Jaman dada nisaidie niweze kumtoa ESTA moyoni ñaomba nisaidie please mimi alikua mke kabisa akanisaliti kabisa
@fatmasaid48069 ай бұрын
Ni maumivu kwakwel mm mpk sasahv hata ucngz cpat nataman kumuacha huyu mwanaume lkn najiuliza naanzia wapi kumsahau inanipa wakat mgumu sababu pia nshazaa nae na ni mumewangu nataman aniache na nshamwambia lkn haniach na yy ndo ananidharau kupitiliz naumia sana
@fullmoviesinswahili8 ай бұрын
Pole, vingine muachie mungu omba sana na pia tafuta kitu kitakacho kupa furaha utamsahau
@user-eo3hz6rd4x11 ай бұрын
Facty brother umeongea point sana
@abcmnbb26103 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah ❤nikweli my kaka ❤
@BarakafitiyeFatu28 күн бұрын
Kama unaniongeley.kaka yangu 😢😢😢😢😢😢😢
@BarakafitiyeFatu28 күн бұрын
Natamani nikwambie.kitu Kaka yangu😢😢😢😢 Yani Baba yangu😢😢😢Ila kupitia wewe nimepona.nakufatilia.adi tik tok kaka yangu
@user-dt4ef8og4w4 ай бұрын
Hahaha ulipigwa na kitu kizito pole
@MUSICBoyfriend2552 жыл бұрын
Brother Mbarouk katupa somoo🤣
@fransiscarwillaasin8927 Жыл бұрын
🔥🔥✍️
@user-xf3zl3gq9o4 ай бұрын
Waoooo❤
@mwanaidimshana7596 Жыл бұрын
Mmmmh!!
@saumusanjiama69914 ай бұрын
😂😂👍👍
@ziadamtebwa3712 Жыл бұрын
Ñikweli khan maneno yako
@barackamichael1474 Жыл бұрын
Kama unafanyanae kazi sehemu moja
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Asante studios
@fredeemagambo6499 Жыл бұрын
😂🙌
@hidayambuha4528 Жыл бұрын
M na ex wang tunafanya kazi sehem moja hivo ni vigumu kumsahau
@thexoshowtira Жыл бұрын
Uimpata atakayekupenda kwa dhati,utamwona wa kawaida.na fungua mwoyo,
@nassoraliy38712 жыл бұрын
𝑲𝒂𝒌𝒂 𝒖𝒏𝒂𝒋𝒖𝒘𝒂
@user-zn6mg3xp3l29 күн бұрын
Jaman dada nisaidie niweze kumtoa ESTA moyoni ñaomba nisaidie please mimi alikua mke kabisa akanisaliti kabisa