No video

MWANASHERIA SIMON AFUNGUKA SAKATA LA WAZEE WALIOENDA MAHAKAMANI

  Рет қаралды 23,276

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 70
@allyabdallah4641
@allyabdallah4641 Ай бұрын
Uyo mzee ajiangalie sana mahakama yetu pendwa iiangalie iyo ukumu kama ikipita ikawa ivo itamletea shida uyo mzee kama katumwa atatueleza
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 Ай бұрын
Tutamnyooosha Mzee magoma
@chollejr_
@chollejr_ Ай бұрын
Kwanza hao wazee haikutakiwa ata kuwaongelea😂😂😂ss tunamjua ni mzee mpili t
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Ай бұрын
Napenda sana Yanga Wana Utulivu Mkubwa... Big up
@HafidhMwinyi-fp2po
@HafidhMwinyi-fp2po Ай бұрын
MwenyeziMungu Ibariki Yanga
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Ай бұрын
Heri wangeongea veteran wetu wachezaji hongera Eng Rais wa vilabu barani Afrika❤❤❤❤❤❤❤Tuko juuuu
@NdudaMtope-l9q
@NdudaMtope-l9q Ай бұрын
Yanga bingwa
@user-is2pj2vq3r
@user-is2pj2vq3r Ай бұрын
Naombeni picha za Hao wazee ni most wanted mpak saiv
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw Ай бұрын
mti wenye matunda nd upondwao mawe 💚💛💚💛💚💛💚kaza mwendo Mungu awe nanyi hao kwanza sidhani kama ni wanachama wala sio washabiki na wapenzi wa Yanga bali ni mbwa mwitu
@user-ig8or1lv5p
@user-ig8or1lv5p Ай бұрын
Magoma why😢😢😢😢😢
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 Ай бұрын
Allaah Akbar
@FrancisMghamba
@FrancisMghamba Ай бұрын
Huyo Mzee njaa inamsumbuaa😂😂
@JohnUruban
@JohnUruban Ай бұрын
Tufile uyo Mzee sisi tumepitia mabakuli jamani au atekwe tu
@kokusimabuberwa259
@kokusimabuberwa259 Ай бұрын
Huyu magoma anataka kutuludisha utopolon ashindwe pepo
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 Ай бұрын
Ukubwa wa Yanga inahitaji mwanasheria anaendana na ukubwa wa Yanga.
@user-sz2rf8tj7u
@user-sz2rf8tj7u Ай бұрын
Kuna watu wenye Nia ovu na yanga wapo nyuma Yao hao mapandikizi
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zj
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zj Ай бұрын
Nipo hapa, hao watu waliopoteza muda na kukosa maarifa wataishia pabaya
@zubeydamahmoud-gq2hq
@zubeydamahmoud-gq2hq Ай бұрын
Hao wazee wakamatwe haraka sana
@zuberially8810
@zuberially8810 Ай бұрын
Njaa inamsumbua magoma are akodishe mashamba huku
@AmeirAlly-tn8hw
@AmeirAlly-tn8hw Ай бұрын
Nashukuru sana ila kiukweli Bado hatuna amani na tumeshtuka sana kwahiyo milifanyie ufumbuzi hili suala haraka sana
@LucianaSwai
@LucianaSwai Ай бұрын
Huyo mzee asituharibie furaha yetu
@user-vu2th5fe6y
@user-vu2th5fe6y Ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko nmemsikila mchana eliyud mvela kumbe huyo mzee msumbufu sana toka miaka ya 90huko
@NikodemPetro
@NikodemPetro Ай бұрын
Huyu mzeeee anaak nn
@chollejr_
@chollejr_ Ай бұрын
Hao wazee atuwajui bhanaaa 😂😂wakanye ukooo
@chollejr_
@chollejr_ Ай бұрын
Uyo mzeee akanye ukoooo😂
@JohnUruban
@JohnUruban Ай бұрын
Ao wazee makuma
@bahatichikoko6362
@bahatichikoko6362 Ай бұрын
Njaa mbaya
@zubeydamahmoud-gq2hq
@zubeydamahmoud-gq2hq Ай бұрын
Mzee akamatwe achapwe viboko. Hao wazeee 3 ni viazi sana
@jonasmbwambo3546
@jonasmbwambo3546 Ай бұрын
Tena viazi mbatata
@erastomwanamawe7322
@erastomwanamawe7322 Ай бұрын
Viongozi ni wazembe, maana jambo ili ni la muda lakini mlisubili mpaka lilipuke ndo mtoke azalani na kuzungumza mnatuweka matatani. Toka tarehe 16 ya mwezi wa sita na hamjaonesha response yoyote. Mnatufanya tuamini kinacho zungumzwa
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li Ай бұрын
Hivi nyiye wazee ni kabila gani mbona mnaleta shida kwenye watu wengi kuliko nyiye mpo watatu tu mpaka mnagushi sahihi za watu huwoo ni uhalifu Sasa musubili maumivu tulio wengi tumewachukia sana asa wewe magoma utaipata nje ndani nyiye ni sawa na majambazi yanga tupo imara sana
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Ай бұрын
Hii taarifa imenistua
@chollejr_
@chollejr_ Ай бұрын
Alaf anaeongeaaaa ni MWANASHERIA wa CAF
@mustafazuberi-v7o
@mustafazuberi-v7o Ай бұрын
Wazee Kama hawa wajiangalie
@alphoncewilbard6806
@alphoncewilbard6806 Ай бұрын
Geoff kumbe na wewe nifara
@WilliamEzekiel-hv9li
@WilliamEzekiel-hv9li Ай бұрын
Wakili msomi🎉🎉🎉
@AminaTanzania
@AminaTanzania Ай бұрын
Huyo anae toa kichwakichwa apingwe risasi kwanza huyo juma
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk Ай бұрын
Uungwana. Mmechelewa dakika 10 mnaomba samahani
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 Ай бұрын
Mzee magoma tutakata kidole kimoja,kimoja na kupaka pilipili mpaka anye mpumbavu huyo
@noelkipera6581
@noelkipera6581 Ай бұрын
Onlove wanaichi CLUB MAKINI Duniani,,,Yanga haiendeshi na uganga ,,wa wapuuz wawil,,,Bt viongoz MAKINI,,wenye akili za mpira Duniani,,,,,,,respct sweka ndani hivyo vigagulaaaaa
@jacksonpeter5216
@jacksonpeter5216 Ай бұрын
WAKABIZIWE SIMBA KWANZA WAIONGOZE THEN TUTAWAFIKIRIA
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Ай бұрын
Watuachie yanga yetu hao wazeee
@OsmanNefrod
@OsmanNefrod Ай бұрын
wazee wa holyoake hao
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Ай бұрын
Huo mpira wa utani umepita siku nyingi mmetumwa
@babujohnmwita4337
@babujohnmwita4337 Ай бұрын
Uyo mzee anajitaftia matataizo, sisi wanachama hatujachoka na uongozi, yeye ni nani ,mahakama tukufu inatakiwa iwqlinde manake yanga ni jibwana kubwa sana
@BethsaidaMsolanbo
@BethsaidaMsolanbo Ай бұрын
Ao wazee awajitambuwi nn
@user-yn4di1lj7f
@user-yn4di1lj7f Ай бұрын
Mwanasheria wee yanga nn 😅😅😅😅😅
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 Ай бұрын
Hapa kuna matatizo mengi na maamuzi yenyewe. Yanga ni Institute. Kwa mahakama na hakimu kendesha mashitaki bila kuhakiki watetezi wa Yanga kama Institute. Hizo summons zlikuwa zinapelekwa wapi kwa anuani ipi. Summon kwa kawaida hupelekwa na kachero wa mahakam kwa mshitakiwa na inahitji saini ya kupokelewa na Jina la aliyepokea. Hapo Makama zetu inabidi zimulikwe.
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Ай бұрын
Wanatafuta shida hao
@JayzJackson
@JayzJackson Ай бұрын
Hao wazee wasenge wanajua Tim inaendeshwaje mpaka inapata makombe hivi hiii mizee imetumwa yaani akili zao zipo kwenye matako
@JohnUruban
@JohnUruban Ай бұрын
Ao wazee ni makuma sisi tunataka furaha kama wameona timu ndio sehemu ya kula SI waonbe kazi
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 Ай бұрын
Ishirini na kumi ndo nin
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Lazima wapelekwe mahakamani ili iwe fundisho wasilete ujinga huo.
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 Ай бұрын
Aowazee wapumbavusana na wananjaa zinawasumbuwa
@Mpezie
@Mpezie Ай бұрын
Vipi hao washtakiwa namba 1, 2 na tatu vipi mnawatambua kama wanachama? Na kama mnawatambua wao hawakupata taarifa ya mahakama?
@st.jamese.r6941
@st.jamese.r6941 Ай бұрын
Hawakupata taarfa na sahihi zao zilighushwa 😢
@Mpezie
@Mpezie Ай бұрын
@@st.jamese.r6941 kwa taasisi kubwa yanga hilo swala linafikirsha sana kuna uzembe mkubwa umefanywa na viongozi.
@babujohnmwita4337
@babujohnmwita4337 Ай бұрын
Wakabidhiwe wao kama akina nani? Wakabidhiwe ofisi ya fedha zipi? Kuna wazeee wasenge sana iyo dar es salaam
@JohnUruban
@JohnUruban Ай бұрын
Uyo Mzee mtombeni Kuma make
@Stoper17
@Stoper17 Ай бұрын
Duh
@user-lp7uq9ql2p
@user-lp7uq9ql2p Ай бұрын
Kwa Club yenye watu wenye welidi kila idara haiwezi kushindwa jambo dogo kama hili, naamini tutashinda Kwa kishindo, hao watu wasituletee matatizo, aibu kubwa iwakute wao
@salomemongi1246
@salomemongi1246 Ай бұрын
Sasa km wanashtakiwa watasaini kitu Gani
@user-yn4di1lj7f
@user-yn4di1lj7f Ай бұрын
Yanga wanatetemeka 😅😅😅😅😅
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Unatetemeka wewe usiyejua sheria. Ataishia jela tu utampelekea chakula.
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
mkundu wako ndo unatetemeka
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 Ай бұрын
Mbona mlikuwa hamsemi hili jambo? Mnatuficha jambo..
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 Ай бұрын
MADUNDUKA KWA UDUNDUKA WAO WALIVYOKUWA WAJINGA.TUKIO HILI WANAONA TAYARI KAMA WAMEPATA UNAFUU KUPUMUA VILEE!! TUNAWAAMBIA HII YANGA SIO CLUB YA MADUNDUKA NI CLUB YA WANANCHI MAKINI WASIOYUMBISHWA NA WAJINGA WACHACHE!! HII TIMU INA WATU!! TUNAJUA NA MAMLUKI NAO MMO!!
@chollejr_
@chollejr_ Ай бұрын
Yaan anataka tuanze kulia Lia kutumia bakuri
#LIVE ALLY KAMWE ANAUNGURUMA MUDA HUU MAKAO MAKUU JANGWANI
28:38
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 20 М.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi, 05 Septemba, 2024
28:13
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,9 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
BabaJoan
Рет қаралды 58 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН