mungu nipe machaleee, sumu wasinipe nilale😬😬, , huyu nikk 2 ni mawindo💥💥💥
@prospernganga76574 ай бұрын
Kama 2024 upo active gonga like
@Kantimorro6 жыл бұрын
Gonga like kama unaamini Nahreel ndo awapatiaga weusi
@dullytz54146 жыл бұрын
Wa kwanza kufanya MAWINDO fanya kugonga like kama unayakubali mawindo ya nikki
@bigboca3156 жыл бұрын
Yani niki wa pili ninavyokkbali hata ukija home dada angu nnaweza kukuozesha buree yan wew ni hatarii Tanzania hakuna gonga like kma wew ni team niki wa pili
@philiposhilingi80666 жыл бұрын
Jamani hivi uyu jamaa #Gnako ana kipaji cha dunia gani duh siyo kwa syle hizoo dah Niki talented
@Sebi_banger6 жыл бұрын
Philipo Shilingi kali
@philiposhilingi80666 жыл бұрын
Live kaka huyu jamaa sijui utampa ngoma ya aina gani atashindwa yani kote yupo afrika nzima sijaona kipaji kama hiki big up to #Gnako
@charzmwatila53776 жыл бұрын
Weusi again.niki wa pil ft g nako jua likiwaka mawindo jua likizama mawindo.
@sammweusimweusi7806 жыл бұрын
Jua likitoka mawindooo jua likizama mawindooo. Chafu nazifutaa safi nazivutaaa. Sina maneno mengi kumwambia shoriooo. Siti moka tai kwenye show ya kilioo. DAAAAAH. GONGA LIKE ZA KUTOSHA KWS SONGI FROM CHUGAAAAH
@giftmeela62506 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo tunazotaka sasa sio mivumo sijui ya nn huko... Nyimbo nzuri sana Weusi🔥🔥🔥🔥💥💥💥🙆🙆👑
@litclass71786 жыл бұрын
huitaji masikio mapya kuutambua mziki mtamu! "Poa ndiyo kikatio"...." Mungu nipe machale..."
@benjaminmangu48336 жыл бұрын
Good G-Nako, una ladha flani ambayo inakufanya uwe unique! Hongera sana!
@deboramafie41884 жыл бұрын
Yani nawaelewa Sana nyie watu
@majormaganga56806 жыл бұрын
Hongera sana bro....@NIKI. Tunakusubili kwa fiesta @mawindo
@samtothedee6 жыл бұрын
Mimi naelewa sana huu muziki wako wa kiuanaharakati, yaani ni ujumbe kila wimbo. Pamoja sana Nikki
@MrLife-p1k6 жыл бұрын
Nicki are you doing good bruh, from beat until song is very fantastic blessed bruh
@Vokezzo6 жыл бұрын
Ngoma nomaaa.. 🔥🔥🔥💯💯 reppn 254
@ruphysambaya32886 жыл бұрын
Ase mangi nimeielewa chali angu hongera kwa sauti nzurii na njemaa na mistarii natuliza mtoriiii
@barakaamini80026 жыл бұрын
MAWINDO, Imenikumbusha Chuganian na mitaa yake Daaah enzi hizo mawindo n tight kinomaa!
@caroleenwinslet90406 жыл бұрын
nyimbo kaliii, sisi hatunaga mvumo wa radiii, sisi tunamawindo makaliii, weus republic , n noomaaa
@allodefoe1686 жыл бұрын
OMG staki kuemagine @joh makini angekuwepo ndan na ile "silver hip-hop voice"😍😍coolest song ever
@sergiobucio81136 жыл бұрын
Ngoma kali sana kuliko ngoma ya kipusa Big up brothers nik with Gko
@richardcastromzena51364 жыл бұрын
Songs of nikki are philosophical hawaez elewa
@ellygideon59046 жыл бұрын
Wooozzaaaaahhhhh......bonge la ngoma haimae iko kwa hewaa....nikki we nishidaaa...
@ngobeydavid37726 жыл бұрын
Weusi ni shideree babaaake
@guccij35496 жыл бұрын
Nmekubal, Weuc ha2n kik 2na ngoma kik
@bernadantony32386 жыл бұрын
Ngoma kubwa sana nikki your real artist una akilii ya kubadilika mtu anaye penda na kujua mziki mzuri lazima ashtuke hi ikipigwa live sasa Kaza watu wengine hatuwaelewi
@mahamoudjacob19836 жыл бұрын
Deeply in love with this one.. Again from Nikki 2
@Uniquenatureadventures6 жыл бұрын
Kikumu wa mee,hahaha yaani huu wimbo umenigusa kinoma,big up weusi.tunataka vitu kama ivi
Nyimbo in a vyb flan ivi safeeeiiii... alike n.a. ile ya Safari
@emanuelandembwisye24116 жыл бұрын
Asante weusi napenda sana
@benmunisi34696 жыл бұрын
nimekusoma kababaaaaaaaaa
@peterphilemon20966 жыл бұрын
Weusi bila gnako akuna weusi unajua g walawala
@haningtonemfaume25476 жыл бұрын
Peter Philemon Sana naungana na wewe
@abasimageta76956 жыл бұрын
nyimbo zingine ni zaajabu kwelii!!
@jacobammi38446 жыл бұрын
hamnaga kazi mbaya ya weusi hata SKU moja
@Gm.foundation6 жыл бұрын
W E U S I Creativity😉
@hamisshaban74136 жыл бұрын
Safi sana weusi fanyayenu mbaka waelewe
@benjaminmike97786 жыл бұрын
Weusi tangu kitambo, mziki wa heshima, hakuna kufeli
@chaggavevotv93486 жыл бұрын
kali sana wana ngoma ya mwaka jiwe la mwezi
@janethlugwe55676 жыл бұрын
Wow . nikizama mawwindo
@wycliffeochieng41256 жыл бұрын
Nomaaaaaaaaaaaa
@philiposhilingi72885 жыл бұрын
my best collaboration
@edobilaly52206 жыл бұрын
#Mawindoooooooo Salut kwen weusi
@s.simponda1386 жыл бұрын
kaliii! mawindoooo
@aminaally71166 жыл бұрын
G nako,the chorus killer
@haningtonemfaume25476 жыл бұрын
Gnako father of chorus big up brother
@eliasmaganza12494 жыл бұрын
Ninapo toka mm ni hataryo ngali me sinoni na ntajaruo kababa madeng ni kikiminyio nikiuz xambusa nikipind hiyo kwet ni uswaz katkatyo ngum kula kipapatiyo utanu kam huo upatio si unajua km pesa ndo kikatio