'Mzee Kikwete aliniambia neema inakaa kwenye tumbo la shari' - Nape Nnauye

  Рет қаралды 291,893

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amekutana na wazee wa jimbo la mtama na kuzungumza nao.

Пікірлер: 135
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
Lamsingi tuombe dua na uhai,asante kaka nape na Leo hii tena unerudi nafasi yako ya uwaziri.mungu akubariki
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 5 жыл бұрын
Lipo jambo jema mbele! Ahsante kwa maneno ya Imani.
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 6 жыл бұрын
lowassa mgonjwa ana jinyea ,mara ooh oil chafuu,matokeo ya kauli zako chafu,mungu alikujibu.tafakari.
@bahatigwivaha9696
@bahatigwivaha9696 6 жыл бұрын
Naomba tofauti ya MFA maji na Mwanaharakati
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 6 жыл бұрын
nimefurahia sana hotuba yako Nape,inatia moyo sana ,niko napitia hali ya kutolewa pahala pazuri na kupelekwa pahala kijijini kama wewe,ila sinashaka kwamba naandaliwa kitu kizito hapo mbele.
@muhsinibinfaridi1685
@muhsinibinfaridi1685 5 жыл бұрын
Huyu jamaa nimemchukia saana mambo yanamgeukia mungu analipa hapa hapa dunia yaani unadhani bila wewe ccm itakufa
@CamusatTanzania
@CamusatTanzania 5 жыл бұрын
Namwomba sana mheshimiwa JPM atupe mrith sahihi sana wa nchi hii na sio watu kama hawa.
@nasororamary6566
@nasororamary6566 7 жыл бұрын
very nice nappe
@Purity493
@Purity493 7 жыл бұрын
very nice
@allyalijai7143
@allyalijai7143 6 жыл бұрын
matusi makubwa haya tena Sana kwa sisi wa daraja la chini
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 2 жыл бұрын
Yani nape unachekesha hapo nskamanda mwenzie mbowe yupondan awyndomlipanga ili mlebata kuwafunga nakuwafukuza nchin mmbaki wenyewr
@thomasrabare2123
@thomasrabare2123 7 жыл бұрын
Nape hakikia we jembe.Kwa kutuliza dhoruba hadi jimboni kwako!.I believe God will keep on upholding you.
@gabrielmbelwa1410
@gabrielmbelwa1410 5 жыл бұрын
Huyu jamaa yupo vizuri.
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 7 жыл бұрын
unaweza siasa mungu akutie nguvu.
@rashidsuke1620
@rashidsuke1620 7 жыл бұрын
Nape 2020 gombea uraisi nitakupa kura yangu japo sijawahi ipigia ccm kura ila kwa wewe unafaa
@MylerWyson
@MylerWyson 7 жыл бұрын
MI KURA YANGU NIMESHAMPA
@gonzaga8571
@gonzaga8571 5 жыл бұрын
Jamaa yuko vizuri
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 5 жыл бұрын
Mmh! Sawa nimekuelewa KIONGOZI.
@nestor384
@nestor384 4 жыл бұрын
Huyu jamaa kinachomgharimu ni kujiona mkubwa zaidi kuliko uhalisia wake. mboyoyo nyingi sana!!
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 жыл бұрын
Simpendi sijui hata kwanini
@sifasanga7866
@sifasanga7866 7 жыл бұрын
Nape mimi nakupenda sana mambo yako.....Komaa ipo siku. Japo nawewe ni binadamu kuna vitu hauko sawa....but hiyo kawaida tu
@wahisiatv2871
@wahisiatv2871 6 жыл бұрын
sifa sanga .
@fadhilfiradhii535
@fadhilfiradhii535 5 жыл бұрын
99sifa sanga
@japhetnzunda5421
@japhetnzunda5421 6 жыл бұрын
Nakuerewa sana kaka nape
@aminbakari5595
@aminbakari5595 6 жыл бұрын
umeendelea na mtazamo huo katika kipindi hiki unachopita ungeimatika sana. emitions ulizoonesha ktk kushughulikia suala la makonda inadhihirisha ulikuwa unataka deal na personality zaidi
@abuumbegu8657
@abuumbegu8657 2 жыл бұрын
Siasa za ngonjera zimerudi watu wanazungumzia historia zao za vyeo binafsi badala ya kuzungumza tutapigaje hatua!!!
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 5 жыл бұрын
Very bright
@qadirisonyo2830
@qadirisonyo2830 7 жыл бұрын
bado hujakomaa wala hujaiva,mm sidhani kama bastora ndio tatizo.kama ipo ipo tu kwako, ridhiki yako hachukui mtu.
@afrimexuk
@afrimexuk 2 жыл бұрын
Wewe kweli Msanii. Mr Polepole ame taja wahuni wapo na wewe una fanana nao kidogo😀😀
@edwiniedwin3347
@edwiniedwin3347 5 жыл бұрын
Umekomaa kk mkubwa sema upande uliopo ndo shida
@zahorokasentisenti2575
@zahorokasentisenti2575 5 жыл бұрын
Huyu jamaa huwa cmuelewaki ni snachi tu ndoo maana magufuli alimtumbuaa
@mako331
@mako331 7 жыл бұрын
hivi ingekuwa mawaziri wote wanahangaika hivi wakiondolewa uwaziri basi nchi isingetulia, huyu jamaa hichi kitu chakuondolewa kinamsumbua sana, wanasaikologia wanaelewa
@spoasaule9865
@spoasaule9865 6 жыл бұрын
ndy anafanya defense mechanism ya ku potezea msongo wk
@hamisi8
@hamisi8 7 жыл бұрын
Steve Nyerere alisema Nape ni msanii mwenzetu, He was right yaani baada ya kuwanyima watanzania haki yao ya kuona na kusikiliza bunge Live leo unajifanya ni shujaa wao ajabu.
@josephgomalo41
@josephgomalo41 7 жыл бұрын
Aliyemuondoa ili kutetea vyeti feki vya bashite .. ndiye aliyekataa kuhusu vipindi vya bunge.. kwa kubana matumizi.. isitoshe.. kuna faida gani katika kuonyeshwa matangazo ya Bunge kama yalivyo..? Kama wabunge wako serious na kazi zao.. tuone zahanati, barabara, miradi ya kilimo, masoko ya wakulima na bidhaa za viwandani na maisha bora kwa watazania.. WHETHER SEEN LIVE ON TV OR NOT..! Uwe na akili.. watanzania wangapi walio wengi wa vijijini wana Tvs za kuangalia bunge wakati hata umeme hawana..?? Wake up .. kuna vitu vya msingi zaidi kuliko matanganzo ya bunge..!! Ulikuwa unataka uangalie nini? Pumba..??
@hamisi8
@hamisi8 7 жыл бұрын
ni haki yao ya kikatiba wana haki ya kujua namna gani pesa zao zinatumika, kutokuwa na TV hakuwanyimi wenye nazo haki ya kutazama, inaelekea hata katiba huijui hizo sio kazi za wabunge to u access to information is not important no wonder why u have no clue bunge's constitutional duties are !!? wake up
@josephgomalo41
@josephgomalo41 7 жыл бұрын
Haki yao wasiyo weza kuitumia kwa sababu waliowachagua hawatafuti jinsi ya kuwaletea maendelea watu wao..? Mimi sishangai kwa uwezo wako wa kufikiri.. unafikiri malumbano ya bungeni bila mabadiliko ndio starehe ya watanzania wakati hali yao ya maisha haibadiliki.. !! Ndio maana Tanzania itabaki jinsi ilivyo.. ungekuwa na uwezo wa kufikiri ungejua kwamba.. matangazo ya bunge sio ya lazima kama maendeleo ya watu ambayo yangewawezesha kupata matangazo hayo hata kwa makampuni binafsi ambayo wangeweza lipia wenyewe kutokana na uwezo wa kifedha ambao ndio wabunge na viongozi wanatakiwa wafanyie kazi kutengeneza.. ! Na ndio maana hutakiwi kumshabikia bashite kuvamia ofisi binafsi ambazo watanzania wa Clouds au Tongwe records wamejiwezesha kuzijenga BILA msaada wa serikali.. Huo ndio uwezo binafsi unaomwezesha mmiliki wa biashara hizi na nyinginezo asitegemee KODI kupata matangazo ya bunge .. ili kodi hizo zitumike kwa zahanati na shule ambazo zinahitajika zaidi ya matangazo ya bunge.. JALI UWEZESHAJI SIO MATANGAZO YASIYO NA TIJA WE MSENGE..!!. I dont expect that from you scumbag.. Ciao!
@hamisi8
@hamisi8 7 жыл бұрын
access to info is paramount in order to bring changes you have suggested friend i give u on empowerment since i own and run my own business. u sound like a nice and reasonable guy to chat with but u need to learn how to restrict and control your temper so we that we can have meaningful exchange of ideas God Bless
@josephgomalo41
@josephgomalo41 7 жыл бұрын
Access to information can be through an Act enacted by the parliament.. by which you could summon the delivery to your address of DESIRED information to you in order to be informed of what your government has achieved in changing your life,.. the lives of people or fulfilling campaign promises as a citizen.. You dont have to cry for free parliamentary TV broadcasts of fruitless squabbles.. DEMAND EFFICIENCY FROM YOUR ELECTED MEMBERS.. which can be achieved by safeguarding freedom of press.. which Nape fought for and got punished for..!! and refrain from desiring watching parliamentary sessions as entertainment that does not yield into people's lives change.. which proves to be the trend today .. where politicians arent held responsible..!! Sheria inayo kuruhusu kupata ripoti za serikali ambazo zinajibu maswali yako kuhusu maendeleo na ahadi za viongozi ndiyo unatakiwa upiganie.. sio episodes za Halima Mdee kumwita spika wa Bunge "fala".. wakati wananchi wa Ruaha hawajui kusoma na kuandika na hawana TV wala umeme..! Sheria inayolinda uhuru wa vyombo vya habari ndio unatakiwa upoiganie sio kumtetea bashite anayevuruga jilo ILI UDAE MATANGAZO YANAYOLIPIWA NA KODI ZA WANANCHI..!!!?? Ninavyojua wantanzania wana mahitaji tofauti.. wewe unataka free TV inayolipiwa na kodi; wengine wanataka huduma za afaya na elimu. You must be stupid.. Utaniita mwenye hasira kwa sababu watu kama nyie mmekuwa wapumbavu mno.. Mmesahau kwamba Tanzania sio Dar, Arusha, Mwanza na Dodoma mjini peke yake kuona kwamba matangazo ya bunge ni muhimu kuliko ELIMU YA WATU WAZIMA au madawati na walimu na mishahara yao .. ambayo utashangaa kama ungeenda vijijini na kuongea na watanzania wa vijiji vilivyo mbali na rada..! Ungeona kuwa idadi ya wasiojua kusoma na kuandika imeongezeka lukuki.. nyie wasenge..Think of that.,.. dickheads..Ciao again for good.
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 7 жыл бұрын
we mwanasiasa kweli.nimekukubali.Baba
@khamissalim3934
@khamissalim3934 7 жыл бұрын
Joel Justin Mhavile ni mwanaharakati nape cdhani kma anastaili kuwa mwanasiasa
@georgemihango71
@georgemihango71 6 жыл бұрын
Nape una karama ya uongozi! Mazungumzo yako yanavuta hisia za wasikilizaji!
@dennislwmi2556
@dennislwmi2556 7 жыл бұрын
mi sio ccm ila Nape mtumkubwa sana
@msafilyngeze4202
@msafilyngeze4202 5 жыл бұрын
DENNIS LWMI reo.unararamika.nini.uriwambia.wanaichi.jimbo.rabusanda.kuwa.nikupe.ukawafananisha.ngombe.ikisha.chunwangozi.kupe.inagangania.reo.unaramika.nini.wewe.nimunafiki.hapa.kazi.tuu
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 4 жыл бұрын
Laiti ningekuwa Nnape mmh
@kechbowcech3325
@kechbowcech3325 5 жыл бұрын
Ccm haina shukran ....imewakimbiza watu kibao ....acha wewe.. acha Nchemba.. Leo wazir wa biashara.... movie inaendelea.. sijui siku yatakapo mkuta Makonda.... naomba yasitokee... Ambebe.... wasukuma hatubaguani..
@mutakabaka5481
@mutakabaka5481 7 жыл бұрын
sasa umeiva Nape, tuna hazina nzuri..
@adinanjuma2457
@adinanjuma2457 7 жыл бұрын
Katika yote niliyofurahi ni Vibarakeshia vimetulia tuliiiiii Kanisani....Mmmmmmh watanzania tunamengi mazuuuuri sana ya kujisifia na kuyaheshimu.... Sisi ni zaidi ya ndugu
@simonsadala2386
@simonsadala2386 6 жыл бұрын
Adinan Juma hakika wametulia mahali patakatifu
@zaidiselemani8962
@zaidiselemani8962 6 жыл бұрын
Nape hajakubali matokeo.
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 жыл бұрын
Tanganyika hakuna dini hapo muislam anasheherekea Xmas tena sio kwa bahati mbaya bali ni kila mwamba tena kwa makusudi.
@mohamedkimara4574
@mohamedkimara4574 6 жыл бұрын
Kiongozi ananikumbusha hadith ya kuku alivokua anamcheka ng'ombe kuandaliwa kuchinjwa kwa ajili ya mgeni, bahati mbaya mgeni akaja ucku na ananjaa alafu kaja peke yake. Ikabidi kuku achinjwe ng'ombe akanusurika. Kwa uongozi huu wa doctor viongozi simamieni haki mkiwa uwanjani tutawaona waongo mkitaka kufunga magoli mkiwa bench
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Hawa ndiyo wanajifanya Tanzania ni mali yawo binafisi. Wanajuwa sana. Wanaongea na sauti kubwa. Wanajifanya ni Watanzania bora. Wanateuliwa bila ujuzi kwa kujuwana. Wana jeuri isiyokuwa na mufano. Watu wanawapigia makofi kwa kuzungumuza ujinga. Wameitafuna Tanzania na kuiacha mifupa mitupu. NONSENSE
@fidelisanthonymalley7327
@fidelisanthonymalley7327 6 жыл бұрын
sawa kabisa Adinani
@alexngao9176
@alexngao9176 7 жыл бұрын
respect mzz
@loner_wolf
@loner_wolf 2 жыл бұрын
Na huyo aliyekijijini hajui kesho atakula nn na watoto wake NEEMA yake ipo wapi kama wwe umekuwa waziri na mbunge na bado unasubir neema duh , nchi hii ya kikosi cha watu kweli .... Alafu stori za kupiga vibibi na wajukuu zao , unawasimulia watu wenye majukumu yao na hawajui watayatatua vip wanakupigia makofi
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 5 жыл бұрын
Pamoja xana mkuu
@edwinsifaeli4305
@edwinsifaeli4305 6 жыл бұрын
Nape kwakuchekesha upo.sema babaaa
@gideonluwongo207
@gideonluwongo207 5 жыл бұрын
Nani amesikia nyimbo za kuabudu zinazoimbwa upande wa pili,tujuane hapa.
@falesy98
@falesy98 5 жыл бұрын
Napeeeee
@simonmagaigwa5496
@simonmagaigwa5496 2 жыл бұрын
Nape huwezi kuwa rais wa nchi hii.
@isayamganule1741
@isayamganule1741 2 жыл бұрын
Nan atalikomboa taifa hili kama Jk NYERERE out,mkapa out and then wakamtoa Magufuli
@salimalamri5897
@salimalamri5897 7 жыл бұрын
you are good more than magufuli
@maximiliannestor5358
@maximiliannestor5358 7 жыл бұрын
komaa
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Yesu alimwambia Petro "iko siku utafungwa mikono na kutumwa usikokujua ama kutaka". Huo ndio utumishi wa umma. Sio kupangwa kuzuri kuzuri tu. Wazee wana maono ndio waliolea viongozi tulionao. Vijana jifunzeni utii na unyenyekevu.
@CamusatTanzania
@CamusatTanzania 5 жыл бұрын
Maneno mengi sana ambayo hayatusaidii chochote, ni kujifariji wewe mwenyewe binafsi. Mi sijawahi kukubali leadership yako.
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 жыл бұрын
Haupo peke yako
@masoudkallunga196
@masoudkallunga196 2 жыл бұрын
Huyu jamaa toka shule ya msingi bukumbi alikua mnafiki kila anachokiona anaenda kumwambia mama yake alikua mwalimu
@mamymamiza2924
@mamymamiza2924 5 жыл бұрын
Sasa kawawa hakumnunua kocha wewe mbona unamuhujumu kocha wako???
@shebbywanammurun9612
@shebbywanammurun9612 5 жыл бұрын
Nakumbuka ulivyozuia bunge, nakumbuka ulivyoahidi ccm kushinda hata kwa bao la mkono. Najua ulitegemea kulipwa uwaziri kwa kuwa master plan wa kuiba kura ,leo unaumia sana. nakumbuka ulivyomtolea bastola Mwambe masasi , umevuna ulichokipanda.
@aminbakari5595
@aminbakari5595 6 жыл бұрын
nape husemi kweli kocha wako wa sasa inaonekana utamchukia
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 2 жыл бұрын
Wewe ni mnafiki uwez urais nape
@ntegrity277
@ntegrity277 2 жыл бұрын
Kwahiyo Nape unawaza siku moja utakuja kuwa Rais ndoto nzuri komaa
@yusuphkassimu227
@yusuphkassimu227 2 жыл бұрын
Kwa tukio la juzi naona jambo Kwa nape
@chrissenciambwilo3097
@chrissenciambwilo3097 5 жыл бұрын
Nape unataka kuwaaminisha watu kuwa shetani akizeeka anakuwa malaika huwezi kuwa hivyo watu tunaakili wewe ni kete mnatengeneza plan watu wakuamini baada ya bao lako la mkono
@josephhaule6309
@josephhaule6309 6 жыл бұрын
njooo cdm tupige kazi huko unapoteza muda.
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 6 жыл бұрын
mambo mazuri kwako wewe nape, wananchi wa masasi umewape nini muda uloka hapo, vijiji ni vilevile tangu enzi za nyerere. siasa nyingi tu
@tzommyoriginali9144
@tzommyoriginali9144 7 жыл бұрын
ukigombania ulaisi unapata bila wasi wasi kwachama chochote kile
@saulmwakyusa1001
@saulmwakyusa1001 7 жыл бұрын
kwahiyo unataka kua rais karibu sana
@nasibumparomparo7166
@nasibumparomparo7166 5 жыл бұрын
kaka natamani sasa uje kigoma japo ufanye mkutano mmoja tu kaza buti Zahabu mpaka ipite kwenye moto
@shabanimtua8486
@shabanimtua8486 7 жыл бұрын
Nappe hapo ni kanisani au ni ukumbi gani?
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 5 жыл бұрын
Ni msikitini
@benisayo7370
@benisayo7370 5 жыл бұрын
Nape hazina iliyofichika
@ahmedshaweji2636
@ahmedshaweji2636 7 жыл бұрын
Wee ni mwanaharakati
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 Жыл бұрын
Hakuna kitu hapo maigizo ngonjera napita naenda rombo mkuu
@silvernusobeidy4072
@silvernusobeidy4072 7 жыл бұрын
Nice boss
@avetealimasi2262
@avetealimasi2262 7 жыл бұрын
watanzania wasiokuwa na mtazamo wa siku ya kesho muko hatarini kwa kuihuza nchi.
@kaijagearajabu4417
@kaijagearajabu4417 7 жыл бұрын
Kwema rakini na kuku bari sana
@aliyidrisa1536
@aliyidrisa1536 2 жыл бұрын
Umenena haki
@lawrenceoctavian2740
@lawrenceoctavian2740 Жыл бұрын
Story zako zinatusaidia Nini sisi watanzania hakuna future hapo
@willymwaka2692
@willymwaka2692 7 жыл бұрын
Sio siri, nilikuwa sina imani sana na CCM, ingawa ndio iliyonilea mimi pamoja na wazazi wangu, lakini kama watakuwepo viongozi kama huyu Nape jinsi anavyoongea" ukweli daima fitina kwake mwiko"ninaweza anza ipenda ccm kama watapatikana kama hawa 10 ndani ya chama. SAHAU KUHUSU BAO LA MKONO.
@fidebaraka4451
@fidebaraka4451 6 жыл бұрын
Wachen aseme ukweli kwan c alikuwa mwana propaganda ..kwa kila uchaguzi...hamtak atoe siri zenu
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Masikini Watanzania nawaonea huruma. Wanapinga makofi mpaka mikono unawauwa kwa kutapikiwa na Huyu jambazi.
@rebekakyando4271
@rebekakyando4271 6 жыл бұрын
Mimi Co ccm na wala cjawahi penda ccm ila Nape namkubali sana
@chrisantgeorge3677
@chrisantgeorge3677 5 жыл бұрын
Mzee wa magori ya mkono Tanzania
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Wanaomba kukabidhiwa kazi wakati wengine wanapiga kiatu kutafuta kazi. Wanateuliwa hata elimu hawana, wenye elimu wanaachwa kwenye shelves.
@masukahima1023
@masukahima1023 7 жыл бұрын
Nape una akili yakinifu. One day yes neema yako inakuja
@lsacktibet4848
@lsacktibet4848 7 жыл бұрын
wewe umekomaa kama Mimi
@zenamilanzi1471
@zenamilanzi1471 7 жыл бұрын
humeni fulaisha hayo maneno
@tanstudiotv
@tanstudiotv 2 жыл бұрын
Wapumbavu wala nchi hawa
@kalamuyantajajr2605
@kalamuyantajajr2605 5 жыл бұрын
Wewe ni kati ya wanasiasa wachache waliobaki ambao nawaelewa sana tena sana.
@azizaahmed2219
@azizaahmed2219 7 жыл бұрын
good
@deomakanda5308
@deomakanda5308 7 жыл бұрын
Aziza Ahmed hi
@deusdedithkitaly8337
@deusdedithkitaly8337 5 жыл бұрын
ingekuwa chadema uchochezi haya bhana
@rosemarymwandu6426
@rosemarymwandu6426 6 жыл бұрын
Huna lolote, wananchi wa mtama huna la maana ulofanya, Jipange
@DrMBOYA-yh3mo
@DrMBOYA-yh3mo 7 жыл бұрын
Hakika Mheshimiwa Nape amekomaa sasa hamia CHADEMA
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Kwa hiyo tukutegemee wewe kuwa Rais wa Tanzania, basi nchi imekwisha. Kwa HAYO mutatupiga risasi tutasimama na mawe.
@bakariali4026
@bakariali4026 7 жыл бұрын
kwa iyo mzee una mpango wa kua raisi?na ukiwa raisi yule mkuu wa (,,,,,)vp si utamlipiza au
@peterjohnson167
@peterjohnson167 2 жыл бұрын
Mafisadi wapo mbioni kurudi kwenye serekali hahahahaha. Mwisho wa enzi za CCM 2025.
@paulmwarabu6685
@paulmwarabu6685 7 жыл бұрын
MIMI NIMEKUELEWA SANA
@alhaj.simbabhananomasanaku5240
@alhaj.simbabhananomasanaku5240 6 жыл бұрын
nape hajutii kutolewa uwaziri maana anamtaji mkubwa kuliko alivyopewa huo wadhifa wa uwaziri ,hii message ikufikie wewe unayesema kuwa kutolewa kwake uwaziri kunamhangaisha
@allyalijai7143
@allyalijai7143 6 жыл бұрын
unalalamika hali duni ya kimaisha nyumba, maji, na huduma zingine za kijamii kwani watu wanaoishi huko wao ni vyuma. Ishi kulingana na mazingira bwana kwa hiyo wewe ni binadamu ila wamakuwa, wamakonde na wamwera wa masasi wao ni wanyama.
@rashidihamis6202
@rashidihamis6202 5 жыл бұрын
nyie munao coment hapa mumemuona sheikh gan hapo au kuvaa kofia na kufuga ndevu ndio usheikh jaman,
@irineinnocent5234
@irineinnocent5234 7 жыл бұрын
Nape ni ule uwaziri tu au kuna lingine?
@gitu4me
@gitu4me 7 жыл бұрын
imemuuma sana
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
wazee wamefuraaahi kwa hizo porojo
@melisaallysa6485
@melisaallysa6485 5 жыл бұрын
mikia ishakatwa
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 жыл бұрын
Anayemsikiliza huyu ni zuzu Kama alivyo yeye. Nape hata ujisafishe ww ni muhuni katika taifa hili.
@petermlay104
@petermlay104 7 жыл бұрын
Una ndoto za kuwa rais, kwa style hiyo sijui
@shekhekassim6402
@shekhekassim6402 6 жыл бұрын
Wewe muongo acha wivu..
@kusekwasita1576
@kusekwasita1576 5 жыл бұрын
Ahahah paniki
@zuleajuma1734
@zuleajuma1734 7 жыл бұрын
wewe mkari sana urais wako
@mahamudumgongolwa2478
@mahamudumgongolwa2478 7 жыл бұрын
Wewe ni mashine
@meesipro6799
@meesipro6799 6 жыл бұрын
Naona mashehe wengi alafu nyuma kabisa naona msalaba
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 5 жыл бұрын
Chezea penye kula wewe
@yasinimwinyi371
@yasinimwinyi371 7 жыл бұрын
BILA SHINGO UPANDE ,KWA MARA YA KWANZA NATAMKA KWA KINYWA CHANGU ....NAPE RAIS WANGU
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 34 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
LIVE SCENE, NAPE akitolewa Bastora Hadharani. KITENGE AAMULIA
2:27
Junior Syaary
Рет қаралды 654 М.
Kwa Hili  Nape  Aweka Historia ya Mwaka
11:42
Global TV Online
Рет қаралды 74 М.
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Millard Ayo
Рет қаралды 1,3 МЛН
IQ Level: 10000
0:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4 МЛН
Ах как прекрасно
0:17
Флюр Хафизов
Рет қаралды 25 МЛН
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 5 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
0:34
A4
Рет қаралды 22 МЛН