"Hela ni Zangu, Nipe Nikafe Potelea Mbali" JPM- Ikulu

  Рет қаралды 200,604

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

"Hela ni Zangu, Nipe Nikafe Potelea Mbali" JPM- Ikulu
"Mishahara mingi ya wafanyakazi serikalini si mizuri, anapofikia mwisho wa utumishi unampa kidogo kidogo haingii akilini si unipe tu yote nikafie mbali" Rais Magufuli Ikulu Dar es salaam
Rais Magufuli leo tarehe 28, Desemba 2018 anakutana na viongozi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) vyama shiriki, watendaji wakuu wa mifuko ya Hifadhi ya jamii (PSSF na NSSF) na mamlaka ya usimamizi wa Hifadhi ya jamii (SSRA) kujadili masuala yahusuyo mafao ya wafanyakazi hususani Kikokotoo.
Mkutanao huo unafanyika Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo Mawaziri na makatibu wakuu wa wizara husika wanashirki.
#RAISMAGUFULI #TUCTA #SSRA #NSSF #PSSF
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter:
GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.co....

Пікірлер: 294
@danielmkunya7578
@danielmkunya7578 5 жыл бұрын
Ameeeen ,Mungu akupe maisha marefu rais Magufuli ,umetutea wanyonge kwa kweli ,maana walikua wanatudhulumu jaman looh ,asante sana mheshimiwa Rais Magufuli
@selemandenja2951
@selemandenja2951 5 жыл бұрын
Big up ngosha mwana malundii ahsante my presdent
@alexbiseko6080
@alexbiseko6080 5 жыл бұрын
Rais wetu hongera sana kwa hilo
@umawatv6426
@umawatv6426 5 жыл бұрын
Utakapoelewa madhara ya uamuzi huo ndipo utaelewa. Waulize wastaafu wa PSPF na NSSF ujue kinachoendelea jikoni kabla ya kutoa pongezi hizo.
@umawatv6426
@umawatv6426 5 жыл бұрын
@@alexbiseko6080 Utakapoelewa madhara ya uamuzi huo ndipo utaelewa. Waulize wastaafu wa PSPF na NSSF ujue kinachoendelea jikoni kabla ya kutoa pongezi hizo. Waziri aliongea kwa kuzingatia ripoti za Ukaguzi (Actuarial reports). Lakini naamini wengine wote waliongea bila kurejea ripoti za Ukaguzi wa Mifuko zinazoonesha UHAI au KIFO cha Mifuko. Acha kushabikia jambo ambalo huna utalaam nalo sana.
@gililwise
@gililwise 5 жыл бұрын
Jamani natamani niende ikulu nikamshike mkono huyu Rais.nitumie njia gani ?Mungu akubariki sana kwa maamuzi haya hakika roho wa Mungu i juu yako.
@halimamiss8878
@halimamiss8878 5 жыл бұрын
Yaani mm pia nayamani nimbusu maana nilikua nawaza kuacha hela zangu huko
@edwardmwendamkono9787
@edwardmwendamkono9787 5 жыл бұрын
Nyie ndio wale2
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 жыл бұрын
hizo ni story kama story nyingine
@richardsoka2400
@richardsoka2400 5 жыл бұрын
gilliana lema Mimi ningekuwa Dsm/Tz ningetembea mpaka Ikulu kumpongeza Rais and I would dare say President Magufuli is the reincarnation of Mwl Nyerere!!
@michaelseme7730
@michaelseme7730 5 жыл бұрын
Natoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Raising kwa uamuzi huo
@nickjeluget4325
@nickjeluget4325 5 жыл бұрын
I wish that idea can cross the border to Kenya, Good work Mr president.
@peterfrank7938
@peterfrank7938 5 жыл бұрын
Huyo uliesema utampangia kz nyengine namuomba mm Mkuu nimpangie kz ya kubeba Zege kisha nimpige kikokoto cha %25
@abdulshakuurbotea5678
@abdulshakuurbotea5678 5 жыл бұрын
JAMANI MBONA WASTAFU TUU,NA WANAOACH8SHWA KAZI WAPEWE MAANA MTAANI KUGUM.
@abelg2488
@abelg2488 5 жыл бұрын
hakika namekubali kuwa mwanzo sikukuelewa na sasa nimeelewa ule moyo wako kwa taifa la Tanzania. I love you Magufuli. Uendelee kuwa na ongezeko la hekima ya kuiongoza nchi yetu ya Tanzania. All the best sir. I can see Tanzania mpya sasa.
@edwardmalunguja3836
@edwardmalunguja3836 5 жыл бұрын
hekima kwa Rais shukurani kwa wafanya kazi
@elimumwawa8373
@elimumwawa8373 5 жыл бұрын
Safi sana rais
@ibrahimmfundo8455
@ibrahimmfundo8455 5 жыл бұрын
Nikisikiaga mtu anamsema uyu Rais wangu uwa natamanigi kulia
@josephharri9015
@josephharri9015 5 жыл бұрын
nimeipenda comment yako
@buguzangunura8157
@buguzangunura8157 5 жыл бұрын
Ibrahim Mfundo hao wanaompigiia makofi ndio wale wale waliopiga makofi pale bungeini wakati wa kupitisha hako kasheria ka zuruma. CCM acheni unafiq
@richardsoka2400
@richardsoka2400 5 жыл бұрын
Buguza Ngunura Ebu kumbuka Mbunge Kingu alisemaje! waliwakebehi wale wote waliokuwa wanasema jamani mnaua wastaafu kabla ya muda wao! Lakini yeye akimaliza ubunge anachukua chake chote! What a shame!
