Ndoto Ya Ng'ombe, Tafsiri Zake Ni Hizi - Shekh khamis Suleyman

  Рет қаралды 130,676

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

#Masjid Mtoro Online Tv.
Maisha Ya Mwanaadamu Yametawaliwa Na Ndoto. Na Ndani Ya Ndoto Hizo Kuna Uhalisia Wa Maisha Yetu Zaidi Ya %70. Tunafanyaje Ili Tuweze Kuupata Uhalisia Kamili Juu Ya Tafsiri Za Ndoto Zetu Kukamilisha Tukiotacho Au Kujiepusha Nacho Tukiotacho. Fuatana Na Sheikh Khamis Suleymani Ndani Ya Nyumba Salama Masjid Mtoro Online Tv

Пікірлер: 185
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah ❤️ Tabaraka RRahman nice 👍🤗 Alhamduli llah 🙏 tank you so much
@zabibuseleman2644
@zabibuseleman2644 2 жыл бұрын
Alhamdulillah nimeota ng’ombe wanene weusi wanakula chakula alaf kuna bucha mbemben nilikuwa nataka kufanya manunuzi nn maana yake
@sarakuchanda9605
@sarakuchanda9605 3 жыл бұрын
Shukran
@ukhtyruqyah7860
@ukhtyruqyah7860 3 жыл бұрын
Asante ubarikiwe
@nanaamandus9768
@nanaamandus9768 2 жыл бұрын
Asanye shekhe kutufafanulia inshalah
@rkenea4262
@rkenea4262 4 жыл бұрын
Mashaa Allaah
@arafakwahayi5671
@arafakwahayi5671 2 жыл бұрын
Asalam aleykum,ukiota unamwona ngombe anazaa manake nini?
@muhinajuma7113
@muhinajuma7113 4 жыл бұрын
Shukran jazzakalkahu lkheir sheikh
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Shukran
@fatumamgonja1060
@fatumamgonja1060 4 жыл бұрын
Ukiota n'gombe anakukimbiza maana yake nini?
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
@@fatumamgonja1060 Njoo WhatsApp +255758678552
@josephcharo1356
@josephcharo1356 11 ай бұрын
Masha Ulahi
@rizikisebe890
@rizikisebe890 4 жыл бұрын
Shukran sana......ngo'mbe nyingi zimekufa ni mahana gani
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WahatsApp +255765893020
@mamaprince757
@mamaprince757 Жыл бұрын
​@@nyumbayatibanadua737ngombe anakufkuza maanake ni?
@shifamakame4622
@shifamakame4622 3 жыл бұрын
Asalamu aleykum warhmatu-wahi-wabarakatu. Ostadhi niliota kwenye kiwanja changu kuna migombe hasa ela kuna vuwa na maji mengi nikaona wale ngo'mbe wanakanyaga kanyaga ile ardhi yakawa maji yale ya vua yakawa yanapita mule wale ng'ombe wanamo kanyaga ikawa km kunachimbika nikasema mchanga wangu si utaondika jmni😥 Afu na siku nyengine nikamuona mwangu ana zizi la ng'ombe na mbuzi kashughulika mwanangu kuzowa vinyesi na kuwashughulikia ngo'mbe wale hd nikawa namuonea huruma vile anavyo walea wale ngo'mbe na mbuzi kwa upole na unyenyekevu na kupakaa vinyesi vya wanyama wale .basi nimeamka na huzuni sana kwa kumfikiria mwanangu
@mariambilonkwa5183
@mariambilonkwa5183 Ай бұрын
Je ukiota ngombe ana watoto 6
@rashidomar2771
@rashidomar2771 4 жыл бұрын
Shekh tunaomba ujue tofauti kati ya njozi na ndoto katika lugha ya kiswahili,,hii unazozisimulia ni ndoto sio njozi
@ponsianasingo5348
@ponsianasingo5348 4 жыл бұрын
Mimi pia sijui kutofautisha naomba msaada tafadhali!
@NiyongaboIbrahim-ko2ju
@NiyongaboIbrahim-ko2ju 3 ай бұрын
Asalam aalykum wa rahmatullah wa barakatuh
@yaqubalyaqub3964
@yaqubalyaqub3964 3 жыл бұрын
Mashallah! Mimi awali nilipenda kuwota ngombe mnono Bali wakati tu nikimwona basi hapo ni kutimwa mbio. Na ye kunikimbiza kwa vishindo vikubwa, so kila nimwonapo ngombe basi nifumuwe mbio nYo hurudia Mara kwa mara
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 3 жыл бұрын
Hata mie jamani ngombe wanene warefu huwa ananikimbiza hata nikiota ngombe ni mbio tuu
@mrsalminofficial5960
@mrsalminofficial5960 3 жыл бұрын
Ni follow
@hanashhanash535
@hanashhanash535 4 жыл бұрын
Shekh nimeota Niko juu ya mlima n mbuzi wengi wako nyuma yangu wanifukuza chini yaani wamenikimbizaa chini ya mlima ......naomba maana take tafadhali
@haithamhassan4139
@haithamhassan4139 3 жыл бұрын
Mbuzi ninavyojua mm ni ishara ya maadui
@hanashhanash535
@hanashhanash535 3 жыл бұрын
@@haithamhassan4139 hujakosea kabisa
@fatiaali1959
@fatiaali1959 3 жыл бұрын
Je kuota ngombe anakukimbiza
@NiyongaboIbrahim-ko2ju
@NiyongaboIbrahim-ko2ju 3 ай бұрын
Napenda nikuulize ya kwamba maana ya kuota unakunywa maziwa mgando.
@soloo39
@soloo39 2 ай бұрын
Asalam alekum nimeota kwanza kaja mbunzi mweupe kawa nalia mlango kama anataka kufunguliwa mara tena namuona ngombe mkubwa mwenye madoa meusi na meupe kaingia ndani na yule mbuzi nae akafata ndani na wote wakawa wanaelekea chumbani kwangu
@abdallamwinyikombo6557
@abdallamwinyikombo6557 4 жыл бұрын
Asslm alykum sheikh,,,,je ukiota ng'ombe anakufukuza kwa hasira,,
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WahatsApp +255765893020
@najmarajab3000
@najmarajab3000 4 жыл бұрын
Mimi niliota n'gombe wawili mwekundu na mweusi mwenye madoa meusi ila katika matumbo yao yanatokea maandishi ya Qur'an
@paskalimussa7638
@paskalimussa7638 3 жыл бұрын
Ukiota ngombe wameibiwa je sheikh inatabiriwaje
@najmanidengo4466
@najmanidengo4466 4 жыл бұрын
Jee kuota ng'ombe anakufukuza
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 2 жыл бұрын
Mi sheik nimeota nafukuzwa na ng'ombe nikamba juu ya mti
@upendotv6267
@upendotv6267 3 ай бұрын
Na mm hivyohivyo mm nilipanda juu kabisa
@mariammammy
@mariammammy 10 ай бұрын
😢 Sheka kuna kitu sijahelewa niliota. Ng'ombe akiwa kwanyumba yangu but nikimukamuwa ata ki but nimukubwaa tena mweusi naomba kujua hinanishanini
@ruqaiyyalema2945
@ruqaiyyalema2945 4 жыл бұрын
Me ustaz nimeota ngombe mweus namadoa meup na mwekundu wakiwa wamekaa
@maryah4601
@maryah4601 3 жыл бұрын
Je ukiota unakimbizwa na ng'ombe?
@salumkigoya5891
@salumkigoya5891 3 жыл бұрын
Iyo ndo tafsiri ninayoitaka
@siphiwemathiso3302
@siphiwemathiso3302 3 жыл бұрын
Asalam alaikum sheikh mm naota nakimbizwa na nkombe na kutaka kunidhuru tena naota mara nyingi zaidi ya siku tatu
@dab8859
@dab8859 3 жыл бұрын
Tuko sawa my
@naomilucas3229
@naomilucas3229 4 жыл бұрын
nimeota ng'ombe mweusi katokea ndani yabiashara yangu afu katokomea sijamuona Tena, ila hapohapo nikaota nyoka weusi mkubwa na mdogo wanapigana na mme wangu Hadi wakaingia kwenye frem ya biashara yangu
@naomilucas3229
@naomilucas3229 4 жыл бұрын
naomba nifafanulie
@dab8859
@dab8859 3 жыл бұрын
Nyoka weusi n uchawi mkubwa daa
@agapesoka94
@agapesoka94 4 жыл бұрын
Mtu wa Mungu ungelezea kwanza maana ya kuota ngombe alafu ndio uelezee hayo
@rwegagariyanguinavujacleop8213
@rwegagariyanguinavujacleop8213 3 жыл бұрын
Punguza maneno mengi
@ShanMohamed-hh2mk
@ShanMohamed-hh2mk Жыл бұрын
Wananikera maneno kibao mb zinaisha tu
@maninisamwel8657
@maninisamwel8657 2 жыл бұрын
Daah Hadi unachoka kuangalia yaan hapa nshaforwad but cfikiinlengo
@anithaherman7260
@anithaherman7260 3 жыл бұрын
Mm nineota wema ana ng'ombe amezaa watoto wengi
@patrickstewart5667
@patrickstewart5667 3 жыл бұрын
Jmn tumefanana kwa njozi
@AnethNtandu
@AnethNtandu Ай бұрын
Ostadh hiyo dua ntafanyaj ili uniombee manke nmeota nafukuzwa na ngo'mbe
@MwajySebe-qh8ik
@MwajySebe-qh8ik Жыл бұрын
Kama umeona ng'ombe wengiii sn weusi wanene inasemaje
@mrsally5583
@mrsally5583 3 жыл бұрын
Aslm alykm naomba ukitafsiri tondo iende moja kwa mona hizo viswaa visiwe vingiii
@saidjasmin3796
@saidjasmin3796 Жыл бұрын
mimi nimeota ng'ombe ananifukuza na akawa ananusa chini ili anipate ila hakunipata nikawa nimejificha nini maana ya hiyo ndoto
@joycekasakisya7755
@joycekasakisya7755 4 жыл бұрын
Mimi nimeota Kuna Ng'ombe amezaa ndama mzuuuri alafu doctor wa mifugo akamkumbatia yul ndama kwa furaha. Ghafla mimi nikaambiwa radhi zangu zimezuiliwa na mume wangu. Mimi bado cjaolewa! Maana yake Nini tafadhal.
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp: +255758678552
@salimakida6294
@salimakida6294 3 жыл бұрын
Assalam alykum, niliota ngombe aliedhoofika Sana na ugonjwa ikabidi ni mwite baba awahi kumchinja
@najmabozz2998
@najmabozz2998 3 жыл бұрын
Asallm alkm shekhe ,nimeota nimemuona ng'ombe mweupe nn maana yake
@mayasakhatibhajj787
@mayasakhatibhajj787 7 ай бұрын
Aslam alyum doctor me nimeota ngombe wengi kwenye zizi na marehemu baba yangu anawashuhulikia ngombe hao
@fatmahussein9642
@fatmahussein9642 4 жыл бұрын
Kuota unakimbizwa na ng'ombe maana yake nini?
@washhjojo4840
@washhjojo4840 4 жыл бұрын
Maana yake una maadui
@fatmahussein9642
@fatmahussein9642 4 жыл бұрын
Asante kwa majibu nilikuwa hilo
@fatmahussein9642
@fatmahussein9642 4 жыл бұрын
@@washhjojo4840 asante kwa majibu nalijuwa hilo
@phinakamugisha6074
@phinakamugisha6074 4 жыл бұрын
Me nikiota nakimbizwa na ng'ombe nilazima ntapata msiba iyo maanake nini
@magrethmachite5309
@magrethmachite5309 4 жыл бұрын
@@phinakamugisha6074 ata Mimi tena ng'ombe mweusi anakimbiza mwanzo was ndoto adi mwisho kila ukijificha anakufata ukiamka umechoka, basi napata taarifa ya msiba
@teresiaelikana4981
@teresiaelikana4981 4 жыл бұрын
Nimeota ng’ombe wa njano mnene sana kisha kazaa mtoto mweusi mwenye doa jeupe ina maana gani?
@laylisaid9563
@laylisaid9563 4 жыл бұрын
W/salama warahamatu llaha wabarakatuhu
@rwegagariyanguinavujacleop8213
@rwegagariyanguinavujacleop8213 3 жыл бұрын
Tafasili ndoto kwanza acha maneno mengi
@khamisramadhan9180
@khamisramadhan9180 4 жыл бұрын
Mm nimeota nimeshika kamba ya ng'ombe lakini kamba ilikua mguu wa nyuma kwa yule mnyama akawa ananiburura lakini hali yakua ananivuta tunatembea ktoka kaskazini kuendea kusini uyo ng'ombe ni mwekundu nini maana yake naomba ufafanuzi
@saza4837
@saza4837 3 жыл бұрын
Ukiota ngombe mnene kalala wa njano umwangie maji amke
@marymamntine1909
@marymamntine1909 4 жыл бұрын
Kwann hauwajibu watu kwenye comment
@clarisbindo2471
@clarisbindo2471 3 жыл бұрын
Ukiota unakimbizwa na ngombe, maana yke n nn
@user-kf2qb8vc6s
@user-kf2qb8vc6s 5 ай бұрын
Duh mm nimeota ngombe anajifungua kwa shida tena anasidiwa na watu
@madevunairah7820
@madevunairah7820 4 жыл бұрын
Mm nimeota ndoto ya ng'ombe mnene mweusi na mweupe ila anachinjwa
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255765893020
@fatumatandika5849
@fatumatandika5849 3 жыл бұрын
Hujasema kukimbizwa na ng'ombe
@kassimmuhange8214
@kassimmuhange8214 3 жыл бұрын
Miminimeota tunafukuzwana N'gombe familia yangu
@kahadijachiriswa
@kahadijachiriswa Жыл бұрын
Aslam elekhum Aki mimi niliota kwamba kwangu niliko toka wemeniliazimisha nichunge ng'ombe Na mimi Nika wambia hizo kazi za kulisha ng'ombe hawako Kwa contract yangu Naomba fafanuzi shekh
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Asalam aleykum.nimeota ng'ombe mweupe mpevu anapigiza kichwa China kwa uchungu akiwa amesimama
@midcitymacharia5237
@midcitymacharia5237 3 жыл бұрын
Naukiota ng'ombe anakufukuza
@MwanaidyLukuta
@MwanaidyLukuta 5 ай бұрын
Nenda kwenye pont sio Kila mtu anaelewa hivyo kuna wakilisto
@aishashabani5378
@aishashabani5378 4 жыл бұрын
Nimeota ngo'mbe weusi wawili wanapigana maana yake Nini hii shekhe..
@abbahprocess250
@abbahprocess250 3 жыл бұрын
MTU anakimbzwa na ngmb man yake nn she he mar kukamuwa Mara nini tutafsirie hill bhanaa
@mwajeybakary8524
@mwajeybakary8524 3 жыл бұрын
Mm nimeota ananisemesha ng'ombe
@oswardmwakosya5922
@oswardmwakosya5922 3 жыл бұрын
Ng'ombe mweupe je
@sabrinamsabaha2905
@sabrinamsabaha2905 Жыл бұрын
Punguza maongezi shekhe
@aminamichael1706
@aminamichael1706 4 жыл бұрын
Shekh umegeuza ngombe walokonda ndio walokula ng'ombe wanene
@fredrickbenedctor5393
@fredrickbenedctor5393 3 жыл бұрын
Unazingua banaatutaki maubili twende kwenye mada
@mutumutually2787
@mutumutually2787 3 жыл бұрын
Kumuota ngombe mkubwa anakukimbiza naakakupiga pembe jee shekh maana yake nini
@hawaomari5533
@hawaomari5533 3 жыл бұрын
Mmewangu kaota kapigwa pembe na ng'ombe af akatumbukizwa kwny mto
@shafiihasan2139
@shafiihasan2139 3 жыл бұрын
sheikh nimeota ng'ombe madume wawili wekundu wanene wanapigana nin tafsiri ya ndoto hii tafadhali*??
@kassimmuhange8214
@kassimmuhange8214 3 жыл бұрын
Utapatamali nazitakuwanaugomvi
@athumanimihayo7100
@athumanimihayo7100 Жыл бұрын
Stori sana
@aminaomary8383
@aminaomary8383 4 жыл бұрын
Shekh s/alykum nimeota nakimbizwa na ng'ombe wengi wanene wenye mapembe makubwa
@dab8859
@dab8859 3 жыл бұрын
Mm pia nimeota ivyo
@cydohGen
@cydohGen 9 ай бұрын
Na vipi ukiota ngombe kajifungua ndama jike...ina maana gani
@esharamadhan7315
@esharamadhan7315 4 жыл бұрын
ukiota unafukuzwa na ng'ombe maana yake ninini
@marymsuya393
@marymsuya393 2 жыл бұрын
Salam alaikum shekhie.. niliota ng'ombe wawili weusi mmoja alikuwa anazaa na nikamsaidia.. alizaa ndama mweupe pee... Nini maana yake
@hassanodoli4171
@hassanodoli4171 4 жыл бұрын
Hassan Odoli
@najlazezynaji117
@najlazezynaji117 3 жыл бұрын
Mie Jana Nimeota Ngo'mbe Wanapigana Tafsiri Yake Nini? plz naombeni Jawabu
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 жыл бұрын
Kaz ipo
@mwanahamisimohome5471
@mwanahamisimohome5471 2 жыл бұрын
Ostadh mm nimeota ng'ombe langi ya kahawia ananiangalia kwa hasira Kama anataka kunikimbiza et ninu maana yake
@nancynasimiyu6773
@nancynasimiyu6773 Жыл бұрын
Ukiota Ng,ombe imezaa
@j.bjacobbasubi2187
@j.bjacobbasubi2187 Жыл бұрын
Towa tafri la ndoto la kupiganishwa na mnyama mbuzi
@agapenkya4148
@agapenkya4148 4 жыл бұрын
Ukiota ngombe mweupe anazaa maanake Nini mtumishi
@kigwerotv2523
@kigwerotv2523 4 жыл бұрын
mimi zaidi ya mara 3 naota nachinjwa mana yake nini pia naota kuna ng'ombe mdogo mwekundu uko mbele yangu nisaidie niielewe
@mwanaidiramadhani5617
@mwanaidiramadhani5617 4 жыл бұрын
ukiota ngo'mbe wanapigana maana yake nini?
@mlasiferuzhanzuruni7772
@mlasiferuzhanzuruni7772 3 жыл бұрын
Nimeota ngombe anadonda kubwa mkiani
@frankyusuph8000
@frankyusuph8000 Жыл бұрын
Mimi niliota nimepewa ngombe ndefu halaf naiuza tena
@BakariBakary-jr9wf
@BakariBakary-jr9wf Жыл бұрын
Mwalimu tokea nizaliwe sijawa kuota
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 2 жыл бұрын
A aleikum Kama umeota Mtoto Wa ngombe mweusi amekata unafukuza Wataka kumshika kufunga Ndiyo nini maaana yake ?
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
Nimeota Ng'ombe wanne nilikuwa natembea na Mama yangu Sasa mm naogopa Ng'ombe nikamuacha mama apite kwanza Mama akapita katikati ya wale Ng'ombe awajamfanya chochote na mm nikatipita pembeni yao
@BettyKaneza-sd1mj
@BettyKaneza-sd1mj Жыл бұрын
Mario nalembi yo 😂😂😂😂😂
@sakinamohamedy7506
@sakinamohamedy7506 4 жыл бұрын
Duuh nlishawai kuota napigwa pembe na ng'ombe na ni kwl sina furaha ktk maisha yng
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255758678552
@richie672
@richie672 4 жыл бұрын
Kuota ngombe ikiwa na mtu unayechumbiana naye nayo ina maana ngani shiekh ?
@sadahmaula9317
@sadahmaula9317 4 жыл бұрын
Asalam alaykum jee ukiota huko.kwa ziwa la maji mana yake ninn sheikh
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255758678552
@mariamsuleiman9469
@mariamsuleiman9469 4 жыл бұрын
kuota ngombe mweupe ndani ya shimo mweupe hiyo n nn?
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255758678552
@hamidafundi5890
@hamidafundi5890 3 жыл бұрын
Shekh, hebu elezea kwanza kuhusu ng'ombe nini maana yake.
@rifaiahmed8341
@rifaiahmed8341 4 жыл бұрын
Ukiota ng'ombe anakutisha na ukamnyooshea kidole na kumlaani kisha akapotea na watu wakakushukuru kwa kumuondosha ina maana gani?
@zahirurumidis4301
@zahirurumidis4301 3 жыл бұрын
Shekhe kwann unamambo mengi sana?kua km mnajimu Kuluthumu anaenda moja kwa moja kwenye point.Ila wewe unaleta mambo mengi usome quran weee ila utambue hatujaja kusomewa Ruqya si tunatak kuckiliza tafsiri tu.
@elishanikolasi5848
@elishanikolasi5848 3 жыл бұрын
Dad hakuna mti usio na mizizi dadaangu usiwe mkali lazima aanze na mzizi kwanza ambae ni mung
@heznerkemunto3196
@heznerkemunto3196 Жыл бұрын
Mm niliota nikikamwa ngombe maziwa mengi sana
@annakimei4083
@annakimei4083 3 ай бұрын
Ila mna makasiriko Wana KZbin wengine tumeweka mb za.mia tano na tumekaa kwa kutulia tunasubiria qurani isomwe
@SalmaHussein-pc9xo
@SalmaHussein-pc9xo Ай бұрын
Kuwa mpole acha makasiriko Kama huwez kusikiliza siuache nenda Chanel nyngne
@athumanzahir8316
@athumanzahir8316 2 жыл бұрын
Nimeota ng'ombe anawagonga watu
@zuwena1zuwena114
@zuwena1zuwena114 Жыл бұрын
Ukiota unanunua Michele jeep umo ndani ya kipolo kidogo na kikubwa
@kidotitv5527
@kidotitv5527 3 жыл бұрын
Mm nimeota mnyama anapaaa alivyolud akashika mtoto uku anapaaa nini maana yake shekh
@diamondplatnumz6155
@diamondplatnumz6155 4 жыл бұрын
Mm nimeota nafuga ngombe nambozi mahana yake nn
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp. +255758678552
@khamisramadhan9180
@khamisramadhan9180 4 жыл бұрын
Manayake utaongoza wengi na mengi na tofauti ktk sekta na maisha na kazi zako utaongoza na mafanikio yatazalikana mbali mbali yaani yatazidi n.k
@sifalubamba5957
@sifalubamba5957 3 жыл бұрын
Ileni kweli
@johnpepe4501
@johnpepe4501 4 жыл бұрын
Sheikhe unatafsiri kama unamapepe iv hujiamini
@oswardmwakosya5922
@oswardmwakosya5922 3 жыл бұрын
Ukiota ng'ombe mweupe upo naye mana yake nini
@husnachina9370
@husnachina9370 3 жыл бұрын
Kuonta n'gombe anazaa je maana yake nini
@agapenkya4148
@agapenkya4148 4 жыл бұрын
Ngombe mmweupe je
@dariokisitu9134
@dariokisitu9134 2 жыл бұрын
Nimeota nafuga ngo, mbe nyumba kwetu nn manaake
@bittybitty2712
@bittybitty2712 4 жыл бұрын
Ukuota unaolewa na uko kwa ndoa tayari manake nini sheikh
@khamisramadhan9180
@khamisramadhan9180 4 жыл бұрын
Maana yake utaachika au utapata mitihani ktk ndoa yako ishuhulikie kabla l athar yaonekana kua umeolewa pahala kuna watu hawakutakii au wanachoyo nawewe
@mwanaimanisaid1943
@mwanaimanisaid1943 3 жыл бұрын
Shida yako nimoja hua hundi mojakwamoja kwenemada wengine sio waisilam ukiwasome qran unawachanya tenga muda wahadithi namuda wakutafasili ndoto
@leydaihal9332
@leydaihal9332 Жыл бұрын
Shida yako unatuhubiria badala utuambie nategea hadi Nichoka c uongee kuhusu ndoto tu
"TAFSIRI YA NDOTO YA NG'OMBE KIBIBLIA|KKKT KARIAKOO|Mch Joash Aila.
44:40
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,2 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 2,1 МЛН
UKIDUMU NA ADHKARI HIZI UTAISHI KIFALME DUNIANI NA AKHERA || SHEIKH OTHMAN MICHAEL
30:41
Kuota Na Ngombe Ina Manisha Nini?Na Rev Shamah +254706945821
1:07:15
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 7 М.
IJUE DHAMBI AMBAYO ALLAH HAWEZI KUISAMEHE.SHEIKH KISHK.
32:47
Kishki Online TV
Рет қаралды 156 М.
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН