#PROPHET_HARRY_KGOMOSOTHO

  Рет қаралды 15,909

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@josephakure6743
@josephakure6743 2 жыл бұрын
Nabii mkuu,ngurumo ya upako napokea upako ya baraka in Jesus mighty name.Amen...................................
@johnpeterbaraka4307
@johnpeterbaraka4307 2 жыл бұрын
Amen,natamani na mimi siku moja mungu aniwezeshe nifike hapo kwenye ngurumo ya upako.nipewe baraka na baba.natokea Burundi
@johansenrauben6166
@johansenrauben6166 Жыл бұрын
Ninatamani kupokea neno LA kinabii kutoka kwako Nina amini siku moja nitapokea na kupakwa mafuta ya mazabahu yako Amina
@gwamakamwaipungu3202
@gwamakamwaipungu3202 2 жыл бұрын
Babanami naomba univushe katikakizi baba naomba unsaidie mungu akuonge zeebaraka utukomboe
@gwamakamwaipungu3202
@gwamakamwaipungu3202 2 жыл бұрын
Naomba baraka baba naitaji nkanyage mazabao yamungu wakwari
@barikingowo1052
@barikingowo1052 Жыл бұрын
Mungu wa Gerodave nipe nuru na kibali amen
@janemahenge2625
@janemahenge2625 2 жыл бұрын
Baba naomba nami unitamkie neno tu historia ya maisha yangu ibadirike nimechoka baba mapenzi yako yatimiw
@charlzizengo7935
@charlzizengo7935 2 жыл бұрын
Ooh my God every time I watching your chanel to see your anoint service to many people I'm so excited with you prophet, I need to me with you dady in order to get help from you.
@sikujuamohamed2262
@sikujuamohamed2262 2 жыл бұрын
Huyu ndiye mtu wa Mungu anyejua kusamehe kwa moyo wake wote, Mungu azidi kukubariki Baba
@constantinewilbroad1654
@constantinewilbroad1654 2 жыл бұрын
Mungu Akubariki Mtumishi wa Mungu ninakuomba nisaidie na Mimi nifunguliwe kiuchumi , kiafya kiroho ili na Mimi niwasaidie wengine
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 Жыл бұрын
Naimakisha Agano langu na Baba YANGU NABII MKUU GEORDAVIE BURUNDI GITEGA 🇧🇮🙏.
@wokovunisasatv7576
@wokovunisasatv7576 2 жыл бұрын
Bwana azidi kumwinua kila mahali dunia. Namkubali sanaaaah
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 жыл бұрын
That is a man of God, Mungu akubariki baba kwa moyo wa upendo, ninakupenda sana
@kijalupanga1990
@kijalupanga1990 2 жыл бұрын
Amina baba maombi Yako ni muhimu xana kwangu haswa katka kipindi hichi baba
@neemamjema1067
@neemamjema1067 2 жыл бұрын
Tupate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake?Hakika katika karne hii tumebahatika maana tunae tayari, heshima kwako Nabii mkuu Dr GeorDavie 🙏🙏💪💪
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 жыл бұрын
Baba naomba Mungu akupe utajir wa kulisha Tanzania nzima Nina Amin Mungu akupe uwezo huo🙏🙏🙏🙏
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 жыл бұрын
Asante Yesu,Mungu wewe ni mzuri sana
@salmampinga4995
@salmampinga4995 2 жыл бұрын
Daddy huo Moyo wako ni wa Mungu ndani Yako kabisa.Shukrani kwa hii Neema niliyopata ya kujua NGURUMO ya Upako🙏🙏.
@twemeremunguzacharie6395
@twemeremunguzacharie6395 Жыл бұрын
Nabii Mkuu! Nipe Kazi..
@rapttortom4826
@rapttortom4826 Жыл бұрын
Wooooow I love this
@coolzeddy_official9216
@coolzeddy_official9216 2 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu zaid Baba Georgedavie
@neemadickson3975
@neemadickson3975 2 жыл бұрын
Imekuwa kwangu Amen
@djkayumba
@djkayumba 2 жыл бұрын
😭😭Baba wa upendo na mwenye huruma umenifanya nimelia sana kwa upendo wako mkubwa Mungu akubariki sana🙏
@shadiahmueni6734
@shadiahmueni6734 2 жыл бұрын
Lord I need this grace connection.
@petermghwira3063
@petermghwira3063 2 жыл бұрын
Napokea kwa Jina kuu la Yesu kristo aliye hai
@apostleeliyaj.milanzi5339
@apostleeliyaj.milanzi5339 2 жыл бұрын
Amazing fantastic announting
@dismassamwel7130
@dismassamwel7130 2 жыл бұрын
Nabii mkuu ni Baba wa wengi namkumbuka sana huyu ndugu ila kheri yeye aliyejua kosa na kurudi haraka
@chazdd1943
@chazdd1943 2 жыл бұрын
Yan yan siku ya mwisho mtaeleza wenyewe.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
2014 It's true i was there in the church an d i saw Prophet Harry
@pasteurfreddylubwanda7340
@pasteurfreddylubwanda7340 2 жыл бұрын
Niko Congo RDC nakupenda sana baba ipo Siku tu nitakuja kukuona nataka uwe baba yangu wa kiroho Niko muchungaji wa kanisa
@constantinewilbroad1654
@constantinewilbroad1654 2 жыл бұрын
Najua ipo siku nitafika mbele ya madhabahu ya ngurumo ya upako kwani kwa Sasa Niko vibaya kiuchumi Ila naamini ukisema Neno kwa neema ya Mungu nitafunguliwa ili niwafungue wengine
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 жыл бұрын
Mungu wala haitaji hali yako ya kiuchumi!!!
