Hongera mtoto wetu wa kitanzania, nimefurahi sana kuona mwanamke mkuu namna hii..barikiwa dada yetu
@mwajumaroya7404 Жыл бұрын
Waliyo kaa mnje na kusoma mnje wanaongea kiswahil kizuri alafu kunakina Sisi wa kujifunza mtandaoni vichochoroni tunasumbua sana hongera sana dada❤
@MwajumaHassan-d5l Жыл бұрын
Kila baada ya maneno mawili aweka kingereza tena na ukuakifikiria aongee nini lakin bado anajikazaa akiongee 😂😂😂 kweli wa uchochoroni
@seneu.2128 Жыл бұрын
Hongera sana Dada, suala la lugha ya kingereza kwa wasomi wengi tz ni kubwa sana mtu anamaliza first degree UDSM kwenda kusoma nje masters inalazimika atumie mwaka mmoja kusoma lugha kabla hajaanza msomo rasmi hii imetokea watu wengi sana ninaowajua ila wengi huishia na degree au masters za kibongo maana nje kama UK na USA lugha kwao ni changamoto.
@dianakalimba Жыл бұрын
Haongei kwa maringo wala maringisho hongera sana sana sana super woman 🎉
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Angekuwa mkazi wa makabila yetu yaaleeee yaaaleeeee eeeeeh.tusingemaliza kutizama hii interview mpaka mwisho.hongera sana dada.
@sambulugu9988 Жыл бұрын
Wale wanakuwaga na mihemko mkoa balaa! Mara mtu wa kwetu hakuna fala! Wanajuaga wao ndo wanaakili peke yao! Ungesikia wanampongeza na kutaja kabila na anakotoka!
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
@@sambulugu9988 😂🤣😅balaaa
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@MejasonMzazi Жыл бұрын
Tanzania bado tuna watu wenye akili na wanaojielewa vizuri, lkn serikali imekumbatia machawa yasiokuwa na uwezo wowote wa kuleta mabadiliko na maendeleo ya kweli katika nyanja mbali mbali za maendeleo ya kiuchumi.
@magretangel5242 Жыл бұрын
Sa siunzishe serikali yako
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Nauyu nae ana lakusema haazishe serikari yake kivipi wakati tunaitaji tz ijitegemee yenyewe kwenye uwekezaji pole kama nimekukera
@erickzephania1030 Жыл бұрын
Wanachagua vilaza ili wasujudiwe, kila kitu waseme ndio
@peterdeus6093 Жыл бұрын
@@magretangel5242another bogus in the country, unaambiwa ukel af unaanza kumind
@MnubiMm Жыл бұрын
Hayo ni MAWAZO yako tu na tuache Urevi wa Akili kuona Kila unachofikiri na kuwaza kusema ww ndio Sahihi na wakisema wengine ujinga Tanzania hii ilivyo Sasa ndio maana huyu amarudi ameona anaweza kufanikiwa akiwekeza huku kwa Nini asibaki huko?
@marthalukumay6465 Жыл бұрын
Wow ♥️ I love to see a Queen shine . Wanawake wanaweza take your daughter to school
@sambulugu9988 Жыл бұрын
Good mtu kama huyu serkali inapaswa kumpa support kubwa!
@zara.smithwick Жыл бұрын
Very brilliant African woman. I however think, Tanzania should embrace English language with more emphasis for the benefits of her citizens who may have potential to study and work internationally.
@AthumaniKimwaga Жыл бұрын
Moie. Very good Dada.... Hongera uliitengeza kesho yako kimkakati sana, unastahili kufaidi Matunda. Mungu akusimamie ukue kibiashara kama Mgomba🎉
@LevinaLupenza Жыл бұрын
Dada hongeraa nakupendaa maana Mungu akubariki sanaa jaman
@zulfaissa7814 Жыл бұрын
Hongera sn my sister namie nataman sn namie nimpeleke mwanangu Ismail
@valenakomba9218 Жыл бұрын
EDUCATED AND NATURAL BEAUTY. VERY NICE.
