NAMBA 369 ITAKUPA UTAJIRI MKUBWA NA KUFUNGUA NJIA YA MAFANIKIO KWENYE MAISHA YAKO FANYA MANIFESTATIO

  Рет қаралды 39,701

FAFANUO MEDIA

FAFANUO MEDIA

Күн бұрын

TUMIA NAMBA 369 KUPATA UTAJIRI,PESA NA KUFUNGUA NJIA YAKO YA MAFANIKIO omba chochote unachotaka
#fafanuomedia #knowledgeforyourfuture #tujengemahusiano #manifestation
‪@FAFANUOMEDIA‬

Пікірлер: 86
@jbryantz
@jbryantz 5 ай бұрын
kuna siri nying za kuhus mambo ya ulimwengu ambazo ilibaki kuwa siri katika organization kubwa za kidunia zilizoanzishwa, hii ni moja wapo ya siri hizo kuhus nguvu ya udhihirisho, kile unawaza na kile umajinenea ndio kitakachokuja kuwa kwako, ni sawa na kusema manifestation maana hii inahusika na vyote, katika kuwaza, kunena na zaidi kuandika, ili kuweza kuelewa ulimwengu, inabdi uuchukulie katika hali ya energy, frequency and vibrations.................................naungana na ukwli huu pia
@albertnyabwari7253
@albertnyabwari7253 5 ай бұрын
Safi sana.siku ngapi ukiwa unaandika.alafu kuna mahali unaweka zenye umeandika ama unachoma
@GaredKiragu
@GaredKiragu 13 күн бұрын
Wow ❤asante ulimwengu Wa roo nauwakika asante kwakunipokea nashukuru
@user-do8ew9xv2i
@user-do8ew9xv2i 5 ай бұрын
Asante,je maana ya namba hii 888
@SharifuMohammed-z4e
@SharifuMohammed-z4e Күн бұрын
Good
@alidakauki4581
@alidakauki4581 Ай бұрын
SHUKRAN KAKA KWA MAARIFA HAYA. HAKIKA WAZUNGU HAWATAKI KABISA TUYAFAHAMU HAYA
@simonwambugu641
@simonwambugu641 5 ай бұрын
Nashuru sana.. Nitajaribu.. Lisemwalo lipo👌
@MadamAsya2024England
@MadamAsya2024England 2 ай бұрын
Usijaribu kuwa na imani😂
@user-tf2uc6ur3t
@user-tf2uc6ur3t 5 ай бұрын
Amen
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 5 ай бұрын
Asante sana kaka yetu❤❤❤
@JuliusShikoli-xd9ey
@JuliusShikoli-xd9ey 5 ай бұрын
Nashukuru kwa ujumbe wako muhimu zana
@user-ws3vu5pl3l
@user-ws3vu5pl3l 5 ай бұрын
🎉 asante sana kweli
@MukengereIsaac
@MukengereIsaac 5 ай бұрын
Nikweli
@DonaldDavid-ig8yr
@DonaldDavid-ig8yr 4 ай бұрын
Asante sana Kwan mafundisho Yako mazur Kwan unavyoandika ili karatasi unaweka wapi sasa
@isackwaite-uf1zy
@isackwaite-uf1zy 5 ай бұрын
Asante ❤❤
@mselanukuzz8721
@mselanukuzz8721 5 ай бұрын
Asante kwa mafunzo
@AloycceRukasi-fk5nm
@AloycceRukasi-fk5nm Ай бұрын
Amina
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 5 ай бұрын
Mafundisho mazuri sana pro wewe umewai jaribu ukaona ivo umesema plz
@nancyg8664
@nancyg8664 5 ай бұрын
Ukifanya kwa iman inakua
@user-qm3pi7vx9u
@user-qm3pi7vx9u 5 ай бұрын
Vya kuambiw changny na vy kwako home boy,wengi ni wasomaji tu bila experience be careful
@monirangerera7155
@monirangerera7155 5 ай бұрын
Ukifanya Kwa imani kila kitu Iman upo kama huna Iman hata ukifanya kazi bule mbona wahindi wana abudu sanamu wanamuona na wana fanikiwa upo kama umwambini Mungu Kwa kila jambo uwezi fanikiwa Kwa lolote ndo wewe huna Iman
@worldofscience6745
@worldofscience6745 4 ай бұрын
Nimejaribu 2021 get what i needed the most
@ChipkiziRashid
@ChipkiziRashid Ай бұрын
SAS hiyo karatasi nikimaliza naifanyaje​@@nancyg8664
@KapitulaErisha
@KapitulaErisha 4 күн бұрын