@josephleiyani7668
@josephleiyani7668 Жыл бұрын
Amen🙏
@chazdd1943
@chazdd1943 2 жыл бұрын
Siku ya mwisho yote yatawekwa wazi.
@renatuskweyamba6460
@renatuskweyamba6460 2 жыл бұрын
Mtafsiri naye anatimua vumbi... 😎😎
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 жыл бұрын
Kwaiyo ukipigika ndio unakumbuka ulipotoka kweli wanadamu tunajisahau sana nakuzarau watumishi
@mundelejudith3940
@mundelejudith3940 2 жыл бұрын
God bless you papa 🙏
@kendimutunga
@kendimutunga 2 жыл бұрын
Baba your too much thank you for excepting ua son back
@rachelkorrompoitvkorrompoi
@rachelkorrompoitvkorrompoi 2 жыл бұрын
Thankyou jesus...
@kendimutunga
@kendimutunga 2 жыл бұрын
I trap on that anointing of a prophet harry in Jesus name
@anyigulilemwaigomole3012
@anyigulilemwaigomole3012 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen I receive
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 2 жыл бұрын
YESU Kristo Simba wa Yuda
@gildasnyaki3812
@gildasnyaki3812 2 жыл бұрын
Woow
@josephmolle
@josephmolle 2 жыл бұрын
Amen baba tunazidi kubarkiwa na neno lako mungu azidi kukulinda baba
@mentionedU
@mentionedU 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@denismaussa650
@denismaussa650 2 жыл бұрын
It's so powerful
@beatricehenry8116
@beatricehenry8116 2 жыл бұрын
Amen amen baba
@sevenrepublic1550
@sevenrepublic1550 2 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@yusuphkayoka5452
@yusuphkayoka5452 2 жыл бұрын
Hili neno watu wanapenda kulitumia, ili kuwasidia watu kama unajua maarifa kwa nini usifungue huduma kuwafundisha watu maarifa, hiwezekani uone tatizo na usiwe mtatuaji wa hilo tatizo, unaweza kujikuta mnafiki.
@marympemba2137
@marympemba2137 2 жыл бұрын
Amen , amen 🙏
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@priskahesebi256
@priskahesebi256 2 жыл бұрын
Ameni
@angelwilliam3471
@angelwilliam3471 2 жыл бұрын
Ameen
@eliassiame7353
@eliassiame7353 2 жыл бұрын
But how can I meet you man of God please
@rutagengwasteven7879
@rutagengwasteven7879 2 жыл бұрын
Amen amen
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 жыл бұрын
Amen
@ibrahimsokoine
@ibrahimsokoine Жыл бұрын
MUNGU ANIPE KIBARI NIKUONE JUU YA UTUMISHI WANGU
@samwelmollel602
@samwelmollel602 2 жыл бұрын
Gd
@GitongaM
@GitongaM Жыл бұрын
Hawa dio wazazi tunaowataka wenye moyo wa kusamehe baba nakupeda bure
@samwelmollel602
@samwelmollel602 2 жыл бұрын
Baba nibaba 2 haijalishi
@pastorb.alaurent1006
@pastorb.alaurent1006 2 жыл бұрын
I CONNECTION KWA MAFUTA HAYO
@prophetshukurumongela3085
@prophetshukurumongela3085 2 жыл бұрын
Natamani Neno la kinabiii
@farajarogath196
@farajarogath196 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥👑👑⭐🗝❤❤🙏
@restypeter1141
@restypeter1141 2 жыл бұрын
😔😔
@shanelmbunga1301
@shanelmbunga1301 Жыл бұрын
Nabii mkuu wewe ni mwamba kwelkwel
@JuliusKanza
@JuliusKanza 2 жыл бұрын
matapel wawil wamepatana
@srkkishimbo1558
@srkkishimbo1558 2 жыл бұрын
Nimatapeliee🥱🥱🥱🥱🥱
@mosseseliastv6493
@mosseseliastv6493 2 жыл бұрын
Julia's uyu NI baba Ana MOYO wa MUNGU Ana MOYO wa ubaba. BABA NITAZIDI KUNYENYEKEA NA KUWA MDOGO ZAIDI KILA NYAKATI ZOTE MPAKA NIFIKE PALE MUNGU AMENIKUSUDIA
@JuliusKanza
@JuliusKanza 2 жыл бұрын
@@mosseseliastv6493 upo sahihi ni baba kwako but not to me
@BarakaWaya
@BarakaWaya 2 жыл бұрын
Wewe Jullius Ni Mpumbavu
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 2 жыл бұрын
Hahahahahahahahahahhaaaa
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 28 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 98 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 19 МЛН
Vuka Yordani
29:14
Leah Gonda
Рет қаралды 10 М.
Arch Bishop Dustan Maboya - Mungu Hapeani Vitu Bure Lazima Utie Bidii
42:54
Jesus Sacred Assembly tv - Mwingi
Рет қаралды 2,9 М.
YOU CAN'T HOLD YOUR TEARS WHEN WATCHING THIS TESTIMONY.
25:46
The Kakande Ministries
Рет қаралды 65 М.
MSAFARA WA NABII GEORDAVIE NI KUFURU ARUSHA | WATU WAANDAMANA BARABARANI
8:55
SABABU ZA MTU KUWA NA PEPO WENGI
58:42
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 43 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 28 МЛН