MZEE KAMWE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KIPIGO CHA SIMBA KWA YANGA/ AMPA TAHADHARI MWANAE ALI KAMWE

  Рет қаралды 10,650

PMTV TANZANIA

PMTV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@RobertAlyce
@RobertAlyce 18 сағат бұрын
Mzee kuampore mtangazaji muurize hivi mechi Simba zidi ya azamu 27 kirjin anafanjiwa fauro kwenye bosi eria refa arikua Nani au mnamarefa wenu Kama arisasi kukubari Gori ra ngoma kure zanzibari ama yure arie mariza mpira zidi ya kosti kua mpore sisipia tunajua mnachokifanya
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 Күн бұрын
Kumbe huyu mzee hamjui mtoto wake vizuri sikutegemea kama atajibu hivi. Ally ni lulu tumeipata yanga, akili nyingi, pia ni karama, au kipaji ameumbiwa kutoka kwa Mungu akiongea kitu kinatokea na tunajivunia kuwa naye.wananchiiiiiiiiiiiiii💚💚💚♥️
@LinusKyando
@LinusKyando Күн бұрын
KAMATI YA UFUNDI IMEFANYIKA USIKU WA SAA 9 KUPINDUA UCHAWI WA SIMBA
@AbelChisasi
@AbelChisasi Күн бұрын
Kweli mzee Kamwe , Ally. Kamwe chunga sana mdogo wako. Wakati mwingine. Kauli zako zinafanya watu wafikiri. Tunahonga kweli
@asmaramadhani8592
@asmaramadhani8592 Күн бұрын
Wee kolo bado ujasema na utasema
@clementmgongolwa8316
@clementmgongolwa8316 Күн бұрын
Mzee vipi na wewe unatakiwa kuhama kwenda burundi?
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 Күн бұрын
Eti wanatutishia sanda wakati wenyewe ndiyo wameivaa sajilini wachezaji hakuna Cha uchawi Wala mbinu zozote dakika 90 ndiyo zinaamua mechi.
@neemamwijage
@neemamwijage Күн бұрын
​@@clementmgongolwa8316burudani ya kayoko😂
@saidilindukwa
@saidilindukwa Күн бұрын
Mzee kamwe Sie wananchi twakuheshimu mnooo,wakati mkitufunga funga Miaka 4 ilikua inatuumiza hivyo so Mzee kuwa mpole
@Mariejo123-g2x
@Mariejo123-g2x Күн бұрын
Mzee Kamwe mshabiki wa kweli, ktk mchezo lazima ukumbali matokeo.
@LinusKyando
@LinusKyando Күн бұрын
ILA HAMKUIFUNGA YANGA MARA NNE MFULULIZO
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 Күн бұрын
Siyo mara 4 tu tumeshawafunga ndani ya miaka kadha siyo mara 4 tumeshawanga
@RashidiIssanamagono
@RashidiIssanamagono Күн бұрын
Mzee Kamwe unazeeka na busara zako hangera
@boscomtani1006
@boscomtani1006 Күн бұрын
Dakika ya 5 mpaka ya 6
@IddyNchama
@IddyNchama Күн бұрын
poa mzee kamwe
@LinusKyando
@LinusKyando Күн бұрын
MZEE ASANTE KWA KUTUZALIA MTOTO MBUNIFU KAMA HUYU
@Elihurumamathew
@Elihurumamathew Күн бұрын
Mzee kamwe hana baya nimtu wa mpira nampira anaujua
@FrankCharles-f1q
@FrankCharles-f1q Күн бұрын
We mzee tunakuheshimu jua mipaka yako,huna nguvu yakumuelekeza ally kamwe,apo alipo ni wapi na uliwahi kusema ajeee,ukivuka mipaka ukubari matokeo
@Farida-vg5ry
@Farida-vg5ry 12 сағат бұрын
Acha shobo unamkatazaje mtu asiongee na mwanae Ally ni mwanae wakumzaa asimwambie akikosea nyau we😮 hiyo Ali wenu anaitwa Ally simba
@Ratifarashidi-x7i
@Ratifarashidi-x7i Күн бұрын
Nyie.ni.watani.wa.jadi.kwaiyo.maneno.ya.kamwe.ni.yakawaida.tu.
@neemamwijage
@neemamwijage Күн бұрын
Kila kitu ni utani?na matusi yakamwe nayo ni matani
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 Күн бұрын
We mzee utakuja kuta na simba yakooo😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@monicanatai144
@monicanatai144 Күн бұрын
Saa tisa ucku ndo walipata uhakika wa Diara kuwah match
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 Күн бұрын
Na Ally aliwatega tu kusema saa 9 kwa nn inawaumiza makolo au waliroga kweli nn??.
@neemamwijage
@neemamwijage Күн бұрын
Ndo walikamilisha fungu la pesa la kumkabidhi kayoko
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 14 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 83 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36