Ameni sana Mtu wa Mungu japo namba 10 imekuwa skipped.
@asta.tanotdoor72 ай бұрын
Amen sana sana
@ChristineOli2 ай бұрын
Ameen 🙏
@AshuraSalumu-k7h2 ай бұрын
Ameen
@iqrahiqrah3772 ай бұрын
Ameen🙏🏽
@monicerz2 ай бұрын
Ameeeeh
@dianabosibori84762 ай бұрын
Nisaidie pastor, nilikuwa naokota pesa na mahali pesa zilikuwa ni chafu na takataka mingi sana,ninapotembea naziokota tu mpaka nikaamka kabla nimalize kuziokota
@NaomiMcharoАй бұрын
Hio roho ya ufukara imerushwa kwako,unaweza ku cancel by reading Isaya 54:17, Ezekiel 13:17-21
@irenemilau29462 ай бұрын
AMEN AND AMEN 🙏 🙌
@SuleimanYahssin29 күн бұрын
Naitwa Rebecca nina mtoto wangu alikuwa anaota ndoto mara kwa mara anaokota pesa siku nyingine anaota anaokota shs 1000 siku nyimgine 5000 tu Barikwa sana mtumishi
@emmanuelherman-cs8yq25 күн бұрын
Niliota ninakunywa juice kama rangi nyekundu Nini maana yake
@user-qy7zk8ti8sАй бұрын
Nimeota naogota nzahabu nawakati wengine walikuwa wanazipita hawazione zilikuwa kubwa nandog inaman nn?
@user-qy7zk8ti8sАй бұрын
Chalom nimeota nimewaona samagi zikosehem ila nikayishika moja ikawa inateleza san napakakuja kingine kidud kikaninasa man nn baba?
@NaomiMcharoАй бұрын
Ingia Kwa maombi ya kufunga udai baraka zako zote ambazo ninakuponyoka zikiwa mkono mwako.Miracles zako zinafika but zina disappear.
@YvonneSimiyu-cn6iw2 ай бұрын
Nliota nimepandwa na dudu manyoa mingi mgongoni jana pia nikaota nko shuleni na mimi ni mwalimu na nimepigwa transfer shule ingine hii inamaanisha nini?
@NaomiMcharoАй бұрын
Shule ni anga Yako ya kiroho,ukibadilishiwa shule ni kwamba unainuliwa kiroho kutoka Hali ya chini na kuwekwa ngazi za juu.hutakuwa chini kimaombi.