MWANAMKE ALIYEPIGANA na JAMBAZI mwenye BASTOLA na KUFANIKIWA KUMUUA, ASIMULIA - '' NILIMPIGA JIWE''

  Рет қаралды 1,257,515

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MWANAMKE ALIYEPIGANA na JAMBAZI mwenye BASTOLA na KUFANIKIWA KUMUUA, ASIMULIA - '' NILIMPIGA JIWE''
Mke wa Mfanyabishara Castola Mnoge, Juliana Damiani, mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma, amesimulia jinsi alivyopata ujasiri wa kumpiga na gongo jambazi na baadaye kushika jiwe kupambana na majambazi wengine ambao walivamia nyumbani kwao usiku kwa lengo la kuwaibia fedha.
Tukio hilo la kutisha limetokea hivi karibuni saa chache mara baada ya mumewe kuwasili nyumbani akitokea kwenye biashara yake ya Mpesa akiwa na mauzo ya siku ndipo alipofanikiwa kumpiga na gongo kisha kupata msaada wa majirani wenye hasira kali ambao walimshambulia zaidi hadi kumuua huku majambazi wenzake wakifanikiwa kutoroka.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 1 000
@netlity5532
@netlity5532 2 жыл бұрын
Mapenzi ya kweli yamejidhihirisha kigoma! Tanga mnalipi la kusema hapa 🙌 sikiliza dakika ya 6:08 Hadi 6:16 halafu njoo unipe like hapa 😜
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
Tanga umalaya
@lovenessfrancis9947
@lovenessfrancis9947 2 жыл бұрын
Tanga hakuna jipya siku izi ata mapishi kwisha
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Aaaaah hivi tukio hili lingetokea Tanga mke angekimbia?
@netlity5532
@netlity5532 2 жыл бұрын
@@mashramadhani1989 hizo ..nge hatuwezi kuzijadili maana bado hazijatokea.... Watu wa kigoma Kwa sasa ndo wameshika usukani kwenye mapenzi ya kweli
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
@@netlity5532 aaaaaaah hatari sana kigoma
@dorisurio8001
@dorisurio8001 2 жыл бұрын
Ni Mungu mwenyewe..hongera Sana mwanangu
@ludanishirima5102
@ludanishirima5102 2 жыл бұрын
Mungu akulinde Hongera sana Nimekupenda bure
@gracapk10
@gracapk10 2 жыл бұрын
nimekupenda Sana dada... dumu kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
@mwlshemasi196
@mwlshemasi196 25 күн бұрын
Bhbb
@SakinaShaban-kl8fx
@SakinaShaban-kl8fx 8 ай бұрын
Mwenamke sehemu yyte anatakiwa awe jasri hata ktk bibilia wanawake tumefananishwa na jeshi ko ss ni majeshi wa kimwili na kiroho hongera sana dada yangu kwa mapambano mema
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Hongera sana dada kwa kulipigania penzi lako Mungu akulinde
@tabithamulwa8714
@tabithamulwa8714 2 жыл бұрын
Congrats my SIZ your are one in a million am proud of you with thank God for granting you life as a family be strong every thing happens for good for those who love the lord more grace in Jesus name
@bengachuru1390
@bengachuru1390 11 ай бұрын
Hongera sana kwa huyu mama. Mapendo iko kati yenu. Mungu abariki nyumba yenu. Poleni kwa mashambulizi.
@aswileedson2978
@aswileedson2978 2 жыл бұрын
Wewe mwanaume una Deni la kumlinda na kumpa heshima mkeo. Anakupenda ameyatoa Maisha kwa ajili Yako, halafu kesho umzingue tutakunyooosha, Hongera mwanamke wa shoka.
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 2 жыл бұрын
Hii inaitwa self defense.kufa kupona Ni muhimu kujitetea. Nani amemkubali huyu binti Kama Mimi.Mungu awape ujasiri Wanawake wajue kujitetea Mungu.akiwa upande wao watashinda tuu.👆
@julianakavula8195
@julianakavula8195 2 жыл бұрын
True
@taturajabu5977
@taturajabu5977 2 жыл бұрын
Zao hazijafika ndg yangu,na watakuwa walijiganga,chezea kigoma wewe!
@sjosephmashany-eu6rf
@sjosephmashany-eu6rf Жыл бұрын
Wanawake wa kiha ni mashuja sana wakipenda wanapenda kweli
@merymahu4500
@merymahu4500 Жыл бұрын
Mm hapa huyu mama Mungu amlinde
@hanifamsenda-py8qu
@hanifamsenda-py8qu 11 ай бұрын
Ttzo kujieleza sasa...
