Hongera sana Baba Askofu Shao,Umenena vema sana,nimestuka uliposema umebakiza miaka kama 2 kustaafu!,Bado Zanzibar inakuhitaji sana.Miaka 28 ya Utume Zanzibar sio mchezo,umepitia vipindi vigumu sana hasa nyakati za uchaguzii Zanzibar lakini ukawa imara/ mvumilivu na mkavuka salama. Godwin Tenesi (Jimbo Katoliki Rulenge Ngara-Chato).
@bedamapesa486723 күн бұрын
Ahsante Baba
@vitalismarunda676024 күн бұрын
Nilimpenda kweli huyu Askofu Ongea yake tu Unabarikiwa ishi Sana Baba Augustine Utume Mwema Baba