TUNATABIRI LYRICS Bonde limejaa mifupa Mifupa mikavu Je, yaweza kuwa hai tena? Bwana anauliza Bwana anauliza Je, yaweza kuwa hai tena? Kama Ezekiel katika bonde hili Tunatabiri Tunatabiri Kila kilichokufa kipate uhai tena Tunatabiri Tunatabiri Kwa neno la Bwana Kwa neno la Bwana Tunatabiri Tunatabiri Mifupa mikavu Tunatabiri inapata uhai Tunatabiri Tunatabiri Tunatabiri, Inapata Uhai Tunatamka kwa neno Na yote inakuwa Tunatabiri, inatapa uhai
@josephmussa062510 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@martinetimotheoofficial330410 ай бұрын
Ewaaaaaaaaaaaa! Vizuri sana nimeipenda hiiii
@yohanamasukakideka714310 ай бұрын
Tuna tabili 🔥🔥
@EzekielKitambo10 ай бұрын
Waoo wa kwanza kutazama, naombeni like zenu wapendwa
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🔥🔥🔥🔥🔥
@EzekielKitambo10 ай бұрын
Nabarikiwa sana na huduma hii iliyo tukuka 🙏🙏 TUNATABIRI 🎧📷
@boazdanken10 ай бұрын
Umerejesha Mifupa mikavu God Bless you Neema Gosple Choir
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen 🔥🔥
@rehemasimfukwe10 ай бұрын
Tunatabiri 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana Dada yetu kwa kuendelea kuwa karibu nasi🙏🙏🙏
@merinamwenge685210 ай бұрын
Tunatabir❤❤❤
@jeremiahmahenge925010 ай бұрын
NINATABIRI KUPATA KAZI KWANGU MWAKA HUU KWA JINA LA YESU KRISTO NA IMEKUWA AMINA.
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen na iwe hivyo kwako🙏🙏🙏
@hurumakapinga682610 ай бұрын
Amen
@OldGospelSongs9210 ай бұрын
Greatest man in history, had no servants, yet they called him Master. Had no degree, yet they called him Teacher. Had no medicines, yet they called him Healer. He had no army, yet kings feared Him. He won no military battles, yet He conquered the world. He committed no crime, yet they crucified Him. He was buried in a tomb, yet He lives today🙏🏻. His name is Jesus.❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏🙌
@tumainistephen850010 ай бұрын
👏🙌🙌🙌
@trophywilson721110 ай бұрын
Amen
@kipkiruigillie433210 ай бұрын
Kumerejeshwa ,Sasa ni kutabiri iwe hivyoo.... Wakenya kama kawaida tuipeperushe kama na likes za ajaab.. Nehema choir ndo mnaaza kupaaa Sasa Kwa Kasi. John kavishe yuko na kibali ya aina yake, God bless..muonekano pia yanafurahisha sana ..nikija Tanzania nitapenda sana mnijulishe hao mafundi..❤❤ Kenya 🇰🇪 mmnapendwa sana watu wa mungu ❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana, tunakupenda pia🇰🇪🇰🇪❤️🔥🔥
@stellahmwaliko91410 ай бұрын
Kwajina la YESU natabiri mwaka uhu uwe wa ndoa kwangu❤🥰🙌🙌🙌🙌
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen na iwe hivyo kwako
@hellenrichard18710 ай бұрын
Natabiri uchumi wangu kuneemeshwa na Mungu na madeni yote kuishi ili niishi kwa amani
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Amen
@officialhoseamlaponi10 ай бұрын
Nimezidi kubarikiwa kutoka Kwa kwaya yangu pendwa. Nimetoka kurejeshewa na Sasa baada ya kurejeshewa ninatabiri Kwa Neno la Bwana. Mungu azidi kuwabariki sana.
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen, ubarikiwe sana🙏🙏
@elolam710 ай бұрын
Wale ambao mwaka huu tunaenda kuwa matajiri si kwa ajili yetu ila kwa ajili ya utukufu wa Mungu.. nikuone kwenye comment please!... Sema chochote tajiri mwenzangu❗hii ni kwa matajiri tu❗💰💵💴💳
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana🙏🙏
@KULWAKINGI10 ай бұрын
Amen Mungu akubariki sana na Tunatabiri inapata uhai mifupa mikavu
@jiwetaura775310 ай бұрын
Hujambo tajiri mwenzangu 😊
@saudaantony915210 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌
@christinemukui244410 ай бұрын
Amen
@manasemoses692210 ай бұрын
Kwa neema ya Yesu na kwa neno la Mungu natabiri mwaka huu ayatimize yale nimemwomba kwa utukufu wake
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen
@zachariamabina292310 ай бұрын
Ifike sehem serikali ya Tanzania iseme neno ..aisee mnajua Sana hatakipofu ana prove.. blessed mlingwa na Andrew wapewe ulinzi
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
😀😀😀😀Asante sana mpendwa kwa kuendelea kubarikiwa na huduma yetu🙏🙏
@ministerjeremyjeradi25410 ай бұрын
Mifupa mikavu yaweza ishi Tena Yeeees ! More Grace Watoto Wa Mungu ! GOOD JOB MY BROTHER JOHNY KAVISHE...
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen to God be the Glory 🙌🙌
@victoriazelamula232810 ай бұрын
Hakika tunatabiri mifupa mikavu inapata uhai kwa neno la Mungu- Ameeeen🙏🖐️👏🤲Be blessed NGC- Ameeeen🙏
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏
@miss_j22410 ай бұрын
Kenyans najua tushafika...Am really addicted to this choir lately 😊🇰🇪😊🇰🇪❤️❤️
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen God bless you🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@RAINERMovers10 ай бұрын
Tuko kwa sana
@rosekhalai247010 ай бұрын
Me too
@webbworth110 ай бұрын
We are all Gods children..borders ni za mzungu
@miss_j22410 ай бұрын
@@webbworth1 umesema ukweli. God Bless You
@gideonandrew473810 ай бұрын
Maana sisi tumepewa mamlaka tukisema ni Mungu amesema na kwautukufu ule uliokwsha kufunuliwa na utakaofunuliwa tunasubili mifupa mikavu iwe hai Tanzania vijana jeshi la Mungu lipate uhai Mkuu wakutenda kazi ya MUNGU Tunatamka na inakua
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏hili ni neno📌
@mariamhamisi872910 ай бұрын
Wazee wa kutabiri na kurejesha! Mmepigaje hapo!!? Mnazidi kuponya nafsi zetu..Mungu wa mbingu na nchi awabariki sana!
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana🙏🙏
@peterbaraza788710 ай бұрын
I can see my wife Shifra on the stage. Akitabiria mifupa! Big up Neema Gospel!💪💪
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen be blessed 🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@mkamboimaganga569010 ай бұрын
God bless you sir for supporting your wife's ministry
@MsAggie510 ай бұрын
I like their outfit.
@peterbaraza788710 ай бұрын
Yeah! I'm grateful for you too. However, husband's support matters a lot since it unleashes the hidden potentials in spouse's life. You are doing a very great job indeed! God bless you all, More annointing to you brethren! Big up 💪💪
@WilbroadLudovick10 ай бұрын
Tunatamka neno na yote inakuwa ooooh tunatabiri inapata uhai...mpe salam MD masanjaa❤❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙌🙌 zitamfikia salamu
@officialdaudipaul119910 ай бұрын
Amen amen Neem Gosple🇹🇿♥️🙏🙏✅🙌
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏🔥🔥
@ChrisentNicolaus10 ай бұрын
AICT choirs to the international level, we're proud of having you servant of Jesus, as a church we appreciate your work, God bless you all 👏 One day I'll be the part of this group,,😊
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Wow your warmly welcome to the family 🙏🙏💪💪
@Faith_joseph10 ай бұрын
Tunatabiri mwaka huu Neema Gospel Choir watakuja Moshi Kilimanjaro kufanya Live recording 😅😅😅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
😀😀😀 Amen🙏🙏🙏
@jacquienyumoo362313 күн бұрын
What a beautiful song OMG 🔥. It’s the OOH for me-I love it. I played it in my car like a million times the first time I heard it. Neema Gospel Choir to the world 🔥🔥. Much love from Seattle-USA 🇺🇸🇺🇸. Nawapenda ❤❤
@JofreyOguta10 ай бұрын
Ninatabiri ubirionea kwangu 2024 kila kilicho pooza kinapata uhai kwa jina la mungu wetu alie hai
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen
@elizabethhange963810 ай бұрын
Ninatabiri ile kazi yangu nzuri ninyoiombea kila siku itatimia mwaka huu kwa kina la Yesu!
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen na iwe hivyo kwako 🙏🙏🙏
@ndungujoy557110 ай бұрын
Amen 🙏
@catherineurio684610 ай бұрын
Tunatabiri inapata uhai❤❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏🔥 Kindly Subscribe to our youtube channel and follow our instagram page for more updates 🙏
@ananemaemanuel875110 ай бұрын
Kila kilichokufa kwenye maisha yangu natabiri uhai ndani ya kwa Jina la Yesu.
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen na iwe hivyo kwako🙏🙏
@zuhuramdagano95599 ай бұрын
Ameen🙏tunatabirii
@thomaslukubi729910 ай бұрын
Watumishi neema iendelee kutenda kazi kwenu kwa ukubwa na nguvu ,mnatubariki sana sana,upendo mwingi kutoka Arusha
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen asante sana ubarikiwe pia🙏❤️
@joyfulbukori16682 ай бұрын
Tunatabiri naenda kupata kazi serikalini kwa jina la Yesu ,Mara ya kwanza nakusikiliza kwenye redio ,nimekuja KZbin ,Amen kwa Neema ya Mungu
@peteremanuel72238 ай бұрын
Huu wimbo kila siku ni Mpya kwangu,umenipa nguvu Saną kwenye maisha yangu Mungu awabariki Saną Familią yabgu NGC
@RAINERMovers10 ай бұрын
Tabiria RAINER MOVERS Kenya itapata watejaa in Jesus name 😢
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen na iwe hivyo katika jina la Yesu🙏🙏🙏❤️
@rosemarylihawa65476 ай бұрын
Hello August chochote kilichoufa kikapate uhai tena mwezi huuu in Jesus name
@TapuwaAlishdamba10 ай бұрын
tuna tabiri we prophecy by the word🔥🔥
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏
@Samiwachira10 ай бұрын
Powerful 🎉..hapa Andrew🎸 alitabiri kweli kweli 😂.. such a great band with such an anointing ❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥hakika😃
@jeremiahmahenge925010 ай бұрын
Tunatabiri❤❤❤❤❤❤❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@CollinsMuema5 ай бұрын
🙏🙏🙏 Yes Yes
@rosemwiti629510 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪in the building... Tunatamka kwa neno la bwana inapata uhai... Hallelujah❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🔥🔥🙏🙏
@user-muhindo43310 ай бұрын
Wewawoo 👏👏👏👏👏👏👏👏
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@STANLEYKINYILI10 ай бұрын
Mmebarikiwa, Kenya we love your ministry
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen we love you more🇰🇪🇰🇪❤️
@mossesmungure10 ай бұрын
💪🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
@EllyxhozaRufano10 ай бұрын
Unyamaaaaaa sanaaa
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🙏🙏🙏🙌🙌🔥🔥
@lamecknoel907610 ай бұрын
Yooooooo🔥🔥🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
@hellenrichard1876 ай бұрын
Tunatamka kwa neno na yote inakuwa tunatabiri inapata uhai❤
@JustinahEmmanuel10 ай бұрын
Woooooooow😊😊😊TUNATABIRI
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@Joselyne_k9 ай бұрын
TZ u have taken this to another level
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Amen
@AnithaRiwa9 ай бұрын
Upande wa kuliaa
@irakozefranckey-board119410 ай бұрын
Chiiiiiiiiiiiiiii bassplayer 🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
@ElieMunepo10 ай бұрын
Neema naomba tufanye wimbo bhna ndugu zangu…🇨🇩X🇹🇿😇🔥 nawapenda sana , Mbarikiwe na Bwana 😊🙌🏾
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen Utukufu kwa Mungu karibu sana 🙏🙏🙏🇨🇩🇹🇿🔥🔥🔥
@daphineleteipa92310 ай бұрын
Amazing! The word of God is alive and active! Heb 4:12. Thank you Neema Choir for singing scriptures it's really uplifting and God is doing a great work through you guys! Team Kenya huku nikuabudu tu!
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Wow thank you for watching us 🇰🇪🔥🙏🙏
@JamesSunaka10 ай бұрын
Of course
@ruthshango479110 ай бұрын
Tunatamka kwa neno na yote yanakuwa ❤❤❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙌🙌🙌🙏🙏
@hoseakayinga131310 ай бұрын
Kazi nzuri
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen
@amosleonard72509 ай бұрын
Mungu awabariki🙏
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
🙏🙏🙏
@MajoroJohua10 ай бұрын
Tunatabiri kweli 🙏🙏🙏
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@FridaKavishe-o6f10 ай бұрын
Hongera Broo mungu akutangulie
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏
@kelvinbizulu976010 ай бұрын
Godwin 🥁 umetisha sana
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🙌
@lifewithmaryann10 ай бұрын
Ninatabiri mifupa yote maishani mwangu imepata uhai...such a great song❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana 🙏
@GetrudaMbuya10 ай бұрын
Sifa kwa bwana
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏🔥
@YunusAbdul-ge1vg9 ай бұрын
Nawapenda sana neema gspl
@annawilhelm30010 ай бұрын
Amina amina
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen
@JOCLED10 ай бұрын
aweeee the first time nimesikia this song sikupata vibe ilaa leo nimerudi tena youtube and i feel a different level of anointing🥺🥺🥺🥺
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen God is really working 🙏🙏💪🔥🔥
@BettyGeorge-el1gb10 ай бұрын
Wowowowowow baada ya kurejeshewa vyetu Sasa ni wakati wa kujitabiria memaa Mungu awabariki sana neema gospel tunawapenda mnoooo moreee gracee🇹🇿💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen asante sana tunakupenda pia❤️❤️❤️❤️
@BettyGeorge-el1gb10 ай бұрын
Ameeni🙏🏿🙏🏿
@lilianclemence536210 ай бұрын
God 😭😭😭😭😭 ipate uhai tena .
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
AMEN🙏🙏
@peterbaraza788710 ай бұрын
Hallelujah! That is the next level Neema Gospel Choir.
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
AMEN Glory to God 🔥🔥
@ahuriladaniel984910 ай бұрын
Mbarikiwe
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏
@PennyG-r4o10 ай бұрын
In the name of Jesus we prophesy come life 🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏
@monicamwenda22947 ай бұрын
Natabiri huu mwaka napata mume
@JamesSunaka10 ай бұрын
Naisubir ya simfukwe
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
😀😀💪💪💪
@carlgithinji891810 ай бұрын
I have literally been listening to this song, since morning repeatitively❤,song of my season, to God be the glory 👑
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen be blessed 🙏🙌 Kindly Subscribe to our youtube channel and follow our instagram page for more updates 🙏
@carlgithinji89189 ай бұрын
Already liked and subscribed...... How can I afford to miss such blessed moments with you graced team.
@iyaamoding894510 ай бұрын
Wow natabiria maisha yangu ipate uhai kwa jina kuu la Yesu Amen Amen ❤❤❤❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amne❤️
@gilbertkipkirui326110 ай бұрын
Wakenya waimbaji ... tafadhali tuwaige hawa wapendwa, kutoka kuimba,mavazi na hata Nehema....kiukweli mnapendeza jamani sauti nzuri,vipawa vya aina yake na kuimba kwa kumaanisha ndio inawafanya mmpendeke sana jameni...huku Kenya nawapenda sana ..tunaendelea kurejeshewa huku tunatabiri. John kavishe na vocalists wote pokeeni salamu kutoka Kenya 🇰🇪, pia mmpeeni salamu willian juu najaribu kuangalia simwoni...
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana tunakupenda 🇰🇪🇰🇪❤️
@juliuswisalah918310 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri, nawapenda
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen tunakupenda pia❤️
@Ditripharm310 ай бұрын
haki ya nani ...... natabiri na natamka kwa NENO kila kitu changu kinakua hai wow🙌
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🔥🙏🙏🙏
@faithkatondo714110 ай бұрын
Very very powerful. Indeed tunatabiri. Mbarikiwe sana
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen 💪💪💪🙏🙏
@marianandisi16416 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏
@victoriazelamula232810 ай бұрын
Big up my daughter Mariam i see you on the stage- ukitabiria mifupa mikavu inapata uhai kwa tamko la neno la Mungu- be blessed NGC 🙏🤲👏🔥💪🤝
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen asante sana kwa niaba yake🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@petromzigu656510 ай бұрын
Am from Porto Alegre Brazil and I don't know Swahili but let me say hawa jamaa ni kisanga ... wanajua mno🙌🙌
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen utukufu kwa Mungu 🇧🇷 🙏🙏🔥
@jeromemsagala122010 ай бұрын
Acha uwongo,hujui Kiswahili wakati wewe ni mswahili wa bonyokwa😂
@bulaloalindamtobesyaofficial10 ай бұрын
Nina tabiri kila kilichokufa ndani yangu kupokea uhai kwa jina la Yesu. Hakika mimi ni mshindi katika Kristo ❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@epifaniakavishe928210 ай бұрын
Upako juu ya upako 🎉🎉🎉🎉 kavishe goo brother
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@alfredyhaule743410 ай бұрын
Eeh wenyezi mungu Wabariki sana hawa wanao wanaozidi kuimba na kutugusa sisi wengine uwabariki sana kwa kila jambo Amen🙏
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen tunapokea🙏🙏
@thomaspmook343010 ай бұрын
Mifupa mikavu ,tunatabiri inapata uhai
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🔥🔥🔥
@benzelmwendaАй бұрын
Live n direct from Malawi the song is powerful tunatabiri❤
@violethmbando25810 ай бұрын
Amen, you're blessed. Naitabiria nchi yangu kila palipo na Kufa Mungu akarejeshe uhai tena na uchumi wake ukaimarike. Viongozi wakawe na hofu ya Mungu wakajitoe kwa ajili ya Watanzania sio manufaa yao na watu wachache
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana🙏🙏
@violethmbando25810 ай бұрын
Amen@@NeemaGospelChoir
@evakatani63610 ай бұрын
Hallelujah, tunatabiri inapata uhai in Jesus name Amen 🙏 bless up guys 🙏
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🔥🔥🔥🙏
@MundemuHc10 ай бұрын
Tunatabiri
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🔥🔥🔥
@elizabethyusuph922110 ай бұрын
Tunatabiri uhai kwa kila kilichokufa in Jesus name 🙏 Hongereni wapendwa kwa kazi nzuri
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mpendwa 🙏🙏
@isackmahumbi580910 ай бұрын
Mungu awabariki sana, wakati wote mmekuwa na huduma iliyotukuka sana,wimbo mzuri na ujumbe mzuri ndani yake 🔥🔥
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🔥🔥
@MutoyiYvonne-gz4ki8 ай бұрын
Amen
@gennimabula187810 ай бұрын
Wataalamu on Duty..... Mnamuheshimisha Mungu kwa viwango vya juu sana.... 🔥🔥, TUNATABIRI
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen utukufu kwa Mungu🙏🙏🔥
@gladysmag895310 ай бұрын
❤❤❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@hidayamakunga87159 ай бұрын
💪💪💪💪💪💪
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@joshuajustustz10 ай бұрын
TUNATAMKA KWA NENO NA YOTE INAKUWA, TUNATABIRI MIFUPA INAPATA UHAI 🎉🎉❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
🦴🦴Amen🙏🙏
@samsonielias-f8s9 ай бұрын
Natabiri kupata ajira mwaka huu usipite ,,
@NeemaGospelChoir9 ай бұрын
Amen
@gladnessshola271810 ай бұрын
Najitabiria kazi na ndoa njema🎉
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen na iwe hivyo kwako🙏🙏🙏
@leahshilatu660610 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@janembone338010 ай бұрын
Sooo nice uwee,Neema mwanibariki kweli
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏
@santebnassary741110 ай бұрын
Tunatabiri inapata uhai mifupa mikavu
@NeemaGospelChoir10 ай бұрын
Amen🙏🙏
@Mugambga10 ай бұрын
May God bless you mungu azidi kuwajaza ngumvu na upako wake we love you ❤❤❤ from 🇨🇩🇰🇪