MAOMBI HAYA NI MATOKEO YA SEMINA YA SIKU YA 4 ILIYOFANYIKA MKOANI DODOMA, YENYEKICHWA CHASOMO KISEMACHO "HASARA NA HATARI ZA KUTOUTHAMINI WOKOVU"
Пікірлер: 40
@LucyMallya-um9vu4 ай бұрын
Asante baba kuniongoza sala ya toba sikujua jinsi ya kutubu...nimebarikiwa sana❤
@alphakigosi7035 Жыл бұрын
Mungu nisaidie nilikuwa na isikia sauti yako Ila sikuiti
@danielmlwafu4380 Жыл бұрын
Damu ya YESU iniondolee ouvu katika Jina LA YESU ALIYE HAI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 amen
@sabratally7688 Жыл бұрын
Ninaomba Toba mungu baba mungu mwana Damu yako Inioshe uovu wangu nawa baba Babu na mabibi zangu katika nguvu ya Damu ya yesu amen 🙏🙏
@rogerskaben-el5wg Жыл бұрын
K obu
@LeahVictor-sy4fr18 күн бұрын
Amen baba
@user-nl1dd7ib7g8 ай бұрын
Asante Yesu Kristo wa Nazareth kwa rehema zako🙏🙏🙏
@neemamachangemachange8874 Жыл бұрын
Ninaomba unisamehe Eee Yesu
@marthaayo4980 Жыл бұрын
Ameneeeee ameneeeee
@RehemaJoseph-o2w28 күн бұрын
Ameneee
@Deedee88110 Жыл бұрын
Amen
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Huu ni wakati wa habari njema ya ufalme wa mbinguni. Ni siku za mwisho za waongo. Ni mwanzo wa ufalme wa mbinguni, na mjumbe wa agano duniani. Malaki3:1-6.