No video

PONDA AIJIA JUU SERIKALI "MNATUTAFUTIA NINI? HAMUELEWI MFUMO ULIVYO? MSICHEZEE IMANI ZA WATU.

  Рет қаралды 40,304

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
KZbin: / @babdeomiladu

Пікірлер: 119
@jumaazuberi9317
@jumaazuberi9317 Жыл бұрын
Shekh ponda MUNGU akujaalie umri na afya njema ninaamini katika nchi hii nishekh pekee mwenye msimamo naweza sema poa na ndugu yangu shekh KUNDECHA ALLAH awajaalie afya njema.
@Kibudu
@Kibudu Жыл бұрын
Mashallah, Mwenyezimungu akuongezee hekima, Sheikh🙏🏾
@allymkwacha7581
@allymkwacha7581 Жыл бұрын
Shekh ponda mwenyezi mungu akulinde na husda za watu na majini na akupe afya njema
@mputamputaa5347
@mputamputaa5347 Жыл бұрын
Allah amuifaidhi sheikh Ponda issa ponda ndo sheikh tunae muelewa tanzaniaaa
@hamedyahya9291
@hamedyahya9291 Жыл бұрын
mwenyezi mungu akasema katika kitabu kitukufu ole wenu mnae andika kitabu mkasema kuwa kimetoka kwa mola wetu mlezi
@lilianhigilo4255
@lilianhigilo4255 Жыл бұрын
Tufanyeni dua ya nusra kwa utawala huu ,tuomba nusra ya Allah ,tunako kwenda siko . Ni kufunga na ibada maalumu
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh ponda
@user-dz1lo1nx1w
@user-dz1lo1nx1w Жыл бұрын
Naaam Sheikh, upo sahihi kabisa
@machano5690
@machano5690 Жыл бұрын
Uislamu umejitosheza kisheria, (kisiasa, kiuchumi na hata kijamii) Uislamu umejitosheleza tofauti na ukristo sana unategemea sheria za serikali za kidemokrasia.
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 Жыл бұрын
Pole sana Shehe kwa yote yaliyokupata Mungu atakulipia
@mussataliye7815
@mussataliye7815 Жыл бұрын
Kwel kabisa mtu umefunga ndoa ya kiislam ikitokea shida ina amuliwa na serikari hii sio sawa
@Freedom_fighters898
@Freedom_fighters898 Жыл бұрын
Huyu mzee ana hekima sana na ana imani ya kweli, hatuna Ma-Shekhe wengi Tanzania kwenye msimamo na wasiyoyumbishwa kama Shekhe Ponda❗️
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 Жыл бұрын
Kweli sana shekhe Ponda hasa masuala ya serikali kuingilia umri wa bint kuolewa panakinzana sana na sheria ya ndoa ya mwaka 71 inayoruhusu bint kuolewa akiwa na umri wa miaka 15, au miaka 14 ikiwa amepata idhini ya wazazi wake.Sasa leo imekuja sheria mpya inasema mpaka bint afikishe miaka 18 hats kama amemaluza masomo take akaye tu hadi atimie huo umri. na juzi katika bunge lilopita nimesikia mnang'ono inafikiliwa umri wa bint kuolewa uwe miaka 22.Bint amemaliza darasa la 7 au 12 Yuko chini ya umri wa miaka 18 wazazi wake ni masikini kabisa hawana uwezo wowote pengine ni yatima pengine anaishu na bibi yake au babu yake,pengine wazazi wake walipata masahibu wakafungwa,hawa wazazi walezi hawana uwezo wa kumwendeleza katika masomo mengine,bint anapata mchumba serikali inawakamata wazazi na muoaji na kuwafunga jera, binti anabaki anateseka mzazi wake kafungwa,mchumba wake kafungwa!!Kibaya zaidi serikali haina msaada wowote kwa huyu bint,mwisho anakuwa mtoto wa mitaani,au inatokea anakosa tena kupata bahati nyingine ya kuolewa maisha yake yote,hivyo anabaki kuzini na kuzaa ovyo na kuongeza tatizo la watoto wa mitaani.Mimi nafikiri katika jambo ndoa kwa mabint ambao sio wanafunzi wamefika ukomo katika shule yaani wazazi hawawezi kuwaendeleza kutoka hapo walipokomea liachiwe kwa madhehebu ya dini,tutapunguza sana idadi ya mimba zisizo na ndoa.
