We Usheikh Umeupata Wapi ? Na Wewe Usharifu Wako Wa Kuiga Tu Bila Ya Kusoma Wacha /Sheikh Samir

  Рет қаралды 20,230

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@cholombuda1658
@cholombuda1658 Ай бұрын
Mungu atuhifadhi waislam sote tuwe kitu ki1 insha'Allah
@mariamsefu825
@mariamsefu825 Ай бұрын
Maa sha allah shekhe wetu kipenzi m/mungu akuhifadhi
@AllyTwaha-q3v
@AllyTwaha-q3v Ай бұрын
Maashaallah mudiir wetu maahad juneyd islamiy ❤❤ àllàh akujaalie afya njema
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib Ай бұрын
HIVI NDIO INAVYOTAKIWA KUTUMIA FURSA ZA HADHARA KUKUMBUSHA WATU NA KUWATAHADHARISHA NA MAOVU. SHUKRAN SHEIKH SAMIRI
@Zafarmohamedy
@Zafarmohamedy 3 күн бұрын
Saw sawa kabisa kaka 😂
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Ай бұрын
Mashehe kwenye Uislamu hkn mafuta ya Upako acheni hila hizo ,Kishiki yupo sawa
@bagalucha
@bagalucha Ай бұрын
Upotevu lazima utazaa mabaya,tukitengeneza mambo ambayo Allah na mtume wake hakuyaelekeza,ama kwa njia moja au nyingine, kutazaliwa ubaya ndani yake.
@abdallahal-khaify
@abdallahal-khaify Ай бұрын
Hakika huo ndo ukweli
@AhmadRibaat
@AhmadRibaat Ай бұрын
Mashaallahu mudir
@TpPt-do5vg
@TpPt-do5vg Ай бұрын
Kuna jini anaejiita ruhan mara nyingi huingia katika mwili wa mwana Adam na kumfaanya huyo mwana Adam kuamtu wadini na mwenye kupenda qur, an mwisho anamtia kwenye uganga na kujifanya msomi binaadam huyo Bila kugundua anaweza kujiona sharifu kumbe jini kashamvaa.
@AngumbwikeNdumbwinee
@AngumbwikeNdumbwinee Ай бұрын
Hujui hujui hujui kaa kimya unatia aibu
@SmilingBocce-gj9jx
@SmilingBocce-gj9jx Ай бұрын
Wewe ndio hujui kenge we kaa kimya​@@AngumbwikeNdumbwinee
@abuusabeel5934
@abuusabeel5934 Ай бұрын
Nani kakudanganya kia ruhani ni jini.
@VuaiAli-zt9ib
@VuaiAli-zt9ib Ай бұрын
Hujui hata maana ya Mtu kuitwa Sharifu.
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂​@@AngumbwikeNdumbwinee
@SalumMzee-cw8do
@SalumMzee-cw8do Ай бұрын
Mtume Muhamadi s a w alitabiria mwisho Dunia watazuka wafuas Wa Mash Dajal kabla hajafika yy tukiona dalili hizi kiama Kiko tayar tuombe Allah atujaliye khatima
@maalimhamad1297
@maalimhamad1297 Ай бұрын
عن أَبي هُرَيْرَةَ، قال: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: يَكُونُ فِي آخِرِ الزَّمَانِ دَجَّالُونَ كَذَّابُونَ، يَأْتُونَكُمْ مِنَ الْأَحَادِيثِ بِمَا لَمْ تَسْمَعُوا أَنْتُمْ، وَلَا آبَاؤُكُمْ، فَإِيَّاكُمْ وَإِيَّاهُمْ، لَا يُضِلُّونَكُمْ، وَلَا يَفْتِنُونَكُمْ ABUU HURAIRA SWAHABA HUYU WA MTUME WA ALLAH S.A.W ANASEMA AMESAEMA MTUME WA ALLAH REHMA NA AMANI ZIWE JUUYAKE KATIKA ZAMA ZA MWISHO WATATOKEA MADAJAALI WENGI WAONGO WENYE HILA NYINGI WATAPELI WAKUJIENI MA MANENO AMBAYO HAMJAWAHI KUYASIKIA NYINYI WALA MABABAZENU BASI OLEWENI NYINYI NAWAO MKIWAFATA WATUHAO KUWENI MAKININAO NA MCHUKUE TAHADARINAO WASIJEKUKUPOTEZENI KISHA AKASEMA MTUME سيأتِي على الناسِ سنواتٌ خدّاعاتٌ؛ يُصدَّقُ فيها الكاذِبُ، ويُكذَّبُ فيها الصادِقُ، ويُؤتَمَنُ فيها الخائِنُ، ويخَوَّنُ فيها الأمينُ، وينطِقُ فيها الرُّويْبِضَةُ . قِيلَ : وما الرُّويْبِضةُ ؟ قال : الرجُلُ التّافِهُ يتَكلَّمُ في أمرِ العامةِ KISHA ZITAWAJIA WATU ZAMA ZA HADAA NA UDANGANYIFU MTUMUONGO NDIO JAMII ITAMUONA MKWELI NA MKWELI ATAONEKANA MUONGO NA MTU MWENYEHILA NA HIYANA KATIKA DINI NDIO ATAAMINIWA NAMTU MWENYE PUPA NA UCHUNGU WADINI HATAAMINIWA NAWATACHUKUA NAFASI YA KUONGEA MBELE ZAWATU NA KUSIKILIZWA NA KUFATWA WATU WASIOKUA ELIMU WALA MACHUNGU YA DINI NALENGOLAO NIKUTAKA KUWAPOTOSHA WATU Nasaha zangu kwa waislam hawa watu ni moja kati yawale masihi dajaal aliowataja mtume kuweni na tahadharinao sana wallahu aa3lam MAZINGE NA HAO WENZAKE WOTE HAPO HAMNA HUNA ELIMU YA DINI WALA HAMJUI CHOCHOTE KUHUSU DINI NAKUPA NASAHA MMELINGANIA DINI BILA ELIMU SIO JAMBO DOGO MBELE YA ALLAH LAKINI SASA MNALINGANIA SHIRKI ILIOWAZI KWA SABABU YA THAMANI NDOGO YA CHUMO LA DUNIA NA HICHO MNACHIKIFANYA SIO JAMBO GENI MTUME ALISHATAHADHARISHA NA WATU KAMA NYINYI NA HAO WATU WENU WAMAULIDI WANALIJUA HILO LAKINI KWASABABU UMEJIEGEMEZA NA NGAO YA MAULIDI HAKUNA ATAKAELIONA HILO ANGALIA MTUME S.A.W NINI ALIONGEA KUHUSU HAYO MNAYOYAFANYA (7) عن أَبي هُرَيْرَةَ، قال: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: يَكُونُ فِي آخِرِ الزَّمَانِ دَجَّالُونَ كَذَّابُونَ، يَأْتُونَكُمْ مِنَ الْأَحَادِيثِ بِمَا لَمْ تَسْمَعُوا أَنْتُمْ، وَلَا آبَاؤُكُمْ، فَإِيَّاكُمْ وَإِيَّاهُمْ، لَا يُضِلُّونَكُمْ، وَلَا يَفْتِنُونَكُمْ ABUU HURAIRA SWAHABA HUYU WA MTUME WA ALLAH S.A.W ANASEMA AMESAEMA MTUME WA ALLAH REHMA NA AMANI ZIWE JUUYAKE KATIKA ZAMA ZA MWISHO WATATOKEA MADAJAALI WENGI WAONGO WENYE HILA NYINGI WATAPELI WAKUJIENI MA MANENO AMBAYO HAMJAWAHI KUYASIKIA NYINYI WALA MABABAZENU BASI OLEWENI NYINYI NAWAO MKIWAFATA WATUHAO KUWENI MAKININAO NA MCHUKUE TAHADARINAO WASIJEKUKUPOTEZENI KISHA AKASEMA MTUME سيأتِي على الناسِ سنواتٌ خدّاعاتٌ؛ يُصدَّقُ فيها الكاذِبُ، ويُكذَّبُ فيها الصادِقُ، ويُؤتَمَنُ فيها الخائِنُ، ويخَوَّنُ فيها الأمينُ، وينطِقُ فيها الرُّويْبِضَةُ . قِيلَ : وما الرُّويْبِضةُ ؟ قال : الرجُلُ التّافِهُ يتَكلَّمُ في أمرِ العامةِ KISHA ZITAWAJIA WATU ZAMA ZA HADAA NA UDANGANYIFU MTUMUONGO NDIO JAMII ITAMUONA MKWELI NA MKWELI ATAONEKANA MUONGO NA MTU MWENYEHILA NA HIYANA KATIKA DINI NDIO ATAAMINIWA NAMTU MWENYE PUPA NA UCHUNGU WADINI HATAAMINIWA NAWATACHUKUA NAFASI YA KUONGEA MBELE ZAWATU NA KUSIKILIZWA NA KUFATWA WATU WASIOKUA ELIMU WALA MACHUNGU YA DINI NALENGOLAO NIKUTAKA KUWAPOTOSHA WATU Nasaha zangu kwa waislam hawa watu ni moja kati yawale masihi dajaal aliowataja mtume kuweni na tahadharinao sana wallahu aa3lam

@mrfashion1687
@mrfashion1687 Ай бұрын
Caption ndo imenifanya niifungue na kuangalia , lakini kilichozungumzwa haviendani na caption
@DarsaTV.
@DarsaTV. 29 күн бұрын
Pole
@elimikanamadrasa5490
@elimikanamadrasa5490 28 күн бұрын
NI KWELI KABISA WATU WA BIDAA MAONGO SANA
@HassanAbdalla-v6d
@HassanAbdalla-v6d Ай бұрын
Hapo kuna mtu anapigwa mafumbo nimemuelewa sana uyo sheikh
@JumaHamad-i3f
@JumaHamad-i3f 26 күн бұрын
Yan huu mtihan maji ya upako yametokea wapi kama sio ushirikina
@mahfoudhmabrouk809
@mahfoudhmabrouk809 Ай бұрын
Huyu sheikh katumia lugha ya mafumbo mno ila wengi hawajamuelewa vzr. Kawapoga za uso pia hao akina sharifu bila wao kujua. Japo huku mwishoni mtengeneza video kaifanyia hujma ili kupoteza ukweli
@OthmaniMasele-tn5gm
@OthmaniMasele-tn5gm 29 күн бұрын
acheni choyo ndugu zangu Ukiona wew jambo huna elimu nalo usizani kila mtu kama wew Kwaiyo musitoke povu maana wengi hawajui kazi ya mafuta maana hao hao wanatumia; mafuta maana kwenye Maduka ya dawa za asili mafuta yamejaa basi musiyatumie. musiwe na choyo
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr Ай бұрын
Achen kukaza mafuvu huyo sio sharifu 😂😂😂😂
@HassanAbdalla-v6d
@HassanAbdalla-v6d Ай бұрын
Kama umemuelewa vizuri hapo hajatetea uyo usharifu
@JumaHamad-i3f
@JumaHamad-i3f 26 күн бұрын
Sisi tunafuata qur-an na hadithi za mtume muhammad (s a w) tuige kwake
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Ай бұрын
Masuuf sawa na Wakristo mkristo: kila siku manabii na mitıme huzalie masuuf; kila siku masharifu na waganga et dawq za kisunnah Mkristo: msibani huimba na kucheza masuufi: mcbani huimbana na kucheza mkristo: kusherehekea mazazi ya Yesu masuuf: kusherehekea mazazi ya Mtume
@khatibmussa6660
@khatibmussa6660 Ай бұрын
Huwez kumfananish muislam na kafiri chunga kauli zako unaz ongea acha mihemko
@khatibmussa6660
@khatibmussa6660 Ай бұрын
Pia Allah anasema فَلَا تُزَكُّوا أَنْفُسَكُمْ ۖ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنِ اتَّقَىٰ na ukijiona ww ni Bora kulik mwenzk hich ni kibri wakat sote ni waislam inapaswa kila mtu amheshim mwenzk bila ya kubaguwa upande wake
@mbarushimanasalimking6961
@mbarushimanasalimking6961 Ай бұрын
Lakini kumbuka ukijifananisha nakafiri siku ya kiama utafufuka pamoja nayeye vile adhabu atakua nazo vile vile na wewe utakutwa nazo​@@khatibmussa6660
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 28 күн бұрын
Sheikh akiaanza kuzungumza utamjua tu ni sheikh😊lakini wale wanaoforce usheikh utajua tu hata salamu wanavunja😂
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Ай бұрын
Tupo kwenye ukwel pamoja na sheikh kishki bila kupepesa hakuna kitu cha hovyo dizain hiyo, Sisi sio wajinga sisi sio kama wengine, waislam hatutak ujinga hakuna sharifu Wala mafuta dizain hiyo katika uislam
@Hamima-hf7ld
@Hamima-hf7ld Ай бұрын
Aha kumbe ukijiita shekhe bas sio shekh na huyo sharifu sio
@ayushiabubakar1930
@ayushiabubakar1930 Ай бұрын
Sharfu fki ana pete ya shetani
@JamalBodar
@JamalBodar Ай бұрын
Mbona Kuna mitume wa mungu walikua wa Hali ya chini kiuchumi,,,,Sasa wewe unafosi pesa zaharam alafu unajiita shekheee,,,,😡
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Ай бұрын
Masufi bwana kila mtu sharifu yy
@maalimabasi7709
@maalimabasi7709 Ай бұрын
Kwa uoni wako shariff ni nan??
@AdamChogo
@AdamChogo Ай бұрын
Nyie mnapeana pepo
@VuaiAli-zt9ib
@VuaiAli-zt9ib Ай бұрын
Acha chuki za kijinga,jambo la muhimu usikanushe ya ukweli kwa kuchukia kundi fulani,Sheikh anachokikataza Mtu kujiita Sharifu ilhali sio kweli lakini kwa kuwa kasoma anajuwa Masharifu wa kweli wanaotokana na Damu ya Bwana Mtume (s.a.w) wapo.
@MansurTwalib
@MansurTwalib Ай бұрын
duuuh taratibuni mbna mwapijana maboomu yote ni huyu kijana alkajiita sheik imekuwa ni shida kutumia hikma ni bora sihaba amejiita sheik ni fali nzuri koliko kujifananisha na watu wabaya
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Ай бұрын
Shekh na utapeli ndio kajifananishaa huo unafiki
@TaufiqMeneja
@TaufiqMeneja Ай бұрын
Mbona kipande cha video kinakatwa.........
@RidhiwanMembe
@RidhiwanMembe Ай бұрын
Shwaaaaa😂😂😂
@clyvanboss
@clyvanboss Ай бұрын
Watu wa bida watetea Mambo yaoo😂machafu
@mareeabdalla5739
@mareeabdalla5739 Ай бұрын
Nyinyi hata bid"a hamuelewi masheikhy wengi wa kisufi wanapinga hii isipokuwa kidogo
@user13375
@user13375 Ай бұрын
Haya wenye kiarabu chao wamesema sasa😂😂😂, halafu mbongo anakuja kubisha😅😅😅
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 Ай бұрын
Hapo hatuangalii Kiarabu, sisi tunaangalia Mtume (S.A.W ) Katwambia nn ?
SHEIKH IZUDINI AMTUNZA SHEIKH OTHMAN MAALIM
14:58
Sheikh Othman Maalim TV
Рет қаралды 35 М.
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 17 МЛН
Молодой боец приземлил легенду!
01:02
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 2,1 МЛН
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 21 МЛН
KAMA HUKUUMIYA KWA HAYA WEWE UNAPATA DHAMBI
20:12
arkas online tv
Рет қаралды 22 М.
TUULIZE SISI NDO TUNAEMJUA USIKURUPUKE SHEIKH KISHKI
21:22
SAMBAWIY TV
Рет қаралды 18 М.
THAMANI YA BABA KATIKA UISLAMU | SHEIKH NURDIN KISHKI
52:39
Fadhakkir Tv
Рет қаралды 11 М.
Как вы считаете муж правильно сделал?
0:39
Михалыч с Кубани
Рет қаралды 3,3 МЛН
Is She Dead? 💔🥺 #shorts #video #reaction #sad #cat
0:10
Potato Reaction
Рет қаралды 18 МЛН
be patient🤌
0:34
Mr . Hell
Рет қаралды 57 МЛН
谁的召唤术更厉害呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
0:48
火影忍者一家
Рет қаралды 25 МЛН