HAKUNA kosa kwenye ngoma hii Twende na like hapa chini!!
@yassinmajid82555 жыл бұрын
Na wala haliwezi.kutokea..n
@dishangib Жыл бұрын
Banger Hit Noma Sana Hatari Sana Aiseeee 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@herijohansen10436 жыл бұрын
baba swalee ujawahii niangushaaa mzee perfect combo na bro jux NASEMAJE GOMA LIMEKAA KIREEEE
@stephenmungure7072 Жыл бұрын
Kama 2023 bado unasikiliza hili goma gonga like twende sawa
@JonathanPerezz-ep5oj7 ай бұрын
Fresh
@youngloyclassic31736 жыл бұрын
asee hawa ndio star wangu katk bongo salute kwenu km umemkubali like za kutosha
@sulleyalmass98146 жыл бұрын
Daaaah Jux umeua sana humu ndan
@sulleyalmass98146 жыл бұрын
Ngoma kali sana Nikki big up
@glorymolly79726 жыл бұрын
Kawaida yake kuuwa asee kila kona ni mkal
@titokashindyetz83196 жыл бұрын
Mr President himself #Nikki wa Pili Hii KALII SANA #JUX ametisha #Kolabo bomba na kalii ifike mbalii
@deebrown79085 жыл бұрын
Bonga langoma kweli Nakukubali jux kwa coras zako Kamanawew unawakubali gonga like bas ilitwende sawa
@venancekavishe98236 жыл бұрын
Weusi Ben pol na Jux wanajua kucheza na Game.... Prezida Nikki🇹🇿
@snuffkikopo95035 жыл бұрын
TISHA SANA...BUGA...TISHA SANA KWA SANA KWA BEAT
@desmondderrick246 жыл бұрын
Bonge la ngoma yaani wote mmeua..juma this style suits u..mr president u killed it
@alexandermadeha58196 жыл бұрын
Nikki ft jux ..jamaa hawajakosea 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@jumamkali3756 жыл бұрын
Good job mr prezidaa mtarajiwa na juma jux kibabe sana maana watoto wanakuja moto mbaya. Don't give up.
@ponchothe_motz91136 жыл бұрын
Daah jux unajua broo mpaka unakeraaa shabiki wa jux twende pamoja kwa likes @@@@nipe zaidi kwake juma jux
@Jonah_lee.6 жыл бұрын
Kiukweli hii ngoma me nimeingalia mara tatu na bado natamani kuisikiliza kila mda, iko posa zaidi ya sana Niki umetisha sana ila Jux daah mzee baba shikamooo mara 2
@sxnkavibe6 жыл бұрын
Tanzanian music Lords killing a U.K beat?! Much respek!!!
@kitatakitata86786 жыл бұрын
Kama Umewakubali Chafu hizi gonga like hapa Tz √√√
@paulmdas6916 жыл бұрын
oyoooo arusha Tanzania kipagi kwa sana umeenda school nikki wa pil and African boy ngoma Kali mamb ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@janethandrew19176 жыл бұрын
hatareeee mtoto kanfata kunchum haikuwa ngumu smulaum good music
@raysonsadik95626 жыл бұрын
Team jux African boy izingoma ninoma sana na kingine ujui kukosea unaweza sana na uyo Niki wa pili kaimba kama nilivyo taka
@ibrahimdado69166 ай бұрын
2024 still vibing upto date.... One love from Mombasa, Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@edwardtito68056 жыл бұрын
nakubali niki cpendag sanaa kazi zakoo ilaiingoma nA hesabu akuna kama izongoma nakubali boy umuundo ume uwa kabisa nimekubali
@dottoalex72246 жыл бұрын
True my brodher mbona Kali tu na aujawai kosea ipo good tu
@jayyuleboi59586 жыл бұрын
Its shame hii ngoma kukosa views nyingi...this should be a milli+,🔥💯
@EmmaFeron6 жыл бұрын
Yes, for real !! 😊
@hamiafasta6 жыл бұрын
wimbo mzuri verse ngumu mpaka utafakari kidogo so ngoma kali
@tembomnyama99835 жыл бұрын
Hatari sana,#niki hilo goma hatari 6na nusu,,,,
@mwinyihamisidee58136 жыл бұрын
Chugarian people are thrilling.....good music nikkii
@glorymolly79726 жыл бұрын
Wazungu wanasema de soon a de better🙌😙😙💪nzur
@barakaedward32146 жыл бұрын
Ujawah cosea....sinoni moja hyk....🙌
@martinemanuel97826 жыл бұрын
Good boy Nikki wa Pil Kaskazin kuna ufalme wa family yenu unatisha kaka zido kupeperusha bendera ya Kaskazin
@josephsimon11736 жыл бұрын
Wabongo na mapenzi😏😏😏😏
@herijohansen10436 жыл бұрын
daaaa ukichekii badoo swagiree inakujaa soon apoo kha proud born in chugah
@gloryclement64006 жыл бұрын
Aissssssshhhh jux nkajua hapo mwsho ungemshika huyo mdada hataaa kduchuuu....t was just a vdeo vee asinge mind😖😖😖!!!
@ramadhanramez116 жыл бұрын
Hii sasa ndio ngoma kalii, yani mziki mzuri sanaaaa, sio ule wa jibebe ati chikolokoo anchikolodoo sasa ndio nn hiyo? Gonga like from +254
@nellymollel46726 жыл бұрын
hahaha ata mm uwoo mzki et jbebebebe cijaulewaa kabxa ILA KANIFUATA BONGE LA TRUCK jux & nikki big up much from a town sir nqalelø
@patrickmaduhu32056 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hasa upande wa kiitikio,#Jux wee nooma sana.
@danielkushoka36356 жыл бұрын
Mko vizuriii
@fortunenyamika68146 жыл бұрын
Upo good broo nik
@humphreymasoud17256 жыл бұрын
kama jux alikuwa na mzuka sana kwenye hii ngoma... katisha sana...
@mrdonewhite37246 жыл бұрын
Bonge la dudeeeeeeeeeeeeeeeee 🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊
@laurentngowi30526 жыл бұрын
Ngomaaaaa kali sanaaa kichupa ndo usiseme
@yuleboijs9226 жыл бұрын
Jux umelalamika sana we fala dah..... Noumaaaa bonge la nyimbo
@Justbeingme-b8s6 жыл бұрын
Nikki mistari anatesa...dope Jam🔝💕
@cosjofrank39556 жыл бұрын
km unamkubal mheshiwa rais nikki na jux gonga like apa
@jacob292618 күн бұрын
2024 on 26th Nov.. Still missing good music from Mh Nik 😊
@moziidavchonchi33386 жыл бұрын
NDIO NDIO NAUNGA HOJA MR PRESSIDENT NGOMA KALI WASIO KUBAR KUIPITISHA HII MASKIONI MWAO WATAPATA TABU SANAAA
@avilamkenda65336 жыл бұрын
Nick wa pili shida bnasoo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🏁⚔️♣️🎮🏄⛸️⚽🎁⛄🌈⛈️🛀🛳🛣🎠🌁🕍🌎by P.Aq
@matokeombugano5006 жыл бұрын
Kuna manzi ana zingua daraja mbili.....hii itasaidia kumvuta ngoja ni mdedicate
@KevinNyongesa-esq6 жыл бұрын
JUX Is The BOOM!!!! Kiswahili Safi Jamani!
@mshambaflan6 жыл бұрын
nikk hajawahi kukoseaaaa🙌🙌
@Eunie113 жыл бұрын
Joh na G awafanani 🎶
@msquared41486 жыл бұрын
Big Tune Guys, If Yeah Kenyans Tia Like.
@francismjuni6776 жыл бұрын
Hatari sana, jux umeitendea haki chorus
@linusrohomoja88566 жыл бұрын
weusi wote ni hatari sana kila mtu ana kipaji
@othmanhassan84655 жыл бұрын
Yaaaaaa hhh tuji good time
@silviamrema39406 жыл бұрын
Ktk ngoma hii ngoma kali Niki umeuwa mistar flan hiv amazing👍🙏💞
@amoskabumbire83896 жыл бұрын
Keep the good music alive...we know wat happen wen mweusi meet with Jux
@muniraahmed6246 жыл бұрын
smart sana hii ngoma mabishoo wameng'aa
@erickjoseph35516 жыл бұрын
big up broo bonge LA ngoma pamoja sana nikki
@liamasaigon95276 жыл бұрын
kali sanaaaa mafundi 👍👍
@handromedia56116 жыл бұрын
Qaliiii snaaa, mmeimba wote mafundi wangu, kama unawaelewa hawatu plzzzz usiache like
@MohamedSaid-pp3ce6 жыл бұрын
the sooner the better ahaaaaaaaaaaaa! respect to nikki wa pili
@dizoboy86096 жыл бұрын
Nikki bna,flow mpya kila verse,+jux =mauaji
@sirdavis70546 жыл бұрын
Nikki badili style kwenye hii nyimbo Jux amekubeba sana
@francisc.mwinami99166 жыл бұрын
brother u a uncabecable ukabiki kk umetisha sana
@mamame42696 жыл бұрын
big up this song waraaaaaa✌✌✌
@johnmwangi24356 жыл бұрын
Ngoma kali sana 💯✅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elizabetjuma47966 жыл бұрын
sio pow namkubali sana nikki
@bensonfrank6436 жыл бұрын
KILA VERSE 🔥🔥🔥🔥⚡🚀
@sabuhororabani28596 жыл бұрын
daaaa nimekuelewa kaka mkubwa heshima kwako!!!!
@epitomeapex6 жыл бұрын
NILIJUA TU KUA MR.PRESIDENT HUWEZ KUTUANGUSHA WAPIGA KURA WAKO😃😃😃...HILI NI MOJA YA BONGE LA COLLABO 😄😄😄 Gonga like kama na wewe umeipenda👉
@kitatakitata86786 жыл бұрын
Fahad Iranga Ingia fail langu ucheki
@glorymolly79726 жыл бұрын
Awakoseag
@karimhussein67556 жыл бұрын
Iko poa
@desderymedia48006 жыл бұрын
Fahad Iranga yenyewe
@petrpetrash37775 жыл бұрын
@@kitatakitata8678 знаю зхх
@muddymohammed90396 жыл бұрын
Duuuuh jux ametixha kama vita va dunia umo ndn ya ngoma
@khadijambaruku24915 жыл бұрын
Loves this song,kunako giza tutawasha kandili jux nouma, wanasema sita ni namba ndogo nk2 nouma
@fuunyvideos53646 жыл бұрын
Big up bro Nikki kwa Collabo qal 👊👍
@ramadhaniali11026 жыл бұрын
Wa kwanzaaaa kuona
@richardyusuphmsongolomakat20496 жыл бұрын
Juma mtu mbayaaaaaaaaaaaaaaa
@nyotamy36786 жыл бұрын
Video kaliiiii.... Safi sana.
@issanyari66086 жыл бұрын
kwel nikk de second....n yechk hii ngom
@alimaftah35736 жыл бұрын
Nimeielewa sn hii ngoma . 3 kw siku
@nellymollel46726 жыл бұрын
kasema njoo daraja mbili classic song men napenda muwe label moja axee
@marikimleke95392 жыл бұрын
Ngoma kalii sanaa
@johnson10426 жыл бұрын
Mnajua wazeee Atari sana
@muzyexperienceАй бұрын
2024 gathering here
@octorviankalala1136 жыл бұрын
Kama kuchora tu mistari bro nikki ni next levo karisana hii!!!
@adeleantonio86276 жыл бұрын
Balaa!!!
@khamismwappy60716 жыл бұрын
Big up brother jux,such a nice song
@noahkyando56616 жыл бұрын
yani hii ngoma kabla ya mwaka kuisha naiweka namba mojaa
@munnymunny72996 жыл бұрын
Jux umeuaaaaa kinyamaaaaa
@vanceboy46355 жыл бұрын
Jux ❤❤ umeuaaaaaaaaa
@alfredouma75436 жыл бұрын
Hii hapa Nomare 🔥🔥
@Ohoreh6 жыл бұрын
nomaaa hii ni ngoriii
@abdullmikidad55086 жыл бұрын
Bonge LA ngomaaa Rnb ft Hip hop
@vedastussospeter45166 жыл бұрын
Ngoma kali sana nikki big up
@emmanuelgolden65456 жыл бұрын
Fundi na fundi
@RamazaniMulongeca6 жыл бұрын
#166 on comments What a song.. #Nikki kaonekana different na kaptula, nanimwingine kaona Hilo? #Jux kaua sana...