MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: MUNGU HATANYAMAZA KIMYA ANAPOONA SADAKA YAKO ILIYOBEBA FAMILIA YENU.

  Рет қаралды 43,442

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Жыл бұрын

MUNGU ANASEMA NASI KATIKA NYAKATI HIZI ZA MWISHO KUWA KADIRI UPENDO UNAVYOZIDI KUPOA MAASI YANAONGEZEKA. MAOMBI HAYA NI MATOKEO YA SEMINA YA SIKU YA 4 ILIYOFANYIKA DODOMA 2023.

Пікірлер: 46
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 Жыл бұрын
Ila UPENDO TV mnadhambi! kwanini hamuweki haya mafundisho angalau j'mos au j'pili usiku hata lisaa limoja tu; mbona usiku mnapiga kwaya mpaka za wanaume walio suka? Na wanawake wavaa suruali?
@user-lr9wq8dc2k
@user-lr9wq8dc2k Ай бұрын
na ujulikane kama upo MUNGU wa Eliya,nabarikiwa sana kwa maombi yako MUNGU akutunze mtumishi
@dativadominic7093
@dativadominic7093 10 ай бұрын
Nabarikiwa sana na neno lako mwalimu ubarikiwe zaidi na zaidi
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 Жыл бұрын
Hakika Mungu Baba naijulikane leo Wewe ndiwe Mungu kwenye maisha yangu na uko na mimi daima na mimi ni mtoto wako na mtu wako nawe ni Mungu wangu na Baba yangu. Amina.
@oculjonaa5310
@oculjonaa5310 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa kunipa nafasi hii ya kumsikiliza tena mtumishi wako, naijulikane kama upo Mungu wa Eliya
@wilsonmlanga2614
@wilsonmlanga2614 10 ай бұрын
namshukuru Mungu kwa kukuleta duniani kuja kutufundisha. na pia ninamshukuru Mungu kwa kunijalia kuwa na mda wa kusikiliza neno lake.
@user-gl2vy4pu9o
@user-gl2vy4pu9o 7 ай бұрын
Amen
@nin6324
@nin6324 Жыл бұрын
Man of GOD
@user-ex7es6fe3c
@user-ex7es6fe3c 20 күн бұрын
Utukifu ni kwa MUNGU
@eliamanmollel5085
@eliamanmollel5085 Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@phaustinegodfrey4056
@phaustinegodfrey4056 Жыл бұрын
Utukufu kwa MUNGU
@PasteurMugishoMulikuzaEspoir
@PasteurMugishoMulikuzaEspoir Жыл бұрын
Mungu atukuzwe sana !
@GetrudeJackson-ly6rf
@GetrudeJackson-ly6rf Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙌🙌
@geofreykangaho1149
@geofreykangaho1149 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@estherfrancis7447
@estherfrancis7447 8 ай бұрын
Hakika mungu ni mwema na anatenda kwa wakati ulio sahihi
@user-ck1mz8qo4v
@user-ck1mz8qo4v 4 ай бұрын
Amani amn
@user-mx3of9bk4q
@user-mx3of9bk4q 11 ай бұрын
Ubarikiwe mutumishi
@joshuamwangobola2991
@joshuamwangobola2991 Жыл бұрын
Amina
@user-be1wo8jp4t
@user-be1wo8jp4t Жыл бұрын
Ameen
@user-qi2xx6lc1w
@user-qi2xx6lc1w 11 ай бұрын
Aminaaa
@daudisylvester7735
@daudisylvester7735 Жыл бұрын
Mungu tujalie tukutane name uso kwa uso.
@gracealexander1450
@gracealexander1450 Жыл бұрын
AMEEEN AMEEEN
@TasianaProsper-hd1zr
@TasianaProsper-hd1zr Жыл бұрын
@dativadominic7093
@dativadominic7093 10 ай бұрын
1:36
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 Жыл бұрын
Ameni
@norbertlilungulu8806
@norbertlilungulu8806 Жыл бұрын
Ubarkiwe
@HesauDaudiInyalala-bb1ru
@HesauDaudiInyalala-bb1ru Жыл бұрын
Nimebarikiwa
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 Жыл бұрын
Nahijulikane uko Mungu ninakutumikia najiungamanisha na madhabao haya.
@esteria6453
@esteria6453 Жыл бұрын
😭😭😭🙏.
@shukurusyriack3504
@shukurusyriack3504 Жыл бұрын
Ninatamani sana kukutana na huyu mtumishi wa Mungu jamani.Mungu naomba kibali miee
@emmanuelmpopo5181
@emmanuelmpopo5181 Жыл бұрын
Mwambie Mungu omba kibali nae atakukutanisha kw Imani itakuwa hakuna knachoshndikana
@dynesssanga1948
@dynesssanga1948 Жыл бұрын
Kwa Mungu yote yanawezekana
@shukurusyriack3504
@shukurusyriack3504 Жыл бұрын
@@emmanuelmpopo5181 amina, ninaimani ipo siku tuu Mungu atanipa kibari.
@annemyombo8089
@annemyombo8089 Жыл бұрын
Amini tu,umbali sio kizuizi. Barikiwa na mafundisho hayo mpendwa,hata usipokutana nae,naamini mafundisho haya yanakukutanisha na Mungu. Barikiwa sana
@charlescharo1845
@charlescharo1845 Жыл бұрын
Asate YESU simutuwekee empesa ya Kenya
@geofreykangaho1149
@geofreykangaho1149 Жыл бұрын
Unawezekana kutuma kwa hizo namba chagua kutuma pesa kimataifa
@fabiolajaphet6690
@fabiolajaphet6690 Жыл бұрын
Hakika
@SamwelKagwaku-vp2jp
@SamwelKagwaku-vp2jp 10 ай бұрын
Amen
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 Жыл бұрын
Ameni
@isakwisambyale5514
@isakwisambyale5514 Жыл бұрын
Amina
@susangetrude6255
@susangetrude6255 Жыл бұрын
True man of God
@ESTHERMWASENGA-hl5uu
@ESTHERMWASENGA-hl5uu Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@agnesswilliam3908
@agnesswilliam3908 Жыл бұрын
Amina! Bwana niokoe na uzao wangu maana nimepiga kelele mbele zako
@mdutamonica3456
@mdutamonica3456 Жыл бұрын
Amen🙏
@mathiasmalilakanti-st2hd
@mathiasmalilakanti-st2hd Жыл бұрын
Amen
@sarahsamweli4379
@sarahsamweli4379 Жыл бұрын
Amen
SOMO  MUNGU ASIPOKUJIBU MAOMBI YAKO MUULIZE NI KWA NINI 1
29:18
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 453 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE, SEMINA YA NENO LA MUNGU ARUSHA
39:27
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 316 М.
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 11 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 39 МЛН
Le Travail Acharné : Clé du Succès par Apotre Gabriel Tikiko
1:04:41
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: YESU AMEKARIBIA KURUDI, KAMA HUJAOKOKA JASHO LITAKUTOKA
9:59
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 82 М.
KANUNI MUHIMU ZA MAFANIKIO - JOEL NANAUKA
11:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 85 М.
🔴 LIVE: IBADA KUU JUMANNE,  OPERESHENI YA KUTEKETEZA NA ZIKA WACHAWI
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 13
#2. CHAKULA CHA BWANA KAMA MAHAKAMA INAYOMPA MUNGU UHALALI WA KUHUKUMU MIUNGU
1:02:29
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 64 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: MAOMBIYA TOBA KWAAJILI YA SIKU ZA MWISHO.
6:36
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 29 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: UMUHIMU WA MAOMBI
1:27:33
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 26 М.