NAY WA MITEGO AFUNGUKA WIMBO MAMA KUFUNGIWA 'NIMEMTAJA SHANGAZI HALIMA, NA BABA ALIKUWA MKALI'

  Рет қаралды 104,765

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

#exclusive#NayWaMitego

Пікірлер: 147
@steavmcper7322
@steavmcper7322 3 жыл бұрын
Nay nakupa big UP 🆙 ukombozi unakuja salute sana kwako mama ni kiongozi aliyeachiwa familia na ninaimani hatokubali kubagua watoto
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow Жыл бұрын
Mungu akulinde akuna kitacho kupata kwani ujatukana mtu nchi niyako nawalioko niwako ipende nchi yako ❤
@johnambrose7223
@johnambrose7223 3 жыл бұрын
Yaani Mimi kama ningelikuwa msanii ningeenda kufanyia muziki wangu kenya au uganda
@rukiasalum7628
@rukiasalum7628 Жыл бұрын
Wewe ni jembe mwanangu hongera❤.usikate tamaa jipe moyo
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 3 жыл бұрын
Nikweli wimbowako niwamafunzu 🔥🔥💕sijaona kosa
@bilalamani482
@bilalamani482 Жыл бұрын
A'm a Kenyan citizen bt a'm a very big fan of Ney. I say big up my brother let's develop our talents. Mungu akueke sana bro
@mr_kajomba_og43
@mr_kajomba_og43 3 жыл бұрын
Mr Ney nakuelewa brother sijui BASATA wanataka muimbe mapenzi wote
@alphoncelondo6586
@alphoncelondo6586 Жыл бұрын
God bless you my young bro. Ney ... Hakuna kukimbia hapa Tz NI kwetu... Pigania Haki si muda tutafika ... Naiona Tz MPYA soon.... Ukoloni na mateso haya vinakalibia mwisho. Naiona KANANI MPYA hii hapa... NCHI ya asali na maziwa tunafika kalibuni kesho
@deogratiasbav
@deogratiasbav Жыл бұрын
Bro nazikubari kazi zako.ututungie nyimbo kwa ajili ya viongozi wa East African ususani Burundi.Revolution sound
@winstonkaizilege2462
@winstonkaizilege2462 3 жыл бұрын
Ney you have a big brain bro..
@auntiwakazi6152
@auntiwakazi6152 2 жыл бұрын
Atakama wauzuie ila ujumbe umefika wanaachia nyimbo za nyegezi za tetema alafu hizi zenye poenti ndo hawataki kuziachia wapuuzi sana
@deosixkawishe6062
@deosixkawishe6062 3 жыл бұрын
Hongera sana kaka nay.nipo pamoja na ww milele..na ww usikate tamaa licha ya kututetea ss
@wence15
@wence15 3 жыл бұрын
Dogo ney kwa hili basata wamekukosea sana sijui nini kuna wakereketa nadhani bado wimbi la hofu walizokua nazo huko nyuma bado hawaamini kama wanatakiwa waache kuishi kwa hofu na mazoea. bado wanaamini matumizi ya nguvu kuliko akili kama alivosema mama. ila sikumoja tu kama ulivosema wataaanguka kama majani maana hawana tena pa kuegemea na mi nafikiri mama akisikia huu wimbo atawakemea waache payo za kufunga funga nyimbo bilakujali gharama na muda wa wasanii uliopotea
@wamburamwita1263
@wamburamwita1263 3 жыл бұрын
Mbona wimbo wake unaujumbe mzuri sana kwa jamii mbona hamzui diamondi anechesesha dada zetu uchi na nidhamu hana fungia diamondi
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Жыл бұрын
Kweli kabisa muziki wa Diamond haunaga maudhui zaidi ya kuchochea uzinzi LAKINI anapeta akina mama nao wanafurahia kudhalilishwa wanaume wamevaa dada wako uchi
@sammycharomwalili6728
@sammycharomwalili6728 2 жыл бұрын
Mimi nakupogeza braza big up wewe ni mwana jeshi huna uoga wakusikize na waelewe
@godlistenshayo7113
@godlistenshayo7113 Жыл бұрын
BASATA wenda wanataka nyimbo za mapenzi, za kuikubali serikali ya mama n upuuzi mkubwa ila bro BIG UP may God bless you
@happykimomo1644
@happykimomo1644 3 жыл бұрын
Me nazikubari nyimbo zako ney wa mitego,zinamafunzo alaf unatumia akili sana
@BARBERJAY001
@BARBERJAY001 2 жыл бұрын
Bigwa ,jembe,mkombozi uko sahihi much love from Mombasa kaka 💯💯💯🙏🙏🙏🙏🙏
@HemediAhmedi
@HemediAhmedi Жыл бұрын
Hongera sana nay munguakubariki bora wangefungianyimbozamatusi yanihawa kwelimashetani wakubwasanaaa tena jahannam inawahusu yani nyimbozauchi zamatusi wanaziacha
@vitusjackson1354
@vitusjackson1354 Жыл бұрын
The measure of a human being is not where he stands during times of hardship and comfort, but where he stands during times of challenges and conflicts
@bableejy1577
@bableejy1577 3 жыл бұрын
Kamanda✌️✌️🔥
@MwigaSizani-mi1mt
@MwigaSizani-mi1mt Жыл бұрын
Kaka Mimi nakubali sana wanaonufaika katika serekali hii ni wachache tu tusemee ili wanyooke
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Жыл бұрын
Ney hongera nyimbo nzuri
@gaudencekapelembe9437
@gaudencekapelembe9437 2 жыл бұрын
Nay mungu anàkuongoza sana
@sylvergate9653
@sylvergate9653 3 жыл бұрын
Unaeleweka sana. Kwanza unajua kuzungumza,,, tafuta nafasi kwenye mihimili ili upate nafasi ya kuwasemea wanyonge
@westonyjob1747
@westonyjob1747 3 жыл бұрын
True boy
@StephenMtei-mw3kz
@StephenMtei-mw3kz 11 ай бұрын
Sema brother nay
@collinsmakanta6898
@collinsmakanta6898 3 жыл бұрын
Kwani Shangazi Halima Wenyewe Wanamjua, Na Baba Kuwa Mkali Labda ni Baba Yako
@pilichumu9331
@pilichumu9331 3 жыл бұрын
Big nay tunakupend sema unakaa sana sana sana bila kukaaa kimya
@CalvinGiggs-ed8ht
@CalvinGiggs-ed8ht Жыл бұрын
pamoja blood we are together wanyonge tunateseka ila kwa kua na mtu kama wewe our life will be better soon throuh you bro
@alikimera1583
@alikimera1583 3 жыл бұрын
You are a very creative MC. Lots of love from ug.
@tumainialbati6043
@tumainialbati6043 3 жыл бұрын
Uko watajua wenyewe si nyimbo tushachukua tutaisikiliza popote pale, lamda basata watufatilie mitaani tusisikilize
@michaelvicent8891
@michaelvicent8891 3 жыл бұрын
duh naitafuta hiyo nyimbo we Tumaini Albati unayo??
