Mungu ni mwema mh Nape kutenguliwa maana ki ukweli moyo wangu ulikuwa unaniuma kuona alivyomtukana Rais Magufuli akatenguliwa akaomba msamaha na akakubaliwa msamaha then baada ya Magufuli kufariki akaanza kumkebei kisa katangulia mbele ya haki 😢 hata uislaam unakataza kumsema vibaya maiti ila kwa mwamba huyu haikuwa ivyo Asante sana mh Rais Samia .
@florakankutebe39875 жыл бұрын
Safi sana, endelea kusamehe tu. Mungu akuzidishie moyo wa iman!
@simonmtuka84735 жыл бұрын
Mungu ni mwema tunashukuru kuona viongozi wetu wakisameheana kwa ajili ya taifa letu
@robertmwamboneke82955 жыл бұрын
Asante sana baba wa taifa letu unanipa jeuri sana mimi, yakuona fahari kuwa mtanzani na kuongozwa na rais mzalendo kama wewe big up my president 👏👏🙏
@zuwenakazoka555 жыл бұрын
Dah Kweli we ni Rais wa mfano, mungu akubariki na mungu akulinde, nawewe Nape uache kufuata mkumbo fanya kazi acha kufuata mkumbo.
@sebastiansalamba31310 ай бұрын
Mzee magu mcha Mungu kweli Kuna kitu kitakuja tokea Tz hii
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Baada ya kumtukana MHE magufuli na sauti zao zilisikilizwa sasa amekwenda kumuomba msamaha mhuu ndiyo hivyo mtoto akinyea mkono huukati ahsante sana MHE Rais magufuli
@jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын
Kenyatta wa Kenya pia ana moyo mzuri mno..Mungu Alimjalia sana roho ya msamaha na upendo
@evaristmandilindi61475 жыл бұрын
Angekua Mzee wa kasi MPYA muulize B seya
@solomonmpuluma2825 жыл бұрын
Rais wangu mpendwa, hata waseme nini mimi nakuomba uzidi kusamehe. Nakumbuka ukiwa na wahandisi ulisema "tunanwomba MUNGU atusamehe kama sisi nasi tunavyosamehe wengine". Naamini tusiposamehe nasi hatutasamehewa baba!! Mungu akubariki.
@erickmush71575 жыл бұрын
dah kwakwel rais wetu ni mtu wa watu hongera baba
@joycejoseph86325 жыл бұрын
Amejua 2020 mambo yanawez kuwa tofauti akose ubunge
@sululungasa38493 жыл бұрын
safiiii tujinze kusamehe R.I.P .JPM
@ebennbenn86385 жыл бұрын
Safi sana Nape na Rais kwa msamaha ulioutoa.
@fetymau53862 жыл бұрын
Mungu akupe kauli thabiti
@diamondplatnumz1395 жыл бұрын
sawaa bhANAAAAAA
@celestinshayo7295 Жыл бұрын
Huyu mnafiki hakuomba msamaha kutoka moyoni sasa hivi ameshakengeuka anakutukana sababu anajua huwezi kumfanya kitu tena. Ila wewe kama ulimsamehe kwa dhati kutoka moyoni basi hata Mungu ameshakusamehe ana amekupokea kwake upumzike kwa amani.
@tuwenasitv96955 жыл бұрын
RAIS WANGU MWENYEZMUNGU AKUZIDISHIE BUSARA NA UPENDO AMIYN
@margarethpolepole74386 ай бұрын
Mungu akulaze mahali pema peponi laanq imeshamtafuna hata kama alikuomba msamaha kukuita mshamba mama kamrudisha naye alikuwa anamsaliti inshallah mungu katoa jibu
@gmchats53354 жыл бұрын
Very very smartly dressed president ! Well done
@eliasthomas15476 ай бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu.
@husseinkakanga40823 жыл бұрын
Hivi kweli Nape haoni upendo huu wa muheshimiwa magufuli? Halafu bado unakuta anamzungumzia vibaya mzee wa watu lakini kikubwa ninacho kiona ni ubinafsi wakiuondoa umimi Mambo yatakuwa mazuri Ila watu wajifunze
@LukeUrioNEWS5 жыл бұрын
Be blessed my President.
@zenj19863 жыл бұрын
Baba bora ulivyochukuliwa na Mungu maana ungeona walivyokukengeuka ungeumia sannna.
@jumamwengwa46823 жыл бұрын
#Kauli zako zilikuwaga tata sanaa#😭😭
@patrickgeorgebinon32836 ай бұрын
Nakuaminia Sana MAGU R I P
@mkombozifreshoil6 ай бұрын
Dunia ngumu sana hii. Mungu ni mwema.
@husnmjuba49786 ай бұрын
“Eti unless yeye labda badae akengeuke!” Nitajitahidi sana kuheshimu kauli za wazazi.
@yusufrajabu84255 жыл бұрын
Uwo ndio uwanaume mbaba, nimekukubali nauye.
@solomonmpuluma2825 жыл бұрын
Wewe mjukuu wangu Nape, muungeni mkono na kumsaidia Rais. Msiwafuate hao wenye uchu wa madaraka watawapoteza. Ninyi ni vijana tunawategemea. Acheni ujinga. Nayasema haya kwa uchungu mkubwa.😱😢 Wasalaam, wako -babu yako wa lramba.
@magesagambajr35466 ай бұрын
Jpm alikuja km nabii nakaondoka kinabii na unabii wake umetimia -nimemsamehe akija kukenguka ni yeye mwenyewe -mtanikumbuka -Atakuja Rais wakuwabembeleza -mikataba ya hovyo itasaniwa na kichaa
@ustadhabdul-raufalmunaawiy66295 жыл бұрын
Safi sana Rafiki
@petersynto86345 жыл бұрын
Ama kweli unahofu ya Mungu binafsi nisingeweza ila nakutahadhalisha rais kuwa makini na watu kama hao adui ukiishamfahamu hupati shida na wataendelea kuumbuka wanaokuwazia mabaya
@MohamedBlanker-jw9qy6 ай бұрын
JPM apumzike kwa Armani
@jacobmsule51915 жыл бұрын
Ameen
@Freedom_fighters898 Жыл бұрын
Mzee tunaangalia video zako za zamani pumnzika kwa amani ila umetuamchia shida kubwa hukuwashungulikia vizuri hawa wahaini wanaiuza nchi kabisa 😢
@ManfaceFildoline-h1i6 ай бұрын
👍
@Al.habeebAl.habaaib6 ай бұрын
Mahufuli ndio alikua kiboko wao😢
@radaonlinetv19223 жыл бұрын
Magu ww nimtu ambae nakukubali xna.
@peterjohnson1672 жыл бұрын
NAPE Nenyau ni mnafki tena muuaji.
@nijosenso26915 жыл бұрын
game starting man😂😂😂
@raphaelmoses2522 жыл бұрын
Umesamehewa lakini pia ukamzunguruka
@zuzadomikano37656 ай бұрын
NYANGARAKATA WEWE MAGU UCHOMEKE HUKO ULIKO BADO ULOKUA UNAWATUMA KUUA NAKUDHULUMU KAMA (WAZIRI WA ULINZI WAKATI WAKIKWETE HATA WEWE {DR .MWINYI ,LAGULOO, MCJEMBE } MYAPATE MNAYO STAHIKI POPOTE WENZIO WALIOPO .....
@mbwanarajab47563 жыл бұрын
KUJIKWEZA NI KUBAYA MNO , KWANI WEWE UMEMDHALILISHA NAPE , AU WEWE UNAYOYAFANYA YOTE UKO SAWA? KWA MUNGU KUNA KAZI KUBWA MNO...
@abeidramadhani65232 жыл бұрын
Hakika maguguli alikua na maadui wengi mno
@hamzachipisya52353 жыл бұрын
Alijiona km #MUNGU MTU
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Baba pumzika kwa amani kwa kumsamehe
@ambelemwakalobo33273 жыл бұрын
Kwani alikosa Nini mbona mmasehe
@brandinamarco23355 ай бұрын
Ameishakengeuka unabii umetimia
@barnababoy18685 жыл бұрын
Ila hata kama wamesamehewa yale maneno walisema yalitoka moyoni kabisaa 😂😂.. kuomba msamaa ni nidham ya uwonga tu
@pendohumphrey75885 жыл бұрын
Wamesoma nyakati wameona wameona wanaweza kukosa ubunge, wakaona njia sahihi ni kujipendekeza ili wasipitwe na uchaguzi, lazima serikali iwe makini na hawa watu