Mzee Warioba: JWTZ Ni Taasisi Pekee Iliyobaki Yenye Uadilifu, Wasiingizwe Kwenye Siasa.

  Рет қаралды 18,788

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Peacock Dar es Salaam leo Disemba 04,2024, Mzee Joseph Warioba amelitaka taifa kuepuka kuingiza Jeshi la Tanzania kwenye siasa.
"Jeshi la Ulinzi (JWTZ) ndio taasisi pekee yake iliyobaki kwa uadilifu, kwa uzalendo, kwa nidhamu. Tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ningeomba kabisa Jeshi la Ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, sio kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi," ameeleza Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Disemba 04,2024.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 87
@aidankakulu398
@aidankakulu398 2 ай бұрын
Mzee hakika umenena vema, mwenyezi Mungu akubariki
@coolruler6820
@coolruler6820 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉hanaga deni na mtu mzee warioba, hata mimi simdai mzee huyu""""maandiko yanasema: kichwa chenye mvi ni taji la utikufu, endapo kipo njia ya haki
@Settledmanrise8083
@Settledmanrise8083 2 ай бұрын
Mzee wngu warioba mm nakuamini sana na ww kweli ni mzalendo wa nchi yko mw/mungu aendelee kukupa umri mrefu wenye mabaraka nyingi kutoka mbinguni na ardhini
@barakaabel482
@barakaabel482 2 ай бұрын
Mzee Joseph Sinde Warioba 💯
@patelkilovele9379
@patelkilovele9379 2 ай бұрын
Mzee kichwa chake bado kizima kuliko sisi vijana wengi.Big up my retired Prime Minister, wewe ni hazina Mungu aendelee kukuweks
@ChristerKok
@ChristerKok 2 ай бұрын
Mungu akubarki kulipenda taifa lako na watu wake.
@AbdulJabbar-hc2wd
@AbdulJabbar-hc2wd 2 ай бұрын
Twende mbele turudi nyumba , kulia , kushoto, sakata la bandari lilikua mtihani jili ya jeshi, na generali mkuu wao mpya. END OF STORY! Hakuna Cha mungu kisicho, pewa mtihani. Huu mtihani Kutoka kwa mungu, wala hamna haja kubishana sisi. Na mungu alivo kuwa mwema, aka leta mtihani wanao weza ambapo jibu lililtakiwa tolewe kabla DP waja shusha cargo. "Zanzibar hatuwa ruhusu, hii BIHASHARA!" - basi.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 2 ай бұрын
Mzee WARIOBA Mungu akulinde uendelee kuwaelimisha viongozi wetu,upofu na ulevi madaraka umewaingia.Hawaoni hawaambiliki.
@saviomlelwa
@saviomlelwa 2 ай бұрын
Huyu Mzee ni mwadilifu Sana na anajitajidi kusimamia uadilifu wake.
@MihayoMageta-k4n
@MihayoMageta-k4n 2 ай бұрын
Tunakuombea uendelee kuishi miaka mingi, Asante kwa kuwa muwazi.
@OSWARDMJWAUKI
@OSWARDMJWAUKI 2 ай бұрын
Mungu akutunze mzee wetu.
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 2 ай бұрын
Mungu akubariki Mzee wangu .. Sijasahau na sitisahau kipindi kile magenge ya Ccm wakina Makinda na wenzake wakikupiga bila hata aibu ...
@clauschaula2050
@clauschaula2050 2 ай бұрын
Hakika jungu kuu,halikosi ukoko.Taasisi nyingine zijitathimini hongera mzee wangu Warioba ninyi ni kati ya wachache mliobaki wa kusema ukweli kuhusu mwenendo wa nchi yetu kisiasa.
@revocatuskato9474
@revocatuskato9474 2 ай бұрын
hii nchi ata uongee vipi hawasikii,wameweka tamaa mbele na ubinafsi...
@lembricesaravo3543
@lembricesaravo3543 2 ай бұрын
Nawaheshimu sana ,wapo imara . Mungu awasaidie
@StephanoGwelino
@StephanoGwelino 2 ай бұрын
Asantee.mzee warioba mungu akubariki sana sijui ukiondoka itakuwaje maana bila wewe waliobaki wote ni chawa wa mtu mmoja
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p 2 ай бұрын
Moja wazee ninaopenda kuwasikiliza
@FilbertBaseka
@FilbertBaseka 2 ай бұрын
Ubarikiwe mzee Warioba
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 ай бұрын
Asante sana mzee wetu Doktar warioba unajaribu kuelimisha lakini viongoz walioko madarakani hawasikii ,labda tuelekeze pananini. Hawasikii maskini mpaka tunawatesa wazee wetu kama akina Walyoba wanaendelea kutuelimisha Hadi Sasa wakati ulikuwa nmdawao wakupumzika walilifikisha taifa sehem nzur haki ilikuwepo ila sio saiz wenye madaraka wameziba maskio na jeshi la police nalo niccm kwer mungu ingilia kati.
@LesiJama
@LesiJama 2 ай бұрын
Baba wa taifa wa pili hakika mara imebarikiwa na wazee
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
I love Mara, maua yenu
@manubei3574
@manubei3574 2 ай бұрын
Mama anawaendekeza Polisi kwa kuwa wanamnufaisha. Nchi inapelekwa kihunihuni😢
@PaulMaregesi
@PaulMaregesi 2 ай бұрын
Tunako elekea upande wa pili nawenyew ukiamua tutaumizana sana kwenye nchi hii cha ajabu wanaharibu msingi ya nchi ni sisi wenyew tuliopewa dhamana ya kuendesha taifa letu mungu hatusamehe kwa uroho wetu na kujiangalia wenyew yaani ubinafsi wetu utaharibu kesho yetu
@emmanueltengulaga9007
@emmanueltengulaga9007 2 ай бұрын
Ahsante sana
@dennisungonella205
@dennisungonella205 2 ай бұрын
Huyu mzee ni mzalendo Sana kwa taifa letu
@limitedklgroup2020
@limitedklgroup2020 2 ай бұрын
❤❤
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 2 ай бұрын
Golden father
@PaulMaregesi
@PaulMaregesi 2 ай бұрын
Yaani naona kuwa mtumishi wa serikali halafu ukawa umeegemea upande fulani wa chama cha siasa ndo tunavuna haya yote kwani watumishi waserikali wanatumika vibaya sana
@saluuhans
@saluuhans 2 ай бұрын
MZEE WARIOBA ANA SPEAK TRUTH NA KWA BUSARA KUBWA SANA
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
Huyu mzee JOSEPH WARIOBA ni mzalendo,muadilifu,msema ukweli na mpenda haki.Ni mzee hazina ya nchi iliyobaki.ccm ingekuwa na wazee wote kama huyu,nchi ingeongozwa kwa misingi ya haki.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 ай бұрын
Tunamhitaji jemedari mkuu mpya Tanganyika mwenye uelewa fika na haya mambo badala ya huyu ambaye tunaye anahitaji kupendwa na polisi. Kwa vile anahitaji apendwe nao a Eshindwa kuyamudu madaraka yake mwenyewe. Kwa vile annashindwa kuyamudu madaraka yake vizuri kwa kuwa kiongozi bora, amewaruhusu polisi wamlinde kwa hali na mali kuyalinda maovu na mapungufu yake mwenyewe. Samia kashindwa kuiongoza nchi na kuwakabidhi hawa majukumu ya uongozi.
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 2 ай бұрын
JW TZ NAWAKUBALI SANA
@EmmanuelKazimili-ky1ss
@EmmanuelKazimili-ky1ss 2 ай бұрын
Baba wa taifa uliyebakia mwambie mama akusikilize vizuri maake yanayoendelea atuyaelewi bali imekua ni vurugutu
@MaulidHimidi
@MaulidHimidi 2 ай бұрын
Yeye kama nani katika nchi msemaji wa nani
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
Kuna watu hawajui maana ya uzalendo, tena eti mpaka maprofesa wapo eti mzee wetu 😂😂😂, wasasidie kuelewa
@MagdalenaNyakitale
@MagdalenaNyakitale 2 ай бұрын
umwana wa yiya into abato butima yika weto gammba byigwe
@PhilbertCelestin
@PhilbertCelestin 2 ай бұрын
"Tume itakayosimamia uchaguzi wa mwaka kesho ,watakaosimamia ni wale wale wa 2020 yaliyofanyika 2020 yanatarajiwa 2025
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 2 ай бұрын
Stand up with Justice being witnesses for God and then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)
@jeoffreyamis3782
@jeoffreyamis3782 2 ай бұрын
Makamu wa Rais Mstaafu, Jaji Warioba, pamoja na mzee Butiku...... ASANTE kwa mausia yako! Uzalendo wa hali ya Juu.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Wanatuonya wagunu. Shida uchumi. Maisha yetu yanatulazimisha kuishi kichawa ili tushibe. Majibu ni kuelekeza kizazi kuzalisha huduma na bidhaa za kuuza kwenye soko la utandawazi.
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Wazee.hazin̈a.anatumia.vijana.wajanjajanja.atumbukia.shimoni.asnte.waribo.msaidie.raisi.wetu
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 2 ай бұрын
JWTZ n wazalendo watanzania polisi n Raia
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 ай бұрын
Second father hakoseagi
@amanisalum1638
@amanisalum1638 2 ай бұрын
Mzee wetu wewe na Butiku ndio peke yenu hamtaki unafiki wa CCM.Mungu atawalipa Kwa ukweli wenu.Wapo Wana CCM wameamua kujimilikisha majeshi na vyombo vyote vya Ulinzi.Na Kwa bahati mbaya wanapongezani Kwa udhalimu wanaotenda. Wanapanda mizizi ya Kisasi huku wakitamani kisitokee. Wanasahau Mwanadamu huchoka Dhulma na haamua liwalo na liwe.
@abdallahannwholesaler
@abdallahannwholesaler 2 ай бұрын
Mimi nasema hata hilo jeshi limepoteza sifa au wamesahau zamana zao why wanakaa kimya wakiwa wana nchi wana Dhulumiwa?
@eliaelishagaming1432
@eliaelishagaming1432 2 ай бұрын
Jwtz,polisi,magereza, uhamiaji n.k wana majukum ambayo hayaingiliani hilo unalosema ni jukumu la polisi sio jwtz
@amanisalum1638
@amanisalum1638 2 ай бұрын
Mzee wangu huwezi kuwatengenisha CCM na matendo ya Serikali.Maana wao ndio wanaounda hiyo Serikali.Hivyo yote yanayotokea yanabaraka za CCM maana wao ndio wanaonufaika na huo ubatili
@ramadhanhassan9308
@ramadhanhassan9308 2 ай бұрын
Umeyaona sasa?
@albertjames6845
@albertjames6845 2 ай бұрын
Kama kichwa chako kimejaa mavi na huwezi kusoma na kufwatilia mambo ya nchi usimlaumu yeye kwa ujinga wako. Huyu anaongea miaka yote na ni mtu mkweli na mwadilifu, wewe ni udini tu unakusumbuwa ndio kawaida yenu.
@bensonwillbert9620
@bensonwillbert9620 2 ай бұрын
Wambie ukweli wanatuonea sannaa
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 2 ай бұрын
Limeingizwa kwa kauli yake kwenye mkutano wa hadhara.Wamekuwa wakivalishwa nguo za polisi,magereza na hata TISS wamo
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 2 ай бұрын
ASANTE SANA MZEE WARIOBA KWA MANENO YAKO MAZITO YENYE HEKIMA NA BUSARA KWA TAIFA LETU....NCHI 'IMEPASUKA' NA DHIMA YOTE ANAIBEBA MH. RAIS SAMIA NA CCM....KUNA KILA DALILI YA MACHAFUKO HUKO MBELENI.
@PaulMaregesi
@PaulMaregesi 2 ай бұрын
CCm wamechafua misingi ya nchi hadi wameharibu na taasisi ya elimu walimu wote wanatakiwa wawe wanachama wa ccm kwani wao ndo wametumika kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa ila tumwachie mungu ndo mwenye maamuzi ya mwisho
@MohdJumaa-q3l
@MohdJumaa-q3l 2 ай бұрын
Wajuzi wa psychology wanasema Hala halal mti na macho. Inamaa na amani haichezewi . Mmeona Kenya si mbali. Utumiaji wa nguvu vikosi vya polisi kwa raia ni kukaribisha Shetani ktk nnchi. Muaji ya bure kisa vyama. Watanzania bila kuwa kitu kimoja tutaumizana wenyewe kwa wenyewe.
@williamnyasa3834
@williamnyasa3834 2 ай бұрын
Jeshi gani limeingizwa kwenye siasa?
@godfreykahabi1964
@godfreykahabi1964 2 ай бұрын
Wewe ni mpumbavu acha uachwe na upumbavu wako
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 2 ай бұрын
Tanzania tunamhitaji huyu mzee hata kwa kipindi kifupi kama NELSON.Aweke mambo sawa kwa msaada wa JUMUIYA ya Madola. Watengeneze KATIBA ya nchi siyo ya CCM.Tulipofikishwa ni pabaya.😂😂😂😂😂😂
@JaphetMulungu
@JaphetMulungu 2 ай бұрын
Mzee waeioba ndiye peke anaweza mala nyingi kujitokeza hadhalani kukemea au kuogelea yanayojitokeza inchini.wengine ni machawa 2.
@barakaabel482
@barakaabel482 2 ай бұрын
Yes...na Mzee Butiku pia
@graysonmanongi2349
@graysonmanongi2349 2 ай бұрын
Mzee lkn uliapa kumshauri kwa wema na uadilifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sijasikia ukisema kuwa ume book appointment kuonana na Rais kuliko kusema haya kwenye vyombo vya habari, mbona kama wewe ndio unageuka mchochezi!
@SbOm-b7k
@SbOm-b7k 2 ай бұрын
Hao jeshi ndio wambele kwenye vituo vya kupiga kura, na bila hivyo hapawi kitu, uhakika
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 ай бұрын
Tuone sasa yale majizi yajitokeze na kujinadi na ushindi haramu yameumbuka
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 ай бұрын
Wasira anatoroka porini kwa manyani
@saluuhans
@saluuhans 2 ай бұрын
HII NCHI HATA AONGEE NANI SERIKALI IMETIA PAMBA MASIKIONI 😂 LABDA NYERERE AFUFUKE
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 2 ай бұрын
Hao wengine wameingizwa na nani na Kwa nniiii Tufanyeje nasi basiiii
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Tatizo uchumi, kwenye siasa ipo pesa bila Jasho. Pesa iliyoko huko inamvuria kila mmoja. Wanaacha mapambano halisi ya mnyukano wa kiuchumi yalio Duniani.
@d15355
@d15355 2 ай бұрын
HUYU mzee sio mzima makelele yote hayo ni kuwapigia debe chadem tu, una matatizo gani warioba umbuka hata vyeo ulivyovipata sio kusema kwamba ulikuwa na sifa kushinda wengine bali ni ukabila tu wa nyerere,ndo we ukawa hapo kama kweli we mtu wa haki mbona hatukukusikia ukipiga kelele wakati nyerere alipomweka ndani tumtemeke,mapalala n.k? au kwa sababu baba wa taifa alikuwa kabila lako?nyerere aliwatumia polisi kisiasa hujui hilo? wangapi aliwabambikia kesi za kisiasa zilifunguliwa polisi kina babu,othman sharif nk hatujakusikia ukinyanyua bakuli lako hata sasa ukitetea haki ya kambona ina maana humjui? au ndio unafiki? naona sasa unataka kujifanya na wewe ndio baba wa taifa hili kila mtu akusikilize wewe utumbo wako, hivi ikitokea vita hapa utakimbilia wapi? uko tayari kumalizia umri wako ughaibuni na kuzikwa huko huko? au bhangi zishakupanda kichwani? kwa maana nafahamu fika kwamba wewe kama raia wengine wa mkoa wa mara ni mtumiaji mzuri wa kilevi hicho kwa miaka mingi hdi sasa,hivi utajisikiaje ikitokea vita nchi hii halafu wakafa malaki ya watu halafu mchochezi wa vita hiyo ukawa wewe? wacha kutetea ujinga bora ukaongozwa na dikteta utakula na utaishi kuliko mkapigana vita halafu vyote mkavikosa ona somali ona msumbiji tangu wameanza kupigana hadi leo kuna amani ya uhakika imerudi? tazama sasa sudan, we mzee jiheshimu unazeeka vibaya.
@godfreykahabi1964
@godfreykahabi1964 2 ай бұрын
Umepoteza muda kuandika ujinga ujinga.shenzi kabisa unataka kusema warioba ni chadema.wazazi.wako.wamepoteza fedha kusomesha mjinga tu
@d15355
@d15355 2 ай бұрын
@@godfreykahabi1964 ukweli wacha tuseme haka kazee kanatamani kutupiganisha miaka mingi nahisi kame miss mikiki mikiki ya huko kwao ya kupigana pigana na wewe ni mmoja kati ya nyumbu wake huna akili elewa sio kila mwenye mvi ana busara,elewa hata wavuta bhangi ni watu wanazeeka nao
@MattarMohammed-f5v
@MattarMohammed-f5v 2 ай бұрын
Unazeeka vibaya wewe mzee kama hujuwiJeshi ndio linalojiingiza kwenye siasa
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 2 ай бұрын
Gongo haijawahi kumuacha mtu salama.
@eatlawe
@eatlawe 2 ай бұрын
Kwetu hatuna akina Traore kwa hiyo hakuna shida hata wakiingizwa kwenye siasa hasa kwa kuwa ni waadilifu!
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 2 ай бұрын
Ulipokuwa mwanasheria wa serikal na waziri mkuu watu waliwekwa kizuizini na wengine kuuawa ila ulikaa kimya kabisaa kama hukuwepo... Nyinyi ndio mmeasisi kinachoendelea leo...
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 2 ай бұрын
Chawa wewe
@mwanache
@mwanache 2 ай бұрын
Acha kuongea kama mtu husie na akili… potelea mbali hata kama ilikuwa hivyo (which is completely a lie), una maana mtu akiwa mtenda dhambi basi aendelee kuwa mtenda dhambi AU mtu kama alikuwa Bull/mnyanyasaji wenzie akiwa mtoto kwamba baadae hasije kutetea wanao onewa akiwa kijana🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️ it’s just a common sense!!! Tafuta hotuba aliyoitoa mwaka huu ktk sherehe za kumuenzi Sokoine ili ujue Warioba alikuwa mtu wa namna gani wakati alipokuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 2 ай бұрын
@mwanache umeshinda....
@manubei3574
@manubei3574 2 ай бұрын
Mr lice😂
@emmanueltengulaga9007
@emmanueltengulaga9007 2 ай бұрын
Mhmm
@Nawigo_tv
@Nawigo_tv 2 ай бұрын
❤❤
Balozi Liberata Mulamula: Chanzo cha Mgogoro wa Congo (Part 1)
26:10
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН