No video

MWANZO MWISHO KUHUSU ISRAEL VS PALESTINA BILA KUCHAGUA UPANDE . (PART 6 & 7 )

  Рет қаралды 2,104

madinidotcom

madinidotcom

Күн бұрын

Ukifuatilia mgogoro wa Israel na Palestina ,’bezikale’ ni pande mbili za watu wanaogombani ardhi moja na kila mmoja akiamini yeye ndo mwenye haki.Kuna ambao wanaamini PRAY FOR PALESTINE na kuna wanaoamini ISrael ni taifa teule ya MUNGU kwahiyo wana haki.Na kuna ambao wanasikiliza FACTS wachague pa kukaa, alafu kuna sisi madini dotcom tunaokuletea katikati ya pande zote.Historia inasema nini? Na zaidi muktadha wake upoje kwasababu kuna mambo yalifanyika zamani,ukiyapima kwa muktadha wa sasa unaweza kujikuta umepoteza maana yote.So lets get in...Hii ni sehemu ya 3 ,usikose ijayo

Пікірлер: 11
@damymzuri9989
@damymzuri9989 6 ай бұрын
Wagogo
@kassimbayuu
@kassimbayuu 6 ай бұрын
Blaza unahitaji kusikia kwa ndan kuhusu freemason na ishu ya world older
@madinidotcom
@madinidotcom 6 ай бұрын
Tulishakuletea hii.Inaitwa AI NA NEW WORLD ORDER. Itafute audiomack
@kassimbayuu
@kassimbayuu 6 ай бұрын
Shukrani nitaifatuta. Ila niliwahi kuitafuta channel yenu kule audiomack sikuiyona
@kassimbayuu
@kassimbayuu 6 ай бұрын
@@madinidotcom samahan Huenda nikawa nawasumbua KULE audiomack NIMEJARIBU kukutafuteni sijafanikiwa. Ila mkinipa jina mnalo tumia huko audiomack ambalo mnalotumia itakuwa rahis kukupateni
@madinidotcom
@madinidotcom 6 ай бұрын
​@@kassimbayuu ipo hii hapa audiomack.com/madinidotcom/song/part-1-uhalisia-kuhusu-new-world-order-na-artificial-intelligence-ai?share-user-id=33032691
@dawatul-salafi129
@dawatul-salafi129 6 ай бұрын
Leteni vigongo vya HACKING
@madinidotcom
@madinidotcom 6 ай бұрын
Tulishakuletea hii,inaitwa UDUKUZI NA WADUKUZI itafute audiomack
@jonsmaximillian3928
@jonsmaximillian3928 6 ай бұрын
@graysongideon mtu mbad sana
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 6 ай бұрын
kama mngekua walimu somo Lenu darasa Zima wangekua wanapata A+
@djumadjumbe6907
@djumadjumbe6907 2 ай бұрын
Mbona biblia tupu bro na ulisema hauna upabde ,ungechanga nazani .nafikiri umenielewa
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 72 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
LOST TECHNOLOGIES: Mysteries of Vanished Civilizations
2:03:29
Lifeder Educación
Рет қаралды 3,7 МЛН
UKWELI NA UNDANI KUHUSU BITCOIN
22:55
WAZO TV
Рет қаралды 4,5 М.
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 1,7 МЛН