@CatherineSambo-oc8bu
@CatherineSambo-oc8bu Ай бұрын
Hongera sana mwanamke mwenzetu mungu akupe maisha marefu. Kumbe wanawake tunaweza hata tusipowezeshwa. God bless you.
@tumainipeter458
@tumainipeter458 2 жыл бұрын
Wewe Mungu atakuwezesha Sana zaidi umepambana hakika ni jasiri piga supu mama
@LILIANDOUGLAS-w5t
@LILIANDOUGLAS-w5t 8 ай бұрын
Dah! Mwanamke jasili sana mungu awatie nguvu mdum ktk ndoa yenu na mshinde zaidi na zaid. Kigoma oyeeeeee❤❤❤❤
@musafrancis3584
@musafrancis3584 2 жыл бұрын
Saf Sana dada Ila wandishi mmekosea xn kumuonyesha sura hyu dd n hatar kwenye maisha yke kwa ss
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 2 жыл бұрын
Apo umesma kwl maan Hawa waandishi wambea sana Hawa unafkri hii clips wakiiyona majambaz na wanajua Kam mwenzao kauliwa tena alobabisha hyu dada na weshamuon heee siku znahesbika kw hy dada
@sulaimanomary6533
@sulaimanomary6533 2 жыл бұрын
Hii clip sio ile ya zamani kweli
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Kweli kabisa wangeficha sura hatar kwake ila hongera kwa ujasir pia unamapedhi ya dhati kwa mumewako mungu awalinde katika ndoa yenu
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Kwani unafikiri ndugu na marafiki wa aliyeuawa hawamjui huyu Dada?
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Kabisa
@MilioneaTv
@MilioneaTv 2 жыл бұрын
Una sifa zote dada mrembo mcha mungu una mahaba ya dhati pia jasiri wadada wa mwendo kasi mjifunze hapa
@rahmambugi1950
@rahmambugi1950 2 жыл бұрын
❤️
@fwarrymwebi6615
@fwarrymwebi6615 2 жыл бұрын
Why am l crying alone??? Congratulations mama kwa kupigania mumeo maisha ya wawili ni safari
@elyxhadee
@elyxhadee 11 ай бұрын
@@fwarrymwebi6615 surely there is something to learn here
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 6 ай бұрын
Mwendo kasi
@jeremiahissangya4333
@jeremiahissangya4333 5 ай бұрын
Mimi so unable zote hata Mimi mwezako. Sina
@mecksaloon81
@mecksaloon81 2 жыл бұрын
Hongera kwa ujasiri wako dada mrembo, Kaka umepata mke mwema
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 2 жыл бұрын
Yn hiyo kaul imeniingia San yn kwamba sikuogopa bastola sabab nilijuwa kuwa mme wng asha kufa ckuwa na sabab ya kuishi dàaaaah 💪😭😢🤔
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
Nmetamani kulia
@gladahmed532
@gladahmed532 2 жыл бұрын
Hata Mimi nimelia ujasiri huo
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 2 жыл бұрын
Hapo Kuna upendo Jmn
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Atar dada uko pouwa sana
@JasperJamson
@JasperJamson 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉​@@gloriaaugustino8031
@jokhamohammed976
@jokhamohammed976 2 жыл бұрын
Masha Allah bro umepata mke mwema Mungu ambariki na aendelee kumpa mapenzi na ujasili
@LuciaKambona-m8l
@LuciaKambona-m8l 7 ай бұрын
Hongera kwa ujasiri dada yangu mungu akurinde 🙏🙏
@alexmatt9504
@alexmatt9504 2 жыл бұрын
Hongera dada kwa kupata ujasiri ambao umesaidia kumwokoa mume wako,Mungu akusimamie.
@AsteriaShao
@AsteriaShao 11 ай бұрын
Pole sana dada endelea kumtumainia Mungu na kumshukuru Kwa Kila jambo Ameni
@carolineondabu4539
@carolineondabu4539 2 жыл бұрын
Dada wacha mungu akulinde sana hapo ulitumia zaburi 23:1...mungu hawalinde siku zote
@jacobomhagama6563
@jacobomhagama6563 Жыл бұрын
,mungu Aendelee.kumpa.ujasili
@queenkileo3698
@queenkileo3698 2 жыл бұрын
Palee pale...... God is Goood!!!
