TULIBEBA MAITI YA MTOTO/MISITU YA MSUMBIJI/MAKABURINI KAMA TULIVYOZALIWA

  Рет қаралды 29,295

Dar24 Media

Dar24 Media

3 жыл бұрын

--
#Maisha #Mbanga #Kumbukumbuzinazoishi
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 61
@jumabillo4521
@jumabillo4521 3 жыл бұрын
Alhamdulillah sifa zote ziende kwa Allah mola wa viumbe, mrudie allah shekhe ally simama kiiman fanya ibada za usiku, mungu atakusaidia amiin
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 3 жыл бұрын
Allah akupe hitaji la moyo wako😍Ally
@mwanasaid4994
@mwanasaid4994 3 жыл бұрын
Pole Sana kaka wanasema hujafa ujaumbika
@sakinamarjebi2206
@sakinamarjebi2206 3 жыл бұрын
Pole sana kk kwa mitihani yote uliyo pitia m.mungu atakufanyia wepesi yote ayo m.mungu ndie mpangaji wa yote ayo uyo anae kukejeli akumbuke kuwa mungu niwetu sote alie mpa yy ndio aloekunyima ww😢
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 3 жыл бұрын
Nikweli my atamimi inaniuma sana watu ambao wanao wanyanyapaa walemavu😢
@mashakiabdulrahman3373
@mashakiabdulrahman3373 3 жыл бұрын
Mashallah mashallah Allah qareem ☺️
@evamringo2331
@evamringo2331 3 жыл бұрын
Pole sana Ally .. kaombewe kwa jina la Yesu utapona tu ...
@faizaboubacar5064
@faizaboubacar5064 3 жыл бұрын
Pole Sana Ally
@noeljosee8384
@noeljosee8384 3 жыл бұрын
Matangazaji anajitahidi sana...thumbs up, Pole zimfikie Ally...Mungu wetu ni mwema.
@alphakidadula8250
@alphakidadula8250 2 жыл бұрын
ui
@alphakidadula8250
@alphakidadula8250 2 жыл бұрын
up uut
@alphakidadula8250
@alphakidadula8250 2 жыл бұрын
UuUuuUt7
@alphakidadula8250
@alphakidadula8250 2 жыл бұрын
UUuU
@alphakidadula8250
@alphakidadula8250 2 жыл бұрын
Uuuu YUuuU
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
Da. Nimenjoy na nimefurahi. Kweli nyie wote ni waandishi kamili. Hii interview ni kiwango cha juu mno. Mungu awabariki. Somo limefika. Ila kaka anavituko sana, ntu powa sana kibabe zaidi.👑🙌🙌👍🏽
@khayraa7374
@khayraa7374 3 жыл бұрын
Alhamdulila... nothing is impossible under the sun ✊🏾❤️
@lirastanley390
@lirastanley390 3 жыл бұрын
Amen
@gharibislam1586
@gharibislam1586 2 жыл бұрын
Swadakta
@yushuaissa467
@yushuaissa467 3 жыл бұрын
Blind people have a very high level of sensitivity than people with eyes. Their other senses are very hightened.
@mjige9088
@mjige9088 2 жыл бұрын
Wonderfull man - kijana huyu ni shupavu na jasiri i wish him all the best mashaallah
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Mungu yupo ipo siku atakup hitaj lako Ally 🙌🙏
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Hujafa hujaumbika shekhe mola akupe umri mrefu wenye baraka nimempenda huyo kaka yuko very smart tujifunze kutowabagua walemavu
@babawatoto4312
@babawatoto4312 3 жыл бұрын
Hongera sana mtangazi wa kipindi hichi kwa juhudi yako ya kuijuza Jamii kwa udaku wako ambao sio wandishi wengi wanafanya juhudi ya kuwatafuta wanajamii ambao wamepitia changamoto mbalimbali za maisha ambayo sie wanajamii wengine tujue na tujifunze kutokana waliopitia wao. Endelea weye ni mtu muhimu sana.
@gharibislam1586
@gharibislam1586 2 жыл бұрын
Allah atakufanyia wepesi inshallah,wacha na mambo ya waganga, ALLAH ameleta Qur'an ndio dawa na shifa
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 3 жыл бұрын
Aisee Kaka ali nimempenda bure nahongr ndugu mtangazaji kwa kz njema
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
Pole san kaka Allah akusimamiye
@sixbertmichael7899
@sixbertmichael7899 3 жыл бұрын
nafuatilia vyema kutoka rockcity nakupata ....Mbaga dar 24
@bakbyzo5135
@bakbyzo5135 3 жыл бұрын
Tru story kw ally mm nmekuwa nae
@venitarugemalila3971
@venitarugemalila3971 2 жыл бұрын
Da!pole kwake kaka Ally,Mungu amponye ampe unafuu ktk kupambana
@lirastanley390
@lirastanley390 3 жыл бұрын
Pole sana sana ndugu n kuteleza si kuanguka
@Chemba67
@Chemba67 2 жыл бұрын
Dar 24 media .....kuna mshkaji kama mtapata muda mtafuteni ana simulizi nyingi mno za kibaharia ...........waweza nicheki
@kasimally5651
@kasimally5651 Жыл бұрын
Jina la mwanangu kipenzi mungu amjalie amen
@deusdedithkitaly8337
@deusdedithkitaly8337 2 жыл бұрын
Pole Sana kaka ally piga kazi
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 жыл бұрын
Usikate tamaa kunasikum/mungu atakusaidia pole sana ndugu
@deusdedithkitaly8337
@deusdedithkitaly8337 2 жыл бұрын
Aisee unajielezea vizuri Sana
@user-nr1bf7iu8z
@user-nr1bf7iu8z 3 жыл бұрын
Shukran mungu akupe nguvu naafia
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Mungu awahifadhi na hali yenu irudi kama mwanzo, Na ukitokelewa na maradhi yasiofahamika waganga watakavyo wadaganya!!! Kiasi kuwakufurisha tu. Yarabbi salama.
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@godfreygeraldmtamani9958
@godfreygeraldmtamani9958 Жыл бұрын
Mbona story haikuendelea alipoishia pat 1 na yani pat 2 mtangazaji unaongea vitu ambavyo ata sio mwendelezo Na mbona uyo jamaa wa pili ujamuhoji aendelee alipoishia baada ya kumuacha mwenzake nini kiliendelea??? Mtangazaji umearibu hii stor 😢
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 2 жыл бұрын
Atarii mungu awafanyie wepesi
@rahiminamsangi8558
@rahiminamsangi8558 3 жыл бұрын
Big up ally jamani andika namba yako nikucheki ni siku nyingi toka msasani msalimie maulid nimewamis sana
@janethdavid4577
@janethdavid4577 Жыл бұрын
Ali jamn....😭pole san
@tranchescoanthony2509
@tranchescoanthony2509 3 жыл бұрын
MUNGU MKUBWA,,,Jali kila mtu tusibaguane mana majira na nyakati za MUNGU zipo maalumu kwa ajili yetu.
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 3 жыл бұрын
Hahaha ally umenchekesha sana eti we jamaa mbaya sana kama cabayser
@vivicagreco7767
@vivicagreco7767 Жыл бұрын
Huyo anauwezo WA kupona haraka sana
@pauldaney950
@pauldaney950 3 жыл бұрын
Pole kak
@vivicagreco7767
@vivicagreco7767 Жыл бұрын
Ukiwa na tatizo,,, na ukaliweka kichwan mwako kuwa it's over haliwezekani,,, ATA ukiombewa na viboko ni ngumu kupokea ,,, especial nyie watu hamuamini YESU KRISTO
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 3 жыл бұрын
Ally pole nitafte maana haya macho yatapona
@asmamohamedidi585
@asmamohamedidi585 3 жыл бұрын
Ikisha mtu anasema hamna pesa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Huyo bado hajazinduka huyoo, si unasikia uongeaji wake anavyochanganya Madawa?
@yushuaissa467
@yushuaissa467 3 жыл бұрын
These paranomal stories are VERY common in your region. The PROBABILITY of a photographic evidence should be VERY high. But, all the years, there is none. I hope you understand my doubts.
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
Kumbe unaelewa kiswahili, sisi waswahili bwana mzee.
@simbabbq4427
@simbabbq4427 Жыл бұрын
Kumanina kipofu muuwaji hatapona na mwisho motoni
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 жыл бұрын
TB Joshua anaweza
@jeskapeter6553
@jeskapeter6553 3 жыл бұрын
Mungu Ndiyo anaweza siyo bwana joshua iman potofu
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 жыл бұрын
@@jeskapeter6553 ni kweli lakini Mungu anatusaidia kupitia wapakwa mafuta wake! tangu zama za kale! na ndiyo maana kwenye Biblia aliwatumia mitume manabii na makuhani , waponye wabatize wafundishe na kadhalka na kadhalka!
@jameskasela3046
@jameskasela3046 3 жыл бұрын
Kweli nakumbuka old moshi hiyo.shengena 24
@lovenessrobert9815
@lovenessrobert9815 2 жыл бұрын
Huyo TB joshua ndo MUNGU kwann mnaangamia kwa kukosa maarifa pole sana
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 21 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН
wazamiaji South Africa based on true story beyond their daily life!
18:06
OutComE video assist TZ Rigging vehicles Africa
Рет қаралды 25 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 21 МЛН