No video

Namna Rahisi Ya Kuwa Na Furaha Siku Zote - Joel Nanauka.

  Рет қаралды 26,220

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 125
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 5 жыл бұрын
Kanuni Kumi za Mafanikio na raha moyoni. 1.Usimtegemee Mtu. 2. Ishi Kwa uwezo wako. 3.Usikopi maisha ya mwingine na ukawa yako. 4.Usione Kama Umechelewa. 5.Kuna watu wanakuja na mazuri ili kukupoteza ktk malengo. 6.Mpende Mungu na awe msiri wa malengo yako,usimwamini mtu... Atakama mtu kukuuliza kitu mpe jibu ambalo nitofauti na unachofanya. 7.Ukiwa na mtu mpe nafasi ya kuongea,inakusaidia kumjua mtu au watu. 8.Kuwa mbunifu Kila atua na uwandike ktk notebook,inakusaidia kujua kama umetoka nje ya malengo yako. 9.Kila changamoto ni Kwa muda. 10.Usiwe na haraka wala mbwembwe na kile unachofanya kwenye malengo yako Utafanikiwa tu.
@ramadhanmohamed9654
@ramadhanmohamed9654 5 жыл бұрын
michael kessy nice broo #Ramoha
@ommyngongono7811
@ommyngongono7811 5 жыл бұрын
Shukr an sana
@arafatyhussein
@arafatyhussein 21 күн бұрын
Dah Aisee leo nimejifunza kitu
@AfiSoul103
@AfiSoul103 4 жыл бұрын
Leo nimeamka nikiwa sina furaha na hii inajirejea rejea sana ktka maisha yangu, yaani kuna sku naamka namnunia mume wngu pamoja na wtoto wngu nakua na hasira hasira.. Alafu nakaa tu mwenyewe nalia nakulia... Yaani spati jibu la masuali yangu kwanini hii hali inanijia.. Na naishi maisha mazuri tu... Japo kua maisha yangu ya awali yalikua ya shida.. Sijui tu kwanini nakosa kujifunza... Kila baada ya muda inajirejea hii hali 😢
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Ай бұрын
Asante xana Joel
@alloykabwe6754
@alloykabwe6754 3 жыл бұрын
Nimefukuzwa kazi mwaka jana,jambo linalonikosesha Amani na Furaha kila nikifikiria. shukran sana Br Joel, Najihisi mwenye furaha sana baada ya kujifunza Somo hili Zuri. kuanzia sasa Nita FOCUS ON SOLUTIONS ,Naamini Nitatimiza Malengo makubwa niliyonayo. see you at the Top
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Powa
@heavenlypatric4822
@heavenlypatric4822 5 жыл бұрын
Umenipa njia ya kufanyia kazi ilo jambo la tatu ambalo nikuwa na mawazo chanya.. Naamin kuwa ndo shida yangu ya kutokuwa na Furaha.. Ahsante kwa elimu hii Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Woooow somo nzuri sana brother nimepata kitu hapa tena kikubwa tuu ubarikiwe sana brother @JoelNanauka endelea kutupa madini👏👏
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Huyu alierudi na tabasam 😄 ya kupata soko la viatu amenipa nguvu 💪 💪 ya kufanya jambo furani la kujiamini kikamilifu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@dorotheankungu8386
@dorotheankungu8386 3 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni aendelee kukutunza ili uendelee kutusaidia ndugu zako
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
NIMEPENDA HIYO YA KUKAA NA KUJISIKILIZA KWA MUDA , YAAN KUJIHOJI ,THAT IS GOOD JOEL
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Extraordinary Mkuu
@salmaoman6347
@salmaoman6347 5 жыл бұрын
Daaah joel joel kka
@johaneskaizilege6671
@johaneskaizilege6671 6 ай бұрын
Good advice From now nahisi furaha iliyo ya ajabu sana moyoni mwangu 😂😂🥰
@emmamasonga4847
@emmamasonga4847 5 жыл бұрын
asante sana kaka kwa somo lako nafikiri hizo mbinu zote umezotoa zinanifaa ila hio ya kujilinganisha na watu wengine nimeipenda zaid
@richardvalson4313
@richardvalson4313 5 жыл бұрын
Elimu nzuri sana ßrother #Nanauka🤝🤝
@roidamlasu5476
@roidamlasu5476 5 жыл бұрын
Back ground sound iko juu sana urekebishe hilo kaka etu
@mozasaid3869
@mozasaid3869 5 жыл бұрын
Ahsante sana J
@stephahObimo
@stephahObimo 5 жыл бұрын
Kaka Asante Sana ila nimekuomba tutumie na video kwa wale watu ambaoo wakiwa na shida Huwa wanyenyekevu ila inapo fika kulipa deni huwa ni usumbufu watuhawa tuwadai vipi maana hawa niadui wa maendeleo yako
@furahamakunga5347
@furahamakunga5347 5 жыл бұрын
Nzuri hii kaka
@arbasyarbasy7729
@arbasyarbasy7729 3 жыл бұрын
Big up
@lilykessy6284
@lilykessy6284 5 жыл бұрын
Nashkuru kwa somo ...nilikua nafanya dhambi kubwa ya kujilinganisha! Hata nikianza biashara nawaza ntamfikiaje mtu fulani,,, Naiacha tabia hii haraka sana! Pia nmegundua watu hukuonyesha "unachokitaka kukiona" especially social media km instagram hakuna mtu anakuonyesha nyuma y pazia so usipokua makini waweza kujiona km umechelewa maisha sana kumbe uko na right way
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@mohamedabdi4369
@mohamedabdi4369 5 жыл бұрын
Wow great advice, watching from Nairobi
@eliezermtokoma2057
@eliezermtokoma2057 5 жыл бұрын
Asante kaka ntabadilika badala ya kujilinganisha nitajifunza kutoka kwao. Nimejifunza vingi sana. Mungu akubariki kaka See you at the top #TIMIZAMALENGOYAKO
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@YusuphPaulo-md8ys
@YusuphPaulo-md8ys 6 ай бұрын
Nitatafsiri vitu katika njia ya chanya
@jackycute2047
@jackycute2047 4 жыл бұрын
Mungu akubariki babq ufike mbali
@symohsakani
@symohsakani 3 жыл бұрын
Umenijenga Sana kaka
@andochiusrwelengela1844
@andochiusrwelengela1844 5 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel hakika nimejifunza mengi kutoka kwako, endelea kutuelimisha.
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 5 жыл бұрын
Natatenga mda zaidi kwajili ya Mungu hasa nyakati za Asubui nitaongeza ratiba yangu ya kila siku kupata Muda wa kufikiri nimeelewa sana hapo
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 5 жыл бұрын
Asante asante Joel MUNGU akupe maisha marefu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu #SeeYouAtTheTop
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
Kweli kaka asante sana kwa mafundisho.
@restachiniko3362
@restachiniko3362 5 жыл бұрын
Nashukuru snaa kaka Joel hakika umesema na maisha yangu kabisaa as if ulikuwa wayaona but now am going to change and be happy always no matter what.thanks again for this massage. Mungu akubariki
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu #SeeYouAtTheTop
@challostanley5775
@challostanley5775 4 жыл бұрын
Genuinely talking bro
@faridapatel7584
@faridapatel7584 4 жыл бұрын
Mimi nimeisha kuwa na marafiki wote wa hizi aina 5 .
@dorotheankungu8386
@dorotheankungu8386 3 жыл бұрын
Kaka asante sana ubarikiwe unatunza mengi na ni mema kwakwel
@mathewkanyungu2653
@mathewkanyungu2653 5 жыл бұрын
Focus on a solution!!! Ujumbe mzuri sana kaka Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe #SeeYouAtTheTop
@user-jg3rc7pz9p
@user-jg3rc7pz9p 9 ай бұрын
Nitatafuta jawabu la jambo
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Asant sana Mr joel nanauka nimejifunza hii Elimu uliotoa
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@arnoldasava
@arnoldasava 5 жыл бұрын
Asante Joel. I' 've learnt to be positive always in order achieve my goals. No matter which challenges I face, just have a positive mindset #see you at the top.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@joseefaidabutu7294
@joseefaidabutu7294 5 жыл бұрын
Asante sana kaka
@salehali9203
@salehali9203 5 жыл бұрын
Tunafeli wengi kwa kujilinganisha,nimejifunza hapo,ahsante mtaalamu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@balangdalaluamb6540
@balangdalaluamb6540 5 жыл бұрын
Ahsantee Mr Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@jabirmikidad9505
@jabirmikidad9505 5 жыл бұрын
Ahsante kaka joel,,nimejifunza
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@roi2554
@roi2554 5 жыл бұрын
Aisee unanifanya nijihisi kuishwa matatizo
@janetsaidi8272
@janetsaidi8272 5 жыл бұрын
mafudisho mazuri barikiwa kakangu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@kitongojitz6476
@kitongojitz6476 5 жыл бұрын
asee kaka joeli ubalikiwe sana mm napitia wakat mgum ambao waliniibia vitu vyang vya ndan ila kupitia ii nimepata jawabu✌✌✌
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
Thank you my mentor. be blessed.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks Too #SeeYouAtTheTop
@firdaus7428
@firdaus7428 5 жыл бұрын
Music imekuwa kubwa na inakera hata kukusikiliza tunaomba usieke music
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Sawa Rafiki Nimeyapata Maoni Yako #SeeYouAtTheTop
@gideonkipruto3987
@gideonkipruto3987 5 жыл бұрын
I see bro hii imenigusa sana, nakupenda sana
@omaryshafii50
@omaryshafii50 5 жыл бұрын
Naam ni sahihi kabisa ...ahsante sana
@rahmamuhode9042
@rahmamuhode9042 5 жыл бұрын
Amen kaka kwa mafundisho mazuri. Mungu akutunze
@lilianbenson5774
@lilianbenson5774 4 жыл бұрын
Thanks Mr. Joel for your free lessons I've learnt to focus on my goals and Be positive. You inspired me a lot. Thanks and God bless you teacher.
@SANIBOY2024
@SANIBOY2024 5 жыл бұрын
asante sna kk
@mwajumayunus2041
@mwajumayunus2041 5 жыл бұрын
Daaaaaa mimewah ata video bado
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 5 жыл бұрын
point
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks Too #SeeYouAtTheTop
@mwanamkasihabibu9915
@mwanamkasihabibu9915 5 жыл бұрын
Asante Kaka kwa somo
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@zuhuraabdillah6941
@zuhuraabdillah6941 5 жыл бұрын
to my side taking every situation in a positive way still is challenge because some situation is hard to think positive. Thank you for sharing am learning alots
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks Too #SeeYouAtTheTop
@nevernicodem8420
@nevernicodem8420 5 жыл бұрын
Waaaaaoh asante sana nimepata kitu
@latifamoshi846
@latifamoshi846 4 жыл бұрын
Long live teacher
@melissamhumbira147
@melissamhumbira147 5 жыл бұрын
Nimefurahia
@teamfocusfunny966
@teamfocusfunny966 5 жыл бұрын
Heavy message, All da best Chief
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@Aviero_07
@Aviero_07 5 жыл бұрын
Good brother...
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe #SeeYouAtTheTop
@livinusmtashobyaa3197
@livinusmtashobyaa3197 5 жыл бұрын
Àbďł Hàľèêm hi
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 5 жыл бұрын
Asante sana
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@issanamangaya1815
@issanamangaya1815 5 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@janethlwena2438
@janethlwena2438 5 жыл бұрын
I think am on right track...from number 1-4 the only place that i may sometime stuck is no 3 but am commanding self to be positive always...awesome presentation 😁
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks For Your Support.Help Me To Share My Video & Please Do Not Forget To Subscribe #SeeYouAtTheTop
@mosesmdindile332
@mosesmdindile332 5 жыл бұрын
Sauti tatizo mziki unakuwa mkubwa sana
@Dodoma_photographer
@Dodoma_photographer 5 жыл бұрын
thanks for the video brother Mungu aendelee kukutumia. amen
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@katemajr9374
@katemajr9374 5 жыл бұрын
Ubarikiwe🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu #SeeYouAtTheTop
@katemajr9374
@katemajr9374 5 жыл бұрын
@@joelnanauka pamoja 👍
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Joel Hakika Wewe nimwalimu mzuri sana peace bro
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 5 жыл бұрын
Asante kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@gharanifarecy5070
@gharanifarecy5070 4 жыл бұрын
Thanks so much Joel
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
Asante sana bro
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
ILA KUWA NA FURAHA SIKU ZOTE SI RAHISI JOEL,YAAN INABIDI MUNGU BABA AWE NDANI YAKO HASWA ILI UMUDU HULI.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@taifangiliule4890
@taifangiliule4890 5 жыл бұрын
*No 3 ndilo nitalifanyia kazi coz ndilo nalo hisi kuwa linanikosesha furaha*
@neemaonesmo7642
@neemaonesmo7642 5 жыл бұрын
Thanks Sir,
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 5 жыл бұрын
I really enjoy watching you , lakini hiyo music background kidogo iko loudly Kwa hio inakuwa hatuwezi kukuskia vizuri au Kwa makini...natumai utarekebisha bro... thank you so much.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks Too #SeeYouAtTheTop
@leticiampeka1488
@leticiampeka1488 5 жыл бұрын
woow thank you so much for the lesson👏
@paulomaona2811
@paulomaona2811 3 жыл бұрын
nitafiri pissitive kila siku
@adelmarcymallya772
@adelmarcymallya772 5 жыл бұрын
That's why I'm happy
@nasratwaha1632
@nasratwaha1632 5 жыл бұрын
Mm nashindwa kuongea na mtu anaponekosea au nikiwa na tatizo naishia kutuma msg kwa cm nifanyeje
@Alama_Tv_online
@Alama_Tv_online 5 жыл бұрын
Siku hizi muziki unakuwa mkubwa sambamba na sauti yako .. Otherwise good sir
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Tunafanyia Kazi Rafiki Yangu Mpendwa #SeeYouAtTheTop
@lomeombata3985
@lomeombata3985 5 жыл бұрын
Kaka joel me napenda saana mafunzo yako yananisaidia saana napenda nijifunze zaidi kama naweza kupata kitabu cha ishinde tabia ya kughairisha mambo maana nmejifunza masomo mengi kwa njia ya video ila naona sasa ni wakati wa kujifunza kupitia kitabu nipo iringa nahitaji mjini
@mbelyterry1584
@mbelyterry1584 5 жыл бұрын
Mkubwa nakusikiya ila hiyo background ya music inatusumbuwa tusisikihi maneno yako hawazo hapa yanakuwa tukusikilize au tusikiye music tunakuwa tuko Confuse hapa
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Pole Tunafanyia Kazi #SeeYouAtTheTop
@esthercheupe4529
@esthercheupe4529 5 жыл бұрын
Ivi meditation inafanyajwe maana me celewagi?😕😕
@muhsinsalum2305
@muhsinsalum2305 5 жыл бұрын
Mimi kaka Joel ninafuraha, ila naomba unisaidie wazo. Niliwahi kukuuliza kua ofisi yako unapouzia vitabu kwa hapa Dar, ili nielimike na vitabu vyako sikupata jawabu. Mimi nimtu naishi Katoro ya Geita. Ila kwa sasa nipo hapa Dar, jana pia nilijsribu kukupigia simu, kila wakati naambiwa Uko bize. Sasa unanisaidiaje ili nipate vitabu vyako viwili!? Ambavyo ni timize malengo yako & tabia 12 za watu waliofanikiwa.
@mariamarcel7163
@mariamarcel7163 5 жыл бұрын
Hakika nimepata shule .Be blessed MrJoel
@Alama_Tv_online
@Alama_Tv_online 5 жыл бұрын
Siku hizi muziki unakuwa mkubwa sambamba na sauti yako .. Otherwise good sir
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks Nafanyia Kazi #SeeYouAtTheTop
LIFE WISDOM : JINSI YA KUWA NA FURAHA
15:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 12 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO
20:09
Success Path Network
Рет қаралды 32 М.
AINA YA WATU WANAOTAFUTWA NA WAAJIRI
9:56
The HR Tanzania
Рет қаралды 3,1 М.
Njia 4 Za Kuongeza Thamani Yako Ili Ulipwe Zaidi
22:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 45 М.
Yashinde Mawazo Hasi - Joel Nanauka
9:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 36 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kujipa furaha mwenyewe
8:08
Chris Mauki
Рет қаралды 32 М.
Nini Ufanye Unapokosa Support? - Joel Nanauka
9:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 121 М.
JINSI YA KUWA FOCUSED KWENYE MALENGO YAKO,NA MAISHA YAKO
9:23
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН