Lyrics: Umezungukwa na Manyakubi kivipi hunyaushi, Unajikuta gentle Innocent Mujwahuki, Uzushi unaweza sema Injili za Uyahudi, Zinazofifiisha ndoto za muAfrika huyachuji, Matukio na majirio kila mawio, Msiba kimya kimya unazikwa bila pambio, Na kwetu viraka ndio mavazi sina salio Tieni kwa moyo mbona mnafinya gawio, Dada ficha kalio kwani halivutii tena, Ngoma Ikipigwa sana hupasuka humsikii Wema, Wewe nani ka" Chundabadi humfikii Ngwena, Nadunga wax ma-supertraxx KI-Bwena, Kusuma drugs na kuuza nyasi CHi-bena, Child abuse Must I refuse si vema, Ku-argue na watoto wa juzi Sweet Gangstaz, Machawa Freelancers they don't see dangers, Dona tamu muulize hata Donald Trump, Tulidhani assassination attempt mbona prank, Dondosha Johnny Walker njoo na Tonic water, Niende kufoka Tuesday Morning ya Tony Toca, Kuhusu mabeach boy na ndoto za u-rich boy, Ina-reach point Speaker anashindwa ku-pitch voice, Nipe karatasi sihitaji mambo ya bitcoin, Niku-show energy kwa neighbourhood ya Big Boy, You dig point ama ndio mnang'aa macho tu, Na-destroy na-disappear power supernatural, Jifanye tu untouchable hutokufa nazo bro, Heshima ndio huacha heritage recognisable, Huamini shuhudia ishara, Jambazi nina madini ka" nimevamia sonara, Bitozi pozi gozigozi na yule demu wako Rozy, Anasema we govi eti umekimbia tohara,
@xtragang49512 ай бұрын
Unju ibra bin UpUpU
@MKobe_2542 ай бұрын
waaaagwan--- Naskiza Tena na Tena, ili nifahamu halicho kinena, bado navuta- denda, nifanye-ni-- sijapendaa!! Kwa vina hatari sisi maDangarii kwa mbali tumekubari mi-stari, yako- bamddddddddddd--- KAZI SAFI MZEIYA!! from Kenya/U.S.A
@Meeknego2 ай бұрын
Hakikisha kila project yako unadondosha lyrics kama hivi. Kuna maneno unatumia bila kuyaona kwa screen unatuacha. A real Emcee, wanayasema ana kiburi💪
@erickmanucho40922 ай бұрын
Sipana za unju
@nicksoncharles-kx3gr2 ай бұрын
Unju wa motoooo
@YohanaPetro-xv9tp2 ай бұрын
Kwenye Redio Zao Hawapigi Ngoma Zako Wamesubr Ufe Waseme pengo Lako Akuna Wakuliziba Tanzania Yamachawa Wachache Tupo Hatumpigii Mtu magoti Ili Asapoti Chakwetu Tutalizika Nakidg Chahaki Kuliko Kikubwa Cha Masimango
@Super-Casanova2 ай бұрын
BABA MALCOLM 🔥🔥🔥🔥
@calisterick86722 ай бұрын
Mkali wewe
@HamiduIsmail-j7w2 ай бұрын
Nakubali
@yojoruta33792 ай бұрын
UNJU THE GOAT
@alphoncesamwel69732 ай бұрын
Nani anaandika kama huyu jamaa
@ShedrackLawrence-u3p2 ай бұрын
Greatest Mc of all time!!!!since way back lunduno,tamaduni,kikosi kazi! Unju wewe ni mc mkali sana na pia Nahitaji sana albam zako sema sina access ya kuzipata
@MarcioShimiyu2 ай бұрын
Still kama dre🔥🔥🔥
@martinmsigwa90662 ай бұрын
NYAKUBI ( Nyama Kuma Bia) ✊🏾 Unju
@AMOAM_49Ай бұрын
THE BEST TO EVER DO IT.....🎉. #DR UNJU
@Isayaasheritimila2 ай бұрын
Nakubal Nikk
@husseinkitingi81862 ай бұрын
Ila hasira ulizofuga balaaaaaaaàaaa kila ngoma ikitoka ninoma
@bonifacemeela52472 ай бұрын
"Dondosha John walker Njoo na Tonic water "😂🙌
@godfreyedward39942 ай бұрын
THE ONE&ONLY UNJUUUUU
@suhailsodeh54442 ай бұрын
Best of unju the best Mc baada Professor jay 4rl....salute zohannn
@bobolino19512 ай бұрын
Unju emcee nyokoo soko la vinega wadosi hawatii ugoko bobo gangstar tip top manzese
@DicksonNkosi-o6k2 ай бұрын
Nikki mbish
@Manzonzo2 ай бұрын
Dr🙌🙌🙌
@entrepreneurfigher2402 ай бұрын
Ngoma ikipigwa sana hupasuka can have multiple interpretations. Safi sana OG
@heistreno2 ай бұрын
Broo ngoma zinaenda achia album yote , usiuze acha mawe yatembe yenyewe si tutapigashow ✊✊✊
@SAIF_MUNENE_ABDI_MALIK2 ай бұрын
Ooii Salam Alaikum, classic/big tune 1.bbc kafanya justice hapo 💯 2.Nikki mbishi justice ya lines Namaanisha "injiri ya wayudi" -"Ngoma ikipigwa Sana "_"child abuse" "truph life attempt " "bitcoin " etc🎤🎤🎤🎤🎤
@mjungatv81722 ай бұрын
Cjawahi kuwa na mashaka na wewe broh hata siku moja Unju much respect broh..!! Ngoma zako zilikua zinanipa umaarufu sana wakati nipo secondary 2016 2017 daaah And one of my fvrty song kichaa cha mbwa aseee…!!!
@nicksoncharles-kx3gr2 ай бұрын
UNJU ajaway kudrop kwenye kachora kmmk
@RomanMwinyi2 ай бұрын
Unyamaa like 1
@nelsonmasolwa83432 ай бұрын
Half animal 🦁
@FahadAli-ni5eu2 ай бұрын
Siku zote niakiambiwa nitaje real rapa nakutaja ww
@MKobe_2542 ай бұрын
"ngoma ikipigwa sana, hupasuka Wema!" -- dah, vijana WA Da Es Salaam mlishindwa kumpea mimba Sasa ni kumponda tena adharani!!! Kipigo zaidi ya Mr. Nice au Dudubaya jameni 😮😮😮 ... Kujeni pole pole 🎣
@zackypapla55112 ай бұрын
Emcee wa karne
@RamadhaniSaid-b7s2 ай бұрын
Mzigo Toka Bogota
@SHADRACKMWENGA-i2lАй бұрын
Great
@mujwahukientertainmentАй бұрын
Gentlemen
@celebritygossiptv69582 ай бұрын
Gonga like kama unamkubali Unju👊👊
@erqmusic59732 ай бұрын
Eh bwana daaah....i the best my brother ❤
@FrankSamson-r6s2 ай бұрын
Nondo za unjuu#NYAKUBI🔥🔥🔥
@Deepwizdom2 ай бұрын
Noma sana Nikki
@victorguapo78272 ай бұрын
Oyaaaa spana 😂
@tevaclasssic2 ай бұрын
Nomaa
@ChristianCharles-qw2sh2 ай бұрын
Na kuna watu hawajui maana ya nyakubk 😂😂😂
@challystudios77732 ай бұрын
Brother mzigo siuoni Spotify #uploadpleaseeeeee
@livingwilson21172 ай бұрын
UNJUUU
@YonasKylian-el7vv2 ай бұрын
Unjuuuu
@BerthaMichealPhiri2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 you the best
@stapinuswilliam8602 ай бұрын
GOAT @Dr unju
@xongejayasini56562 ай бұрын
Nakubali sana
@mdachiog52112 ай бұрын
Loops ni noma
@yowtz54502 ай бұрын
I like what i hear
@Manzonzo2 ай бұрын
🙌🙌🙌
@lechaboy29422 ай бұрын
Nomaaaaaaaaa 🙌🙌🙌
@ErickTimothy-l9m2 ай бұрын
Sisi tunaendelea kusikiliza madini t
@jodyntilayoungpapo91892 ай бұрын
Doctor unjuuuuu😂
@CharlesMboya-gq1wh2 ай бұрын
La kwenda
@digalo373silentkiller72 ай бұрын
🔥🔥🔥
@ahimidiwembise29242 ай бұрын
Daaa Nikki
@HaKuNaMaTaTa101eNT2 ай бұрын
✍️🏿💥💥💣
@hassanKaku-to7kd2 ай бұрын
This is hot
@bonifacemeela52472 ай бұрын
Noma 💯
@mkanebeatz6762 ай бұрын
Nomaaa Sana!!
@ALBAGEORGIES2 ай бұрын
Ukipita kwenye kurasa zake za kijamii kuna maelekezo ya kupata kazi zake zote kuanzia sauti ya jogoo hadi spana za Unju. Haijalishi upo wapi kazi zinakufikia
@fredrickkimaro19692 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥📃💯
@makavu99712 ай бұрын
Spana za unju💯
@nimahnoizy80682 ай бұрын
Baba malcom
@KulwaGuga2 ай бұрын
💥💥
@deniskabungo36172 ай бұрын
Genius
@FahadAli-ni5eu2 ай бұрын
O.g
@YuvenalMichael-r4w2 ай бұрын
Uwakika, kivip hunyaushi.
@queenandchill912 ай бұрын
Uhakika ✔
@nelsonmasolwa83432 ай бұрын
Tulidhani ni assassination attempt kumbe ni prank...nmecheka sana