@jumasaid1206
@jumasaid1206 5 жыл бұрын
Hapo ndipo utakapoamini kuwa katika dunia hii ,hata ufanye mazuri mengi kupindukia ,huwezi kukubalika/kupendwa na watu wote!!coment yako nimeifikiria kwa kina hatimaye nimeishia kutokwa na machozi!!
@husseinkalim7115
@husseinkalim7115 5 жыл бұрын
Hongela san lais magufuli
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 5 жыл бұрын
Mashallah mh Rais una hekima sana. minakupenda sana naninakuombea mno. mungu muweza wa yote umalize uongozi wako salama Inshallah. amina
@allyfaraji7787
@allyfaraji7787 5 жыл бұрын
Asha
@maidahassani1377
@maidahassani1377 5 жыл бұрын
Nikisikia vyama upinzan wwakimuongelea vibaya natamani kupigana japo siyo mwana siansa dah magu jamani zawadi yetu kutoka kwa mungu
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 4 жыл бұрын
Acha uchizi wew
@wazochatta6818
@wazochatta6818 5 жыл бұрын
Thanks for shouters....
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 5 жыл бұрын
MUNGU ALIMLETA RAISI MAGUFULI ILI KUWAKOMBOA WANYONGE ,NA HASA WATANZANIA. MUNGU AKUBARIKI SANA MHESHIMIWA RAISI JOHN MAGUFULI
@heusenkibiriti4495
@heusenkibiriti4495 5 жыл бұрын
Eish! Ninyi vijana mmerogwa aisee, wakati waliposema wanalipa asilimia 25 mmeshangiria sana huku mkipongeza kuwa wameona mbali na watawasaidia wastaafu. Baada ya kelele nyingi za wadau pamoja na upinzani leo Jiwe kabadili upepo na kusema walipwe pesa zao wastaafu mnashangilia tena. Nadhani mkapimwe mkojo manina zenu... Wakati Jenista anapitisha hili na kusema fomula mpya itawahusu wote waliostaafu kuanzia mwezi wa Nane mlikuwepo na kupiga nderemo, Jenista ni waziri wa Jiwe. Wametengeneza tatizo na sasa wanakuja kujitangaza kuwa wametatua ninyi mnashangilia usenge tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@gracemasumila7475
@gracemasumila7475 5 жыл бұрын
waooo Mungu akutunze JP wewe upo vzr mzee baba baba la baba
@TembeaNaYesu
@TembeaNaYesu 5 жыл бұрын
2020 haina haja ya kufanya uchaguzi. Ni upotevu wa hela, JPM ni raisi hadi 2050
@fathermore9772
@fathermore9772 5 жыл бұрын
kumbe mambo mengine watendaji wa serikali wanaamua mambo wenyewe then lawama nikwa raisi
@francisalphonce7406
@francisalphonce7406 5 жыл бұрын
father more mungu akuongezee Maisha malefu miaka1000
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 5 жыл бұрын
Inashangaza
@richardsoka2400
@richardsoka2400 5 жыл бұрын
Funny enough hata aliyepitisha kikokotoo(Irene) anacheka kwa Rais kusema aliyetayarisha akiambiwa awe kwenye mkumbo huu hatakubali!!! Why green while you are the one who approved and imposed on workers and pensioners such a socialist idea!that you milk the worker even after retirement! Waziri Mkuu alikuwa wapi mpaka tu Rais aone maovu ya iana hii! Kudos Dr Rais Magufuli, you are truly a God fearing leader! We need dynamic leaders and NOT static like the minister, SSRA executive, positioned financial and administrative advisers! Waache uoga na kusema ukweli, Rais anahitaji kuambiwa ukweli else atakuwa na kazi ya kutumbuatumbua tu na ni mpaka lini? Ni sawa na waliohusika na kuingia mikataba ya kihuni na kizembe na kumpuni za Afrika Kusini(South African Airways) na Tanzania Airways Limited enzi hizo au mikataba ya IPTL!!!!! sometimes it is advisable kufukua makaburi ili na wengine waogope, mbona China wanawanyonga wezi kama hawa?
@oman11oman59
@oman11oman59 5 жыл бұрын
Yani mzee baba nafasi ulinayo itumie kwa ufasaha atakulipa mungu siku zote jilani yako awezi kusifia maendeleo ya mwenzio
@umawatv6426
@umawatv6426 5 жыл бұрын
Mifuko ya LAPF na PSPF ilikuwa inatumika kikotoo cha 50%. Mfuko wa PPF na NSSF ndiyo ilikuwa inatumia kikotoo cha 25% kwa wastaafu. Lakini watu wanasahau kuwa Mfuko wa PSPF ulikuwa umeshaishiwa pesa kabisa kutokana na ukokotoaji unaochota pesa nyingi kwa wakti mmoja. Mfuko wa PSPF unadai serikalini zaidi ya Trilioni 6 ambazo ni fedha serikali ilipaswa kuulipa Mfuko huo mwaka 1999 wakati Mfuko unaanzishwa mwaka huo. Hadi sasa deni hilo halijalipwa. Mfuko umeishiwa pesa. Wastaafu wengi walikuwa wamekaa muda mrefu bila kulipwa kutokana na kwamba PSPF ilikuwa imeshaishiwa pesa za kuwalipa. Serikali nayo ikaona ili kuokoa wastaafu ichukue fedha za LAPF, PPF na GEPF ziwalipe wastaafu wote wa PSPF. Sasa kuchukua kikokotoo cha PSPF chenye kutafuna fedha nyingi kwa kipindi kifupi Mfuko mpya nao hautaweza kuwalipa wastaafu kwa kikotoo hicho. Mfuko mpya hautaweza kwa sababu kikokotoo hicho ni "Too generous". Hakipo duniani kote.
