Рет қаралды 36,352
Saleh Sadalla aligombana na Karume kwa sababu ya mwanamke. Karume alimtukana Sasalla kwenye kikao cha baraza la mapinduzi. Karume kataka kumpiga Sadalla na Sadalla akataka kumpiga risasi Karume, hakufaulu. Kwahivyo Sadalla kafungwa na baadae Karume kamuua.