MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE: SEMINA YA NENO LA MUNGU - TABORA. DAY 4: TAR 24 JULAI 2022.

  Рет қаралды 36,260

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@nosigwebuya5537
@nosigwebuya5537 2 жыл бұрын
Bwana akubariki Mwalimu! Nakumbuka uliko toka na utii wako kwa aliyekuita. Nena kanisa lipone! Rev.Buya Nosigwe
@lynnelee7286
@lynnelee7286 2 жыл бұрын
Asante baba huduma hii imenilea Kwenye nchi ya ugenini bado natiwa NGUVU Mpya 🇸🇦🇰🇪👋💕
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 2 жыл бұрын
Tunazidi kufunguliwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai lisifiwe sana Amina
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Mungu awape ulinzi siku zote. Zekaria 2:5. Ulinzi wa Ukuta wa moto uwazingire pande zote watumishi wa Mungu. Muishi siku nyingiiiii kama neno la Mungu liishivyo. Kutoka 23:25_26.
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Eee Bwana tunakuja mbele zako Kwa Damu ya Yesu. Naomba ujidhihirishe kupitia sadaka zetu kwako. Tunaomba rehema. Ujibu Kwa moto. Amen
@Johnsonkayila
@Johnsonkayila 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa kupita kawaida yaani utadhani leo ndo siku ya kwanza. Mungu Akubariki sana Mwalimu pamoja na Jopo lako lote
@mattyhappy1581
@mattyhappy1581 2 жыл бұрын
Ee Nakushukuru Mungu kwa ajili ya Watumishi wako Christopher na Diana Mwakasege,,wamefanyika baraka kwetu ,,kwangu,sana ,,niliacha kutoa zaka ,,ila nimeanza kutoa tena Nawashukuru kwa Mafundisho yao
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Ipo Damu ya Yesu iondoayo kiambaza katika familia tuwe na moyo wa Ibada. Hallelujah, amen
@joyceallan2758
@joyceallan2758 2 жыл бұрын
Mungu uliijua kesho yangu ndo maana uliachulia somo hili kwa Mwl . Asante Mungu
@gloriamwalingo9694
@gloriamwalingo9694 2 жыл бұрын
Yesu nakuhitaji vivyo kila saa,niwezeshe mwokozi nakujia.
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Jina la Yesu Kristo liinuliwe daima. Tumejifunza. Mungu azidi kutupa neema ya unyenyekevu. Amen
@Officialjoel85
@Officialjoel85 Жыл бұрын
Watching from USA 🇺🇸 mbarikiwe sana
@mwlhumphreysamwel9930
@mwlhumphreysamwel9930 2 жыл бұрын
Mungu aibariki kazi yake na mtumishi wake
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 2 жыл бұрын
Haleluya mungu apewe sifa. Watumishi wa mungu mmetoa maisha yenu, watu wamjue mungu aliye hai. KUPITIA UTUMISHI WENU NEEMA NA REHEMA YA MUNGU IMEFUNGUA MOYO WANGU. NURU INAMULIKA . 🙏
@mattyhappy1581
@mattyhappy1581 2 жыл бұрын
Mathias Leonsi nawapata Niko Zanzibar Unguja,stone town Baba,,Mungu anatusaidia hasaaaaa
@ahazimtindo345
@ahazimtindo345 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa leo, ubarikiwee sana Mtumishi
@rhodanangoma7386
@rhodanangoma7386 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Mwal ! Mwakasege! Na Mama Diana, Mungu aliye Hai awatunze muingiapo na mtokapo, 🙌
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Yesu Kristo uwe mfadhili wetu kila eneo kila siku kila saa. Ameeen.
@sophiashadrac1110
@sophiashadrac1110 2 жыл бұрын
Mungu awatunze Mwl na mke wake, wanahitajika kwa kizazi hiki
@paulcosmas8031
@paulcosmas8031 2 жыл бұрын
Tumebarikiwa mwalimu mwakasege
@happymollel6716
@happymollel6716 2 жыл бұрын
Mungu awa bariki sana sana watumishi.
@richardwilfred3069
@richardwilfred3069 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Mwalimu ninarudia rudia kusukiliza naona upya tena na tena
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Tumebarikiwa hakika. Jina la YESU liinuliwe. Haleluyah
@victoriamefya6287
@victoriamefya6287 2 жыл бұрын
Amina hallelujah barikiwa baba
@esterjohn4904
@esterjohn4904 2 жыл бұрын
Libarikiwe tumbo lililokuzaa baba yangu
@rodrickkigola2656
@rodrickkigola2656 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@allexandermselle5564
@allexandermselle5564 2 жыл бұрын
Najiunganisha na maombi ya Leo juu ya Biashara yangu na familia yangu Amen
@esthershilima2781
@esthershilima2781 2 жыл бұрын
Nawatakia maisha marefu kwa uweza wake mungu atafanya Mambo makubwa kwenye maisha yenu
@fruitfulmpanduji2494
@fruitfulmpanduji2494 2 жыл бұрын
Amen ! Amen ubarikiwe
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Bwana YESU tujalie kuishi Kwa amani na umoja katika familia zetu . Zaburi 133:1_3. Hapo kwenye shule na vyeti Mungu atusaidie tufanikiwe katika uchumi wa familia Kwa jina la Yesu. Ameeen. Mungu tunaomba uturehemu na utukumbuke tupate kustawi kizazi Cha kwanza mpaka Cha nne.
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Mungu ajibu Kwa moto Kwa jina la Yesu. Tunapopita tunataka MUNGU atendaye kazi dhahiri katika maisha yetu Hallelujah
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Mungu wa Mbingu na nchi tunakuomba asiwepo hata mmoja nyumbani mwetu atakayeingia jehanum. Eeh Bwana kumbuka sadaka zetu Zipate kibali mbele zako. Amina
@antlucifermovement7276
@antlucifermovement7276 2 жыл бұрын
Amina
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Amen, Asante kwa mafundisho, nakufuatilia kutoka Canada
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Mungu yuko kazini. Amen
@davidchitonge8212
@davidchitonge8212 Жыл бұрын
mungu awabariki kabisa
@sarahmwamahusi2858
@sarahmwamahusi2858 2 жыл бұрын
HALLELUYAH!HALLELUJAH! HALLELUYAH
@eddiepeter1618
@eddiepeter1618 2 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@annavictormasiagachannel8050
@annavictormasiagachannel8050 2 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏👏
@kamikazineema1957
@kamikazineema1957 16 күн бұрын
Amen
@arubalydia224
@arubalydia224 2 жыл бұрын
Mwangosi I miss your worship 🤔🥲
@lynnelee7286
@lynnelee7286 2 жыл бұрын
Ndugu yangu alitoweka nyumbani 2015 ehh Yesu lete ushuhuda 🇰🇪😭😭😭
@dee4144
@dee4144 2 жыл бұрын
Amina Mungu aendelee kuwa tunza,ninamshukuru Mungu kwa semina
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Sema Baba wengi tupone.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Kuna wakati najihisi kukata tamaa na injili ya sasa lakini kila nikimsikiliza Mwalimu Mwakasege..,napata matumani. Lau kungekuwa na wawili wenye mahubiri kama yake humu duniani. Wengi matapeli tu wanaitisha nywele na kucha ili wakatumalize zaidi.
@kalimirajohn9378
@kalimirajohn9378 2 жыл бұрын
Baba Asante kwa ufunuo mungu akujaze Tena naomba inayotumika kwa watssap
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Nuru yetu iangaze
@elizabethjackson3865
@elizabethjackson3865 2 жыл бұрын
Jamani nataka kutuma sadaka nipo mbali namba naziona hapo ila hakuna majina ya usajili natumia WorldRemit
@samwelisimbeye4682
@samwelisimbeye4682 2 жыл бұрын
Baba napateje icho kitàbu icho maana niko mbeya
@irenemosha8106
@irenemosha8106 2 жыл бұрын
Hakika nimepata vitu vipya vya kushughulikia.Ubarikiwe baba.
@tumwimbilagempogolo3163
@tumwimbilagempogolo3163 2 жыл бұрын
Naomba umoja na mshikamano urudi katika familia yangu na hasa kati ya watoto wangu na mimi mama yao Mungu nisaidie .
@bettynziku6804
@bettynziku6804 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa neno Mtumishi wa Mungu naomba uniombee niweze kuota ndoto na kuelewa maana ya ndoto
@michaelmahona9711
@michaelmahona9711 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa mfundisho
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@happydaniel2062
@happydaniel2062 2 жыл бұрын
Amen amen
@JoyLymo
@JoyLymo 4 ай бұрын
Amen
@fedisteraggrey35
@fedisteraggrey35 2 жыл бұрын
Amen
@ruthedward6587
@ruthedward6587 2 жыл бұрын
Amen
@charlestarimo5624
@charlestarimo5624 2 жыл бұрын
Amen,
@salomembiku4256
@salomembiku4256 2 жыл бұрын
Amen
@samwelimweta5592
@samwelimweta5592 2 жыл бұрын
Amen
@dorcaskahwarakaliza8190
@dorcaskahwarakaliza8190 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏾
4. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  MBEYA
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 1,6 М.
UFAHAMU WAKO JUU YA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
26:28
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 24 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 116 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 81 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 30 МЛН
MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE - JINSI YA KUITUMIA MALANGO YA FURSA KATIKA MAISHA YAKO.
1:21:35
Giza linapotanda maishani Ufanyeje
55:39
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 61 М.
ZUIO KWENYE LANGO LA UZAO.
1:03:44
Mch. George Mamuya
Рет қаралды 303
3. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  MBEYA
3:22:35
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 16 М.
Mch Moses Magembe -KYELA 06
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 32
GHARAMA YA KUTUNZA NENO LA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
20:53
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 36 М.
MASANJA SIJAITWA KAMA WACHUNGAJI WENGINE / WANANISHANGAA
13:47
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 142 М.
Mch. HANANJA, WANAUME WENGI HAWAPENDI SEMINA ZA NDOA 🤣🤣🤣
33:49
HUWEZI KUFANIKIWA BILA KUFUATA HATUA HIZI
1:17:12
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 53 М.
1. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  MBEYA
2:36:56
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 26 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 116 МЛН