'MZUNGU' ADAIWA KUJINYONGA ALIPOKUWA ANAISHI NA MKEWE ARUSHA, MAJIRANI WASIMULIA "WALIGOMBANA USIKU"

  Рет қаралды 46,811

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 117
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Nchi zilizoendelea ukitaka kuwa na Mpenzi lazima uende Bar,Sasa hii imewagharimu Wazungu wakija huku kwetu na kushindwa kutambua tamaduni ni tofauti,Maana asilimia kubwa ya Wadada wanao enda bar huku kwetu ni Malaya, anaagiza kinywaji chake kimoja anatega , Ila Watu wanao sema Wazungu hawajinyongi kirahisi Kwa takwimu za Nchi gani, Kuna Nchi kama Canada jimbo la Alberta, Edmonton matangazo hadi kwenye mabasi ya kuwahasa watu wasijinyonge, Kuna watu wanao ongoza Kwa kujinyonga kama Wazungu hasa likiwa suala la mapenzi au kufilisika
@unkown2429
@unkown2429 Жыл бұрын
Big case ! Ni ngumu kwa mzungu kujinyonga especially nchi ya mtu .
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Жыл бұрын
Hiyo ni ishu ngumu sana wasio ombe wa mmalekan
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 Жыл бұрын
Mke wake ahojiwe anaweza kuwa anahusika
@cocorita8367
@cocorita8367 Жыл бұрын
Mzungu amenyongwa msituletee tabia hizi wkat sisi tuko nchini kwao nyie wadada wa kiTanzania muache tamaa jmni
@Catherine-u6g
@Catherine-u6g Жыл бұрын
Wanataka kutuletea shda jmn
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Wazungu hawana desturi ya kujinyonga kindezi kiasi hicho !kaskazni tunawajuwa kwenye pesa wanaweza fanya lolote lile
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 Жыл бұрын
We mimi niko uku nje , UK wazungu hawana roho ngumu kama sisi kama kujiua wanajiua sana tuu kinachowasaidia ni madawa ya misongo ya mawazo tuu
@erickfrank6362
@erickfrank6362 Жыл бұрын
Kwani wao ni kinanani
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Huyo dada kamuua serikali ifanye kazi yake
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 Жыл бұрын
😃kumbe sio mzungu wake wa Kwanza huyo mama anatakiwa ahojiwe na kipigo juu anaidhalilisha nchi yetu kimataifa
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
@The universe tv apigwe kwa sheria ipi? ? Ukimkamata mtu ndo umpige kuna sheria ina ruhusu hilo? ?
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Жыл бұрын
@@edwinalexander1170 watanzania weengi ni wapumbavu,sasa wanaona mzungu kaonewa saana,mpaka kufikia hatua kushinikisha polisi kumkamata huyo mama mtanzania.
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@msetikebwasi7270 malaya huyo Sijui ni dada yako amemuua mzungu ili apate mali
@user-vq1qx1dr4e
@user-vq1qx1dr4e 2 ай бұрын
​@@edwinalexander1170Unahisi bila kupigwa atasema ukweli weee uliona wapi. Hapo atabananishwa na kichapo hadi aseme yani atawaja tu mmpaka watu alowatuma kumuua atawatajaaaaaa.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Wanawake wengi wanaoishi na wazungu Tanzania wanakuwaga malaya na wanapata wazungu kwenye umalaya wao wa kujiuza, au wengine wanajiuza kwenye biashara ya utalii, Kwa hiyo malaya kama huyo kuuwa mzungu kwao ni kawaida kama ameona kuna hela nyingi atapata, huyo malaya angebanwa au kuteswa na police angesema tu, matukio kama haya yakijiyokeza zaidi yanaweza kuharibu taswira ya Tanzania
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Forensic Bureau wataelezea kwa haraka, huyo mama kaingia pabaya kwa hali inavyoonekana kuna moshi unafuka kwa vyovyote moto upo utawaka.
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Wazungu wakienda nchi zetu hizi za Kiafrica wanafikiri wanawake wote sawa,,,hawa wetu wengi malaya
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Жыл бұрын
Watanzania weengi ni wapumbavu,kwa hiyo mnaona mzungu kaonewa saana.
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 Жыл бұрын
Ajaonewa Lakin historia ya huyo Bibie ndio inawasiwasi
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Жыл бұрын
@@jacksonamos2008 ina uwalakini gani.
@salmajuma1592
@salmajuma1592 Жыл бұрын
Nashangaa,wakat marekan watu weusi wanauwawa hadharan,Wala waafrika hawasemi kitu
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Жыл бұрын
@@salmajuma1592 na hilo ndo swala limenifanya niandike hivo.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Huyo kanyongwa wakajipa akili tumtungike tuseme kajinyonga sio kweli.
@evelyinipaja7022
@evelyinipaja7022 Жыл бұрын
Mungu yupo mbinguni.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Wanawake wa KiTanzania mavi kunuka chupi mkononi , wengi ni waongo waongo malaya akute mwanamke na bwana wake mchepuko wamemnyonga mzungu , mimi nimeishi ughaibuni miaka kibao sijasikia eti wazungu kujinyonga kwa kujitundika kujjinyonga hivyo ni wabongo zaidi . Huyo malaya aliyekuwa mke wa huyo mzungu askari wambane atasema ukweli tu , ogopa sana wanawake wa kaskazini hapo amemuuwa mzungu ili apate mali
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Hahahahaha Hahahahaha
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Жыл бұрын
Kweli kabisa
@Sabinazimmermangerm
@Sabinazimmermangerm Ай бұрын
Bibi yake amemnyonga....Vibaya sana but huyu Bibi atalipa hio kitendo kabla yeye akufe
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Жыл бұрын
Mzungu alitoroka iringa arudi uku
@vom84
@vom84 6 ай бұрын
Kajinyongaaaaaaa , mzungu tu ajinyonge, huyo kazibuliwa
@rosemarymayo7400
@rosemarymayo7400 Жыл бұрын
Atakuwa kanyongwa huyo aisee wazungu hawana ujinga huyo
@daimavlog
@daimavlog Жыл бұрын
Msianze haya mambo wanawake wa kitanzania tafadhali, msiwe na tamaa za hivi. Mzungu hawazagi mambo ya kujitundika wao wanajirusha kwa train n.k huyo mke akamatwe. Unajinyongaje na ubaki kwa sturi? Babu ana hekima huyu
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 Жыл бұрын
Sijawahi kusikia mzungu amejinyoga ni mara ya kwanza angekuwa muhindi hapo sawa lkn mzungu tumepigwa
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Huyo mkewake anahusika na hiki kifo hiyo aliyekuja akampa Pesa ni nani au ndiyo kamlipa hongo ili amnyonge Mumewe!
@ednahumazi777
@ednahumazi777 3 ай бұрын
Huyo mwanamke anajuwa amemfanya nini mzungu
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Жыл бұрын
Ayo muoji huyo mwanamke mana ukweli haufichiki mimi ni Mchungaji pia naweza kujua kupitia imani ya Mungu kwa picha pia maneno yake Mungu atasema kama kweli anahatia. au hana hatia
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 Жыл бұрын
Mkuu wa Mkoa fatiria Sana. Mke au ndg wote w afatiriwe saaaaana
@kassebo
@kassebo Жыл бұрын
Pepo la kujinyonga bado liko speed
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 28 күн бұрын
Mtaka harusi saba inamkuta misiba saba ndio hiyo marehemu kesha polwa hapo
@anifaally4816
@anifaally4816 Жыл бұрын
Ok! naona Pepo mchafu kahamia kwa wazungu ..
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Jamani mbona miti hani imekua mengi turudini kwa mungu ili tupate nusura yake
@samudakuz6897
@samudakuz6897 Жыл бұрын
R,I,P
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
imekula kwake
@milamwanga6715
@milamwanga6715 Жыл бұрын
Tamaa mbaya mdangaji kaona mzungu akiondoka hatarudi tena bora ajipoze
@jackyluns8224
@jackyluns8224 Жыл бұрын
Millard ayo vipi muendelezo wa huyu mzungu tunaomba muwe mnatupatia update
@shamsaabdalah7038
@shamsaabdalah7038 Жыл бұрын
Huo mtaa napajua duuuh jamani
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 7 ай бұрын
Kwnn ss amkataze kwenda kw mam yke Arusha mmmh s mkoa mzr mtu ana muuwa mama ashindwe kumuua mmewe
@ggfffhii4706
@ggfffhii4706 Жыл бұрын
hadi wazungu cc hii nchi tufanye maombi
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 Жыл бұрын
Kamuua hapo akijua ana hela kumbe pension money wanapewaga kila mwezi.Wadada fanyeni kazi acheni dezo si kila mzungu tajiri wengi wanaishi na social money
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 Жыл бұрын
Mke Huyo ni mwongo Askari fatiria Sana Serkari Hii sio Sawa
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Ni kweli kabisaa,utakuta mbwa anabadilisha waxungu kibao,ni aibu hata Mia hawapewi,mtu anamiliki waxungu karibu 40
@naligiatomaso5006
@naligiatomaso5006 Жыл бұрын
Hya sasa aibu nyingine hyo kwa tz
@eliudijustinyindi5939
@eliudijustinyindi5939 Жыл бұрын
Minilijua mzungu Kwa mzungu kumbe mswahili na mzungu duuu
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 Жыл бұрын
Wazungu wanajinyonga sana tu.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Hamna sio hivyo wanajiua tofauti sio kujinyonga mimi nimekaa ughaibuni miaka kibao na wazungu hawajiui hivyo
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Koisenge kweli
@kanghanhankang1440
@kanghanhankang1440 Жыл бұрын
Msituaribie wengine bado hatjapata mzungu plss
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Hata Mimi nipo natafuta mzungu wasituharibie.. ndio maana wazungu kibao wanaoa Kenya kuliko Tz.
