Aleluyaa.Asifiwe Mungu Baba ndani ya Kristo Yesu Kutupatia Mtumishi K. Mwakasege.
@geraldndewe69122 жыл бұрын
Munguu akubarikii sanaa mwalimu nazidii kukuombea sanaa
@lizzybahati37392 жыл бұрын
Amen naomba Mungu Unikumbuke na mm
@mrwandamrwanda37512 жыл бұрын
Bwana Yesu mlinde mtumishi wako huyu mwl mwakasege, Roho Mtakatifu azidi kumtumia kwa namna ya pekee zaidi
@guraidiangovi20692 жыл бұрын
Kwa Damu ya Yesu Kristo Mimi Andrea na Familia ya Napokea rudi nyuma ee shetani ,Kwa jina la Yesu Kristo Amen,Mwl Christopher Amen kwa jina la Yesu Kristo nimeshinda
@filorammbaga57102 жыл бұрын
Mtumishi Asante Sana yapo maeneo familia imekwama. Najua damu ya Yesu itakutoa katika makwazo au makwamo .
@elizajeremiah71062 жыл бұрын
Amen kwa Damu ile mbichi ya Yesu msalabani nataka kazi
@loveraiseministry17022 жыл бұрын
Napenda sana haya,maana ndimo ukuu wa Mungu unakokuja kutufariji 'na kututia nguvu
@tijanbenjamin35412 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu mwakasege kweli wewe una karama ya ualimu ndani yako
@ruthnnko36222 жыл бұрын
Mungu mbariki mtumishi wako Mwl. Mwakasege uliye mpaka mafuta. Ameeeeeen.
@SandraJackson-b6u8 ай бұрын
raymond lukete mwinuka amezaaa ovyo kwa wnawake tofaut amkumbuka mungu ampe maisha marefu
@renathayuda45362 жыл бұрын
Mungu akupe maono zaidi na Akutunze katika mbawa zake na sisi Katavi Umetubariki sana Tunaomba Mungu uje utufundishe wanawake juu ya lango la uzazi
@ireneizael6142 жыл бұрын
Nashukuru mungu nikisikia sauti ya mwalimu Christopher napata faraja na baraka nakupanda viwango vya kumtukuza mungu
@aikaalexander84602 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@GraceMathias-s7i Жыл бұрын
Namshukuru mungu kwa neema yake juu ya maisha yangu kila siku
@luswetulajackson2 жыл бұрын
Kwa damu ya yesu Naomb nipate kazi
@T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs2 жыл бұрын
Yesu kupitia kuskia huku maneno ya Mwl naomba ukanipe kazi. Umesema katika neno lako Ayubu 36:11 - Kama wakisikia na kumtumikia, Watapisha siku zao katika kufanikiwa, Na miaka yao katika furaha. Naomba pitisha siku zangu katika kufanikiwa na miaka yangu katika furaha
@christinakembe38692 жыл бұрын
Utukuzwe Mungu uliye Hai
@alphakigosi7035 Жыл бұрын
Mungu napokea kwa damu ya yesu
@MariaFugensi Жыл бұрын
Amen namuomba mungu aniponye ugonjwa nilionao
@gracekasege77772 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kunipa kibali cha kuhudhulia
@gabriellyadam94152 жыл бұрын
Amen baba nimevuka hapo
@upendoeliudi51962 жыл бұрын
Aminaa kwa damu ya Yesu Kristo wa Nazareth nimefunguliwa Haleluyaaaaa
@neemamollel83312 жыл бұрын
Amen
@StellaGambella-b8i Жыл бұрын
Mungu bariki watoto wangu wawe watii
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Amen thanks Jesus thanks for this prayer so powerful ❤
@beatricehebert86582 жыл бұрын
Amen,jina la Bwana liimidiwe
@gracedamas5883 Жыл бұрын
Shetan achia kesho yangu katka jina La Yesu
@SandraJackson-b6u8 ай бұрын
baba mkumbuke raymond lukete anaterekeza watoto akishazalisha mungu mkumbuke
@emanuelnyab98722 жыл бұрын
Ameni jina Bwana wangu Yesu Kristo niinue
@bilugwemwanzije Жыл бұрын
Mungu atunasue....mtumishi !!?
@merrymlanzi30672 жыл бұрын
Asant Bab maan una2jnga xan kiiman
@soberkaleya51482 жыл бұрын
Zaburi 121: 7 Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. 8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. *ULINZI WA MUNGU ALIYE HAI UWE JUU YETU SASA NA HATA MILELE! AMETUTENGA NA MASHAMBULIZI YA IBILISI, HOFU, MASHAKA NA WASIWASI, HALELUYA!!!*