@gustavompemba1781
@gustavompemba1781 Жыл бұрын
O p
@binmasoud4150
@binmasoud4150 Жыл бұрын
Wanakitu itakuwa wanataka mana c rahisi kuwa katiba inapinga lkn wao waingilie hilo inamana kuna kitu. Mola akubariki sheikh Ponda
@mwessamkala8051
@mwessamkala8051 Жыл бұрын
Maswali mazuri Mimi ni mkiristo ila kwa hili nimekuelewa ujinga huu wa selikari umezidi
@zaydamos874
@zaydamos874 Жыл бұрын
Safi sana sheikh ponda
@user-nq6zf2fy5o
@user-nq6zf2fy5o Жыл бұрын
Shekh upo sawa kabisa serikali inataka nn kuhusu dini zetu?
@JuniorDilema-ki1jy
@JuniorDilema-ki1jy 9 ай бұрын
Samahani Sana mashehe,hakuna Siri hasa kwa mtu mwelewa serikali dini yake ni ukristo huo ni mfumo wa tangu Nyerere mpaka amepewa utakatifu, Yuko wapi shehe ilunga.
@user-oq1jg8oi9d
@user-oq1jg8oi9d Жыл бұрын
Ponda,uko vizuri,lakini Kwa sababu ikitokea maswala ya uharibifu wa aina yoyote Ile litahusika jeshi la wananchi na Kwa sababu hawasemi kitu yawezekana wanajua kuwa hakuna shida badae kama siyo kwamba wawekezaji ni watanzania wenyewe
@hamiduramadhani4375
@hamiduramadhani4375 Жыл бұрын
Hongera sheikh ponda
@hamadimaulidi9485
@hamadimaulidi9485 Жыл бұрын
Ponda nakukubali sana tofauti na masheena wengine kama wa bakwata siwaelewi wameingia kwenye siasa daa kweli wewe ndo shee mkuu unapaswa huwe
@khamissalafy
@khamissalafy Жыл бұрын
يريدون ليطفاُو نور الله بأفواههم ،والله متم نوره ولو كره الكافرون.....
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 Жыл бұрын
Waislamu ndigu zangu Tuache Mambo hayo, Selekali haijaingilia Mambo ya dini Ila tunashindwa kuelewa, Tangu Zamani hata wakati wà ukoloni dini zilikuwa mikononi mwa serkali, Sasa wewe shekhe Pondo unataka Nini au Uhuru upi katika dini, Muda wote serkali iko na dini kwa shida zote zinazotokea na misaada mnapata Sasa Ni unataka Nini, Au unataka serkali ya dini Nenda inchi za dini sio hapa kwetu,
@aifadmohammed5231
@aifadmohammed5231 Жыл бұрын
Tanzania tungekua na sheikh ponda angalau watatu bac tungekua mbali sana ila masheikhe wetu wengi nikusemana wao kwa wao
@jasminedamian6032
@jasminedamian6032 Жыл бұрын
Nyinyi c mnamtetea aliyejuu kuwa muisilamu uwazi kuwa musilam upo kimia na tukio kubwa kama ili yupo kimia
@LumolaSteven
@LumolaSteven Жыл бұрын
Watulie hivyo hivyo hawa
@jacksonmagera3458
@jacksonmagera3458 Жыл бұрын
Mm n mkristo ila nmekuelewa sana sheikh pondamali
@JoshuaKaru-ub5nb
@JoshuaKaru-ub5nb Жыл бұрын
Safi shehe ponda ukosawa wambie awaviongozi waselikali nitatizo aswa
@tanzanian8847
@tanzanian8847 Жыл бұрын
Sisi waislam hatukubali hatukubali huu upuuzi. Allah atunusuru na huu mswiba
@johncharles5450
@johncharles5450 Жыл бұрын
Mm mkristo ila nakubaliana na shekh ponda, ili Jambo lipo hata kwa upande wa wakristo, ila kitu kimoja mnachotakiwa mkijue ndugu zangu, haya ni maelekezo kutoka mataifa ya magharibi na lengo Lao ni maandalizi ya New World Order.
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Жыл бұрын
Umegonga kwenye pointi yenyewe. Huu ni msukumo toka magharibi kwa watoa misaada wasio na dini.
@user-bj8no2ob7l
@user-bj8no2ob7l Жыл бұрын
Allah akulinde shekh ponda
@user-hc8fi9lc6t
@user-hc8fi9lc6t Жыл бұрын
Ni hatari
@user-bi5bk6ez8o
@user-bi5bk6ez8o Жыл бұрын
Ponda baba mungu akubariki.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
kama serkal inaingilia mambo ya dini basi na samia ajiuzuru sababu dini haziruhusu rais mwanamke ni laana kwa inchi ndio maana maafa na miyoto haishi tanzania na vifo vya wengi kwakilasiku toka katawala yeye samia
@hassankaita1039
@hassankaita1039 Жыл бұрын
Haya acha tuone maana hapa naanza kupata image mbili nikweli serikali imelenga kufanya zoezi Hilo ama ni propaganda za kumsitisha Mama ndoto na malengo ya kuendelea kua Rais Kama ni kweli Allah atulinde 😭😭😭😭
@rehmakondo
@rehmakondo Жыл бұрын
Me nasema hii serikali ya ccm sijawahi waelewa,cjui wanalengo gani na wanaowaongoza
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u Жыл бұрын
Mimi uyu shehe namkubali sana anazungumza vitu vamsingi sio wengine wanalopoka na kuiungamkono selekali katika vitu Visio faa
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Жыл бұрын
Sherhe ponda nakuelewa sana wewe na mbarikiwa mwakipesile , mnaona, mbari , sana sio wengine wafata mikumbo,
@user-gr2ec5uj1s
@user-gr2ec5uj1s Жыл бұрын
Yaan shekhe ponda wewe ndo wapepon hakika umeweza kuchambua vizur sana, make mijitu mipumbavu inaanza kusema ugomvi wakidin wakat sio hongera baba kama huna mke nije uniowe
@thomastemu3332
@thomastemu3332 Жыл бұрын
Ni kweli Dini na serekali zikae mbali 😢
@PauloLeonard-ol5oo
@PauloLeonard-ol5oo Жыл бұрын
Dolla zimeisha bidhaaa zinapanda bei ukiwauliza kwa nn et hatuna dolla afu leo wanakuja kwenye mambo ya dini yanawahusu nin ee mungu bora ungetuachia JPM.Amalize hata muda wake daaah.
@ramadhanimakange9766
@ramadhanimakange9766 Жыл бұрын
Hawa watendaji minyege imepanda mpaka kichwani sasa, huu upumbavu ulianza kitambo na tuliupinga, wasio na dini watengenezewe mitaala lakini uislam, Ww mwenyewe kafiri halafu utengeneze mitaala ya uislamu kwavigezo gani hawa BANGI nyingi ndio mana, Ghana wamekubali hii dini mseto lkn inaonekana hawajielewi
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Ni kweli. Serikali haina uwezo huu wa kuwapangia viongozi wa dini namna ya kuendesha shughuli zao za ibada, lakini haipingiki kuwa viongozi wa dini wanao uwezo wa kuishauri serikali namna ya kuisimamia haki kwa wote ambayo ndio haki ya Mungu kwetu sote pamoja na wanaounda serikali za kibinadamu maana wote wametokea huko ktk dini mbalimbali. Ieleweke hivyo,na sii zaidi ya hapo!
@thomastemu3332
@thomastemu3332 Жыл бұрын
Shekhe ponda anajua Sana.hongera
@ammsarissa-we4fo
@ammsarissa-we4fo Жыл бұрын
Wallahi, serekali mnatutafuta kama mmechoka amani sisi tuko tayari kufa kwaajili ya dini yetu
@allymohamedstima8431
@allymohamedstima8431 Жыл бұрын
Kuna kitu kibaya wanatengeneza ila acha watutafuta watakipata iman inaguv kushind chochote walijue hili mtu yupo tayari atupiwe kwenye tanuri la moto ila asikane imani yake. 🤺🇹🇿🏴‍☠️
@aboukillo1734
@aboukillo1734 Жыл бұрын
Na sadiq
@aizzyashery5564
@aizzyashery5564 Жыл бұрын
Safi
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Tunahitaji kwenye katiba mpya akiwa wazir mkristo bc naibu awe muislamu na akiwa wazir muislamu bc naibu mkristo na wakurugenz pamoja na wakuu wa wilaya na mikoa hivyo hivyo na RPC
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
hatumpi mtu uongozi kwa dini yake bali uwezo alionao katika kutekeleza majukumu
@kihwagatz8695
@kihwagatz8695 Жыл бұрын
Mwabukusi ni magufuli ajaye
@user-oq1jg8oi9d
@user-oq1jg8oi9d Жыл бұрын
Swala hili ni la Kila mtu Tanzania bila kuangalia ni viongozi serikalini,kanisani,msikitini,au wananchi wa kawaida,kama tumekataa basi serikali inyamaze vinginevyo wananchi wanafikiria mna masilahi binafsi hump au bandari ni yenu nasiyo waarabu,zingatia
@user-gr2ec5uj1s
@user-gr2ec5uj1s Жыл бұрын
Yaana ubarikikiwe sana kuna wtu wanaiga mkumbo hawajuwi maana yaudin na serinar
@romanasanga94
@romanasanga94 Жыл бұрын
mi Mkristu umenena baba
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 Жыл бұрын
Kazi ya masikogi hiyo,tuzinduken wasiram
@SuleimaniFihoma
@SuleimaniFihoma Жыл бұрын
Nina mengi yakusema lakini wacha nifunge mdomo wangu naumia Sana kuona watu wanaona alafu wanaona Kama hawaoni sisi site nindugu tuache kusimama pande moja kwenye ukweli tuseme ukweli sio kwa sababu ndugu yako nikiongozi pale au aliwahi kukusadia Jambo bac akikosea huna haki yakumsema huo ni ushamba tusemezane ukweli na ukweli utaondoa minong'ono
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Huyu sheikh hata simuelewi sheikh hujui kabisa kinachoendelea unakurupuka hawa ndio wale masheikh ubwabwa.. ni. samighna wa'Atwaghna. Lazima ubadilike usipo badilika wakati haukusubir ww wakati utakubadilisha
@amryally6232
@amryally6232 Жыл бұрын
Mimi naona Hawa serikali kama Wana mawazo tofauti walilete kwenye Wanadini husika halafu lijadiliwe ... Kama litaafikiwa na dini basi lifuatwe Kwa makunaliano ya wote na litakuwa ni kinyume basi Wanadini wataishauri serikali kuliacha hilo jambo ..lakini si Kwa utaratibu wa kushinikiza Kwa sababu wameshikilia Dola. Naishauri serikali kuwa makini sana hili jambo Kwa sababu wao ndo manahodha wa meli .... Wanadini ni abiria wa meli sasa Hawa abiria wakiamua kutoboa meli Kwa hasira hakika tutazama wote majini si serikali Wala Wanadini. Ama kuhusu mchujo nani alikosea au nani alipatia tutaukuta Kwa mwenyezimungu siku ya hesabu. Lakini kama kuharibikiwa ni wote tutakuwa tumeharibikiwa hapa duniani Kwa sababu ya Mmoja wetu kukosa hekima na busara ya kuliendea jambo hili.
@TITOtz
@TITOtz Жыл бұрын
Dini imeingiliwa siku mingi yaani Waapao kwa vitabu vya dini wananguvu ya kunyofoanyofoa mambo ya dini wakaweka wanavyotaka
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 Жыл бұрын
ALLAH ILINDE DINI YAKO ,NA TULINDE TUPE THIBAT
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 Жыл бұрын
Kiukweli sheikh ponda na sheikh kundecha nyie mnastakhiki pongezi kwajinsi gani mnavyopambana kutetea uislam nawaislam kiujumla Allah awajaalie na inshaallah Allah awalipe kwahilo
@kamalmukaddam1521
@kamalmukaddam1521 Жыл бұрын
Upo sahihi shekh ponda
@Mnengatv
@Mnengatv Жыл бұрын
Serikali ni ndogo kuliko dini...na kwa taifa letu huwa ni vitu viwili tofauti...so dini ni dini na serikali ni serikali ✊ponda
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Жыл бұрын
Kosa kubwa mlilolifanya masheikh nikwamba mmekubali kutumia na wanasiasa kwa maslah ya mambo yao.... MPAKA kufikia hatua hii wameshapata kundi la watu katika masheikh. Haujaanza kwetu, SAUDIA na misri wameshaanza MITAALA mipya ambapo yamepunguzwa baadhi ya mambo katika dini mashuleni.
@paulsamuel5691
@paulsamuel5691 Жыл бұрын
Ubalikiwe ponda Kwa hekima uliyonayo
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
SADAQTA
@user-ff4zb2qn1l
@user-ff4zb2qn1l Жыл бұрын
Masheikh fanyenyi kazi yenu ila kwa umakini mkubwa huu nimchezo wa kisiasa unaandaliwa
@haidarimfinanga9755
@haidarimfinanga9755 Жыл бұрын
BAKWATA kimyaaa. Au wako pamoja na serikali?
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Жыл бұрын
Wasituletee uchoko wao huku 😏 😏
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Nimekuelewa
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 Жыл бұрын
Nilimsikiliza Kikwete raisi mstaafu ikisema eti watu wawe makini na hizi dini kama sijasikia vibaya, tafsiri yake watu wasiwasikilize hao viongozi wa dini yani tusiwasikilize mashehe wa maasikofu na wachungaji ila tuwasikilize wao kitu ambacho niliona huyu mzee anazeeka vibaya. Amesahau hao wanaowangoza ndio wahusika wa hizo dini. Yani tuaache kumsikiliza Mungu kupitia watumishi wake tuwasikize waoo😂😂😂huu si upumbavu iliopitiliza!!!! Na mwaka huu kazi wanayo sakata la bandari limewakalia kooni na mbona watanyokaa; maji wasipoyaita uma mm niko pale👉👉👉👉👉naangalia gem la simba na yanga
@user-ix4fv2nj2v
@user-ix4fv2nj2v Жыл бұрын
Wanalinda maslahi yao
@mbarakatv633
@mbarakatv633 Жыл бұрын
Serikali Haina dini
@user-ix4fv2nj2v
@user-ix4fv2nj2v Жыл бұрын
Wanao masheikh wao wanao shauria nao sio nyinyi
@HassanWasiwasi-lq1kh
@HassanWasiwasi-lq1kh Жыл бұрын
Hakika ujumbe umefika!!
@ThadeoJohn-or2uw
@ThadeoJohn-or2uw Жыл бұрын
Nikweli wasiwangilie watu kwenye imagine zao
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Sasa shida mnamtetea mama mnasema ni muislam wakati yeye hawajali
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Жыл бұрын
Serikali na taasisi zake zinajipa majukumu ya kidini yasiyo yake.
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 Жыл бұрын
Serikali inazu humzia udini!!!
@paulhando6286
@paulhando6286 Жыл бұрын
Tukumbuke maneno ya Kabudi juu ya ndoa, juu ya DNA na madhara yake
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 Жыл бұрын
Tusubiri mrejesho kutoka serikalini
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Hii serikali ni kichwa cha mwendawazimu.Hawajui wanachofanya wanaruka tuka tu kama kuku aliyekatwa kichwa
@user-fy9lo9bw7p
@user-fy9lo9bw7p Жыл бұрын
Watueleze au ni makusudi
@elsonkingtz4506
@elsonkingtz4506 Жыл бұрын
Mmechoka kukaa ulaiyan
@saidimasudi6450
@saidimasudi6450 Жыл бұрын
Waislam tuna kiongozi wetu Mufti vema muone kiongozi huyo ndio anatuwakilisha waislam wa tz Hoja Yako mzuri imetulia tatizo hatutaki kuwatumia viongozi wetu
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 Жыл бұрын
Kwn hao wasemaji sio viongozwetu..?
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 Жыл бұрын
Itakua serikali imeambiwa hivyo na nchi za magharibi
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 Жыл бұрын
2ko P1 shekh wang
@hajjihijja3101
@hajjihijja3101 Жыл бұрын
BAKWATA KIMYAAAA , BILASHAKKA IPO SAPOTA KWA HAWA BAKWATA
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 Жыл бұрын
Tuwe serious kidogo serikali na dini wap na wapi?😂😂😂
@tuifatequranndionjia5020
@tuifatequranndionjia5020 Жыл бұрын
Sheikh poda mfateni mufuti msikee anasema Nini
@jamespeter2187
@jamespeter2187 Жыл бұрын
Kwani ww ponda dini ya uisilam ni yako peke yako? Mbona unajifanya kimbelembele
@zuwenakirobo
@zuwenakirobo Жыл бұрын
Hayupo kimbelembele anaongea kwaajir ya dini yake naww pia ongelea dini yako
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 Жыл бұрын
KABISA sipendi kuingilia Imani ya mtu NINYI ndio mnaleta machfuko
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy Жыл бұрын
Ikumbukwe kwamba, toka utawala wa awamu ya kwanza, serikali imekua ikijipambanua kwamba haina dini. Ila, watu inaowaongoza ndio wana dini. Binafsi naamini inapoona kuna taratibu zinaingizwa kwenye dini, huku zikiwa na ishara ama dalili mbaya kwa wanadamu! Mara serikali huwa zinaingilia kati na kutoa mwongozo. Hivyo naomba tuwe watulivu. Najua mengi yatasemwa. Wacheni kuisema serikali kwa maneno makali. Ili iweze kutuongoza vema. Kumbukeni kuna watu wasio na dini, wao tegemeo lao ni mwongozo wa serikali. Hawamo kwenye taratibu za kikristo wala kiislam.
@user-tf1nv7lx1w
@user-tf1nv7lx1w Жыл бұрын
Hivi wewe una akili sawa sawa alichokiongea huyo shekh unakuelewa au unatumia utashi wako hebu wacha ujinga na kujipendekeza byuzzzzzz.
@mrfix6596
@mrfix6596 Жыл бұрын
Elewa kinachozingumzwa.
@easy-muchwa8175
@easy-muchwa8175 Жыл бұрын
​@@user-tf1nv7lx1wwewe ndio hujaelewa alichokiandika mtu
@MichaelBarnabas-xz8em
@MichaelBarnabas-xz8em Жыл бұрын
🤫🤫🤫🤫
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 11 ай бұрын
Msenge huyo ako na mavi kwenye kichwa chake asikupotezee muda
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Shekhe ponda yupo sahihi
@abumuhammadmbwana3964
@abumuhammadmbwana3964 Жыл бұрын
Hao watendaji wa serikali wanapokea maelekezo kutoka wapi?
@isaachayes9783
@isaachayes9783 Жыл бұрын
Kuna vidhehebu feki hususan vya dini ya kikristo vitakuja leta majanga, vinastahili kudhibitiwa
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Kweli kabisa mimi pia naona Kuna vimisikiti feki Ikiwezekana vifunge tusije zarisha boko-haram Bana
@majaliwaking4500
@majaliwaking4500 Жыл бұрын
Hili sakata linataka kusahaulisha bandar
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 Жыл бұрын
Bandari mahakama ishatupilia mbali😂😂
@StewadKizenganya-sk6sg
@StewadKizenganya-sk6sg Жыл бұрын
Biongozi wadini tunaombeni mfundishe watoto wetu dini kupitia madrassa sio dini wafundishiwe shule ,dini yakiislamu ikiongelewa naserikali hii nisawa nakumkabidhi fisi Bucha ,hizo SHULE kwanza hazina maadili ndio seemu vijana wanaharibikiwa kwa asilimia nyingi
@ahmednnaina451
@ahmednnaina451 Жыл бұрын
Muda WENYEWE wote wameuchukuwa wao masomo ya sekula mpaka saa 11
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY Жыл бұрын
Kwani SHULE kuna nn hadi DINI ISIFUNDISHWE ?
@suleimanidaudi
@suleimanidaudi Жыл бұрын
Kazkazi kwelikweli
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k Жыл бұрын
Tusio kua na Dini Muna tuweka wapi ?wengine sio Wacristo wala waislamu Tuna Mila zeta za Asili Mtanaka kusema hatuna haki?
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Жыл бұрын
Yani huko wanapokwenda sasa pabaya hapo wnataka kua mada ya bandari tu
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 17 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 47 МЛН
SHUHUDIA SHEIKHE PONDA ALIVYOKAMATWA NA POLISI KISA MAANDAMANO
3:13
HASHIM IBWE KUMBE YUKO  VIZURI KWENYE QURAN SIO MPIRA TU
13:12
BABDEO MILADU
Рет қаралды 20 М.
SHEIKH PONDA ISSA PONDA APEWA SIKU 3 KUJISALIMISHA
2:36
HIKI NDIO CHUMBA MAALUM ALIPOZIKWA DARUWESH MTI MKAVU ARUSHA
15:22
BABDEO MILADU
Рет қаралды 12 М.
Kwani Serikali inataka kuanzisha Dini yake? Sh. Ponda Issa Ponda
5:02
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 266 М.
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН