha Makonda ndiye Rais anacho kifanya ni sawa Serikali haipo kabisa hii ni aibu.
@marymremi1051
@marymremi1051 6 ай бұрын
watanzania sijuo ni lini mtafanyiana uzalendo shida ya wengine wanafanya pa kupatia hela
@maduhuruben3825
@maduhuruben3825 6 ай бұрын
Issue si iko mahakamani
@hajiabdulrahmani9204
@hajiabdulrahmani9204 6 ай бұрын
Kama kero zote unazo fikishiwa utazitatua kwa kuzingatia haki ya kila mmoja basi unafaa kupewa ata urais
@SylvesterAmbokile-ur2vd
@SylvesterAmbokile-ur2vd 6 ай бұрын
Makondaaaaa! Utajengaje kwenye kiwanja cha mtuuuu?
@CatherineMollel-uh6dd
@CatherineMollel-uh6dd 6 ай бұрын
Ccm mmepigaje hapo😊
@giftkalenge418
@giftkalenge418 6 ай бұрын
makonda upon juu Kwa hili
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 6 ай бұрын
Yaani makonda sasa nakuelewa, naomba uje na huku kigoma, kuna madudu mengi.
@AwaziRajab
@AwaziRajab 6 ай бұрын
Kama Umeamua Kusimamia Haki Kwa Wananchi Wasikilize Wananchi Vizuli Bila Vitisho Haki Ni Njia Ya Pepo
@shijageorge5995
@shijageorge5995 6 ай бұрын
Watanzania badilikeni tokeni usingizini hawa CCM kwa sasa wanawahadaa kwa porojo hakuna chochote zaidi ya mazingaombwe ishu ni CCM kuipiga chini watanzania acheni ujinga hao mkiwarudisha madarakani mtasota tena miaka10
@user-tx1yb3my3m
@user-tx1yb3my3m 6 ай бұрын
Makona anafanya kitu kizuri Sana lakin naomba kuuliza na kupata ufafanuzi ili nielewe ivi utakuzi wa kero wa wananchi niwa kiongozi wachama au ni WA kiongozi wa wananchi Alie chaguliwa na wananchi maana wakurugenzi na wanasheria na ma rpc na ma ocd Wana bwekewa Kama wanachama wa ccm kwani nchi hii kila anae fanya kazi ni mwana ccm au naomben mnieleweshe
@sirumbaimanueli5866
@sirumbaimanueli5866 6 ай бұрын
Mkuu Makonda Mungu aendelee kukupa hekima hyo hyo jaman Mungu mlinde makonda
@Theprincipalmboya
@Theprincipalmboya 6 ай бұрын
Moshi kweli duuu!?
@barkathkassam4680
@barkathkassam4680 6 ай бұрын
Allah akupe afya na ubarkiwe sana Allah akulinde sana.
@nyansilujoseph-pm8im
@nyansilujoseph-pm8im 6 ай бұрын
Zinazotafutw hapo ni kura tyu 😂😂
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 6 ай бұрын
Makonda umenona mzee, hadi nimekusahau, ulikuwa unakula uzazi nn?? Karibu tena kwa wananchi
@stevenngussa9334
@stevenngussa9334 6 ай бұрын
Mahakama haiwezi kuingiliwa na mhimili wowote ule
@gilberthpeter2450
@gilberthpeter2450 6 ай бұрын
Master kamaliza kiume kabisa
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 6 ай бұрын
MAHAKAMA PAPO KWA PAPO NA HAKUMU HAPO
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 6 ай бұрын
Yani siasa za maji taka ni za ovyo😂😂😂😂😂😂
@jamesmfinanga1717
@jamesmfinanga1717 6 ай бұрын
Ndo vile wahanga wanafaidika kupitia kampeni na wapigaji wanatoboa kupitia migogoro au unaonaje apo ....
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 56 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
VIDEO YA MAKONDA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE ARUSHA
2:20
masta tz
Рет қаралды 5 М.
🅻🅸🆅🅴 : MBOWE ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU...
1:18:21
JAMBO TV
Рет қаралды 78 М.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 56 МЛН