NIMEAMUA KUACHA KAZI MAREKANI NA KUJIAJIRI

  Рет қаралды 14,818

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

2 жыл бұрын

Nieamua kucha kazi niliyokuwa nimeajiriwa. Sasahivi nimejikita kama Full-time KZbinr and Consultant
Website www.ebmscholars.com
E-Mail ebm@ebmscholars.com
Business WhatsApp +1 913 687 8922
Ernest B Makulilo
EBM SCHOLARS, LLC
Missouri, USA

Пікірлер: 77
@deneagrofarms5884
@deneagrofarms5884 2 жыл бұрын
Hongera sana! Nakutafuta kiongozi. Ningependa sana kupata interview na wewe juu ya ninachokifanya ili kuweza kuwapa motisha/chachu vijana waweze kupanua mawazo yao katika maisha na wakaweza kujiajiri
@mwalimugoogletv3738
@mwalimugoogletv3738 2 жыл бұрын
Usisahau kutumia external microphone kaka ilitukupate vizuri kwenye interviews zako.mfano hapo sauti imekuwa down kidogo ila nimekupata.but professional. External mic sound better.
@alloicesidika5044
@alloicesidika5044 2 жыл бұрын
All the best Sir. I've watched almost every all of your videos. I'll check your website
@harounrashid3206
@harounrashid3206 2 жыл бұрын
Unafanya vizur sana kaka kwa kusaidia watu
@MEC020
@MEC020 Жыл бұрын
Safi Sana wa nyumbani. Ni ujasiri mkubwa Sana. Vijana wanaogopa Sana kujiajiri. Unatufundisha mengi.
@festondile1393
@festondile1393 2 жыл бұрын
Kila la kheri brother,Mungu akufanikishe zaidi
@mastaatech9908
@mastaatech9908 2 жыл бұрын
Tunasubiri urudi likizo tuendelee kupata huduma zako Kiukweli unaonyesha njia Mungu akulipe ujira wako
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Hongera sana EBM
@amazingadventures.8019
@amazingadventures.8019 2 жыл бұрын
All the best big brother.🙏 I am following your footsteps 👣.
@upendomamuya7238
@upendomamuya7238 2 жыл бұрын
Hongera sana, Sasa tupo na wewe KZbin mwanzo mwisho
@mckinyange5122
@mckinyange5122 Жыл бұрын
Hongera sana bro!! Karibu sana Kigoma!!!
@muksinyusuph5981
@muksinyusuph5981 2 жыл бұрын
Shukran kaka
@mbekewambeke9305
@mbekewambeke9305 2 жыл бұрын
Yes tupo together bro
@shinshi9696
@shinshi9696 2 жыл бұрын
Kila la kheri kaka kiongozi, karibu sana Canada
@richwest85
@richwest85 2 жыл бұрын
Hongera kaka.
@sixmundstephen8042
@sixmundstephen8042 2 жыл бұрын
Thanks
@TheJamaa001
@TheJamaa001 2 жыл бұрын
iko shida ya sauti.
@jacklineeustack9352
@jacklineeustack9352 Жыл бұрын
You are doing a great job Kwa kweli, I wish I knew you five years ago
@grandmaempiresecret
@grandmaempiresecret 2 жыл бұрын
Mashaaaaalaa mungu akutangulie 🙏
@simonoganga9535
@simonoganga9535 2 жыл бұрын
Kila la heri Prof. Makulilo
@garikiganjani9163
@garikiganjani9163 2 жыл бұрын
Hongera sana,,,Nasisi Tunafata #garikiganjani
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Wazo safi mkuu
@YaNoah-Congo-Bongo
@YaNoah-Congo-Bongo 2 жыл бұрын
Habari ndugu endelea kukaza buti, niko California kwa miaka 11 sasa na ninakutafuta kwa jailli ya maswali kadhaa. Nimekutumia ujumbe na email na number ya sim kweny linkedIn. Asante kwa kuendelea kutoa mchango wako wa mawazo kwaajili ya ndugu zako.
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 2 жыл бұрын
Yanick unaweza kunipatia emails
@YaNoah-Congo-Bongo
@YaNoah-Congo-Bongo 2 жыл бұрын
@@kwzjkwz3532 Nimetuma Namba ya sim na emails zangu kwenye message ya account yako ya LinkedIn kwasababu ya privacy.
@kariakooTv
@kariakooTv 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubariki
@giftkelvin7
@giftkelvin7 2 жыл бұрын
All the best sir
@hamidkhamis4326
@hamidkhamis4326 2 жыл бұрын
Naomba kukuliza Ile Kaz ya ujeshi bdo unafanya
@TheAlman
@TheAlman 2 жыл бұрын
Safi sana kaka
@nicholaskoech3447
@nicholaskoech3447 2 жыл бұрын
Mnafanana sana na albert chalamilla,anyway Goodluck.
@barakalema7274
@barakalema7274 2 жыл бұрын
All the best kaka, good Job
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 2 жыл бұрын
Akili kubwa sana
@joniajohn4716
@joniajohn4716 2 жыл бұрын
Hongera sana bro
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life 2 жыл бұрын
Wow ahsante sana na Mungu akuwekeye wepesi kwenye maisha mengine unayo aanza Ahsante tena kwa nguvu unazo tumia ili utupe elimu zaidi ✊🏿
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Nashukuru sana
@luxurlyfxtyle5738
@luxurlyfxtyle5738 2 жыл бұрын
Safi
@hezzyhezzy
@hezzyhezzy 2 жыл бұрын
Safi, nami muda sio mrefu naenda kuwa full time youtuber. Ila nahitaji kupata viewers kutoka huko ili cpm ikae vizuri
@abidayusuph6642
@abidayusuph6642 2 жыл бұрын
Kuja huko kwahitaji vigezo gani
@giltaemi4017
@giltaemi4017 2 жыл бұрын
Waiting for the part 2 of a truck driver in Marekani. Nasubiri kaka
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 2 жыл бұрын
Kila la kheri kaka salimia familia pia tunaomba taarifa zaidi kwenye paid internships please kama nikija USA nitakujulisha mkuu InshAllah
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 2 жыл бұрын
Angalia chini ya video kuna contacts zake zote , wasiliana nae kabla hujasafiri .
@rayuoililian8712
@rayuoililian8712 2 жыл бұрын
God's favour is your portion. Asante mungu awenawe following from kenya
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Amen!
@garruwsuntilibreaththislif3681
@garruwsuntilibreaththislif3681 2 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI Mr boniphace tafadhari naweza kupata namba yako ya what's App nahitaji kuwasiliana na wewe Kama itakupendeza tafadhari
@mishaelmusiba305
@mishaelmusiba305 2 жыл бұрын
Nipe kazi ya kuedit video japo mimi niko Tanzania lakini niko vizuri
@bebick3724
@bebick3724 2 жыл бұрын
Tupo pamoja mkuu, tupige kazii
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Asante
@kalamustudio
@kalamustudio 2 жыл бұрын
Tuko pamoja kamanda
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 2 жыл бұрын
jamani mimi sipendi kuja marekani napenda Turkey kwa ajili ya biashara je nafanyaje niweze kuishi Turkey kihalali
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Sheria za Turkey sizifahamu sana kwa kweli hasa jinsi ya kuwa permanent resident
@upendotv6267
@upendotv6267 2 жыл бұрын
Me too
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
​@@EBMSWAHILI jamani kaka mimi natamani hata kupata kazi ya kuosha vyombo majumbani ilimladi nikwamue kimaisha
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
​ Hali ni ngumu sana wazazi wananitegemea naomba nitafutie hata kazi ya kuosha vyombo nitashukuru
@omaniomani643
@omaniomani643 2 жыл бұрын
@@EBMSWAHILI nataka mume mzungu nitafutiye
@chev6115
@chev6115 Жыл бұрын
God bless you brother
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Thank you
@hildapaul5422
@hildapaul5422 2 жыл бұрын
Sauti mdogo jitahidi kuongeza sauti
@jenifferiregi7903
@jenifferiregi7903 2 жыл бұрын
Why.?
@boazyandwele8774
@boazyandwele8774 2 жыл бұрын
Kama auna elimu unaweza kuomba na ukafanikiwa? Elimu yandu darasa la saba
@crispasmwase9188
@crispasmwase9188 2 жыл бұрын
EBM naomba utengeneze video kuhusu kushinda DV lottery alafu unafamilia ya watoto wadogo wanatakiwa kwenda shule vip utaratibu wa kuingia shule na gharama zake AT ALL nakupongeza kwa nondo unatupa.
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Shule ni bure kuanzia kindergaten hadi high school. Kikubwa uje na vaccination records zote na wakiwa kwenye age ya shule wanakuwa enrolled.
@hamidkhamis4326
@hamidkhamis4326 2 жыл бұрын
Hello bro
@kingmartin4924
@kingmartin4924 2 жыл бұрын
Kaka nahitaji msaada wako na yule jamaa wa trucking driving pia natamani ni jaribu hiyo kwanza @ebm
@ludobudege1662
@ludobudege1662 2 жыл бұрын
unajisifia kuacha kazi mmh! hatari aliyekushauri kakosea sana au unawadanganya ndugu,jamaa na marafiki wasikupige mizinga nini
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 2 жыл бұрын
Unafikiri kuajiriwa ni deal? Ni utumwa ndg yangu, basi tu.
@bebick3724
@bebick3724 2 жыл бұрын
EBM Scholars, Tayar ime lsha Anza kutoa huduma na kwa upande wa Canada for temporary permit!!??
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Kuanzia August. Next week naenda likizo kwa 45 days, nikirudi USA ndio ntaanza hiyo huduma
@AzariEliakimAcademy
@AzariEliakimAcademy 2 жыл бұрын
Ninakutakia mafanikio katika safari mpya uliyoianza.
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 жыл бұрын
Asante
@leonidacedavid2121
@leonidacedavid2121 2 жыл бұрын
Nikutakie kila la heri wakati mwingine tunatakiwa tuishinde hofu ni maamzi magumu lakini yana maana yake
@astne8929
@astne8929 Жыл бұрын
Hi
@gracemapunda9133
@gracemapunda9133 2 жыл бұрын
Kila la kheri ebm,unafanya vizuri.na je gharama za consultation inaweza kuwa kiasi gani generally?
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 2 жыл бұрын
Click chini ya video kuna contacts zake , mtafute huko .
@jobmaclean5382
@jobmaclean5382 2 жыл бұрын
Why u don't want to answer SMS on what's App
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 2 жыл бұрын
Mwezi wa August ndipo ataanza rasmi , Kujibu , yuki likizo ndefu . Whatsapp , emails and website .
@africanproudtv7652
@africanproudtv7652 2 жыл бұрын
Nikikutumia sms Whatsapp hazifiki
@africanproudtv7652
@africanproudtv7652 2 жыл бұрын
Nikikutumia sms Whatsapp hazifiki
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 114 М.
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 10 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 11 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Mfumo wa Elimu ya Tanzania na Afrika
53:15
EBM SWAHILI
Рет қаралды 6 М.
Acha Huu 'Upumbavu' Kwenye Fedha.
5:44
Dr. Makirita Amani
Рет қаралды 446
FIKRA YA KUJIAJIRI KWA VIJANA
5:53
islamicftz
Рет қаралды 10 М.
CHANGAMOTO NINAZOPITIA .... SORRY EVERYONE.... I WILL BE BACK
56:53
KUPATA VIZA YA MAREKANI: MASWALI NA MAJIBU
1:59:53
EBM SWAHILI
Рет қаралды 4,2 М.
NIMESHINDA DV LOTTERY MWAKA JANA NA MWAKA HUU
5:06
EBM SWAHILI
Рет қаралды 4,5 М.
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 10 МЛН