@dm9299
@dm9299 5 жыл бұрын
Mbona Zanzibar kimya? Shein fata bas walau kidogo km mfano wa magufuli,tunamuona mkuu wa mkoa mjini magaharib unguja tu anavojotahid hebu madudu yatowe na uko zenji kwann kimya au hakuna wote safi??????????tukumbuke kila kiongozi ataenda ulizwa vipi alituongoza siku ya malipo.
@jacksonkyando7869
@jacksonkyando7869 5 жыл бұрын
Hapo Mh. Magu umefanya maamuzi kujali wanyonge, uendelee mpka 2025 uwanyooshe hao mafisadi wanatuonea sana wananchi wako
@stuwartsosthenes1977
@stuwartsosthenes1977 5 жыл бұрын
vema sana ,wapate chao walichokisotea kwa miaka sitini
@smarty1064
@smarty1064 5 жыл бұрын
stuwart Sosthenes ni chao na cha juu pia
@jensenjr4250
@jensenjr4250 5 жыл бұрын
Watanzania vilio vyao sasa vimeanza kusikika Mungu ambariki sana Rais wa wanyonge
@clementkunkuta384
@clementkunkuta384 5 жыл бұрын
Mzalendo
@leinaamos9559
@leinaamos9559 5 жыл бұрын
alie toa taarifa za awali huyo waziri tunaomba ajiangalie Mara mbili kauli aliyo itoa ilikuwa ya kukatisha mamaa watumishi
@umawatv6426
@umawatv6426 5 жыл бұрын
@@leinaamos9559 Utakapoelewa madhara ya uamuzi huo ndipo utaelewa. Waulize wastaafu wa PSPF na NSSF ujue kinachoendelea jikoni kabla ya kutoa pongezi hizo. Waziri aliongea kwa kuzingatia ripoti za Ukaguzi (Actuarial reports). Lakini naamini wengine wote waliongea bila kurejea ripoti za Ukaguzi wa Mifuko zinazoonesha UHAI au KIFO cha Mifuko. Acha kushabikia jambo ambalo huna utalaam nalo sana.
@dearmhando2978
@dearmhando2978 2 ай бұрын
Gonga like kama unaitazama hii 2024😢😢😢 pumzika kwa amani mjomba Magu😢😢
@afrikanusmatusa8642
@afrikanusmatusa8642 5 жыл бұрын
Safi kabisa Mr. President. Maana hicho kikotoo kilikuwa kinachochea ufisadi na wizi.
@eliasisaya5846
@eliasisaya5846 5 жыл бұрын
halafu mtu anakuja na magongo yake anajiombeleza eti urais aende akagombee uberigij labda watamuonea huruma walau udiwani sisi hatutaki wambea MAGU piga kazi haki ya MUNGU inakufuata
@rashidibrahimshemlugu7845
@rashidibrahimshemlugu7845 2 жыл бұрын
Siwezi kusikiliza hotuba ya cjui Nani zaidi ya mzee magufuli umetangulia mbele za haki lkn bado upo moyoni mwangu
@ceciliaonyango301
@ceciliaonyango301 5 жыл бұрын
wawoo unafaa kweli Mungu akubariki
@ibrahimumeja8831
@ibrahimumeja8831 5 жыл бұрын
Mungu akulinde.
@umawatv6426
@umawatv6426 5 жыл бұрын
Wanaoshabikia kauli hiyo ya Rais kuwa "Nipe pesa zangu nikafe potelea mbali" hawajui maana ya Hifadhi ya Jamii. Nashauri warudi darasani wakasome maana ya "Social Security" duniani kote. Watu tunapaswa kuelewa kwamba hifadhi ya Jamii imegawanyika katika makundi makuu mawili yaani; 1. Mfumo wa Pensheni. 2. Mfumo wa Akiba. Hilo analotaka Rais ni mfumo wa AKIBA. Kwenye Mfumo wa AKIBA wafanyakazi wenyewe waliukataa. Mfano Mfuko wa LAPF kabla ya 2006 ulikuwa mfuko wa AKIBA. GEPF pia ulikuwa mfuko wa AKIBA hadi 2014. Mfuko wa NSSF ulikuwa wa AKIBA hadi mwaka 1997. Mfuko wa PPF ulianza ukiwa wa Pensheni moja kwa moja mwaka 1978. Serikali yenyewe ndiyo iliyolazimika kufuta mifuko ya AKIBA ambayo ilikuwa inampatia CHAKE CHOTE na kwenda kufa mwenyewe. Kwenye Mfumo wa pensheni watu hulipwa pensheni kila mwezi hadi siku ya kifo. Mfumo wa Pensheni ndiyo uliokubalika duniani kote mwaka 1952 kupitia Azimio Na. 102 la SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO). Taifa letu lilisaini mkataba huo na kukubaliana kuwa na Mfumo mzuri wa mafao (Comprehensive Social SECURITY Schemes). Watu wanashabikia kitu ambacho hawaelewi. Wanaoshangilia wote hao hawajastaafu wakaelewa ugumu wa maisha uliopo kwa mtu akishastaafu na akamaliza KIINUA MGONGO chote. Kawaulizeni waliostaafu na kulipwa KIINUA MGONGO kikubwa kabla ya Sheria hii inayopigiwa kelele. Wote wanatamani pensheni iwe kubwa.
@venancemwamfise7510
@venancemwamfise7510 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 5 жыл бұрын
Aaaaaa ina maana issue hii Mh. Rais wakati inajadiliwa na mvutano wote ule hukua na taarifa wala malalamiko na kelele zote zile hadi watu wamefikia hata hii na ninaamini vikao vyao vimetumia pesa nyingi sana how come leo mabadiliko ya mvua ya mawe leo? Mmmmh! Kazi kweli kweli. TZ.
@laurentfidelis9619
@laurentfidelis9619 5 жыл бұрын
Kwani hicho kikotoo kililetwa na nani , tusiwe wasahaulifu ivo ni sawa kubomoa nyumba ya mtu kisha kumjengea huwezi sema umemsaidia
@salimamacheche619
@salimamacheche619 5 жыл бұрын
Dah sina cha kukulipa muheshimiwa maana sisi wafanyakazi Wa kampuni binafsi tulivunjika moyo kabisa asante xana mungu akuongoze kila atua huifanyayo amiina
@tumainipeter9996
@tumainipeter9996 5 жыл бұрын
Mh rais wetu Kama wakwenda mbinguni bilachangamoto inatakiwa ukimaliza kazi yamungu hionikazi unafananinishwa na musa alietoa wana israel misil nawe ukimaliza kazi utavishwa taji ,,,,,,kilaanae kubali aseme amina kubwa
@wilsonkimaro6375
@wilsonkimaro6375 5 жыл бұрын
HAPO SAWA HATA SISI WAFANYAKAZI WA SEKTA BINAFSI TUNAOMBA MFANYAKAZI ANAPOACHA KAZI ALIPWE KILE ALICHOKWISHA KUCHANGIA HUKO NSSF N.K, UJUE KUNAKIPINDI TUNATAKA KUJIAJIRI WENYEWE ILATUNALAZIMIKA KUAJIRIWA MAANA HELAYETU IMEKATALIA HUKO, TAZAMA NA HILI MAANA MIAKA 55 NI MINGI SANA
@umawatv6426
@umawatv6426 5 жыл бұрын
UHAI au KIFO CHA MIFUKO YOYOTE YA PENSHENI DUNIANI UKO KATIKA UAMUZI WA KITALAAM au KISIASA.
@lawmaina78
@lawmaina78 5 жыл бұрын
Ha ha ha!! Eti nipewe hela yangu nikafe, hongera sana rais, ina maana waliokua wanapiga hayo mahesabu hawakukuhusisha.
@farahaniomari9839
@farahaniomari9839 5 жыл бұрын
Maisha ya siasa bhana natengeneza tatizo alafu nalitatua hahahahaha hivi kipindi linaanzishwa lipigiwa kelele kimyaaa Leo ndio tatizo
@emmanuelmtega5852
@emmanuelmtega5852 5 жыл бұрын
mfuko hauta kufa kwa sababu watu bado wanafanya kazi, kwasasa selikali inabidi isimamie kwa umaki sana wafanyakazi wasifukuzwe ovyo ovyo ili kudumisha mifuko ya hifazi za jamii, tawala zilizo pita hazikuwajali sana watu hasa wafanyakazi.
@limolimo4701
@limolimo4701 5 жыл бұрын
tumbua kama wapo tafadhali walimu walio stafu munapewa zote mkafe mbele huko
@magembeedward9483
@magembeedward9483 5 жыл бұрын
na wakati anasaini huo mswaada kuwa sheria hakuliona hilo asitufanye mbululula
@williamsamwel849
@williamsamwel849 4 жыл бұрын
Wakati mwingine huwa nawashanga watanzani raid was aina gn awakomboe rais kama maguful hapa dunian kwa ss hawapatkan kwa mamlaka ya mbingun na dunian ongoza Tanzania mpaka uchoke nasi tuone kwel umezeka
@salimsaid3292
@salimsaid3292 5 жыл бұрын
Huyu ni kiongoz mwema.. Hatujapata kama hivi tokea afariki mwalim. Ikiwezekana adumu daima
@edwardmwendamkono9787
@edwardmwendamkono9787 5 жыл бұрын
Chizi ww
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 5 жыл бұрын
Kwakweli kabisa
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 5 жыл бұрын
@@edwardmwendamkono9787 wewe dio mjinga hujui. Huna Kazi nn. Jabazi.
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 жыл бұрын
@@ashapearubart2624 ndugu usishabikie bila tafakar jiulize ni nan alie leta hoja ya 25%, katibu hawez jitungia usidanganyike haraka na kukimbiria kupiga vigeregere, tafakali kwanza hao wanaishi kwa kiki ngoja uone dada, wapo watu wamezurumiwa bila huruma mwaka huu huu ila na wao walitanguliza vigeregere mwishoni ni majonz waulize na walima korosho kusini topic yao ni magu c kwa mazuri ila ubaya, cc hatuwez hitaj yey adumu kwa hiz kiki zake
@dennishrd9759
@dennishrd9759 5 жыл бұрын
Edward Mwendamkono ww ndio chiz katafute kazi
@rajabrukonge580
@rajabrukonge580 5 жыл бұрын
Asante sana Mh. Rais GPM vizuri sana
@kenethluhwago773
@kenethluhwago773 5 жыл бұрын
Asante bora nichukue changu nikafie mbele
@getrudamatoto1979
@getrudamatoto1979 5 жыл бұрын
Mungu akutunze Rais wetu
@emmanuelmwansi8673
@emmanuelmwansi8673 5 жыл бұрын
kweli kabisa mkuu.Godbless more
@dabelmathew2322
@dabelmathew2322 5 жыл бұрын
good kweliiii
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 5 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana rais, tumbua tuu majipu
@sarunmolel2880
@sarunmolel2880 5 жыл бұрын
hongera baba endelea kufanya hivyo mtetezi wa wanyonge
@luganochiwanga4226
@luganochiwanga4226 5 жыл бұрын
Nakupenda snaa rais WANGU yani umeonge point ya maana !!!pesa ni zangu yanini nichukue kidogo kidogo !!mfano hata nikitumia vibaya si zakwangu
@lizashagilliard2336
@lizashagilliard2336 5 жыл бұрын
M nazid kupata mkanganyiko juu ya alietoa hoja na kuipitisha na hatimaye rais anaipinga hii hoja🙄
@mpelienock
@mpelienock 5 жыл бұрын
Ha haaa ni bora mtu apewe atajua kama afanye mradi au akafie bar imetulia hiyo.
