Pr. Nimebarikiwa sana. Mungu aendelee kukujaza hekima tele.
@shaniachanceline2751Ай бұрын
Amen!❤❤❤❤❤❤❤
@Joycependopendo-dv2tbАй бұрын
Amen bwana asifiwe namshkuru Mungu Niko Salama
@catherinemogere23 күн бұрын
Pastor sijui kama utapata ujumbe huu lakini naomba uombee ndoa yangu imevunjika kabisa haina amani kabisa naomba Mungu anipe kazi na kusaidia Watoto wangu watatu
@maseaJoe8676Ай бұрын
Pastor may God use you more than here, unatutuliza saaaana barikiwa to higher levels. Amina
@DorothyKoros-bm8koАй бұрын
Kabisa. Tunapata faraja ya moyo kupitia mahubiri ya Pastor 🎉
@RoseMonyencheАй бұрын
Nimepalikiwa sana pastor amen
@MakenzisanaАй бұрын
Pastor naomba uniombee nipate kibari kwa mmewang nikaabudu na Mungu anijibu maombi yang
@joliea2956Ай бұрын
Asante mtumishi mahubiri yako yalinitowa kwenye shimo😢
@assagiselle7635Ай бұрын
Nafurahi sana
@beatricenyiro5913Ай бұрын
Amen na ubarikiwe mtumishi
@user-ho9cm1um8mАй бұрын
Pastor juzi nilikuota atiunanipigia simu nikuje nikuone
@joelmwamukonda132Ай бұрын
Low Frequency tone(10hz and below),kama kinanda,sauti ya upole,nyimbo za taratibu esp zetu za kisabato..zote ni njia zilizozibishwa(neuroscientifically) kupromote relaxation and bonding and enhance most areas of the brain hivo pia kupunguza misongo
@mariamgonja194Ай бұрын
Hivi Pr. Mtu alietumia dawa za wasiwasi na usingizi kwa muda kidogo anaweza kuacha?
@everlyneiminza5722Ай бұрын
Aminaa, sauti ipo chini lkn nimejikamua hivo hivo singekubali nipitwe, pastor mmi niko 43yrs huwa naruka kamba maana sijaskia ukiongelea kuhusu hilo, au nitajiletea matatizo kwa kuruka kamba 😂be blessed 🙌 🙌 😇
@user-zs9ml2qk6uАй бұрын
Ukweli ni kwamba matumizi ya sukari ni mbaya sana...mimi nilipoacha sukari nafurahia afya nxuri
@user-bw6rr7rp5cАй бұрын
Nawapata kutoka 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🙏
@user-bw6rr7rp5cАй бұрын
Ee pastor nisaimdie hicho ndicho kinanizumbua naishi kichwa