Makonda, hebu wakupe ubunge, uwe waziri unyooshe mambo. Big up kijana wetu!!
@isayamwanjoka39582 ай бұрын
Makonda katika Jicho la 3 nakuona ni Raisi wa Tanzania mwaka 2055... KUWA NA SUBIRA VITA YAKO NI KUBWA SANA KUFIKIA KIWANGO CHA UONGOZI HUO MKUBWA NCHINI, MPENDE SANA MUNGU NA KUWA KARIBU NAYE YEYE NI MWAMINIFU ATAKUWEZESHA KATIKA VITA KUBWA ILIYO MBELE YAKO HAKIKA UTASHINDA...... I like your consistency, smartness and capability in leadership.... In short the real meaning of leadership described by Dc Paul makonda.🎉🎉🎉🎉
@AloyceMlalikwa16 күн бұрын
Hongera kwa KAZI nzuri mungu akulinde mh! Makonda
@hezronmganga44132 күн бұрын
Q😊😊😊😊😊😊q❤❤❤❤❤😊
@hezronmganga44132 күн бұрын
❤
@godbariki366614 күн бұрын
Makonda wewe ni mtu wakupenda haki daima Mungu akuinue ktk ngazi ya juu zaidi
@Zai-vh7jd15 күн бұрын
Makonda we ni kamanda wa uongozi! Mungu akulinde ututumikie watanzania. We love you! Big up kijana wetu
@FaridaShangala3 ай бұрын
Ubarikiwe makonda nakuombea uje kua rahis wa tanzania kama magufuri mambo yako, mtetezi wawanyonge makonda uwe na afya njema nakufatiliaga sana ukiwa haupo sawa naumia sana
@Faraja-k1e2 сағат бұрын
Tupowengi
@chrisshonga7 ай бұрын
Laana ya dhuluma, unyang'anyi, rushwa, ndiyo inayoididimiza nchi na kitu ambacho ulimwengu haujui ni kwamba pesa ya dhuluma hata ungefanyaje kamwe huwezi kufanikiwa. Asante mtumishi wa BWANA katika kazi yote ya kutetea haki ya wanyonge. hakika inasikitisha sana na inahudhunisha sana! Ashukuliwe MUNGU wa mbinguni kwa kuweka kaburi ambalo ni mwisho wa kila mwanadamu mwenye jeuri
@SevenValentain5 ай бұрын
Mkuu makonda utendaji wako unanikumbusha uncle magu hongera baba Mungu akulinde kwa huu utendaji wako
@FreddyNdayikunda27 күн бұрын
Haki Mungu akubaliki kaka Makonda Proud of you Africa need leader like you
@fadhilijohn48118 ай бұрын
Leadership ni utatuzi wa matatizo ya unaowaongoza na kuweka mazingira sawa kwaajili ya shunguli zingine! Hongera sana Makonda👏👏👏
@agathaleonard59747 ай бұрын
Big up makonda Arusha Kun shida mungu akusimakie na kukusaidia kutafuta kero z awananchi Kuna dhuluna n ubabaishaji
@jumarata64598 ай бұрын
Mheshimiwa Mkuu wa mkoa Paul Makonda, unafanya kazi nzuri sana.Endelea kutenda haki kwa wananchi na Mungu atakubariki!
@RoseMollel-wo3ls8 ай бұрын
Kweli😭😭 kajifunz vitu Ving lakn kwa maguful
@stefanomasolwa89797 ай бұрын
Asante Makonda kwa Kazi nzuri Mungu akubariki. Yani nikikuona Makonda namuona Magufuli hakuna Tofauti kabisaa ❤❤❤
@MiriumLemayan7 ай бұрын
HAKIKA
@angelatarimo19698 ай бұрын
Hongera mkuu wa mkoa. Ila Acha niseme kitu,wewe unaependa kunyanyasa watu,kujiinua kwa kuwa una mabawa,hakika yupo Mungu anayerudisha vyote vilivyoibiwa. Kama ulimnynyasa mtu au kumdhulumu mtu kwa njia yeyote,lazima utalipa tu.Asante Mungu usiyelala. Mungu ibariki nchi yetu Tanzania Mungu ibariki Africa yetu
@ayubumsigwa5428 ай бұрын
Acha kuongea ujinga kwa makonda unachuki kwa huyu mkuu
@VeronicaEliasi7 ай бұрын
Amina
@EliaPundugu4 ай бұрын
ww nae ni mpumbavu
@AzoryMuhangazo6 ай бұрын
Makonda udumu zaidi mungu akulinde siku zote za maisha Yako na ukuzidishie hekima zaid ya hapo tuna kutegemea zaid👏👏👏👏👏
@johnmtumishi3738 ай бұрын
Mh Makonda unaakili sana Mungu akulinde.Mungu ibariki Tanzania Linda viongozi wetu wenye moyo wa kusaidia wananchi
@maryamobady18538 ай бұрын
Arusha mtanyooshwatu😂😂😂😂
@maryamobady18538 ай бұрын
Huyo ndio makonda bwaaanaa
@AitaelMunis3 ай бұрын
Hongera makonda Kwa kazi nzur
@danielmollel11076 ай бұрын
Hongera sanaa mkuu wa mkoa Arusha Kwa kazi nzuri 😢
@NathanaelSanga-h9s5 ай бұрын
Upo sahihi mkuu,kaziyako ipo vizuri
@AlbertGondwe-w7y8 ай бұрын
Ibada hii ni nzuri sana ,hongera sana mtumishi wa MUNGU BABA Makonda ,ubarikiwe kwa kazi nzuri
@SophiaKawishe8 ай бұрын
Mungu ni mwema Safi sana
@jumasalum9918 ай бұрын
😊q
@cantonaiddy60428 ай бұрын
Unazingua
@FeddyAsajile4 ай бұрын
Muheshimiwa uko vizuri kuongea na wananchi kusikiliza shida zao kongole,,, jamani wengine muige huu mfano kusikiliza kero za wananchi inafaa watu kero nyingi unafaaa kuwa rais
@sittandaki2135Ай бұрын
@@cantonaiddy6042😂😂😂😂😂😂😂
@AllySalehe-mv7um7 ай бұрын
Mtoto unae tembea kwenye kivuli cha mh.magufuli..hongera mheshmiwa
@silashemed48498 ай бұрын
rait hii nchi ingekuwa na system kama hii,hata ambao wanawania nafasi za ngazi za kijiji na kata wasingewania(gombea) nafasi hizi, Asante Mh. Makonda kwa kutuamsha
@vicentmugisha69727 ай бұрын
Makonda unafanya kazi nzuri, tuna viongozi walio jisahau kuwajibika kwa wananchi
@malugukushaha67648 ай бұрын
Hongera sana Makonda👏👏, Hongera sana Makonda👏👏, Hongera sana Makonda👏👏, Mwenyezi mungu akulinde 🤲
@gategayaelias89257 ай бұрын
this mzee magufuri legacy
@PaschalinaJohn7 ай бұрын
Mungu akulinde na akuhifadhi siku zote umtetezi wa wanyonge
@lupakisyoassa15798 ай бұрын
Kazi nzuri japo kuwa nchi nzima migogoro ni mingi mmno haina mtatuzi, big up.
@kalegapeter27157 ай бұрын
Live from Uganda Paul makonda pole kazi nzuri
@VeronicaEliasi7 ай бұрын
kweli kabisa
@FrancisJosephathi8 ай бұрын
Jasho la mnyonge linalipwaa na Mungu baba hakika kazi yako ni nzuri sana God bless 🙌
@LILIANDOUGLAS-w5t7 ай бұрын
MUNGU akutunze daima Kwa kazi nzuri unayoifanya mheshimia makonda
@SuleimaniIkomaba8 ай бұрын
Unajuwa kazi anayo ifanya huyu bwana kazi njema sana na inatufanya sisi kuwa jasiri katika kutambua haki zetu na Mungu akutunze sana pia tunakuitaji kigoma
@GerardLaizzer7 ай бұрын
Kweli kabisa
@SaimonGerez5 ай бұрын
Ongera sana makonda kwa kazi nzuli bila wew Mzee dio Alisha zurumiwa mungu akubalik makonda
@KalenjeMasoud-vg3om2 ай бұрын
Kuna sehemu makonda anakosea, mtu hawezi kuhifadhi kichwan taarifa zote zinazoendelea katika kijiji, ndo mana zinahifadhiwa so anavosema baadhi ya taarifa zpo ofisini anatakiwa amuelewe.
@lucasmkui31608 ай бұрын
Mh Raisi Daktari Samia nakusifusana kwamaono mazurisana kumteua Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Paulo Makonda Tangu aanzekufanyakazi yupo vema Tanzania safiii kazi iendelee
@benedictmillinga42977 ай бұрын
Upo sahihi kabisa. Hii hazina ni kama ilifichwa
@MwanamkuuMumbe8 ай бұрын
Natamani ungekuja kuwa Raisi baada ya Mama Samia uwe mfano was marehemu Magufuli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@FILIPOMLAWA8 ай бұрын
Makonda ¡!!kazi iendelee mzee maguu anakuona na kukufurahiaaa
@MulshiduYusuph-yw2os7 ай бұрын
Makonda mkuu wa mkoa yuko vizuri sana sana tunampenda
@BimamuosmanOsman8 ай бұрын
Rais mama Samia kusema kweli kkayangu makonda afanya kazi Mzuri Sana Allah ambariki na akubariki wewe inshaallah.
@reubenhebron25066 ай бұрын
Viongozi mnapaswa kufanya kazi mlizo aminiwa, Mungu akulinde mh. Makonda
@peterlazaro28538 ай бұрын
Daah kazi mzuri mweshimiwa mkuu wa mkoa makonda Mungu akubariki sana sana sana
@georgekigora25097 ай бұрын
😅0
@Babajames12348 ай бұрын
Ipo siku utakuwa kiongoz katika nchi hii bro makonda .....uko vizuri
@MalandoJames8 ай бұрын
Makonda, makonda, makonda, endelea kuwasaidia wananchi. Mungu atakulipa aise. Kwenye nchi hii madudu ni mengi sana.
@FilbertRobert7 ай бұрын
Daaah! Mungu akulinde na akusimamie Mh Po Makonda,,,mi mweyewe nilinyangh'anywa eneo ambao ni shamba la wazazi wangu
@EsterMwendawila-wj2ks8 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba mungu akulinde makonda juu
@livingstonechurchtz84006 ай бұрын
Safi sana Mkuu wa mkoa Makonda.Nipo nakuomba kwa vita ulivyo navyo kwa haki uliyo nayo kwa wengine.Mungu zaidi kukupa hekima na busara katika kuamua yaliyoshindikana kwa usahihi.Wewe ni sawa Mfalme Sulemani kwa hekima
@enezermwafrica74438 ай бұрын
Makonda na Magufuli tofauti ni sura tu... lakini Akili wanafanana, Hekooooo Kaka Makonda
@zakayokahuna92948 ай бұрын
🤣🤣👍👍👍👍👍👍👍👍👍🏃
@Athumanmreta6 ай бұрын
Hpn magu kiakili alikua juu ila makonda anajitahidi kufata nyayo zake
@DamasjoachimPetro7 ай бұрын
Makonda you are too much, safi sana Mkuu wa Mkoa Mungu atakulipa
@MokeAmos-bq6to8 ай бұрын
Best kind of leadershirp i prefer, bravo Regional commisinor Makonda🙌🙌💥
@MerlinaKubadesha6 ай бұрын
Kabisa
@Kiyonga20148 ай бұрын
Mr. Makonda is a best leader in the world! I love Makonda.
@emeresianamichael51638 ай бұрын
Duh! Jamani Mimi siwezi kusema ila huyu makonda jeshi la malaika wamzunguke pande zote ulinzi kamili
@mfwimisapi94448 ай бұрын
K
@juliusmwazembe42307 ай бұрын
Hongera makonda mungu akulinde nipo mbeya mjin.
@barakakibasa57095 ай бұрын
Hongera makonda kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge mungu akulinde
@MerymerisaStephano2 ай бұрын
Amina❤❤❤
@Mohammedmajoji-b6x5 күн бұрын
Hongera mkonda chapa kazi ccm iheshimike mungu akubar kwa wamuzi mzuri huo
@NuluLupepo8 ай бұрын
Iyo supana ninoma mkuu watasema tu kaz nzuri mungu akusimamie
@PaulinaBhaisule6 ай бұрын
From Zambia makonda keep it up
@MRPRESIDENT-w4l8 ай бұрын
BEST ADVICE from Paul MAKONDA. I have never seen
@fortunatanyumayo7 ай бұрын
Hongera sana makonda kwa kutetea haki za wanyonge Mungu akulinde daima.
@VenjiStone-fc1sx7 ай бұрын
Upo vzr mungu akubariki sana kwa kaz nzur unayoifanya......
@sarahbwile11597 ай бұрын
Mungu akulinde Mh Makonda
@BIGBOSS-hl3bu8 ай бұрын
Yaani huyu Mzee alitoa milioni 30 halafu mnamnyima hekari moja na nusu Wanaomponda makonda wote ni wale waliofanya madudu kwenye maofisi yao
@GERADIMwingwa2 ай бұрын
Mungu tu akubariki kaka makonda kwa unayo yafanya mungu akuongezee siku za kuishi kwakweli
@rwelamira8 ай бұрын
Huu ndiyo uhalisia wa mambo vijijini, Hongera Makondo kwa kazi hii nzuri
@DianaHyera7 ай бұрын
Sio Makondo ni Makonda
@ChristinaAgostino7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂@@DianaHyera
@ZuhuraMohamed-q2f6 ай бұрын
Kbs
@asharamadhan73927 ай бұрын
mzee makonda hongera sana baba unatenda kazi nzuri Allah akufanyie wepesi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@eliasmwankenja42238 ай бұрын
makonda mimi ni mkaazi wa mbeya tutamuomba mama akulete mbeya kazi yako nzuri
@felistermkongwa43798 ай бұрын
Yaaani aje aje aje kuna Mwenyekiti nimsemeleeeee🤣🤣🤣🤣🤣
@uyetomato95148 ай бұрын
kweli kaka mkuu wetu kapoaa
@josephhaule91238 ай бұрын
Ila kweli mbeya kumeozaaa
@StephenMichael-g3w4 ай бұрын
Seriously no 1 like our makonda in tanzania , God bless you Samia suruhu Hassan for voting makond
@CAROLINEEDWARDMERSHAY8 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulinde makonda
@Imaniamockgmail8 ай бұрын
Ameen 🙏🙏
@KivumaJones24 күн бұрын
Hawa ndio viongozi tunawakosa Kenya 🇰🇪,Makonda mtetezi wa wanyonge 💪
@godfreyelibarikilaizer61788 ай бұрын
Chapa kazi jembe makonda una jambo jema kwa mkoa wetu wa Arusha siku zote wasiojali watasema wewe ni mwonevu lakini wewe ni mtetezi 💪💪💪🇹🇿💪🇹🇿🇹🇿🎉
@SadaKigwangala7 ай бұрын
Nampenda r c makonda❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JoyceManyuka-ot7sg8 ай бұрын
Makonda natamani ungekuwa mkuu wa mkoo wa morogoro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@TostaoKasianiАй бұрын
Dah! Yaani kwenye ukuu Kuna mipaka ya mikoa. Angebaki kule kule kwenye uenezi. Kule alikuwa anatumbua Kila mtu kasolo wazili mkuu tuu na raisi. Sijui kwanini katolewa kule
@FadhiliSimba-u4l3 күн бұрын
Kiongozi bora wa kwanza leo naombeni like zangu
@kambamazig020248 ай бұрын
Watanzania sio wajinga, muda wa kuwadharau na kuwaona ati ni mbumbumbu umeshapita! Makonda kudos! I see maturity in leadership here. congrats Makonda.
@ludovicakimaro64646 ай бұрын
Hongera sana Makonda! Mungu akutunze.
@hubimogela91678 ай бұрын
Toka kipindi Makonda akiwa ana yumba akiwa kama mkuu wa Mkoa Dar-es-salaam nilikuwa nikisima mbele za watu na nikisema nina imani kubwa sana na Makonda na leo naona kile nilichokuwa nakiamini kwake safi sana 💪💪💪💪
@anchilankobelelwa97357 ай бұрын
Makonda chapa kazi tunakuombea Haki zitendeke Tanzania Tusonge mbele 👍👍👍👍👍
@rabomunde35507 ай бұрын
Nampenda makonda@@anchilankobelelwa9735
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf4 күн бұрын
Makonda wewe ulikua sababu kubwa ya sisi watu tulionyanyaswa kwa mateso ya maji kuanza kupata maji mpaka leo. wakati ukiwa mkuu wa mkoa wa Dar...MUNGU HATAKUACHA MABAYA HAYATAKUPATA.. utatengwa nayo utakua salama Kaka
@MzunguPeter2 ай бұрын
Big up sana Mheshimiwa kwa kazi nzuri kwa kutenda haki.
@JotoKali8 ай бұрын
Mungu akutunze mheshimiwa Makonda
@HaruKhan-x7f5 күн бұрын
Asante kaka makonda kuwatetea wanyonge si bora ungekuwa raisi tu ubinafi so wangu. Weww. Ni raisi ujae makonda juu raising
@petermoshy76508 ай бұрын
😢Makonda unafanya kazi nzuri Mungu akubariki sana
@MeshackMuya7 ай бұрын
safi sana
@ntirenganyajeandedieu20746 ай бұрын
I see magufuli face in this man
@ZainaMrisho-s8r6 ай бұрын
Mungu akuweke sana Mh Makonda hakika wewe ni baba wa wanyonge tunamuona Kabisa marehemu Rais Magufuli kwa Makonda kabisaaaaa Mungu akuwekeeee baba pamoja na familia yako 🙏
@KabwikaIbrahim-ld8vf8 ай бұрын
Pole na hongera sana mzee Makonda,unakutana/pambana na mambo mazito.Mungu akutilie wepesi!.Aamin.
@ShamirathOmary3 ай бұрын
Mheshimiwa makonda mwenyezi mungu akupe umri mrefu maana ww ni mtetez wa wanyonge da!! Tunakupenda sana
@jacksonshosi52468 ай бұрын
Watu wa Arusha mnapo muomba MUNGU kwa ajiri ya Afya zenu msimsahau na makonda ni wazo tu
@REGNARDkiswagachimbo7 ай бұрын
sawa❤
@janethPiuce-jo6mc7 ай бұрын
Safiii
@EsterMwalongo-ox2sk7 ай бұрын
Amina
@abubakardodo39767 ай бұрын
😂😢 4:05 @@REGNARDkiswagachimbo
@muddy__bike6 ай бұрын
❤
@LuftansahMahmoud6 ай бұрын
🤲🏻Tunakuombea poul makonda na makonda ni ☝🏾tuu 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@ayubustefano8 ай бұрын
Baba amerudi nyumbani lazima ujue asiye mtaka mkuu wa mkoa Makonda Mungu kamrudisha duuu Mungu afananishwi
@kiboshotours5 ай бұрын
Makonda kiboko, ana maswali mazuri hatari 🙌🏾
@Evance-op4jw8 ай бұрын
natamani kuishi arusha kwenye mkoa anaoongoza Mh .P .Makonda Mungu akupe nguvu na Maisha marefu asante Mungu kutupatia mtu huyu asante mama Samia kumpatia nafasi ya kutumikia wananchi nakukubali nikiwa Rulanda kagera
@josephshwagara6 ай бұрын
Sasa Wewe Siyo Mkuu wamkowa wewe Ni Paster Wakweri ❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@CongeraLeilla6 ай бұрын
From Burundi Makonda you ar like the last president john pombe magufuri😊😊😢
@eliminataantigon18265 ай бұрын
5r BB-
@temelahassanАй бұрын
yaani wewe makonda wewe unanishawishi kabisa kukuona kwamba tukikupa hii nchi utaimudu na unaweza kuipeleka nchi sehemu sahihi kabisa kabisa,mungu akubaliki na akulinde na husuda zote mbaya juu yako aamiin
@leokamil62848 ай бұрын
Shule inadarasa moja na chumba kimoja cha walimu ,Raisi anabeba wasanii kwenda Korea nchi hii Mungu atunusuru tu 🙌
@StellaMwasha8 ай бұрын
Hahahaha
@juliusstanley9058 ай бұрын
Huo sasa wivu bhn
@BigZhumbe8 ай бұрын
Jiulize Wasanii wanatoa bilioni ngapi kodi za mauzo
@ArnoldMbulawa8 ай бұрын
Ako ka mama kameanza kuruka ngoma uzeeni, anafikilia kuwa msanii wa taalabu ndio maana yupo kaliibu sana na wasanii.
@ArnoldMbulawa8 ай бұрын
Acha ujinga wewe, kwani wewe hauoni?? Nchi ina migogoro bado yeye anaruka nyoka.
@FadhiliMwaliko5 ай бұрын
Makonda anafanya kazi mzuri sana
@oliviamasao83948 ай бұрын
Makonda Mungu akusimamie
@KabiraPaluki3 ай бұрын
Tupate wapi tena mtu kama Makonda? Ambae Mungu amekaa ndani yake! Mungu wambinguni akuchunge kwaajili yangu papa Makonda, ipo siku ndoto yangu itatimia tu.
@mtukufusafari55358 ай бұрын
Makonda unafanya mpaka watumishi wa sehemu nyingine wafanye kazi kwa kukuangaria ww
@reginamghanga957 ай бұрын
Hapo wa Tanzania mlipata Magufuli wa pili Mungu amlinde makonda,mimi hutoka kenya
@OscarMwakapalila7 ай бұрын
😊❤
@onesmomalifedha47098 ай бұрын
Naendelea kukufuatilia mh Makonda.Kama Watanzania wazalendo tuko tayari kukupa nchi baada ya mama.Una kitu kikubwa sana ndani yako yaani like father like son
@jeradvyabandi-wh7nr7 ай бұрын
Mungu akutunze bab
@RuthiMbunju5 ай бұрын
Nakupenda bure kaka
@ErickJoseph-d8j3 ай бұрын
Natamani uwe Raisi wetu tz napenda sana kazi zako❤
@SamGeorge-qy2zf8 ай бұрын
Mh makonda mungu akulinde san na akupe maalifa zaid
@StephanoCharles-d3v5 ай бұрын
Mheshimiwa mkuu wa mkoa paul makonda unafanya kazi vzr sana natamani uwe rais wetu wa inchi hii tanzania
@sharifajosia8797 ай бұрын
P. Makonda Allah Akutangulie
@shomydeking226 ай бұрын
"Sikusikia swali vizuri" 😂😂😂 uyo mtendaji wa kata ameyatimba n kuyakanyaga🤣🤣🤣
@anoldamkumba32088 ай бұрын
Watendaji wa serikali hutumia kigezo hicho kuchukua maeneo ya watu.Ukifuatilia utagundua wamejimilikisha njoo Kilombero Morogoro .
@NdayishimyeJackson7 ай бұрын
mzee makonda mungu azidi kukulinda na kukuongoza kwa kutatuwa kelo za wanainchi
@EmmanuelJankey8 ай бұрын
Kazi nzuriii makonda. Wanaonea sana wananchi
@adelinelyaruu30368 ай бұрын
Nani hao???
@evansmoshi19238 ай бұрын
Mtendaji kwanza umesha kula sana chapa zako mwendo.