@maikomichael8261
@maikomichael8261 2 жыл бұрын
Mama,hongera,sana,ww,ni,nguvu,ya,taifa
@paulabuya3690
@paulabuya3690 Жыл бұрын
I need a woman like u thanks and continue like that
@sophiamarco3839
@sophiamarco3839 2 жыл бұрын
Safi sana Mungu azidi kuwalinda wote na familia yenu.
@takrimanyangalima6764
@takrimanyangalima6764 8 ай бұрын
Mungu husimama ktk kila jambo, hongera dadaang kwa ujasir kweli ninyi ni mwili mmoja, baba mheshim mkeo
@stellahemilian9168
@stellahemilian9168 2 жыл бұрын
Bastola ilikua na risasi moja tu walipompiga mumewe ikaishia hapo.mungu ni mwema alikujaza ujasiri, hongera.
@skuhenga
@skuhenga 2 жыл бұрын
Hapana itakuwa ili jam..
@JulitMartin
@JulitMartin 7 ай бұрын
Hongera mama Kwa ujasiri huo,endelea kumtegemea Mungu.
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 2 жыл бұрын
Mungu Akusimamie kwa kila Jambo Jema na Akupe Afya njema.
@francissibuti4893
@francissibuti4893 2 жыл бұрын
I just appreciate, pale pale, of course pale pale nimemuelewa sana
@amukoyawycliffe-u2t
@amukoyawycliffe-u2t 10 ай бұрын
Mwanamke Bomba 😂❤❤❤
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 2 жыл бұрын
Asante.sana.mungu.azidi.kukupa Ujasili
@pendopendojoshua7624
@pendopendojoshua7624 2 жыл бұрын
Kwa kweli Mungu kakutetea mwanamke jasiri.
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Pole sana
@muonambali
@muonambali 2 жыл бұрын
A definition of true love. MOLA awalinde na kuwaongoza katika maisha yenu ya ndoa, 💪🏿😍🙏🏿
@NehemiaZakeo
@NehemiaZakeo 2 ай бұрын
Duu!! Pole sana mama
@witneywilly
@witneywilly 2 жыл бұрын
Eeh Mungu mlinde huyu dada... kwann mmemuonesha sura huyu dada jaman. Si salama kwake
@FridaMmari
@FridaMmari 11 ай бұрын
kama ilikuwa si salama si salama tuu MUNGU ndie anamlinda, unazani wanaomfanyia mtu ubaya hawamjuii, mpaka wanaenda kwao wanamjua
@AmeenaTanzania
@AmeenaTanzania 10 ай бұрын
Ongera sana dada unamoyo wa kipekee sana 🎉🎉🎉mungu awalinde muendelee kuwa pamoja
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
True love keep it up
@herbethlukogela7657
@herbethlukogela7657 6 ай бұрын
Touching.......
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 2 жыл бұрын
Congrats my sister, you made it...
@zainabuibrahim4766
@zainabuibrahim4766 Жыл бұрын
Alhamdulillah.ongera sana
@rehemaissa5689
@rehemaissa5689 Жыл бұрын
Umempata mkwe mwenye mapenzi ya kweli Allah awajalie ktk maisha ya ndoa yenu
@rehemaakyoo
@rehemaakyoo 8 ай бұрын
Hongera dada mrembo mungu akupe nguvu zaidi na zaidi
@carolinenjiro41
@carolinenjiro41 2 жыл бұрын
True love, hongera Sana mwanamke wa nguvu🙏🙏🙏🙏
@lilynestorybenezety6180
@lilynestorybenezety6180 2 жыл бұрын
Ongera sana kipenz mungu azid kuwapa nguvu na maisha marefu
@nitulosanga2081
@nitulosanga2081 2 жыл бұрын
Dada MUNGU. Akutie nguvu nimeipenda sanaaaaaa
@MangiKivuyo
@MangiKivuyo 2 ай бұрын
Hongera sana mwanamke jasiri mungu aendelee kukupa ujasiri
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 2 жыл бұрын
Dàaaaah huyu Dada mzuri na anamapenzi halisi yaso changanyika na unafiki wowote yn me naomba Rais ampe nafasi jeshini huyu nimwanajeshi komandoo kabisa yn 💪💪
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Hahaaaaa
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
Masha Allah Dada kwakujikita kutetea maixha ya mumeo.ww mwanaume umexhindaj sana mkeo ukija kumsaliti Mungu atakuadhibu
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Hongera dada mungu awabariki na mumeo uzidi kupata ujasiri
@catherinemutasi8340
@catherinemutasi8340 Жыл бұрын
Mshukuru mungu sana AMEN BARIKIWA
@lordofmercy9997
@lordofmercy9997 2 жыл бұрын
There is power in the name of the lord
@habibakunje6680
@habibakunje6680 Жыл бұрын
Mhh true love waoo!!
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 2 жыл бұрын
Hongera dada kwa ujari Mungu Ni mwema
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Wooow mungu akupe maisha marefu na familia yko
@mutukumutua-wi9ft
@mutukumutua-wi9ft Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Dada Kwa hayo
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 2 жыл бұрын
Wanawake wanapiga sana ukikaa na mke wako vizuri atakutetea kila kona
@ShalifuMwangomile
@ShalifuMwangomile 8 ай бұрын
Hongera Kwa ujasri Mungu aendelee kuwalinda
@Betawomen
@Betawomen Жыл бұрын
a very strong woman❤❤
@elizabethmgimba
@elizabethmgimba Жыл бұрын
Nimekupenda buure hongera
@lathifaa860
@lathifaa860 2 жыл бұрын
Mashaalah unaakili sana mwanamke zaidi ya mke
@mariamsamson2679
@mariamsamson2679 2 жыл бұрын
Hongera malkia wa nguvu,ni kwa neema ya Mungu ninyikuwa hai mpate kuyasimlia matendo makuu ya Mungu.
@asnathmasegenya9890
@asnathmasegenya9890 2 жыл бұрын
Safi sana nimependa ujasiri wako
@AnnaWillium
@AnnaWillium Жыл бұрын
Amina Mungu akubariki
@kassimally5358
@kassimally5358 2 жыл бұрын
Mzuri harafu shujaa thx mamito
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 жыл бұрын
Hongera sn dd kwakupambana Allah akuzidishie subra yadhat moyon mwako
@fulgencendyamukama742
@fulgencendyamukama742 2 жыл бұрын
Amina, ubarikiwe kwa kutoa msaada mkubwa kwa mmeo.
@johnwilly3436
@johnwilly3436 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie neema na ujasir ufanye meng makuu kwa uwezo wake
@slimtaley1759
@slimtaley1759 2 жыл бұрын
Hongera Sana Sister M/Mungu akubariki katika Maisha yako unastahili sifa na Kuwa Mfano Bora kati ya wenye Mifano Bora Tanzania Hongera Sana .
@jumashausi8844
@jumashausi8844 2 жыл бұрын
Wanawake wa hivi kwenye hii dunia kabaki huyo mdada 2 ukimpata mwingine niite mbwa Niko pale
@jacksonmsagat
@jacksonmsagat Жыл бұрын
Pole Sana dada
@robbynyamriba251
@robbynyamriba251 2 жыл бұрын
Mwambie Mungu asante maana bila ivyo ingekuwa story tofauti
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 2 жыл бұрын
Inamaana hujaskia kamtaja Mungu
@robbynyamriba251
@robbynyamriba251 2 жыл бұрын
@@sakayonsakihunga3496 duh
@mejorkooki4359
@mejorkooki4359 Жыл бұрын
Pole umejitaidi sana mungu akusaidie mama!
@abdallajuma6262
@abdallajuma6262 2 жыл бұрын
Good job safi mm mungu awalinde na jengine kuwa tayari Kwa kibaya chochote dhidi ya mwenzako mbambania Hadi tone la mwisho
@genovevakisawike-xo2wq
@genovevakisawike-xo2wq Жыл бұрын
Ongera dada Kwa ujasiri mnzr msiachane kmweeee
@FulumuMnyalukolo
@FulumuMnyalukolo 8 ай бұрын
Tunashukuru kwa ukomavu huo umemuokoa sana mwanaume mwenzetuu safii sana shemejiiii yetu❤
@rahemaheri1615
@rahemaheri1615 2 жыл бұрын
Palepale imekuwa nyingi but hongera Sana mwanamkee jasir na unapendoo Sana Kwa mumeo
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 2 жыл бұрын
Kumbuka hiyo ni camera mara ya kwanza
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 2 жыл бұрын
Kiswahili Cha kigoma mwisho wa reli
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
@@henricamikambi6147 🤣🤣🙌🏽
@shabbymakapaneshabby5000
@shabbymakapaneshabby5000 2 жыл бұрын
Kabisa Ana MAPENZI ya Kweli
@penuelyolotu7113
@penuelyolotu7113 2 жыл бұрын
Aaah aaah jaman PALE PALE
@AtupeleRobert
@AtupeleRobert 9 ай бұрын
Hongera dada Mungu ni mwema 🙏🙏🙏
@assankwale4434
@assankwale4434 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mama mwema
@fifo262
@fifo262 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie ujasiri
@crazyallien8335
@crazyallien8335 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema 🙏🙏🙏
@josephkaroki943
@josephkaroki943 Жыл бұрын
M no
@tatumashauri6589
@tatumashauri6589 2 жыл бұрын
Pole I sana mungu yupo pamoja nami
@ShukuruMgimba
@ShukuruMgimba 11 ай бұрын
Huyu Dada 1.uzuri👍 2.moyo👍 3.imani👍 4. Upendo👍 5.nywele👍 6.moyo👍 Mungu ampe nini tena huyo mwanaume
@EmmanuelShija-j6u
@EmmanuelShija-j6u 2 ай бұрын
Daaaaaaa safi sana dada angu mungu awape maisha marefu na familia yenu
@quentinsylvia3877
@quentinsylvia3877 2 жыл бұрын
juhudi zako ulizionyesha ulijitolea Kwa moyo mmoja na kupambana Kwa ajili ya maisha ya mumeo dada mungu aendelee kupambania umeonyesha moyo na mapenzi ya kweli
@maryombenilyimo4325
@maryombenilyimo4325 2 жыл бұрын
Poleni sana. Mungu amewashindia
@sagudamagerela3414
@sagudamagerela3414 2 жыл бұрын
Dada bastola haikuwa na risasi.Mungu akuepushe na majambazi
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 5 ай бұрын
Mashaallah dada mung akubarik kua na ujasir huo huo
@eliaspeter1258
@eliaspeter1258 2 жыл бұрын
Huyu Mwanamke ni zaidi ya Mke
@brightermwailolo3409
@brightermwailolo3409 2 жыл бұрын
Kwa kweli hata ndugu anaweza kuacha ..anakupenda wa dhati na Kumpenda Mungu
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 2 жыл бұрын
Huyo ni Simba jike hatari kuliko hata dume
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 2 жыл бұрын
Si mnasema hakuna mapenzi siku hizi
@eng8251
@eng8251 2 жыл бұрын
Huyu sio kama wale wavaa vikuku miguuni
@DevothaTarimo-ny6ei
@DevothaTarimo-ny6ei 11 ай бұрын
Hongera dada endeles kumwamin Mungu
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 жыл бұрын
Allah kareem Azidi kuwalinda Inshaallah
@zainaseleman3043
@zainaseleman3043 Жыл бұрын
Neema ya Mungu iko pamoja na wewe Dada Mungu akupe ujasiri zaid huu in mfano wa kuigwa
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
Nimekupenda dada unaalili sana
@navoneiwasekuba7023
@navoneiwasekuba7023 2 жыл бұрын
Hongera sana dada Mungunimwema ,
@vitalisonyango6708
@vitalisonyango6708 2 жыл бұрын
God bless you dear ❤️
@YustinaLivinston
@YustinaLivinston 7 ай бұрын
Jamani Waha hawafelikizembe. Mwanamke kama mwanamume.wote ni mashujaa. Napenda Sana mkoa wangu
@agnesmagehema576
@agnesmagehema576 2 жыл бұрын
Hakika wewe ni mwanamke Jasiri Mungu akulinde na kukupigania na Mumeo akupende Daima
@NajmaNajma-f3n
@NajmaNajma-f3n 7 ай бұрын
Nakupenda dada hongera sana
@jackierama1817
@jackierama1817 2 жыл бұрын
Afu anafanana na Queen darling
@catherinesamson9239
@catherinesamson9239 2 жыл бұрын
Itakuwa ni shemeji yake palepale
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
@@catherinesamson9239 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Жыл бұрын
Hongera sana dada kwa ujasiri uliopigania mali yenu hlf kesho na kesho mume umuone mkeo hafai mungu awape upendo zaidi ktk maisha yenu
@missmoona4497
@missmoona4497 2 жыл бұрын
Maashaallah super women kama hawa ndio wanastair tuzo ,lkn pia nunuen silaha na nyinyi
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 1,8 МЛН
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
KINGWENDU AKATWA VIDOLE ZIMBABWE 🇿🇼  AZULUMIWA PESA 🤣
21:01
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 1,6 МЛН