Hii ndo content yako ya kwanza mimi kuipenda ❤ kwenye mazuri tunasifia ubarikiwe kwa kitendo cha kiungwana ulichofanya
@Paschal-t8p4 күн бұрын
Wewe ndo yesu sasa mi nakubali ww ndiye😅
@fistonnibigira1672 күн бұрын
Bra for what you did for the government please I wish one day I'm going to see you
@Chetu_Mc4 күн бұрын
Kk Ayo maisha mazur mm mwenyewe nayataka
@RamadhaniYahayamshihri3 күн бұрын
Sote tuna penda chifu asiee penda bas ujuwe ni mchawi baba
@mwakiosalim29144 күн бұрын
Chief God love wewe n Yesu kwa sababu unatimiza matendo yake hao manabii wanakupiga vta ndio haohao waliomkataa wakati wa uhai wake ctristo kwaivo misishangai
@Massy-g9c4 күн бұрын
Umepewa siku tatu na mchungaji
@japhetjonathan-l8n4 күн бұрын
😂😂😂😂naona unamkumbusha
@Exorcist-11114 күн бұрын
Hahaha 😂
@Azde1312 күн бұрын
Acha vitisho ..... Anaepanga umri wa kuishi ni Mungu tuu. Live peace guy.
@kinjekitilew4 күн бұрын
Kula maisha kaka mr money mr famous mtoto mdogo mwenye pesa nyingi hakuna kubisha ila nikuombe sana sana sapot yako kwangu naelewa uko bize sana mimi siitaji unipe pesa bali naitaji kuwa kama wewe nikuombe niwe natoa kidogo kidogo mpaka ntakapo maliza pesa yote mana kwasasa sina pesa yakulipa kwa pamoja nikuombe sana napitia wakati mugumu sana