Napenda sana kuimba nanyi ili tuweze kumtukuza Mungu kwa njia ya nyimbo na Mungu awabariki kwenye huduma yunu
@LifewithwinnieGithinji. Жыл бұрын
Kama hivi ndivyo tutakuwa tunasifu na kuabudu mbinguni wacha ni upokee wokovu niwe mmoja wa watao sifu na kuabudu Kama unaamini utakuwa mmoja wao nipe like na subscription.. amina
@shukurumossi1870 Жыл бұрын
He died in my place for my sins and he rose for my justification ...!MUNGU AMETUPENDA KWA KUMTOA KRISTO AFE KWA AJILI YA DHAMBI ZETU SISI TUNAMPENDA MUNGU KWA KUAMINI KATIKA KAZI KAMILIFU YA YESU KRISTO....!
@anitalawrence5882 Жыл бұрын
Huku 🇰🇪 tunasema HII IMEENDA ... wow just wow,
@euniceserem8200 Жыл бұрын
😂😂😂, Amina
@marymajige9697 Жыл бұрын
Sijui nitahamishiwa lini Dar, natamani kutumika na nyie jamani😭😭😭😭😭 Nawapenda mpaka basiiii, MBARIKIWE SANA
@isaackamando8484 Жыл бұрын
Dah mnajua sana! Mmefanya mziki mzuri sana, instrumentalists 🔥🔥 hawa jamaa wanafanya muziki aisee 🙌🏽 MUNGU awabariki sana
@butwawestonmwailubi Жыл бұрын
Nakupenda Yesu ...Nakupenda Mwokozi wangu ...Hakuna kama wewe Nakupenda nakupenda Sana Mubarikiwe watumishi @Neema gospel choir ...kazi Yenu njema Sana nakupenda nakupenda nakupenda Tena Mwokozi wangu nakupenda nakupenda nakupenda 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@ministerjeremyjeradi254 Жыл бұрын
Powerful! Barikiweni sana Family ! What a powerful song . Much Love from Kenya 🇰🇪 My favorite song ( hymn )
@NeemaGospelChoir Жыл бұрын
Amen
@treasurestruly Жыл бұрын
Love it! Kenya ninahama nakuja Tanzania
@dianadaudi1184 Жыл бұрын
Njooo kabisa kimbia🎉😊
@tomkyalo1107 Жыл бұрын
Mimi ata nishahama
@hillaryodiwuor3803 Жыл бұрын
Niambie siku unatravel tuandamane 😋🤗
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Karibu sana
@EvaemmanuelMondea10 ай бұрын
Njooooo
@celinashauri6362 Жыл бұрын
ISAYA 43:21 NEEMA GOSPEL CHOIR 💃🕺🙌 "watu wale niliojiumbia nafsi yangu, ili wazitangaze Sifa zangu." 🔥🔥 Mungu awabariki
@NeemaGospelChoir Жыл бұрын
Amen
@Muhatiaabel Жыл бұрын
Neema Gospel Choir ! such a blessing! kila mtu apewe soda na boflo kwenye bill yangu!
@NashipaiLaiser-it1ob Жыл бұрын
Zaburi150:6,. "Kila mwenye pumzi na amsifu bwana" Neema Gospel choir msichoke kulisifu na kulitangaza hili jina la bwana
@mbusambasa5450 Жыл бұрын
Duh! Mbarikiwe sana watumishi. Kazi yenu nzuri sana. Mungu azidi kuwapa kibali, Ujuzi na Upako kila iitwapo leo. Nimejifunza kitu.
@lestidiaphidely-dw5hi Жыл бұрын
Kaka wa drums🥰🥰🥰🥰he is feeling it
@gracekiwelu9123 Жыл бұрын
Kwani kujiunga hii Kwaya Sh.ngapi hahahhaha sio kwa Huduma Nzuri na njema iviii so🔥👌.... Mzidi Barikiwa viwango hadi viwango😻🤗
@Edibily_Manyaga Жыл бұрын
nyimbo sio ya kila mtu kusikia, ina wenye nao wanaojua kilichofanyika. Watumishi wa Mungu, Yesu awe nanyi, mmeitwa katika kizazi hiki, timizeni utumishi wenu kwa uaminifu
@ahuriladaniel9849 Жыл бұрын
Instruments have nailed it🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@PembaImani Жыл бұрын
Mnatubariki sana kupitia kwa huduma yenu. Mwenyezi Mungu azidi kuwatumia yote kwa utukufu wa jina lake.
@vugutzatheblackqueen Жыл бұрын
Another new subscriber...nani mwingine mgeni lakini amependa kazi safi❤❤❤ amazing 😍😊
Wewe umeona uyo drumist am just in love with him waa
@lestidiaphidely-dw5hi Жыл бұрын
How many ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ should I typ here 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@YouTuberyout Жыл бұрын
I feel blessed Alot.... 😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤ Nawapenda Wote.... I can't stop expressing my feelings towards this neema Choir,☺️😘
@masakakambesha4521 Жыл бұрын
Hakuna nyimbo napenda kama nyimbo za tenzi.❤
@rosemwiti6295 Жыл бұрын
Hallelujah 🙏 Asante kwa wimbo huyu wa baraka... From Kenya ❤
@marionwanjiku4226 Жыл бұрын
Beautiful, love from kenya 🇰🇪 Thank you lord, thank you holy spirit
@kelvinnyamle6031 Жыл бұрын
tz joyous celebration mnajua mnajua tena
@AshaIbrahim-j3b9 ай бұрын
Kuishi ndani ya yesu ni raha jamani sijui nilichelewa wapi ❤
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Kabisa kabisa endelea kubarikiwa ndani ya Yesu🙏
@emmanuelmosha3722 Жыл бұрын
Wow, this is one of the best songs that I like from Tenzi la Rohoni. Your innovative ideas are impressive. Without a doubt, my love for Jesus is immense, and I consider Him to be the most precious and valuable aspect of my life. I express my gratitude to God for the presence of Neema Gospel Choir (NGC). I pray for you🙏
@fredrickfresters3610 Жыл бұрын
Thank you so much ❤
@mathayomkumbuchile2808 Жыл бұрын
Neema gospel you dry up my words with your creativity
@ipyanadavid118 Жыл бұрын
Wahaaoo hongera Sana jamani nawapenda sana Mungu azidi kuwatunza sana wote
@vicentjoseph6888 Жыл бұрын
Kepha.. kepha... Kepha... Nimekuta mara 3😂 All in all mko vizuri wote
@emmanuelmsangi7793 Жыл бұрын
Hello Neema C, Nzambe apamorayo!!!!
@NdishK Жыл бұрын
Wow wow wow , everything 🎉🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥 vocals ,band , leads, yaani kila kitu fire ! God bless
@Kukubalikaesther Жыл бұрын
And they overcame him by the blood of the lamb and by the word of their testimony; and they loved not there life unto death Rev 12:11 Yesu Nakupenda!
@odiliapaul3055 Жыл бұрын
💖💖💖💖🙏
@leonardmadinda1439 Жыл бұрын
#neema_gosple barikiwa sana vijana wa Mungu na hongereni kwa kuifanya kazi ya Bwana kwa nguvu zote 🙏🙏🙏🙏🙏
@loveglow2765 Жыл бұрын
All the love from Kenya 🇰🇪,always a delight to listen to your songs the anointing over you is immaculate,Jamani❤️
@shekzzkandi1527 Жыл бұрын
I was waiting for this song finally🥰🥳🥳🥳🥰🥰. Sasa Nakupenda...
@pintymelodytz913 Жыл бұрын
Neema Gospel Mungu Anawatumia Kwaviwango Vikubwa Sana
@Wilsonjohnoffical543 Жыл бұрын
waoooo imeupenda huu wimbo be blessed more💯
@evanyangasimusic Жыл бұрын
Awesome I have been waiting you guys blessed me and nawapenda.God is taking you to new levels
@AlbertNyenzi-f4c Жыл бұрын
The sound of spiritual life, the more we hear the more we build strong spirit shield in us🎉
@johanessalvatory-ke6ss Жыл бұрын
Mabingwa wa piano,,,,mbarikiwe sana
@leonard1747 Жыл бұрын
Hii ni level nyingine. Waaaah!
@sarahjoseph5411 Жыл бұрын
nyimbo nzuri, mmeimba vizuri 💯 mmebarikiwe wote waimbaji mnafanya kazi nzuri
@marthamsungu9351 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana na Baba wa Mbinguni.....mzidi kusonga mbele
@joseepapason2031 Жыл бұрын
Guys you inspire every time. I love your work. Keep the fire burning for God
@Muthamaki_Trevor Жыл бұрын
Kazi nzuri mnayoifanya, Yesu awe atykuzwe ❤
@birundula Жыл бұрын
Sauti zenu zimebarikiwa. Mungu awabariki tenzi mmeitendea haki
@ayubmakenzi9804 Жыл бұрын
Kwakweli Mungu awabariki kwa huduma yenu njema
@peterndowa5579 Жыл бұрын
Mko vizuri sana wapendwa
@daudmnisi1352 Жыл бұрын
Wawoooooooo ❤️ My favorite choir 🎉🎉🎉🎉🎉
@movieparlour1144 Жыл бұрын
I am here to request for the song by the Mbinguni Itakuaje. Nimeonjeshwa huo wimbo pale tiktok na umenigusa sana. Nimeutafuta nikaukosa. Ningependa kuskiza wimbo wote kwa hivo naomba mweze kuurelease ili utubariki sisi wote.
@MissGathoni Жыл бұрын
Amen. Nakupenda Yesu na sioni Haya kutangaza ❤️ Beautiful voices ❤️
@oliviantandu-ux5rv Жыл бұрын
Waoooooo mzidi kuinuliwa na BWANA
@clamencekhinda6900 Жыл бұрын
Amen amen mmbariwe mpaka mshangae neema gospel nawapenda mnoo❤❤❤
@ennymwangi2889 Жыл бұрын
Keyboardist Niue 02:15 😮😮😮😮😮 uuuui bro when I grow up I want to be like you when I grow up
@alicendimu2038 Жыл бұрын
Beautiful just find u am very broken please say a prayer for me
@Aaron-nu7dv8 ай бұрын
I love you guys with all my heart! I'm drawn close to God whenever I listen to your masterpieces
@justintabu7291 Жыл бұрын
Wauuuh!! Utukufu kwako Yesu, ninakupenda sana❤
@ClaraLengai Жыл бұрын
Mnajua ADI shetani anakereketwa... MUNGU awabariki
@ibrahimsonyofficiel1640 Жыл бұрын
My favorite choir. Mubarikiwe na Mungu 🔥🪕🎸🎙️🎺🎹🎤🪗🪘🥁
@Rothschild82 Жыл бұрын
Waoow nice song... Behind my ears i hear #i believe# song by jonathan nelson
@samdrumsticks9016 Жыл бұрын
Good voice congratulations 🎉 vocal arrangement 🙌
@nelsonnimrod Жыл бұрын
Awesomest! Me love this stuff, keep it high up folks.
