NILIZAMA BAHARINI MASAA 9/VIUMBE VYA AJABU/SAMAKI MTU/MAJINI WAKAMBEBA/UKWELI KUHUSU BAHARI.

  Рет қаралды 284,865

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#VIUMBEVYAAJABU #BAHARINI

Пікірлер: 131
@koolNgulia
@koolNgulia 3 жыл бұрын
Impressive! Lugha safi... From Nairobi
@shetijay
@shetijay 2 жыл бұрын
Mbanga,mwanangu nakukubali xana🗣️shoutout from#mombasakenya🇰🇪🇯🇲
@tabbywacherakamau8626
@tabbywacherakamau8626 3 жыл бұрын
Mashah"Allah, mzee umeongea ukweli na hekima
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 2 жыл бұрын
8
@benash1805
@benash1805 3 жыл бұрын
Takeout the music everything else great
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Ukitaka kujuwa utukufu wa Allah angalia alivyoviumba Allah vya mbinguni, ardhini, baharini na nchi kavu. Subhanallah, Allahu Akbar. Allah ametakasika wala hana mshirika, Allah ni mjuzi wa kuumba, Allah hakuzaa wala hajazaliwa na hana mwana wala mtoto. Subhanallah, Allahu Akbar.
@jihadjiha1017
@jihadjiha1017 3 жыл бұрын
ALLAH AKBAR
@ahmadisaidi3952
@ahmadisaidi3952 2 жыл бұрын
Allahu akbar
@ahmadisaidi3952
@ahmadisaidi3952 2 жыл бұрын
Allahu akbar
@mariamunika6239
@mariamunika6239 2 жыл бұрын
Allahu Akubar
@MaxamedNur-ct8zd
@MaxamedNur-ct8zd 2 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 3 жыл бұрын
Pole sana baba asante MUNGU kwa kumuokoa baba huyu🙏
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 3 жыл бұрын
Nguva ni samaki kama samako wengine wakubwa wala hana maziwa ni mapezi manene. Na nimkubwa aweza kufikia kama kiboko, anazaa kama anavyo zaa papa, taa na samaki wengine ambao ni mamalian. Samaki wengine wanataga. Juwa nguva kama mtu, anasura ya mtu ni uzushi.
@kombobomayee1745
@kombobomayee1745 3 жыл бұрын
Kwani ukuelewa alivosema ww
@makanjetemsizwa121
@makanjetemsizwa121 Жыл бұрын
Uongo
@nawalanwar5503
@nawalanwar5503 3 жыл бұрын
Lafdhwa yake inafurahisha maa shaa Allah 💖💕
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 3 жыл бұрын
Lafdha or lafudhi
@sabylaby
@sabylaby 3 жыл бұрын
Asanteni sana Nimejifunza mengi Kwa kuwa mimi ni mtunzi wa hadithi nimefurahi sana kwa story hii ya ukweli na kusisimua
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 3 жыл бұрын
Mbanga mnauaa sana wazee baba ...mpo noma noma
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Watu wanakoga masiku 7 na kwenye bahari unaweza kulala ukaelea..na samaki wakali sio sana
@nopain8931
@nopain8931 3 жыл бұрын
kupika mbizi na kuogelea ni tofauti
@user-fy6ck9di1f
@user-fy6ck9di1f Жыл бұрын
😊 ahsante sanaaa tuuuu MBA ga Kwa taarifa.
@wamowamo6897
@wamowamo6897 3 жыл бұрын
Noma sana
@jumarwambo7420
@jumarwambo7420 3 жыл бұрын
Keep it up broh
@hammygwada7758
@hammygwada7758 3 жыл бұрын
Story nzuri
@pamelakonya545
@pamelakonya545 3 жыл бұрын
Mimi nimelelewa Mombasani,tulikuwa twawaita hao mermaids VITU NUSU, kisha story za majini Baharini zilikuwa nyingi Sana, nashukuru nimepata kuelewa vizuri bahari leo
@alien2974
@alien2974 2 жыл бұрын
Nakumbuka nikija 'school trip' mombasa nikiwa class 4, nikachelewa nikawa mtu wa mwisho kwa kikundi chetu kutoka kwenye Beach, niliona mermaid kisha akaniangalia na kuruka majini
@pamelakonya545
@pamelakonya545 2 жыл бұрын
@@alien2974 🤣🤣 wacha nicheke Kwanza na usione ubaya jamani. Huwa wako kweli hao mermaids? Mimi nimelelewa karibu na Nyali beach so beach every weekend ilikuwa lazima,but kuona mermaid sijawai hata siku moja..Maybe they appear on special people that could be beautiful to watch
@alien2974
@alien2974 2 жыл бұрын
@@pamelakonya545 yes ni kweli. Sijawai sahau na hio ilikuwa around 2010...alikuwa na nywele refu nyeusi ti! Na ngozi kama mzungu..
@fatumamohamed8203
@fatumamohamed8203 3 жыл бұрын
Mimi ki fikra natani Hao samaki Nguva wenye Umbo la kibinadamu ni Majini sababu Jini Aweza jigeuza kivyovyote vile, but hakuna samaki mtu.
@bonifasiemanueli2708
@bonifasiemanueli2708 3 жыл бұрын
Hao in majini,kwani iko hivi wakati wa ghalika ya Nuhu kuna malaika walio asi mbinguni wakaja Duniani sasa ghalika ilipo kuja wakakimbilia ndani ya bahali ili kujificha baada ya ghalika Mungu akawafungia huko huko kwa kuwageuza samaki upande mmoja mwingine umbo LA mtu, ndo hao mnaosikia samaki MTU,
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
@@bonifasiemanueli2708 Asante sana kwa funzo lako
@Rashid-sg2mw
@Rashid-sg2mw 3 жыл бұрын
ni kwel kabisaa
@sammotv6920
@sammotv6920 Жыл бұрын
@@bonifasiemanueli2708 hakuna maalaika anaeweza kuasi hata siku mojaa
@jimmyx8412
@jimmyx8412 3 жыл бұрын
Hahaa naenjoy kumuona baharia akisikiliza story ya captain
@dijahommy4888
@dijahommy4888 2 жыл бұрын
Maake kwanza apo ncheke
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 3 жыл бұрын
Wavuvi nao wanafikwa na majangwa baharin ilaMUNGU anawasaidia
@mariachinagwa2891
@mariachinagwa2891 3 жыл бұрын
Hongera mchumba nimeipenda sana
@isaacsinkala3832
@isaacsinkala3832 3 жыл бұрын
Waongo
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Miamba inatoa sauti ndio ni kwabb ya upepo kutoka baharini...
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 3 жыл бұрын
Na hiyo hadithi za kufikirika muongo babu, msiamimi uzushi wa kutunga. Hadithi hizi za uzushu zinasimuliwa sana Mafia.
@kombobomayee1745
@kombobomayee1745 3 жыл бұрын
We bahari unaijua ww na mafia unapajua vizur me natokea bweni unapajua na Ivo vitu vipo vishanikuta Sana vitu Kama zaruba. Tukiwa na mashua tunatoka kisiju tunaenda mafia. Au unamjua jini fatuma wa bweni ww
@thequeenhasarrived8395
@thequeenhasarrived8395 3 жыл бұрын
Remove background music it's so loud
@fdev
@fdev 3 жыл бұрын
Real
@dullahsin2708
@dullahsin2708 3 жыл бұрын
Nakubali
@harrunaally8869
@harrunaally8869 Жыл бұрын
Ila broo umezingua sauti ya kinanda una umuhim gan apo
@wesleykombo4001
@wesleykombo4001 3 жыл бұрын
Uko juu brother #Mombasa kenya
@amrynondo4357
@amrynondo4357 3 жыл бұрын
Duuuuh kali
@ibugharib389
@ibugharib389 3 жыл бұрын
SADIKI UKIPENDA HII YA WAALABU ( WAARABU ) Ila story mzur
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Inshallah Allah karim🙏
@mdbosco1640
@mdbosco1640 3 жыл бұрын
💟💟💟💟🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Hakuna samaki mtu tusidanganyane...
@hanchojunior2214
@hanchojunior2214 3 жыл бұрын
Jini anaweza kujifanya ivo..
@geofreymwaijonga
@geofreymwaijonga 3 жыл бұрын
Baharia Duplin Master, nice coverage👍
@dupamdupange5918
@dupamdupange5918 3 жыл бұрын
Thanks alot babangu🙏🙏
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 жыл бұрын
Mnakula tu SAMAKI huko Nchi kavu hamjui MABAHARIA tunavyokutana na madharuba ya BAHARI..!
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 жыл бұрын
@Mrs Inziani ....Kuleni ‘ ila mjue misukosuko tunayokutana nayo mabaharia...!
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
@Mrs Inziani mimi mvuvi nikuletee talapia nambie wapi upo nikuletee sister
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 3 жыл бұрын
😂😂😂😂Poleni bhn
@godschildshiku1349
@godschildshiku1349 3 жыл бұрын
@@utaani1 niko, Nyeri, Kenya
@aishajuma7739
@aishajuma7739 3 жыл бұрын
@@ismailyusuph740 mumelazimishwa kufanya hiyo kazi😂
@halimahamad8087
@halimahamad8087 3 жыл бұрын
duh
@sejetv6856
@sejetv6856 3 жыл бұрын
Good journaliste
@thelistener8357
@thelistener8357 3 жыл бұрын
Doh huyu jamaaa anaongea kwa experience sana
@djmtengwatz1099
@djmtengwatz1099 3 жыл бұрын
Daah sio poa
@reymathomas1562
@reymathomas1562 5 ай бұрын
Au siyo mwanangu
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 3 жыл бұрын
Tutumie mbongo kwenye mbanga.....
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 3 жыл бұрын
Ntu, Nti!!
@kombobomayee1745
@kombobomayee1745 3 жыл бұрын
Kiswahili Cha pwani iko kinazungumzwa Sana mafia
@Livewithbobo
@Livewithbobo 2 жыл бұрын
Mshanitisha🤒😱😰
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 3 жыл бұрын
Atari sana ukweli mtupu
@sheilanyangasi7079
@sheilanyangasi7079 3 жыл бұрын
Bro mbona music kwenye ground tena lakini Stori zuri hongera
@jimmyx8412
@jimmyx8412 3 жыл бұрын
Mmmh sasa unataka iwe haina back ground kama unasimuliwa ubuyu na shoo
@sheilanyangasi7079
@sheilanyangasi7079 3 жыл бұрын
Kitu kama hiyo bro
@Livewithbobo
@Livewithbobo 2 жыл бұрын
Tumueke diamond
@aneymaalim704
@aneymaalim704 3 жыл бұрын
Stori nzuri ila hio musiki ungetoa
@jimmyx8412
@jimmyx8412 3 жыл бұрын
Back ground muhim sana
@fredynigga6948
@fredynigga6948 2 жыл бұрын
Wewe mzee hunatukosea nguvu sisi tuko nusu mtu nusu samaki hunaposema manyonyo na wanaume watakuhaje mbooo au😂😂😂kamakitu hujuhi simulia hunavyo jua
@user-sk5sd7kc9g
@user-sk5sd7kc9g 6 ай бұрын
100kilo 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@ZainabuZainabu-vv6kg
@ZainabuZainabu-vv6kg Жыл бұрын
😮
@tungumazezele5079
@tungumazezele5079 3 жыл бұрын
kwakweri maisha yahawa watu nimagumu lakini nataka nyama ya huyo samaki
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 3 жыл бұрын
😂😂😂
@fredynigga6948
@fredynigga6948 2 жыл бұрын
Eeee haujui kama samakiwengime tunaixhi na watu uraiani takugonga kula myama yemwanao mweu wewe
@dreamhiker1109
@dreamhiker1109 2 жыл бұрын
Bangi tupu! 😂 Eti samaki MTU Yani uongo wake haina mpaka ....kama ni kweli anacho sema Mzee si wangeonekana na watu wengine pia?
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Hapo za waarabu ni stori zakale...
@exalttarimo5083
@exalttarimo5083 3 жыл бұрын
Samaki watamu ila balaa sanaaa
@MaphophosaMaphophosa
@MaphophosaMaphophosa 3 жыл бұрын
Mbona maerezo mengi boi
@mgenimohd7841
@mgenimohd7841 3 жыл бұрын
Kiukwel wavuvi wanapitia mengi wakiw kwenye shuhuli zao za uvuvi ilamongu yupo nao lkn laitan tungewashuhudia mazit wanay kumban nay bc tungewaheshm
@Livewithbobo
@Livewithbobo 2 жыл бұрын
Wanafanya yote kwa jili sisi tupaye chakula na wao pia wapate chakula na kuendelea na maisha kama kawaida so tusiwalaumu
@gracemackenzi.1711
@gracemackenzi.1711 3 жыл бұрын
Niulize kama majini wako kwenye bahari, inamanisha samaki hako salama kuliwa...
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Majini wapo hata Ziwani, bwawani, mtoni, barabarani, majumbani tunamoishi nk.
@bee9645
@bee9645 3 жыл бұрын
Majini ndio ufalme wao upo Bahraini, lakini hawana muda na samaki target yao ni binadamu. Akimuingia samaki tutamchoma jini na moto.
@leonardfrancisngwizakanyel1404
@leonardfrancisngwizakanyel1404 3 жыл бұрын
the story ya samaki mtu
@afandehassan1
@afandehassan1 3 жыл бұрын
Nauliza Grace anakuaga kwa guest ama
@khasimgange4213
@khasimgange4213 3 жыл бұрын
Kazi ya Allah
@kidundajuma9321
@kidundajuma9321 3 жыл бұрын
Duhu
@LOGOSNew
@LOGOSNew 3 жыл бұрын
Hao Waarabu walioshukia katikati ya bahari wakikuwa majini. Kwa kawaida majini hujitokeza Kama Waarabu. Kwa nini???
@ikabako2454
@ikabako2454 3 жыл бұрын
Kwa sababu ndio mmewazoea hivyo. Ila wapo weusi, wachina, wamasai na wa asili ambao sisi binadamu hatuwezi kuzitambua.
@ifitsnotwhynot7077
@ifitsnotwhynot7077 3 жыл бұрын
Real budger ni chakula au nini
@afandehassan1
@afandehassan1 3 жыл бұрын
Si chakula ni ugali
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Huyo jamaa aliosimama hapo anaharibu muondoweni..awache umbea
@yahyamohamed4862
@yahyamohamed4862 3 жыл бұрын
We bwana😂😂😂
@zammillunally4497
@zammillunally4497 3 жыл бұрын
Ni kweli anatoa use tu
@ummyproductnatural4512
@ummyproductnatural4512 3 жыл бұрын
Anajiwahi ku view live Mana huenda akakosa mb za internet 😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
@linuxlipawaga1696
@linuxlipawaga1696 3 жыл бұрын
Duuh
@suleimaniyasri2166
@suleimaniyasri2166 3 жыл бұрын
bila xhakaa nguva atakuwa jinii...mana x anawz kijibadilixhaa
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Nguva ni samaki ila hana umbo la binadamu
@hassanmkungile6021
@hassanmkungile6021 3 жыл бұрын
Hv mnao dislike hz tor mna nn nyie
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Mafia kisiwani
@saidimakame6523
@saidimakame6523 3 жыл бұрын
Uongo huu hakuna samaki mtu hizo ni hadithi tu za paukwa pakawa hapo kale. Hakuna sehemu yoyote duniani aliopatikana hai akaonekana kikweli.
@Rashid-sg2mw
@Rashid-sg2mw 3 жыл бұрын
majini huwa wanajibadilisha kuwa katika mionekano tofaut tofaut,inawezekana ni kwel lakn ni majini hao
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
@@Rashid-sg2mw umepatia
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Kweli nguva ni samaki wla sio m2
@agnessima5032
@agnessima5032 9 ай бұрын
Lake Chara Moshi.
@afropanorama4730
@afropanorama4730 3 жыл бұрын
kamba tupu
@ayoubissa977
@ayoubissa977 3 жыл бұрын
Kamba gani tena
@LOGOSNew
@LOGOSNew 3 жыл бұрын
Bahari ni makao makuu Ya Shetani. Viumbe walioko huko ni watumishi was Shetani. Hawajawekwa huko na Mungu!!
@kandakabiru2341
@kandakabiru2341 3 жыл бұрын
Sasa kiumbe chochote kisichofanana na binadamu ni shetani. Si nilidhani kila kiumbe kiliumbwa na maulana ama sivyo mnavyo ambia kwenye dini zenu.
@LOGOSNew
@LOGOSNew 3 жыл бұрын
@@kandakabiru2341 Mungu aliumba Malaika wakakaa naye mbinguni. Malaika mkuu mmoja akamwasi Mungu na malaika wadogo chini yake wakamuunga mkono, Mungu akawafukuza akawatupa chini duniani. Huyo Malaika mkuu ndiye alikuja kujulikana kama Shetani (maana yake Mwasi/Adui wa Mungu) na hao malaika wadogo ndio walikuja kuitwa majini (yaani viumbe wanaishi ndani ya Maji, ambao pia ni Maadui wa Mungu). Unapoambiwa kuwa kuna majini wazuri ni uwongo mtupu. Ni kama kuambiwa kuwa kuna wezi au wauaji wazuri. Wote ni wahalifu! Soma Biblia. ( Type kwa Google "Uasi Mbinguni" na utaona maelezo ya Biblia.)
@ummyproductnatural4512
@ummyproductnatural4512 3 жыл бұрын
@@LOGOSNew tatizo biblia imeandikwa baadhi ya maneno na watu , na utayapata haya pindipo kutakuwa na muhadhara wa waislamu na wakristo , kitabu pekee cha dini kilicholindwa na mikono ya watu Qur'aan
@mamohamed1252
@mamohamed1252 3 жыл бұрын
Kijana muuliza maswali excuses ni sababu siyo uzoefu, uzoefu ni experience yake. Usichopeke tu
@kelvinkipinge2273
@kelvinkipinge2273 3 жыл бұрын
P
@roshanwhite3215
@roshanwhite3215 3 жыл бұрын
Skiliza Kwa makini wew
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
@@roshanwhite3215 anakimbilia kukosoa wakati hajamsikiliza vizuri
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 15 МЛН
HIKI NI KISA CHA MOCHWARI/ MAITI ILIKATAA/ USHIRIKINA MZITO.
26:53
Dar24 Media
Рет қаралды 113 М.
Gucci almost went bankrupt. Then a hitman saved them.
11:12
Hook
Рет қаралды 2,9 МЛН
Rethink Mars: Why Going to the Red Planet Is Risky | Revealed!
22:35
JR STUDIO-Sci Talk Malayalam
Рет қаралды 514 М.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН