Jamani mm namaumivu mpk leo nilidhulumiwa kila kitu baba angu alichoniachia lkn maneno yako yananifariji nakuombea maisha marefu
@mariammaligwa88873 жыл бұрын
Uchungu umeharibu maisha yangu nikajikuta nafanya Mambo bila kufikiria ikaua kila ndoto ndani yangu, Asante kwa SoMo zuri kaka
@rayyansaleh34302 жыл бұрын
daah
@hellenmwakyembe80952 жыл бұрын
Napataje namba ili niwe najifunz zaid
@saudamfaume80702 жыл бұрын
Asant kakaa kW ushaur wak nitaendelea kukufatilia man niliumizw San na presha ju
@umojadaycare8441 Жыл бұрын
Pole
@omarykitua3843 Жыл бұрын
😢😢😢😢uchungu unanitesa
@RamlaIssa-s3t15 күн бұрын
Kama uyo mtu bado yupo kwenye maisha yako inakuaje nahauwezi kumwambia kwasababu Ni mkubwa wangu
@mjemachannel75914 ай бұрын
NAMNA YA KUONDOA UCHUNGU 1) Kutambua chanzo cha uchungu 2)Kubali kuwa una uchungu ndani yako (usikatae uchungu wako wakati dalili zinaonyesha) 3)Amua kwamba hautakuwa mtumwa wa uchungu 4)Samehe na kuruhusu uponyaji uendelee (Samehe kwa faida yako wala sio kwa faida ya wengine)
@avelinamariba24 күн бұрын
Nikweli kabisa.kaka unanigusa
@avelinamariba24 күн бұрын
Kuna wengine tumeathilika Kwa kiwamgo kikubwa tunajitaji kliniki.tufanyeje
Mimi amezaa nae kabisa inauma sana kuna mda sitaman atakumuona karibu yang
@jacklinedickson31043 жыл бұрын
Wallah endelea tyu kutufarji kaka joeli mana nyoyo znatuvuja dam Allah atupe wepes tusjepata hata strock nnauchunguuu😭😭😭😭😭😭😭
@asyaasya37663 жыл бұрын
Yatapita dear hata mi pia niliwai kupitia uchungu ila kwasasa alhamdulillah nilishasahau na nipo OK, hilo Kaka Joel ameongea ni kweli jisemeye tu kimoyomoyo ujiambie siwezi kuwa mtumwa wa huu uchungu taratibu utaskia unapata amani ndani ya moyo
@mwanakhamiskhamis31153 жыл бұрын
Yaani tuko hatarini
@abelntobi3823 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJK3o3WBqtmkbbs
@bernarderadi44103 жыл бұрын
Jackline Yesu kristo akutie nguvu
@vickie.gpeter16392 жыл бұрын
Pole dear
@rachelmwasomola945 Жыл бұрын
Nimewahi kumpoteza ndugu yangu wa karibu kuzaliwa akitoka yeye nafuata Mimi kuzaliwa(kaka yangu), mwaka 2018 binafsi nilikuwa nampenda Sanaa lakini siku napokea taarifa ya kifo chake mpaka Leo hii uchungu nilionao unanitesa Siwezi kata kuenjoy maisha kwasababu nahamisha maumivu niliyonayo Kila sehemu iwe kwa marafiki,ndugu wengine😢😢 kupitia fundisho hili nimechilia na nimekubali naanza upya Leo Mungu wa Mbinguni anisaidie
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen, kila la kheri naamini Mungu atakuvusha.
@hildakayun64452 ай бұрын
@@joelnanaukaJaman watu mnaweza vipi kusamehe Tena mwanaume anaye saliti Kila siku na kutoa maneno mabaya ya kudhiaki mpka mwili wa mtu
@leonardsilago42213 жыл бұрын
Najivunia xana kuwa na mtanzania kama ww hakika utakikomboa hiki kizazi na vizazi vijavyo. MUNGU akubariki xana na akupe maisha marefu hapa duniani, Amen.
@PeterEmmanuel-j7p Жыл бұрын
Uko vizr sana jamaa ujumbe huu umeungza moyo wangu mpenz wangu anateseka sana kwa ttzo hlo
@rahmashemukombo7097 Жыл бұрын
Uchungu umenifanya nipoteze uelekeo wa maisha yangu nashukuru kwa somo zuri
@joyceamos79562 жыл бұрын
Asante kaka joeli mm ni muathirika wa kuhifadhi uchungu na inanipelekea kutoishi vizuri na watu hata wengine wanahihukumu kua nawachukia lakini hapana ni moyo wangu umebeba mambo manzito nalia na mungu aniondolee hii hali inanichosha
@mwanaidimsemo63213 жыл бұрын
😓😓😓hii imeniingia Sana😓😓 nitajitahd niachie tu,, mungu nitetee na uniongoze kwenye hili🙏
@JedidaNdutuu-ys3lx10 ай бұрын
Fundisho lako zuri Sana Mimi hio roho y uchungu imesumbua sana nilifikili n roho y rejection lkn umenisaidia nitawasamehe wote
@MustafaKombo-n5b Жыл бұрын
Asante sn kiongoz kiukweli napitia machungu makubwa baada ya watu wangu Wakaribu kutokunisapoti ktika mahusiano yangu pia wao ikawa ndio sababu yakuvunja mahusiano, dah yani sijui ata vp naweza kusaha maumivu hy
@JumanneShingsha-ks4vb Жыл бұрын
Mungu akubark Dada cjaelewa kukoga ndo kufanya nin sahaman kwa hlo
@hirdajacson8827 Жыл бұрын
Naamua ctakuwa na utumwa wa uchungu ndani ya moyo wangu hata iwaje citakuwa mtumwa mungu nishindie
@juaupekeewako2 жыл бұрын
Sio rahisi Sana Joel,,,inahitaji kujitoa sadaka kamili,,pia itatupasa tujue our identities in spirit,,hapo ndipo uponyaji utapaikana vinginevo itakua Kama motivational tu kwasababu mazingira na maisha tuishiyo wengi yanasababisha uchungu uzidi kua mwingi zaidi,,,Asante Joel
@andreamichael2897 Жыл бұрын
✊
@hamidaa38863 жыл бұрын
Ma Shaa Allah very good nitajifunza Asante saaaaana
@abelntobi3823 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJK3o3WBqtmkbbs
@sharifakhamis11453 жыл бұрын
kila nnaposkiliza clips zako ukweli najifunza mengi sana nafarijika sana kila unachokiongea kinanigusa ktk maisha yangu nakushkuru kwa mafunzo na faraja unazotupatia
@joelnanauka3 жыл бұрын
Ameen Ameen Mungu Ni mwema sana
@aminaabdull74793 жыл бұрын
@@joelnanauka Kaka naomba namba yako tafadhali
@wardaabdallah2383 Жыл бұрын
Ahsante Emma wangu Kwa kunielekeza kaka huyu moyo wangu uliraruka sikuona njia,nimeumizwa mnooooo😭😭😭from now sitolia Tena,be blessed kaka joel
@YunusMgunga7 ай бұрын
Asante sana Joel mungu azidi kukupa afya njema ya roho na mwili.
@Happinesabella3654 Жыл бұрын
MUNGU akutie nguvu hili SoMo lilikuwa kwa ajili yangu Mimi uchungu umenizeesha umenikondesha lakin neno lako limenipa mwanzo mpya mungu akupe maisha marefu na ufanikiwe zaidi
@bin.ali_tz24 күн бұрын
Mtu wa karibu kuniumiza imevhukua furaha yote ya maisha yangu 😢 Sitamani kumuona wala kumsikia kabisa japo ni mtu wa karibu sanaaaa na inauma inauma bro,Amesaliti maisha yangu 😢😢😢
@Dimitry-cb5tb Жыл бұрын
Kaka Asante kwa somo lako nilimenisaidaia mm niliachika na wanaume watatu zaidi huyu watatu aliniumiza sana maana familia ilinikataa na yeye tunapendana ikafikia wakati nikawa nateseka mpaka presha ata vidonda vya tumbo nashukuru kidogo nilivyosikiliza somo hili nimepata uponyaji
@ShaniaKing-o5d12 күн бұрын
Pole
@MarryMichael-lb8hq Жыл бұрын
Uchungu ndio kitu kinanitesa ila kuanzia leo nasamehe nakuachilia kwa moyo wangu huu uliopondeka naruhusu amani na furaha katika maisha yangu na muomba mungu anisaidie na kuniumbia moyo mpya nisahau yote yanayonitesa 🙏
@ShaniMwamba Жыл бұрын
Nimeamua Leo kusahau mausiano yangu yazamani Asante Sana Joel nauka
@mwanakhamiskhamis31153 жыл бұрын
Nimezeeka sanaa kabla ya wakati wangu kwa uchungu nilionao ambao unasababishwa na watu wakaribu ninaoishi nao. Sina furaha ya maisha. Wananidhulumu furaha yangu
@joycehaule4520 Жыл бұрын
Pole sana jipange anza kuleta furaha moyoni mwako samehe
@AwadhAdam-j5f7 ай бұрын
kaka Joel umenitoa mbali sana nimesema leo nirudi kutoa shukran zangu za dhati hii video ilinipata nikiwa na maumivu makali sana lakin kupitia hapa nilipona kanisa ubarikiwe sana kaka mungu akupe uzima na afya bora uzidi kutufunza chukua mau yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ruthmsaki7107 Жыл бұрын
Nimeachilia uchungu wew mmama utoke kwenye ufahamu wangu nimesamehee
@reginaldipeter22722 жыл бұрын
Kweli nilipata uchungu Sana Baada ya Rafiki yangu kueleza udhaifu wangu kwa marafiki wake wengine lazima UCHUNGU uniachie IN JESUS NAME (Yohana 14:13-14)
@RAYAOMARY-k7m Жыл бұрын
Mimi niliwahi kupata uchungu uliosababishwa na mwalimu. Asante sana ubarikiwe!
@AlexJefwa2 ай бұрын
Asante... mungu azidi kukulinda...kw...kuendelea kutufungua coach Joel nimejifunza
@dattysamia31842 жыл бұрын
Kwakweli nakalibia kufunga wiki moja toka nianze kuangali video zangu ani nilikua na mambo mengi mengi mno yanayomisumbua lakn toka nimeaanxa kukufatilia matatizo yoote yamekwisha nakushukuru sanaaa kaka joel
@salamaoman81332 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu mazuri mm nakufatilia sanaa nanapata faraja kwa maneno yako
@gtubgxuxj69063 жыл бұрын
Nasema kwel hal hiyo mi niko nayo tangu mwaka 2010mpaka sasa nimeshindwa kusamehe nakusahawu lakin umenifunza wacha nilifanyiye kazi nachukulu sana kwa somo
@LutWesonga Жыл бұрын
Uchungu uliniletea pressure na stroke,, alhadhulilah joel for this msg
@isikesamike3 жыл бұрын
Wow! @joelnanauka kiroho zaidi. Asante sana ndugu.
@FauuFabian-kk2cx Жыл бұрын
Nashukuru kaka nimekuw mtumwa Sasa nmepata elimu❣️❣️❣️❣️
@Robert-p7c1k Жыл бұрын
Joel unasubiri nini kua mchungaji? Najua wewe ni "inspirational speaker, You can be both!
@VailethAmbokile-xb4ut Жыл бұрын
Asanteh kaka kwa somo zuri, hakika masomo yako yananibariki na kubadilisha Maisha yangu kwa kiasi kikubwa Sana, ubarikiwe sana
@NasmaHamisi-fs8bq Жыл бұрын
Nmechelewa kuangalia lakin nmejifunza kitu Asante mungu akubariki kak
@shady-on4jxАй бұрын
Hapo kwenye msamaha mungu anipe nguvu
@GetaryAyera Жыл бұрын
Mimi nilikuwa narafiki yangu nilimpenda sana kumbe alikuwa wa kunpastress kazi yake nikunichunguza nakunisema vibaya na familia yake na kuniaibisha kila mahali😢😢.Sahi nimeshikwa nahasira na uchungu ndani yangu nimechukia kila mtu hapa nukiona mtu naonanikama nawakamoto ama machozi yanitiririke😢😢.hii Sasa nikiwa muda wa wiki mbili😢😢
Asantesana kwasomo zuri kiukweli uchungu umenitesa sana nakujiona sina thamani tena
@rachelmwasomola945 Жыл бұрын
Mungu akubariki brother kwa fundisho zuri 🙏🙏
@luciadaud9298 Жыл бұрын
Hua ninalia ndo napata uafadhali ila umenipa funzo asanta kaka nafwatilia sana vipindi vyako
@leilajoshua8251 Жыл бұрын
Nashukuru nitasamehe ili nipone sasa,ucchungu umeharibu Hadi malengo yangu😭😭😭😭
@RaynardNdauka2 ай бұрын
Asante sana kakaangu nimejifunza kitu naamini nitapona😢
@neemashirima61212 жыл бұрын
Mungu nisaidie niondokane na hili Roho la uchungu.
@geraldinejoyce38612 жыл бұрын
Mungu akubariki sana bro J nataman nipate msaada vile naweza kuachilia na kusamehe kabsa
@saumumagembe29562 жыл бұрын
Daaah kuna watu mungu kawashusha kwa ajili ya watanzania.... Thanks Allah 🙏
@logasiabaltazary9424 Жыл бұрын
Kaka jeol I wish one day nikuone live tuongeee maana naona ,naelekea ukingoni mwangu , walau nikikaaa nikaongea yaliyo moyoni mwangu nitahisi faraja.
@PaulinaSimtengu4 ай бұрын
Nakushukuru sana kaka joel mungu akulinde na akupe maisha malefu
@yohanasimtenda7483 жыл бұрын
Hii ni huduma yakiroho kabisa, tunabarikiwa brother
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Asante sana kaka Mungu akubariki kwa kazi nzuri anayoifanya kwa hakika tunajifunza mambo mengi sana kutoka kwako
@richardgregory4252 жыл бұрын
Uko sawa brother inauma hadi unaona huna haja yakuishi
@stellakins37703 жыл бұрын
Najitaidi sana kuondoa uchungu moyoni ..ila Leo Mungu nisaidie
@namnyakimollel68663 жыл бұрын
Umenigusa 100% Niko hivyo kaka Joel naharibikiwa sana na Mara nyingi tu nitajifunza zaidi maana nimekuwa hivyo muda tu hadi Leo yamekuwa maisha YANGU vile
@PaulMalyosi Жыл бұрын
Somo hili limenigusa San, niliwahi kuishi na uchungu ndan ya Moyo wangu lakin niliona kabisa sipaswi kuendelea kuishi haya maisha maana nilikosa kujiamin kuhusu mambo mbali mbali hasa mahusiano ila tunakosea ili tujifunze 😭😭
@maryjoseph4392 жыл бұрын
brother joel umenisaidia kwakiasi lkn natamani unisaidie zaidi mungu akubariki sana akuinue kwaviwango vingine
@frankbenandi87643 жыл бұрын
nimekuelewa joeli mi nakufatalia sanaaaa namoja yakitu kikubwa kwenye maisha yangu namuona mungu kupitia wew napata nguvu yakuinuka tena napitia wakati mugumu sanaaaa wakiisia nakibaya zaidi anae niumiza nimtu wangu wandani inauma sanaaaaaa 😭😭😭😭😭😭😭ila Imani yangu nainuka tena
@emamkuyu40613 жыл бұрын
Barikiwa sana,Kama unajua yaliyo kwenye mioyo ya watu.Endelea kuponya watu,wote walionokosea ninawasamehe kuanzia sasa hata kama hawajaniomba msamaha.
@rashiasleiman4864 Жыл бұрын
Nliumia sana na nimepata kama donda la moyo
@salamaoman81332 жыл бұрын
Asante kaka nimejifuza kitu kwenye somo hili nmefurahi
@sarahmwangamila44413 жыл бұрын
Asante kwa somo ,hii hali inanitesa sana maisha mwangu!
@miriamnawe17202 жыл бұрын
Asante Sana mch mungu azidi kukutumia zaidi Kila topik yako unayofundisha inagusa
@amarislam15893 жыл бұрын
Somo zuri assnte
@TumainiKileo-y2c Жыл бұрын
Asante sana kaka ,nimeishi na uchungu muda mrefu Sana ,nimejitahidi kusamehe bado uchungu haukuisha,nimegundua kosa langu nikuendelea kumzungumzia aliyenikosea
@BakaryAlly-r9c2 ай бұрын
Naanza kujifunza kutoka kwaki asant sana
@nyamkamawanjara293 жыл бұрын
🙏asante kwa ujumbe mzuri let me nisikilize
@hamdharashid21273 жыл бұрын
Mungu akujalie.
@Leghosamedia.tz12043 жыл бұрын
Nimeikubal sana na imenigusa hii bro Joel, Asante kwa somo zuri Mungu akubariki
@mwajumahaji82833 жыл бұрын
Asantee snaa kaka nimepona toka nimeanza kukufatilia asntee sana
@abelntobi3823 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJK3o3WBqtmkbbs
@danmarieedson97903 жыл бұрын
Asante sana Joel daaa umenifungua sana akili yangu. uchungu, stress, vimekuwa shida sana katika maisha yangu na kuniletea vidonda vya tumbo vya kila siku visipo pona na kufikia hatua mbaya Sana shukran naendelea kufuatilia sana vipindi vyako🙏🙏🙏
@pugnaagrifood72822 жыл бұрын
Yaaan
@salamaoman81332 жыл бұрын
Asante sana kaka maneno yako nimazuri sana zaidi ya sana yananipa furaha sana
@salamaoman8133 Жыл бұрын
Asante sana kwa maneni mazuri yanatia faraja sanaa
@badriabegu24693 жыл бұрын
Natamani npate no yko Dr wallah😭😭
@angelomary55424 ай бұрын
Umenifariji Sana kakangu ahsante
@MercyJulius-e3h Жыл бұрын
Kwakweli nimefraishwa sana na kipindi chako kaka nateseka sana natamani nitoke kwenye hii hali
@rosemarysulle92884 ай бұрын
Yaan uchungu nilionao,ni Mungu tu asimame nami.nikimuona huyo mtu natamani afe au mm nife nizaliwe upya kwa namna nyingine
@mwl.michaelsainethmlowe26413 жыл бұрын
Uchungu unaharibu sana familia nyingi na unafanya watu kuishi kama watu wanaoishi pembezoni mwa mto Amazon Mwishwe ukiwa na uchungu unajisikia kufakufa tu kwa sababu unajikuta huna thamani Thanks bro
@rahellongo99462 жыл бұрын
Asantee kwelii kuna nguvu katika msamha
@joshuamollel69933 жыл бұрын
Mung nimwema nimekua nikisononeka mda mwingine ila sasa nsomba tu nisamehe ILI nipo BG kak joel 🙏🙏
@assilaibra45633 жыл бұрын
Shukran Sana, Inanisumbua Sana hali Hii. Yan Nikisikia Jina lake tu Napata Hasira, Uchungu Mpaka Nalia. Ni Jana tu Usiku Nilikua ktk hali Hiyo .
@rahimaaaaa86993 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri sana
@mwaminindayishimiye44343 жыл бұрын
Ahsante brother kutupa somo nzuri saaana 😢😢😢😢😢😢
@hillarykelvin6303 жыл бұрын
Asante Sana Kwa soma zuri binadamu tunatakiwa kujifunza kutokana na makosa
@abelntobi3823 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJK3o3WBqtmkbbs
@doricekadushi3924 Жыл бұрын
Uchungu ulinifanya niwaze only solution ni kufa, maana nlifanya vyote hata kutanga msamaha kwa alienisababishia uchungu lakin bado haikusaidia Nashukuru Mungu ananipigania ipo siku nitakua sawa na nitafurahia maisha yangu tena
@ShaniaKing-o5d12 күн бұрын
Polee
@tatubadi90103 жыл бұрын
Ahsante kwa ushaur mungu akutunze broh.. Kuanzia Sasa nasamehe..
@MariaShemvuni5 ай бұрын
Ahsantee nimefarjika sana na kuanzia Leo nasamehe
@brendagray32813 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana nasubiri siku ntakaporudi kushuhudia..uchungu umetesa maisha yangu sanaa
@martinmaami58533 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri,,Naomba kujua ni namna gan naweza kumsamehe mtu ambae anakukosea au kukuumiza mara kwa mara na hakuna uwezekano wa kumuweka mbali na yeye?
@auntiemylee31573 жыл бұрын
Forgive but never forget the lesson u learned
@fhyubhhh28812 жыл бұрын
Mashaallah bro...
@nassraomar1442 жыл бұрын
Nice thanks allot i'm stat now
@ngubwene3 жыл бұрын
Asante kuponya mioyo yetu Ubarikiwe
@gabbyedward40792 жыл бұрын
Barikiwa Na Mungu. Somo lako limenifungua ufahamu kwa kiasi kikubwa namna ya kupambana na Hali ya Uchungu wa Moyo
@TinaChrishumba Жыл бұрын
Kaka Asante kwa kuiokoa nafasi yangu leo
@SaruniSimanga-dq2cu Жыл бұрын
Kweli teacher mungu akubariki sana
@salomekombo2153 жыл бұрын
Asnte sanaa broo joel kwa somo zur mung azid kukuweka🙏