@honoratamafala6968 Жыл бұрын
Hongera sana dada.Mungu akutunze.mi natamani uanzishe shule ya marubani. Wako vijana wa kike na kiume wanatamani sana hiyo fani.
@christinelasway4092 Жыл бұрын
Hongera sana dada. Much respect for the focus and vision. Very proud of you. ❤ #matundayaudiaspora
@henryyuda2989 Жыл бұрын
Hongera sana dada uko juuu
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Hongera dada .Ughaibuni ni kupata maarifa tu.maisha yako nyumbani.Wengi wetu hufikiria kuwa ughaibuni ni paradiso na kupoteza akili na uwezo wao huko wasikokubalika na wazungu.Dada huyu ndiyo mfano mzuri na kweli msomi mwenye akili safi na mzalendo.Bila uongo wazungu wanapenda watu wenye akili sana kama huyu hata kazi huko angalipata sema tu kuwa ni mzalendo sana.❤❤Ubarikiwe wazungi wazung
@NDEWARA Жыл бұрын
Hongera sana sana VIA AVIATION. Huu uthubutu ni wa kuigwa. Big up
@evabikabhai1861 Жыл бұрын
Congrats my dear, you are a hero God bless you
@jtheophil5499 Жыл бұрын
Hongera sana sana dada .I'm inspired.
@magrethmbuma3045 Жыл бұрын
Hesabu zina watu wake jaamaanii😊❤
@georgendosa4025 Жыл бұрын
We still have real smart women's in this country
@judithfimbo3743 Жыл бұрын
Congrats Susan Mashibe 👏🏾👏🏾👏🏾
@miltonmachage2462 Жыл бұрын
Nilitamani kuwa pilote saana ila Kuna mwalimu alinidanganya aliniambia nisome hgk ndo ntakuwa pilote kumbe aliniona sijui Sina uwezo wa kusoma science...Sasa hv Nimejiajiri ni boda boda
@godfreychaba9673 Жыл бұрын
😂😂😂 pole sana alikuuza
@stellahlinusi8215 Жыл бұрын
😅😅
@fakihbakari Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@anithiajohn9209 Жыл бұрын
😂😂
@yonathanbanyikwa1813 Жыл бұрын
😂😂😂
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Hongera wanawake wakipambana wanaweza
@neema_mollel Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉hii safi sana hongera mtanzania mwenzetu . Tunajivunia wewe
@leaherasto929 Жыл бұрын
Hongera sana black is beautiful wanawake tunaweza
@castromemba6311 Жыл бұрын
Hongera Manager wetu kwa maneno mazuri.
@winnesakara6957 Жыл бұрын
Asante sana nikipita hapo nakujaa
@dorahmwambemba9032 Жыл бұрын
Proud of you dadaaaaa
@emmanuelnkwabi8610 Жыл бұрын
Hongera sana mdada
@issabilali3539 Жыл бұрын
Hongera sana mdogo wetu kwa kutuheshimisha wana Mwanza.
@adiaygo8546 Жыл бұрын
Tunataka uraia pacha
@aliakrabi8321 Жыл бұрын
Hapo Serengeti Lounge mbona bado sana, unaweza kukutana na keki kipande kimoja tu, na juisi.
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Hongera sana mkurugenzi Avia Aviation
@KassimKhalaid Жыл бұрын
Pongezi dadangu mungu akueke utumikie taifa
@maryjames7438 Жыл бұрын
Hongera sana dada Mungu akutunze sana
@ElieshMvungi-is4xp Жыл бұрын
Hongera dada am so inspired ❤
@ChristerShao Жыл бұрын
Hongera sana kama mmama akupe uwezo zaidi,dada mtanzania huna majivuno.
@noorrajpar3928 Жыл бұрын
Yani sisi wa nje ndo waongeaji wazuri wa kiswahili 😊
@adelinachengula8519 Жыл бұрын
Umeonaaaa eee
@joyceKingu Жыл бұрын
Siku hizi watu wa hapa nyumbani wakiongea kiswahili ati wanachanganya na kiingereza . Naona ni fashion . Lakini tunaharibu kiswahili chetu.
@kakawamashariki8978 Жыл бұрын
Viagreen"' nimeipenda Sanaa hiyo labda kwakua nami ni mdau wa mazingira pongezi sana kwako dada Susan kwa kuenzi mazingira.
@Dotto19 Жыл бұрын
Bravo!
@deomusyebi9930 Жыл бұрын
Big up sana dada lkn kwa kwetu huku mhhhhhh
@TrudiSchutz-og3tj Жыл бұрын
Big up Suzy
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Ingelikuwa ni mkenya saa hii ungelikuta hata kikuyu alishasahau kisa kishi marekani miaka 5 hongera mtz kwakuto haribu lugha mama kswhl
@isacknyaga104 Жыл бұрын
Saf sana
@estherboniphace9695 Жыл бұрын
Ongera sana
@noelngowitechnicalsolution Жыл бұрын
hongera sana binti. Tunahitaji vijana watakaofikiri nje ya box kama wewe
@bbaccabb9445 Жыл бұрын
BIG UP DADA
@peterdeus6093 Жыл бұрын
One of gravest mistake with Tanzania is, We let these brainless politicians to think and decide for us, the same brain slipped away from calculating tha value of x in classes is same brain nowadays cant solve for X in in strategic planning and logical thinking for nation problems because in every challenging situations there's an equation defining it, hawa wanasiasa warudi darasani wakatafute ile thamani ya x january shule zinakaribia kufungua
@VenerandaKundi-ph4hg Жыл бұрын
Hongera ndg karibu Tanzania tutengenezee denge zetu ❤❤❤😂
@davidsika5292 Жыл бұрын
Wanawake wa kawaida wana akili sanaa angekuwa kisura na makalio asingekuwa na akili hizo
@zebedayokatamaduni9676 Жыл бұрын
Dada piga kazi piga kazi , Kusanya Pesa mwanangu , wanao kubeza achana nao We fanya kazi ingiza Pesa
@HeriMagwaza-cd4wg Жыл бұрын
Hongera Dada mungu akubariki
@tabithajanethmhella3364 Жыл бұрын
Hongera sana mama, you are a star among stars🤪
@namelockmaasailady8002 Жыл бұрын
Hongera dear sister 🥰
@khadjamhozya Жыл бұрын
Mwanamke mashuhuri
@lightnessabdallah2340 Жыл бұрын
Nimefurah kunuona mkuu wa wilaya ilemela alikuwa mwalimu wang wa history pia hongera mwanamke mwenzetu
@elinamilyatuu7337 Жыл бұрын
Nenda US kachukue elimu alafu rudi wekeza apa Tz iyo nmeipenda..Elimu iko mbele tena elimu sio mchezo
@peterdeus6093 Жыл бұрын
Hii inchi inawatu wenye akili lakin tunashindwa kuwatunia mfomo umekuwa overloaded na wanasiasa na machawa wasiojua kitu
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Mfano wakiruhusu uraia pacha utaona kuna giwanda vya watanzania hapa canada nakuna wenye akili acha hasa viw
@peterdeus6093 Жыл бұрын
@@tanzcanmediatv4473 akili dhaifu iliyoshindwa ku simplify expression darasan haiwezi kupata intelligent solution katika leadership, kuwa na watu magenius kama hawani tunu kwa taifa ila kukataa kuwatumia ndo ujinga wa taifa letu
@imanisanga-sm2hm Жыл бұрын
Alafu hajidai! Wala hajajichubua nyie!
@khadjamhozya Жыл бұрын
Mwanamke mashuhuri mkuu kwer kweri
@ndinafaustin6357 Жыл бұрын
Aliyekuibua abarikiwe tunafurahi naamini watanzania wengi hawajajulikana
@DainesMwapela-mr4wc Жыл бұрын
👏👏
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Honger sana Dada 💙💙💙
@aminatambi9831 Жыл бұрын
Do you?
@naimamohamed2216 Жыл бұрын
Uzae Sasa watt maana hizo pesa unamtafutia nani ,,
@aubreykasoyaga1665 Жыл бұрын
Duu kumbe Jeff Bezos amewahi Kuja Tanzania , Yule Mbwa Ana MIHELA.Mingi
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
Mwanamke na nusu 👍 Hongera sana mrembo.🎉
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Hao ndio wanawake wanaopeperusha Bendera sio ile mipaka ya baa inayotafuta madanga insta nakurusha connection
@devothakalanda9740 Жыл бұрын
❤
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 Ni kuwaombea tu Mungu awape ufahamu waache hizo tabia mbaya.
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@shyfettymtunda4619 Kuna shida kubwa sana kwa sababu kuna juhudi zakuwapigania wanawake cha ajabu kuna kizazi kinazidi Kua kijinga na kujisifia upuuzi nakuamini kwenye Maisha ya mitandaoni
@tunkuh661 Жыл бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉
@Tumaini101 Жыл бұрын
❤❤❤
@ndinafaustin6357 Жыл бұрын
Hana ammmamama
@richardrichope3528 Жыл бұрын
Tatizo mnapanda mti ya hovyo mpande mti ya vyakula
@evabikabhai1861 Жыл бұрын
Super woman
@barakakhemedi1250 Жыл бұрын
Hongera dada ata doto magari kingereza hakiko vzr ila anapiga Hela 😊😊
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂
@kamikazisalma5209 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ubuntubantu2404 Жыл бұрын
Na wala hanaga majivuno ni mtu kwelo kwelo huyu dada
@LeonardEdward-w6s Жыл бұрын
Wale mabinti waliokuwa wanapenda kuimbiwa imbiwa tunyimbo tuzuri enzi za sec hivi siku hizi wako wapi??😮😮
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Wanadanga😂😂😂
@Kabwela776 Жыл бұрын
Alivyojieleza elimu aliyosemea na hizo degree kama umeenda shule unaona huyu mama anajaribu kutulisha matango pori 😅
@starlight100-o2l Жыл бұрын
Sio kweli
@Kabwela776 Жыл бұрын
@@starlight100-o2l nimesema kama umeenda shule kwa hiyo wewe haikuhusu
@yusuphmtotela4871 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@happynelson1136 Жыл бұрын
Baada ya miaka 10 mtu anarudi bongo, kama mimi ningerudi bongo ndugu zangu wasingenielewa kabisa, hata hivyo sina mtaji wowote bongo kwa hiyo ni vigumu kurudi, bongo ni pazuri kama mtu ukiwa na pesa
@Davistoto1949 Жыл бұрын
Africa yote inaukabila upande wa jobs in government wale wanafaa kupewa hizo jobs hawapewi that's y hata on sports Africa tuko nyuma
@ummySheikh72 Жыл бұрын
Nimempenda huyu Dada ni jembe hatarii
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Woo
@mdetetv6050 Жыл бұрын
Baba yake alikuwa na pesa Ruban mill-100 ada kwa mwaka mamae nainyea wapi
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 eti unainyea wapi 😂😂😂
@mdetetv6050 Жыл бұрын
@@agnesjohn9382 sure
@valenakomba9218 Жыл бұрын
SASA WEWE NDO ILIBIDI UWE DIRECTOR WA KAMPUNI YA NDEGE SABABU UNAUELEWA WA PANDE ZOTE KATIKA MAENEO YA ISAFIRI WA ANGA , NA HATA KIMASOKO.,
@Kabwela776 Жыл бұрын
Yaani labda kama hujaishi ughaibuni na hujasoma ndio unaweza kudanganywa na huyo maana , yaani mara anaongea yeye ni engineer wa ndege mara pilot mara ghafla corona imeingia kazi kakosa marekani ya kutengeneza ndege na Karudi Tanzania 🇹🇿🙈🙈🙈🤣🤣🤣🤣 huo uongo aibu naona mie , yaani hata kwenda kwa daktari wa dentist kuziba jino lako lililobomoka umeshindwa unaongelea kujenga ndege na hamna engineer wa ndege akose kazi nchi zilizoendelea labda uwe engineer wa michongo, jamani watanzania siku hizi tuko wengi ughaibuni na mkidanganya mjipange sana !