@OmarOmar-tf6ph
@OmarOmar-tf6ph 5 жыл бұрын
Usilaumu tuu eti kwa kusema sheria haiwezi kupita bungeni bila saini ya raisi mana mwanzoni halikuonekana hilo ila kwa jitihada ya uchapakazi wa rais makini ameligundua muhimu ni kumpatia support mana hata hao marais waliopita hawakujaribu kufanya maamuzi magumu kama yeye,unatakiwa useme hivi,mungu akubariki rais wetu john magufuli kwa uchapakazi wako.
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 5 жыл бұрын
YANI NAOMBA KUSEMA MH.RAIS HAKIKA UTAKUMBUKWA SANA KWA KUWA NA UCHUNGU KWA WAFANYAKAZI WALIO CHINI YAKO. MUNGU AKULINDE.
@princesinko4073
@princesinko4073 5 жыл бұрын
Kwa Kweli huyu Ndio Rais wetu
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 жыл бұрын
Ahsante baba na mihela yng kadhaa wanazengua
@jamesmarlow4389
@jamesmarlow4389 5 жыл бұрын
Mwakole weto rais mwakole manga wa eta byangene
@mashakaisinika7434
@mashakaisinika7434 5 жыл бұрын
Inawezekana ukapewa utakatifu kabla hata ya nyerere.
@geraldemmanuel210
@geraldemmanuel210 5 жыл бұрын
JPM, mimi nakukubali sana tangu zamani ukiwa waziri. yaani sijui nisemeje. ww nimtu wamhimu Sana Uliteuliwa na Mungu Mungu alisikia Maombi yetu sisi Watanzania. 2020 nibora hata uchaguzi usiwepo uendelee kuongoza tu mpaka utakapozeeka. Naona hata SGR inaendelea vizuri.
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 5 жыл бұрын
Gerald ni Mungu kakufunilia hayo..Asante Mungu kwa zawadi ya Raisi Magfuli...tutamlinda klwa sala
@beatricekettos2745
@beatricekettos2745 5 жыл бұрын
Rais ungekua unaruhusu tune kukuona ikulu mm ningelipa nauli nije nikupe mkono huyo mama ameua watu Kwa pressure anywee yeye hicho kikombe kweli Yesu yupo nimeona kazi zake huyo mwanamke asome isaya 10:1
@rehemakitara7418
@rehemakitara7418 5 жыл бұрын
👍👍
@andrewasenga9225
@andrewasenga9225 5 жыл бұрын
MAGUFURI MIMI SI MSTAAFU ILA NAHAPA MBELE YA MUNGU WEWE NI BINADAMU NA SIO MTU KWA HIYO KAULI YA KU IMAGINE NIMEKILI WE NI RAISI BORA SHIDA UPO PEKE YAKO WENGINE WANAIGIZA UBORA WAKO SIO NATURAL
@rabielulomi8607
@rabielulomi8607 5 жыл бұрын
Hivi Andrew Easther Bulaya alipokuwa anapiga kelele ulikuwa wapi? Jaribu kuwa fair utabarikiwa.
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 5 жыл бұрын
Kaka Andrew Asenga uko sahihi hapo wengine ni wanafki tuu na ndio baadhi yao humuangusha Mh our lovely President JPM
@kissanzunda8539
@kissanzunda8539 5 жыл бұрын
Utu ni jambo muhimu sana katika kuhakikisha kufikia mafanikio makubwa Mungu akubariki sana Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania jambo hili lilita mshituko mkubwa sana has a kwa wafanyakaz wengi wakiwemo waalimu asante kwa kuondoa utata huo MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI RAIS WA TANZANIA
@edwinemmanuel7877
@edwinemmanuel7877 5 жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo wa Nazareth Asifiwe,Iren ulikuwa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA kwanza mshukuru Mungu Soma Zaburi ya 118 yote, Pili Roho Mtakatifu baada ya Ester Bulaya kusema ulisema hii fomula mbaya sana Roho Mtakatifu aliniambia niombe juu yako ili nijue kama in wewe au sio wewe nilichoona kwako Vita yako ilikuwa kubwa maana kuzimu walihakikisha unaikosa hiyo nafasi,kwa hiyo omba Mungu toba ulipo kosea ukishika Sadaka ya Dhambi uliyofanya, Sadaka ya toba na Sadaka ya Shukrani,omba Mungu akupe nafasi nyingine anazo nyingi, ila toa Sadaka ya kiti utakachokalia ofisini kitoke kwa Mungu,toa Sadaka ya ukombozi kuhusu Nyota yako,sura yako,ufahamu wa kushoto na kulia, ubongo wako, akili yako, utosi wako,,tatu tolea Sadaka ya ulinzi afya na nafasi yako, na Sadaka ya kibali kwa Mungu akupe kazi nyingine,NNE toa Sadaka ya Amani ili Yesu Kristo wa Nazareth akupe amani ndani ya moyo wako bila Yesu uwezi, Sadaka hii Soma Mambo ya Walawi 4 :10 Fanya hivi hata kwa familia na ndugu pia, ambatanisha na Sadaka ya ukombozi, shukrani, Sadaka ya ulinzi na Sadaka ya kuzuia vita isiinuke ya we we kutolewa katika kazi bila Mpango wa Mungu na Sadaka ya Visasi na malipizi kwa atakayeinuka kupambana na we we kimwili na kiroho,Swali katika kazi Ulikuwa mwaminifu kumpa Mungu fungu LA kumi? kama ulishindwa omba toba kwa Mungu atakusamehe ukiwa na Sadaka ya Toba Soma Zaburi ya 51 ukiwa na Sadaka mkononi na shukrani kwa Mungu kukusamehe, Omba Mungu akupe kazi nyingine aliyokupangia ila mwambie Mungu akusaidie kutoa Fungi la kumi ndipo Mungu Yesu Kristo wa Nazareth katuhaidi Ulinzi Soma Malaki 3:10-12 mistari IPO katika Bible,usiacha kuomba Mungu akuinulie waombaji ila usiache kuomba na wewe, Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth itulinde na itupe Amani, Sadaka zote hizi weka Madhabahuni pale ambako Biblia ipo katika kanisa unalosali usimpe MTU akupelekee peleka mwenye.
@edwinemmanuel7877
@edwinemmanuel7877 5 жыл бұрын
Mungu akupigani
@justinmsoffe7313
@justinmsoffe7313 5 жыл бұрын
Asante Raisi wangu. You reviving the amputed parts of the nation. Viva Maghufuli! Mungu akulinde na kukupigania ili wafanyakazi na Tanzania yetu kwa ujumla isonge mbele.
@gadsonjustin3774
@gadsonjustin3774 5 жыл бұрын
jamaani!!!nisaidieni mswada huu ulipelekwa nanani bungeni na ulipo pitishwa ulisainiwa na nani ikawa nisheria?
@samsonmwijage1602
@samsonmwijage1602 5 жыл бұрын
Timothy Lavamba unaishi dunia gani? Wewe umedandia safari njiani hata hujui sakata hili la mafao !!!
@hamuakammgweno9468
@hamuakammgweno9468 5 жыл бұрын
Mungu akulinde tuendelee kuwa nawe raisi wetu
@umawatv6426
@umawatv6426 5 жыл бұрын
Wanaoshabikia kauli hiyo ya Rais kuwa "Nipe pesa zangu nikafe potelea mbali" hawajui maana ya Hifadhi ya Jamii. Nashauri warudi darasani wakasome maana ya "Social Security" duniani kote. Watu tunapaswa kuelewa kwamba hifadhi ya Jamii imegawanyika katika makundi makuu mawili yaani; 1. Mfumo wa Pensheni. 2. Mfumo wa Akiba. Hilo analotaka Rais ni mfumo wa AKIBA. Kwenye Mfumo wa AKIBA wafanyakazi wenyewe waliukataa. Mfano Mfuko wa LAPF kabla ya 2006 ulikuwa mfuko wa AKIBA. GEPF pia ulikuwa mfuko wa AKIBA hadi 2014. Mfuko wa NSSF ulikuwa wa AKIBA hadi mwaka 1997. Mfuko wa PPF ulianza ukiwa wa Pensheni moja kwa moja mwaka 1978. Serikali yenyewe ndiyo iliyolazimika kufuta mifuko ya AKIBA ambayo ilikuwa inampatia CHAKE CHOTE na kwenda kufa mwenyewe. Kwenye Mfumo wa pensheni watu hulipwa pensheni kila mwezi hadi siku ya kifo. Mfumo wa Pensheni ndiyo uliokubalika duniani kote mwaka 1952 kupitia Azimio Na. 102 la SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO). Taifa letu lilisaini mkataba huo na kukubaliana kuwa na Mfumo mzuri wa mafao (Comprehensive Social SECURITY Schemes). Watu wanashabikia kitu ambacho hawaelewi. Wanaoshangilia wote hao hawajastaafu wakaelewa ugumu wa maisha uliopo kwa mtu akishastaafu na akamaliza KIINUA MGONGO chote. Kawaulizeni waliostaafu na kulipwa KIINUA MGONGO kikubwa kabla ya Sheria hii inayopigiwa kelele. Wote wanatamani pensheni iwe kubwa.
@abdallahjuma7516
@abdallahjuma7516 5 жыл бұрын
Mzee urudi na sekta tunafanya kazi hakuna mishahara wala hayo malipo kwa ujumla ni shida
@abdallahjuma7516
@abdallahjuma7516 5 жыл бұрын
Sekta binafsi
@deustutu1162
@deustutu1162 5 жыл бұрын
kwel rais wawanyonge mana hapo ilikuwa Ishakuw mtihan
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa. Sio huku ulaya unafanya kazi mpaka 63au67.alafu ukistaafu. Wakupa kidongo mpaka ufe. Niunyonyoji kabisa. Wasio kupenda Rais. Ni washawi.
@getaromagaiwa7918
@getaromagaiwa7918 5 жыл бұрын
pandisha na mishahara!!!!!!!!!!!!
@amarnshaija3769
@amarnshaija3769 5 жыл бұрын
Mh yuko right kabisa tatizo watumishi wake inaonyesha wako gizani
@nicethamanonga5855
@nicethamanonga5855 4 жыл бұрын
Umenena watumishi wako gizani
@oman11oman59
@oman11oman59 5 жыл бұрын
Yani wewe baba nakupenda mpaka keshoooooooooo
@wiganschilima9533
@wiganschilima9533 5 жыл бұрын
Wamachinga tunakupenda sana
@philip788
@philip788 5 жыл бұрын
That's the President! Uko vizuri Prezidaa na kura tutapiga 2020!
@luganolusekelokajigili9343
@luganolusekelokajigili9343 5 жыл бұрын
Tunakuombea Rais Wetu
@munnawwaryaqoob3414
@munnawwaryaqoob3414 5 жыл бұрын
Kabisa mzee baba hapo umenena
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 5 жыл бұрын
Salute Mh.President umesikia kilio cha wanyonge ubarikiwe kwa hili Mungu akuongoze huyaone na mengine.
@zenobiakapere585
@zenobiakapere585 5 жыл бұрын
Walitaka kutuua kwa kweli!!!
@georgegozbert1100
@georgegozbert1100 5 жыл бұрын
Safi mkuuuu
@unstoppabledewinner7257
@unstoppabledewinner7257 5 жыл бұрын
Mzee baba
@wawilayakibondo4467
@wawilayakibondo4467 5 жыл бұрын
HONGERA sana mheshimiwa Rais Magufuri wote wanaoshangiria ni wanafiki
@enockngande2830
@enockngande2830 5 жыл бұрын
Nikweli raisi unasimamia vyema fedha za nchi
@frozen4rozen475
@frozen4rozen475 5 жыл бұрын
Piga kazi watu wafaidike
@estherkivelege8190
@estherkivelege8190 5 жыл бұрын
Dah aisee huyu mzee kusikia kilikuu changu jamani Dah kweli wewe ndo Rais
@ayoubkiwambe1142
@ayoubkiwambe1142 5 жыл бұрын
Bado watanzania mtamuelewa tu huyo jpm anatakakuipeleka wapi tanzania
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Safi sana jpm umefanya vizuri sana mungu akubaliki.
@edwardmwendamkono9787
@edwardmwendamkono9787 5 жыл бұрын
Chiz ww
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 жыл бұрын
kwan ni nan alieleta hoja ya 25% ?, chini ya ccm hamna jipya ni kiki tuu!!.
@joshualembile3041
@joshualembile3041 5 жыл бұрын
Eti bhna? Nipe zangu zikafie mbele...
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 жыл бұрын
@@joshualembile3041 haaah haaah ndo hivyo dunia ina mengi wajanja na mazumbukuku humu humu wapo
@mwashamrashid6492
@mwashamrashid6492 5 жыл бұрын
Tinya Anosiatha
@allyflavour8005
@allyflavour8005 5 жыл бұрын
Kura zote za nyumba yangu nizako 2020
@richard.rkilonzo7538
@richard.rkilonzo7538 5 жыл бұрын
Watanzania acheni kuwa malimbukeni. Huyu huyu ndie alikataa na baada ya upinzani kuongelea haya akawasweka ndanu Esther Matiko. Mishahara na marupurupu na mishahara ya watumishi sio ombi. Angekuwa anasikiliza ushauri mambo mengi yasingeharibika. Mtu ananunua ndege kwa pesa cash wakati watoto hawana madarasa unajenga taifa la aina gani?. Unanunua ndege huku wewe wananchi wako wanaishi kwa mashaka kwa kutekwa nyara. Unategemea mtalii gani apande ndege zako. Tanzania imesababisha hata kwetu Kenya katupati watalii kwa sababu za utekaji nyara na kukataa demokrasia. Kumbuka mtalii anaanzia Kenya, Tanzania amalizie na Mombasa au Zanzibar. Huyu mheshimiwa anajua uchaguzi umekaribia ndio maana amestuka. Siku zote nasema nyie Watanzania ogopeni sana mtu anauma na kupuliza kama panya. Hata akiwepo mtu mwingine bado Tanzania masonga mbele sana kwani mnazo rasilimali nyingi sana. Kama huyu mheshimiwa asingefungia madini na kuharibu utalii Tanzania ingesomga mbele sana. Hivi Mungu hajazuia watu kuchimba madini mtu atafungiaje madini kama mbuzi. Tanzanite kufika Kenya ilikuwa haiji bure. Watu walikuwa wanauzia wafanya biashara wa Kenya. Sawa vitunguu, Nyanya, Machungwa, Maembe Mananasi nayo kazuia ya nini tena. Kila Mtanzania anao uwezo wa kuongoza na kuleta maendeleo. Chagueni watu wenye upendo na wenzao sio watu wakorofi wenye kujenga uadui na uhasama.
@anordkagame3435
@anordkagame3435 5 жыл бұрын
nikweli
@irenewilliam3844
@irenewilliam3844 5 жыл бұрын
Nyambafu 2w utakufa maskin
@venerandomilinga2211
@venerandomilinga2211 5 жыл бұрын
Fomula hiyo haipo popote duniani. Haipo haipo. Duniani kote haipo. Fomula hii huenda inatumiwa na vikundi vya UPATU. Haipo hiyo fomula ya kuzidisha mara 4 ya michango yako haipo. Walioweka ni Makataibu wakuu wa zamani. Siyo wa wakati huu. Ni kosa walifanya makatibu wakuu wa zamani. Haipo duniani kote. Inatumiwa tu na PSPF na LAPF lakini haipo duniani kote.
@mussagreen5222
@mussagreen5222 5 жыл бұрын
Duuuuh
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 5 жыл бұрын
KABISA MHESHIMIWA RAIS UMEONGEA JAMBO JEMA SANA . WATU HAWAJALI WENZAO WANAJIJALI WENYEWE KWA SABABU YA UBINAFSI WAO. ASANTE RAIS WANGU UNAJALI WANANCHI WAKO BARIKIWA SANA BABA WEWE RAIS MAGUFULI NI BABA YETU WATANZANIA UNATUJALI SANA.
@shareefkamtande4692
@shareefkamtande4692 5 жыл бұрын
jamaa namkubali
@charoharry7038
@charoharry7038 5 жыл бұрын
Afadhali ivo rais jpm kuliko pesa kwamashirka halafu usikkie zimefunjwa,,,+254 watching
@hawaafrica803
@hawaafrica803 5 жыл бұрын
Allah akujaalie Akupe wepes katika kl jambo una imani ya kweli Rais wetu
@godwinchengula3621
@godwinchengula3621 5 жыл бұрын
Bonge ya poiti
@graceenocksamwel9655
@graceenocksamwel9655 5 жыл бұрын
hongera sana
@frankibrahimlutende9090
@frankibrahimlutende9090 5 жыл бұрын
pete umepeleka wapi mbona kidole cha Pete cheupe?