Nachukuru sana
@JofreyErnest
@JofreyErnest 20 күн бұрын
😂kiukwer sikubalian na mamboyako unnikeraaa
@davidnziku2492
@davidnziku2492 5 ай бұрын
Nakuelewa sana mkuu
@gracekayandakayanda3428
@gracekayandakayanda3428 4 ай бұрын
Amen barikiwa baba
@AmaniKarisha
@AmaniKarisha 3 ай бұрын
Dar kweli dunia imejificha kwenye ulimwengu wa kiroho
@joelylucasmathiaslucasmath6027
@joelylucasmathiaslucasmath6027 4 ай бұрын
Mafundisho mazuri san nashukuru sana
@Nyotajada
@Nyotajada Ай бұрын
Jamani ila mnao coment jamani muwe mnawaza vya kucoment sio vizuri😂
@LowasaNgai
@LowasaNgai 2 ай бұрын
❤❤❤ubarikiwe
@TehsHdhdh-lm3ow
@TehsHdhdh-lm3ow 3 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@user-dd6dx9uy9p
@user-dd6dx9uy9p 5 ай бұрын
Nauliza jekalatasihikijaa?
@JofreyErnest
@JofreyErnest 20 күн бұрын
😂😂 we mshenzi si ufanye kwanza wewe ndo tupate mfano kwako akuna mazaga yeyote kuliko jina la Yesu kirsto ndo kira kitu😅
@happinessjohn4581
@happinessjohn4581 3 ай бұрын
Unandika na pen ya rangi gani ?
@HarunaFundii-lw1zr
@HarunaFundii-lw1zr Ай бұрын
Maana Jana wakati wakujifunza Jaribio langu alijakamilika
@manfredmnguli8502
@manfredmnguli8502 4 ай бұрын
Nataka kujua zaidi juu ya haya usemayo ili nipate utajiri
@user-kk5nf3pu1g
@user-kk5nf3pu1g 5 ай бұрын
Asante sana kaka
@haryanyawu640
@haryanyawu640 4 ай бұрын
Ameen
@aboumkwepu5825
@aboumkwepu5825 5 ай бұрын
Ukishamaliza karatasi unaweka wapi
@user-do3yl8zh2z
@user-do3yl8zh2z 5 ай бұрын
Je manifeste 100000$
@patrickfupe
@patrickfupe 4 ай бұрын
Mimi napenda sana kuandika 7na8 inamtaka gani
@WinfridaDaniel-fp9rr
@WinfridaDaniel-fp9rr 2 ай бұрын
Nimeandik kalatas ikaish inaluhusiwa kuchukuwa nyingine nanikwamda gan ntaendelea kuandik
@SaidiRegu255
@SaidiRegu255 5 ай бұрын
❤asante br
@brucerinka8732
@brucerinka8732 Ай бұрын
Itachukua siku ngap
@annewachira4317
@annewachira4317 5 ай бұрын
ASANTE ❤❤❤❤❤❤
@samley1
@samley1 5 ай бұрын
Na jiona ka Boss kaleeee 🤣🫵
@nancyg8664
@nancyg8664 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@anithapol5341
@anithapol5341 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@elizabethmutinda7718
@elizabethmutinda7718 5 ай бұрын
Naweka wapi kalatasi
@user-dd6dx9uy9p
@user-dd6dx9uy9p 5 ай бұрын
Nimeipeda
@aminahamza5386
@aminahamza5386 24 күн бұрын
Tafuta kazi ya kufanya ww usidanganye watu
@user-do3yl8zh2z
@user-do3yl8zh2z 5 ай бұрын
Je manifeste
@JohnKipalile-bq9ec
@JohnKipalile-bq9ec Ай бұрын
Kudhihilisha jambo
@IsayaTarah
@IsayaTarah 2 ай бұрын
Mh hii dunia matapeli wako wengi kibao
@joyjoy2912
@joyjoy2912 5 ай бұрын
Shikamoo! Kabla ya kuanza,unaandika hizo nambari kwanza au wewe unaanza tu kwandika
@JohnKipalile-bq9ec
@JohnKipalile-bq9ec Ай бұрын
Fanyeni kazi wazee hakuna pesa za miujiza ujiza fanyeni kazi fanyeni kazi aise tuacheni uvivu
@radjabuminani6366
@radjabuminani6366 5 ай бұрын
Uwongo uyoo
@Twahirpizza1994
@Twahirpizza1994 5 ай бұрын
Wewe kaa kimya tu maana hutoelewa lolote hapo hiyo ni elimu pana waulize wataalamu wa mathematics ndio wanajuwa siri za namba hakuna uchawi mbaya kama namba na hakuna elimu yoyote isiyotumia hesabu za namba.Hivyo namba ina siri kwa mjuzi wa taaluma yoyote iwe engineer,udaktari,sayansi na mambo mbalimbali. Zingatia hilo🤔
@nancyg8664
@nancyg8664 5 ай бұрын
Mtafute nicola tesla
@joliea2956
@joliea2956 4 ай бұрын
Unaandika hadi siku 33?ama mara moja
@HonorinaAsende
@HonorinaAsende 5 ай бұрын
👊
@HarunaFundii-lw1zr
@HarunaFundii-lw1zr Ай бұрын
Sijaelewa
@estherndungo1872
@estherndungo1872 3 ай бұрын
Ninashukuru ulimwengu umenipa watoto
@LodifiaByanywelo
@LodifiaByanywelo 3 ай бұрын
Mimi naumwa miguu nifanye Nini ili nipone
@Karen-qk9cw
@Karen-qk9cw 5 ай бұрын
Alajuela izo keratosis zaekwa wapi
@Karen-qk9cw
@Karen-qk9cw 5 ай бұрын
Alafu zaekwa wapi izo karatasi
@Teaching356
@Teaching356 4 ай бұрын
​@@Karen-qk9cwAlafu zawekwa wapi hizo Karatasi, ngoja tuone aliye sahihi sasa😂kipofu anamuongoza kipofu mwenzie mwishowe wanaangukia shimoni😅😅
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 5 ай бұрын
ASANTE SANA
@user-ny1ev1bi8u
@user-ny1ev1bi8u 5 ай бұрын
Mimi namiliki pesa nyingi
@SarahMussah-td7pu
@SarahMussah-td7pu 4 ай бұрын
Nigawie 100000 plz
@NyaihoGibe-tb7jl
@NyaihoGibe-tb7jl 3 ай бұрын
Naomba unipe ataupeo wakufanikiwa nami nipate pesa
@AnnaKilugya
@AnnaKilugya 2 ай бұрын
Unaniliki pesa nyingi kitumia hii video ama?
@JohnKipalile-bq9ec
@JohnKipalile-bq9ec Ай бұрын
​@@AnnaKilugya😂😂
@allybago3773
@allybago3773 3 ай бұрын
Naje nikimaliza siku 33 hii chupa nafanyaje
@petergacheru430
@petergacheru430 5 ай бұрын
Iyo ni pepo
@anithapol5341
@anithapol5341 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@blessslight5585
@blessslight5585 5 ай бұрын
Ameen 🙏🙏🙏🫴
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 4 ай бұрын
369 ni sawa na 666😂 naona watu wakiingia illuminate bila kujijua😂😂 napambana kuosha choo nipate chenye amani
@emmanuelanael6934
@emmanuelanael6934 3 ай бұрын
Wewe mwenyewe huko illuminati.😂😂. (illuminati) ulinzi wa asili ambao kila mwanadamu anao. Sema Elimu juu ya ( illuminati) ndio imefikishwa vibaya kwa watu. Na wao wakawa na mapokeo hasi. --.
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 Ай бұрын
Amina
@KakuleAnicet
@KakuleAnicet 5 ай бұрын
Amen
@Nyotajada
@Nyotajada Ай бұрын
Jamani ila mnao coment jamani muwe mnawaza vya kucoment sio vizuri😂
@Ahofasi
@Ahofasi 5 ай бұрын
Amina
@Faridahmoraa-gw9ew
@Faridahmoraa-gw9ew 3 ай бұрын
Amen
@NeemaYvone
@NeemaYvone 5 ай бұрын
Amen
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 53 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 7 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
JINSI ya KUFANYA MANIFESTATION na KUPATA UTAJIRI Duniani
26:49
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 38 М.
MUNGU ANAPOKUCHAGUA TU utaanza kuona vitu hivi kwenye maisha yako
9:14
Meditation ni nini ?
4:50
Swahili Yoga
Рет қаралды 15 М.
Herufi A,M,Y, jitibie mwenyewe.kwa kufanya hivi.
14:27
Allykk tv
Рет қаралды 8 М.
SIRI 7 ZA UNIVERSE, Ukizijua Utakuwa mtu mkubwa sana hapa DUNIANI
27:23
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 69 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 53 МЛН