@evakatani636 Жыл бұрын
Waiting patiently, I already know it's gonna be a banger 🔥, be blessed abundantly guys 🙏
@winnifridamgalula3386 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwapa kuwainua zaidi ya apo kazi nzuri saaaana napenda Sana na nabalikiwa mpaka nashindwa namna ya kuwaelezew,, all in all Mungu awabaliki vija,, na Mimi pia napenda Sana kuomba Sana,, Mungu awatie nguvu mfike mbali Kaka na group lako🙏🙏🙏😍😍
@winnifridamgalula3386 Жыл бұрын
Napenda kuimba kama nyie,, mbalikiwe jamani
@neemakitula3004 Жыл бұрын
Nawapenda mno NGC❤
@VeronicaWilliam-vv6cp11 ай бұрын
Mm mdau mfuatiliaji wa nyimbo zenu hakika nabarikiwa na huduma yenu Kazi yenu ni njema sana mtalipwa msipozimia mioyo
@NeemaGospelChoir11 ай бұрын
Amen, ubarikiwe sana mpendwa 🙏
@NeemaGospelChoir11 ай бұрын
Amen, ubarikiwe sana mpendwa 🙏
@isackmashishanga.6067 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wa Jehovah 🙏🙏🙏
@joelngugi4706 Жыл бұрын
You always bless me you always do great work of our God love you from +254
May God Bless you and your country, Your Ethiopian Sister in Christ!!
@veeJesus Жыл бұрын
Glory to JESUS ❤ you are all over guys 🙌🇹🇿
@juliuskinyanjui9450 Жыл бұрын
Woooow… so angelic voices. Everything is awesome. Instrumentalists mko tops!
@emmanuelmtonyole9958 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi njema mnayofanya
@damianurio6305 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana watumishi wa Mungu.
@ipyanamwakabungu4418 Жыл бұрын
Loveee Neema gospel I wish ni kimaliza nije hapooo napenda sanaaa Huduma yenuu
@estherkafula7356 Жыл бұрын
Blessings...... What an amzing version Huu wimbo ni mzuri ajabu..... Nawapenda!
@lilianwachira6489 Жыл бұрын
Hallelujah, nakupenda Yesu ❤❤❤
@NeemaGospelChoir Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻
@JaphariIddi Жыл бұрын
Dash me nawakubali sana 2:13 ❤
@evakatani636 Жыл бұрын
"Your blood cleansed our transgressions ,I love you* Jesus 🙏
@NeemaGospelChoir Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻
@deeportraits6919 Жыл бұрын
Heaven won't be boring 😊😊😊
@johnsangida5158 Жыл бұрын
Powerfull song keep up in God my brother and sister your work is Good🎻🙏💓
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Amen mbarkiwe sana mmefanya vizur wimbo mzuri sana
@James-x4c9p Жыл бұрын
Good music. Hope some day heaven will remember me
@joyceogoye1728 Жыл бұрын
Exceptional as always! God bless you Neema !
@minguinhoalberto8684 Жыл бұрын
God bless you❤🇲🇿🇲🇿
@ianduncankibet9627 Жыл бұрын
No dull moment in this song weeeh!
@joskyshams47588 ай бұрын
Nimeskia huu wimbo leo nikaupenda.
@meshakimsacky4746 Жыл бұрын
Aiseee,Joyous Celebration hiii naikumbuka aiseee. Nice one Wataalamu. Yan naikumbuka aisee, nice one wakuuu.. Mbarikiwa sana. You guys sikio mnalo cyo kwahizo moves na bridges surely kama Joyous yenyewe.
@kelvinkingkenya254 Жыл бұрын
Absolutely amazing....everything on point...woow!!!
@oderingsomela5967 Жыл бұрын
Glory to God.... Beautiful heavenly version
@annazephania7463 Жыл бұрын
Nawapenda,,Mungu aendelee kuwatunza
@FarajaLegnand-lc9jl Жыл бұрын
Waooo I like it 👏👏👏 Mungu awabariki hii team
@victormuuo103 Жыл бұрын
My best Tz choir after Essence of Worship
@RuthFLORENCE-d4u Жыл бұрын
Kweli nime barikiwa sana na hii song kutoka Drc. Mimini mumoja ya AIC DRC