@arodiabyanyuma9259
@arodiabyanyuma9259 5 жыл бұрын
Asante mheshimiwa raisi hawa wasomi wako ndio wanaotuangusha sasa acha liwakute wao huko mbele maana wana mishahara mikubwa kuliko ingekuwa sasa wazee wengi wangeumia kwani mishahara yao ni midogo
@heusenkibiriti4495
@heusenkibiriti4495 5 жыл бұрын
MOVIE 2018 JUZI SERIKALI: Tumeleta sheria mpya ya mafao ambapo mstaafu atapata 25% ya malipo ya mkupuo na malipo mengine ataendelea kupata kidogokidogo kwa miaka 12. JANA VIJANA WA CCM: Hongera sana Serikali yetu pendwa kwa kuwajali watumishi, hakika hii ni Serikali inayowajali wanyonge.. LEO RAIS: Wastaafu ni watumishi mashujaa, hakuna sababu ya kuwanyonya. Kanuni ya kikokotoo iendelee kutumika ile ile ya zamani..... KESHO VIJANA WA CCM: Hureee! Huyu ni Rais makini na msikivu kwa kuwa anawajali watumishi, amesikiliza kilio chao....
@hafidhisemindu607
@hafidhisemindu607 5 жыл бұрын
saaaaafi sana mpendwa wetu na mungu akuweke na akuepushe na kila la shar...
@jastonmwawalo3218
@jastonmwawalo3218 5 жыл бұрын
Fresh Mag
@ramamsangi1719
@ramamsangi1719 5 жыл бұрын
hapana.....!
@mtumesamsonyoutube5051
@mtumesamsonyoutube5051 5 жыл бұрын
UKWELI MH. RAIS WETU JOHN POMBE MAGUFULI UMEFANYA KITU CHA KIPEKEE SANA HIYO NDIYO BUSARA ONGERA SANA
@rosemhagama438
@rosemhagama438 5 жыл бұрын
Fukuza wote bb
@venerandomilinga2211
@venerandomilinga2211 5 жыл бұрын
Fomula hiyo haipo popote duniani. Haipo haipo. Duniani kote haipo. Fomula hii huenda inatumiwa na vikundi vya UPATU. Haipo hiyo fomula ya kuzidisha mara 4 ya michango yako haipo. Walioweka ni Makataibu wakuu wa zamani. Siyo wa wakati huu. Ni kosa walifanya makatibu wakuu wa zamani. Haipo duniani kote. Inatumiwa tu na PSPF na LAPF lakini haipo duniani kote.
@isayamwasile3103
@isayamwasile3103 5 жыл бұрын
Ukichangia 30,000,000*4=120,000,000eti haipo duniani,tumefurahi lakini hii ibaki hivi hivi,maana return on Investment ya Fedha zetu
@saidkisumo8507
@saidkisumo8507 5 жыл бұрын
kwa kweli mungu katupa rais wa kuikomboa nchi ya ahadi,,,,, anaempenda rais wetu gonga like kama zote
@abrahamsingano5372
@abrahamsingano5372 5 жыл бұрын
wakati wa mchakato wa kupata Rais mwaka 2015 nchi nzima tuliomba kwa Mungu tumpate Rais atakaeleta mabadiliko. Huyu ndie tulieletewa na Mungu
@bakarinuhu3967
@bakarinuhu3967 5 жыл бұрын
Kweli kabisa mimi namkubari sana kwa maamuzi yake na kwa mifano yake hakika huu tumepata rais ningekuwa nina uwezo ningesema huyu ndiwe aongoze Tanzania milele hapana kuchangua mwingine kila la heri katika kazi yako ya kuitumikia Tanzania Mungu akubariki sana Amina
@rabielulomi8607
@rabielulomi8607 5 жыл бұрын
Watz kweli tumeogwa tunashangilia nini? Huu uzezeta unaongeza ugumu Wa Maisha yetu.
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 жыл бұрын
@@rabielulomi8607 broo usishangae tz walio weng wamesoma ila hawajaelimika ndio maana mtu anamuona kiongoz wake kama Mungu wakat ni haki yake ya msingi alimdhurumu, na ndio maana tuna wasomi wengi ila ni mizigo, hawawez ku-reason, hata hawaoni drama zinazoendelea wanadanganywa kila cku
@umawatv6426
@umawatv6426 5 жыл бұрын
@@bakarinuhu3967 Sasa rafiki yangu Nuhu wewe unamkubali kwa kufanya uamuzi bila kujali hali mbaya ya Mifuko kifedha iliyopo? Unamkubali kwa kufanya uamuzi bila kurejea ripoti za ukaguzi za Mifuko hiyo zinazosema kuwa uwezo wa Mifuko hiyo kujiendesha umekwisha? Kwa kikokotoo hicho rafiki yangu Mifuko haitaweza kuhimili kwa miaka 5 au 10 ijayo labda Serikali iwe inailipa pesa mifuko hiyo. Soma ripoti za Ukaguzi za Mfuko wa PSPF na LAPF uone hali ilivyokuwa inaelekea hata kama watadhibiti vipi matumizi mabovu kama ambavyo sasa hivi imeelekezwa na kufuatiliwa na Serikali. Kwa kikokotoo hicho kinachoshangiliwa na nchi nzima siyo rahisi Mifuko kuwa HAI.Tafakari upya.
@charoharry7038
@charoharry7038 5 жыл бұрын
Hata hayati nyerere alitabiri haya
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
NONDO ZA MZEE WARIOBA MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU HAYATI SOKOINE
19:28
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,3 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 78 МЛН
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA"
23:26
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 650 М.
Rc Hapi amsweka ndani Mzungu
2:52
WazoHuru Media
Рет қаралды 86 М.
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 84 М.