@newtonmwewa6220
@newtonmwewa6220 Жыл бұрын
We are together brother
@omaryhamisi620
@omaryhamisi620 Жыл бұрын
big up San brow ww sema ili yawaume
@halimadavid5742
@halimadavid5742 3 жыл бұрын
naitwa iddy sonyo bnafsi nashangazwa na hawa basata wimbo wa baikoko ukiuchunguza unamatusi yawazi kabisa lakini haukufungiwa ila huu wa ney niwimbo bora kabisa ila umefungiwa sijui kwann tunamasikio na macho ila tunalazimishwa kuwa vipofu na viziwi binafsi huu niwimbo bora kabisa ukiachana na siasa hata kwenye family zetu hayo alioyaimba ney yapo kiukweli wamemuonea sana ivi wameusikiliza vizuri jeje kuna wimbo wa linah na dogo janja wausikilize vizuri halafu wafafanue waliupitisha vipi
@georgedimoso727
@georgedimoso727 2 жыл бұрын
Baseta wajinga mnoo
@GelewaEmmanuel
@GelewaEmmanuel 2 күн бұрын
❤ok
@DaudiZakayo-fn5bp
@DaudiZakayo-fn5bp Жыл бұрын
Nimekielewa wewe nimsanii mwenye upendo na watanzania wote
@ruwamafu4192
@ruwamafu4192 3 жыл бұрын
Ney namkubalii sana yy anachokisema kwa utungo wake husema ukwel
@iremerimanaemery6407
@iremerimanaemery6407 3 жыл бұрын
Umeongea point
@jumasaidi8157
@jumasaidi8157 3 жыл бұрын
Ney nakuelewa
@renatusialex7949
@renatusialex7949 Жыл бұрын
Usiogope kaka nay wewe mwanaume maana wanasema mwanaume atakula kwa jasho lake usikate tamaa kaka bigapu sana wasikutishe
@HamadAbubakary
@HamadAbubakary 9 ай бұрын
Nakubali
@espoirmalekanimutuyakweli6970
@espoirmalekanimutuyakweli6970 2 жыл бұрын
$mutu ya kweli$
@renatusialex7949
@renatusialex7949 Жыл бұрын
Na mungu atakulinda tunakuombea duwa uku kaka.
@KhadijaChonanga-h4x
@KhadijaChonanga-h4x Жыл бұрын
Nakukubali kak mung hakupe nguv na hakuepushie kil lililo bay
@kelvindastan7682
@kelvindastan7682 15 сағат бұрын
na kukubali sana mwamba
@irenemsumba6776
@irenemsumba6776 3 жыл бұрын
Ukweli unauma
@princemajinge2206
@princemajinge2206 2 жыл бұрын
ney jina lako pekee ndio linafaa tukutambue vema ney asili yake ni mbishi.safi bro
@gaudencekapelembe9437
@gaudencekapelembe9437 2 жыл бұрын
Nay mungu you nawe
@stevenbenard6603
@stevenbenard6603 Жыл бұрын
Ok
@bernicetunda9051
@bernicetunda9051 3 жыл бұрын
Nymb Kal ujumbe umefika wakubal wakatae baba Alikua.mkal🔥🔥
@amaryabdallah3436
@amaryabdallah3436 3 жыл бұрын
Upo sawa ney
@godlistenshayo7113
@godlistenshayo7113 Жыл бұрын
bro ndo kawaida ya wabongo ndio maana ha2endelei mbele
@leahvenas4140
@leahvenas4140 2 жыл бұрын
Nakukubali sana ney unajua na hayo ni mapito tu yatapita
@omanomana3958
@omanomana3958 3 жыл бұрын
Fungieni Wachafu Sio Haki Kabisa Ny Big Up
@getrudalufega9770
@getrudalufega9770 3 жыл бұрын
Ney mungu anawaona
@omanqqwe4061
@omanqqwe4061 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@jonasjackson7838
@jonasjackson7838 Жыл бұрын
The story book
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
Nay, jifunze kusimama ki-muziki bila kuwatumia (kwa staili ya kuwazodoa) wengine!
@BenardSambilo
@BenardSambilo Жыл бұрын
Ney wewe ni mwanaume na mungu atakupambania
@isayasoingeilukumay8122
@isayasoingeilukumay8122 Жыл бұрын
👍
@elizabethmsemo6861
@elizabethmsemo6861 3 жыл бұрын
Huyo mbwiga hata nchi ange hama tu asihalalishe mibange yake tuikuibali ,vya kuimba vipo Ving una msema vip marehemu mweshimiwa wetu ,pengine bila yeye kuingia tusinge kuwa na fly over leo
@alexfikiri5200
@alexfikiri5200 3 жыл бұрын
Wimbo tumeupokea vizuri kwanza uko na heshima nyingi kuliko zote wapeni Uhuru wasanii kwa lolote lenye linaukweli kwa nini wanasiasa wakifanya makosa hamtaki waambiwe mm ningekua naeza kuimba mm ndiye ningekua Nay wa Kenya au ningekua Roma juu hku Kenya htuna wasaanii wa kuwachambua wanasiasa basi wana Fanya dhulma nyingi
@franktemu1774
@franktemu1774 3 жыл бұрын
Ney siku nyingine ukitaka kutoa mwarobaini we kuja kenya
@pauljobmasue6562
@pauljobmasue6562 3 жыл бұрын
Ney hongera kwa kile unachopania Na unauharakati wako
@solalazaro734
@solalazaro734 3 жыл бұрын
Unatisha sana tuko pamoja sana kamanda
@renatusialex7949
@renatusialex7949 Жыл бұрын
Mwisho wa mnafiki ni (ahibu) sasa haibu yawadia sisi wanyonge watuona atuna haki yeyote sasa ngoja kaka nay awaumbuwe sasa
@DonPrince11
@DonPrince11 Жыл бұрын
Mh! wanayao hao ila mbon mweshimiwa nay yuko pw tuishi kma zimbabwe uyo anatufumbua macho
@JumanneHasanni
@JumanneHasanni Жыл бұрын
Ney usikate Tama hata sisi masikini tupo nawewe endereya kutuwakilisha ichi nayetu sisi wote hakuna litakalo gukuta kwasababu unasema kweri usihogipe
@jadewynedwards4603
@jadewynedwards4603 Жыл бұрын
homie umechemsha mama anazingua ana huruma na watu bro
@richgambi6694
@richgambi6694 Жыл бұрын
Ney umeokoa wanachi walio lala kama hukumpenda baba utampendaje mm mm naona baster ikae chini tafsiri wimbo kwaza
@mustafaramadhan6246
@mustafaramadhan6246 3 жыл бұрын
Mmhh basata uonevu unazidi
@fadhilinzano5840
@fadhilinzano5840 Жыл бұрын
Ukweli unauma wapigaji wote wamerudishwa kazini nazani hiyo line yamoto kwao hip hop
@jazzcellc6563
@jazzcellc6563 3 жыл бұрын
Ney ulipo tupo tu nakukubali sana umeonga hukweli mtupu ww komando wa ukweli ulichokiimba niukweli mtupu
@cknoerazalo4362
@cknoerazalo4362 3 жыл бұрын
Tume kuelewa Kaka ume fikishaa ujumbe kwa mama ye 2
@aminaramadhani4630
@aminaramadhani4630 3 жыл бұрын
Nakubar Sana nay .
@JosephJohn-uv3dx
@JosephJohn-uv3dx Жыл бұрын
We ndo raisi wetu anaebisha na abishe ila we ndo mtanzania mwenye upendo na mashabiki zako
@philemonmkumbo9695
@philemonmkumbo9695 2 жыл бұрын
Wamechelewa tushaipataa ccm mtahangaika sana hamtatutawala milele manina zenu tupo tayari kufa hakika time will tell
@abisoluvanda2760
@abisoluvanda2760 3 жыл бұрын
Ingekua kwangaru rimix ingepigiwa makofi
@hamisibaharia-bl9og
@hamisibaharia-bl9og Жыл бұрын
Mziki wake zaidi ya siasa
@renatusialex7949
@renatusialex7949 Жыл бұрын
Umenena kaka nakukubali saaaana!
@peteruzia8313
@peteruzia8313 2 жыл бұрын
Kwani yanayotendeka hatuyaoni wakati tunaona.mungu atafanya kitu.
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 жыл бұрын
Huo uonevu sasa! Nay kaimba vzr
@EmanuelMwangindo
@EmanuelMwangindo Жыл бұрын
Mngu akutie nguvu
@shawaljuma5581
@shawaljuma5581 Жыл бұрын
ccm awo na mambo yao
@fettyprecious3472
@fettyprecious3472 2 жыл бұрын
kwer kaka
@SalumuMadra-u2n
@SalumuMadra-u2n Жыл бұрын
Kaka Ney chapakazi kaka Usirudinyuma kk
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 3 жыл бұрын
Ney nakukubali kinyama mdogo
@kulwajohn-dl3oe
@kulwajohn-dl3oe Жыл бұрын
Ney achia ngoma nyingine tuone sasa na iwe kama iyoo tuko pamoja
@bonifacembilinyi5576
@bonifacembilinyi5576 3 жыл бұрын
Mtangazaji hapo mwanzo umekosea , hebu kuwa makini unapohoji watu usitumie baadhi ya maneno yasiofaa
@bilikhamis8963
@bilikhamis8963 2 жыл бұрын
Wanatak uimbe mapenz au uwasifie nchi yet wakat hakuna chakusifia labd Aman tulio nao lakn kweny kutetea Wana inchi
@Vivan47
@Vivan47 Жыл бұрын
Usichoke brother waambie Tanzanian sio nchi ya kuishi na njaa au umasikini aaaaaah serekali mnazinguwa also wabunge mnakula bure aaaaaah
@lemamoleli4320
@lemamoleli4320 2 жыл бұрын
ney ukogd sana ukosaii
@farajingonyani48
@farajingonyani48 3 жыл бұрын
Ney usijitoe bhana nyimbo zako zinafundisha
@leonardroya6299
@leonardroya6299 Жыл бұрын
Tucheni sisi tunaopenda muziki tusikirize mziki nyinyi basata mnaopenda kuangaria uchi endereeni nyimbo ambazo atuwezi kuangalia na watoto wetu na mama zeti na baba zeta azifungiwi nyimbo ambazo zinatetea maisha yetu mnazifungia
@BenardSambilo
@BenardSambilo Жыл бұрын
Ila mungu anamuona mm na ccm binafsi 2025 tumemaliza ikiwa mkataba wa bandari utaenda kufanya kazi.
@historie3096
@historie3096 Жыл бұрын
Huyu Mwandishi anasema "Kimavi"? Ndio lugha ya Waandishi wa Habari? Bure kabisa.
@philemonmkumbo9695
@philemonmkumbo9695 2 жыл бұрын
Ukombozi halisi unakuja hamtawexa zuiaaa
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Huwa nasikia msanii ni kioo cha jamii sasa ndio hiyo
@davidsaanane7939
@davidsaanane7939 3 жыл бұрын
SHERIA ZINATUNGWA BUNGENI, BUGENI KUNAWAWAKILISHI WA WANANCHI WAKITUNGA SHERIA HIZO, SHERIA HIZO HUKUTANA UPINZANI KUTOKA KWA WATU WANAOWAWAKILISHA. WHERE IS THE DISCONNECT?
@BenardSambilo
@BenardSambilo Жыл бұрын
Mama alichobakiza ni kutuuwa tu mana kitendo cha kuwakabidhi bandari warabu hakina afya kabisa.
@ShabaniHusseni-m8l
@ShabaniHusseni-m8l Жыл бұрын
Msg cent imewafikia mahavidhina ma ccm
@stevewimbe6787
@stevewimbe6787 Жыл бұрын
Usikatetamaa enderea kupambana ikosiku yataisha2
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 55 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 29 МЛН
Nay wa mitego Akiwa mpanda katavi frank tv 2024
0:53
DIRECTOR FRANK PICTURE
Рет қаралды 32 М.
ROMA AFUNGUKA SIRI YA WIMBO WAKE MPYA | AMKATAA WAKAZI | KURUDI TANZANIA
34:07
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 55 МЛН