@kanghanhankang1440
@kanghanhankang1440 Жыл бұрын
@@annasolomon9855 🤣🤣🤣 umeongea kwel kila nikiingia tiktok nakuta mzung yupo na mkenya mkeny mkenya kwann kumbe wabong bado san tuna tamaa acha bhn ndot yngu mm mzung tu kila kukicha mm natafuta wazung kweny mitandao wakisikia bongo siku mbil mtu amekublock kumbe mwatuaribia 😭😭😭😭
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
@@kanghanhankang1440 acha unakutana na mzungu anakupenda lakini mda mfupi hujamfanya chochote humuoni Tena.. mpaka natamani nitoke kwenye App..
@kanghanhankang1440
@kanghanhankang1440 Жыл бұрын
@@annasolomon9855 upo app ipi my mm nip karibu simu imejaa madeting yote ili nachofnyiwa kha unatok wapi Tanzania 🇹🇿 kesho uoni mtu 🤣🤣🤣
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
@@kanghanhankang1440 🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka mbavu sina.. Kuna mzungu nilimpata tukafikia htua yakuja kujitambulisha ooh maskini kabla ya wiki 3 kuja akaniambia my dear nakupenda Sana lakini Kuna habari nezisikia kuhusu nchi yako utanisamehe ... Hakusema habari zenyewe niliumwa wiki mzima... Yaani acha mpendwa. Haya ukiacha huyo Kuna wengi wananifuata lakini mkichatichati tu anakuambia lakini wanawake wa Tz hawana sifa nzuri kama Kenya na Uganda.. watanzania ni wezi Kisha wanatamaa sio waaminifu... Haya na huyu mzungu alieuawa sijui amejinyonga unadhani mitandao haisambai? Lakini tuombe Mungu tu.
@evelyinipaja7022
@evelyinipaja7022 Жыл бұрын
Hii ichunguzwe vizuri, ajinyonge baada ya kufunga ndoa miezi miwili??!!
@nickprodbeat
@nickprodbeat Жыл бұрын
Mna uhakika ni mzungu kweli au mhehe
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Huyo mzungu kanyongwa,,huyo bbi yake ana husika ashikwe aulizwe,hyo ni tamaa
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Жыл бұрын
Huyo mzungu hana jina?
@michaelmrema5233
@michaelmrema5233 Жыл бұрын
Huyu atakuwa mhehe
@TeamKRX
@TeamKRX Жыл бұрын
Wamemnyonge huyu tamaa uyo dada kamuitishia watu duu
@salumabdallah3495
@salumabdallah3495 Жыл бұрын
Jeshi la polisi lifanye uchunguzi inawezekana ameuliwa pia huwezi kujua
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 Жыл бұрын
Mnatuchafua watanzania, haya mambo yanafanya tuchukiwe Hata visa ukiomba usipate kabisa
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 Жыл бұрын
Hakika wanatuharibia kweli mbwa hawa
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Mh
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Жыл бұрын
Wewe mzee naye maneno mengi.
@winiemacha6759
@winiemacha6759 Жыл бұрын
🤣🤣🤣hamezi ata mate
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Жыл бұрын
@@winiemacha6759 hafai kabisa anaingia hata ambapo hapamuhusu.
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 Жыл бұрын
@@winiemacha6759 kifupi anaropoka sana,inafaa ajitathimini.
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 Жыл бұрын
Kumb mpk wazungu huw wanajitundk
@TeamKRX
@TeamKRX Жыл бұрын
No ogopa basi mungu wako toka lini wakajitundika wazungu munawatundika nyie waafrica njaa
@leahmlelwa6345
@leahmlelwa6345 Жыл бұрын
Mdungu Nate kama wahehe kujinyonga.
@mariamkivuyo8154
@mariamkivuyo8154 Жыл бұрын
Tabia mbaya huyu afie jela mzungu awezi jinyonga
@bongokilakitu1849
@bongokilakitu1849 Жыл бұрын
taamaaa zimezidi
@kijengejuu4370
@kijengejuu4370 Жыл бұрын
Irini yamekukuta
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
Kwani hii stori inahusisha mzungu na mwanamke mzungu ambaye ni mke au mzungu na mwanamke mbongo ambaye ni mke wa mzungu? ?
@hamisaally968
@hamisaally968 Жыл бұрын
Mwanamke mtanzania
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 Жыл бұрын
Sasa Wazungu nawo yanawakuta Ndo mjue mwisho wa Dunia Kama walitesa wa Africa basi nawao watanyongwa Ila pole sana wafiwa
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Amejinyonga mushamnyonga
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 7 ай бұрын
Huna nguvu y kuongea babaangu
@eliudijustinyindi5939
@eliudijustinyindi5939 Жыл бұрын
Nimemkubali Mzee anavojielezea
@johnrwekiza7140
@johnrwekiza7140 Жыл бұрын
Itakua ameona hatarud tena Tz alafu ukute alingangania kusafir akanyimwa akaona amnyonge na hela kaiba
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Anataka mali na nyumba arisi
@rukiamtawa1028
@rukiamtawa1028 Жыл бұрын
Hadisizakiswahili
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 Жыл бұрын
Mzungu yule wa simba au maana haonekani uwanjani
@annamichael3479
@annamichael3479 Жыл бұрын
😳😳😳🤣hahaha watu nyie
@double8boy802
@double8boy802 Жыл бұрын
jamani wa tz,umeona mdhungu wa simba ndo wakujitundika?🤣🤣🤣
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Umeambiwa mjerumani, wa Simba ni mjerumani? Mambo mengine wala hayachekeshi
@jastinimushi5992
@jastinimushi5992 Жыл бұрын
Unazingua andika mtu mmoja ajinyonga sio mzungu
@albinemilly5382
@albinemilly5382 Жыл бұрын
kwel angeandika mtu mmoja raia wa kigeni ajinyonga. tatizo waandishi wa siku hizi sijui wana nn vichwani mwao
@jastinimushi5992
@jastinimushi5992 Жыл бұрын
@@albinemilly5382 waandishi oya oya wanatembelea upepo tu
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Hahahahaha
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Sasa mmeanza kukanyaga pabaya,jiueni nyie kwanyie nchin kwen
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Huyo dada kamuua achukuliwe hatua Hawa Malaya wadada wabaya sana
@jaberjohn7556
@jaberjohn7556 Жыл бұрын
In the fever of of German citizen the tz lady did kill him. No excuse she be responsible of her behavior she should be jailed period
@athumanmbululo3980
@athumanmbululo3980 Жыл бұрын
Mzee mbeya huyo
@joejoshua7791
@joejoshua7791 Жыл бұрын
Tabia hizo wameiga nchi moja ya jirani,
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Жыл бұрын
Sure. Kenya ilitokea mwaka jana /juzi mzungu kauawa na kutupwa kwenye shimo la maji taka😭
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 Жыл бұрын
Wewe baba mbea kweli
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Mzungu kujinyonga 😳 .
@moodykassim4029
@moodykassim4029 Жыл бұрын
Kama ni mzungu acha tu afe haina shida hyo
@masanjaabasi8970
@masanjaabasi8970 Жыл бұрын
Sasa nauwaje mzungu 🤣sio mimi afu washawapata ndugu zake nyie nyie kuma zenu zisije tuponza tukalipuliwa
@thebroski9763
@thebroski9763 Жыл бұрын
😂
@ZenaMsumagilo
@ZenaMsumagilo 3 ай бұрын
😢😢😢😢
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Preparing for war against China, Russia and North Korea | 60 Minutes Australia
26:06
60 Minutes Australia
Рет қаралды 2,3 МЛН
Visiting the Divorced Women's Market in Mauritania 🇲🇷
9:40
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН