Nungari si mungu akubariki nauweke children's home ua such agood mother nakupenda sana well wishers I think we can support her
@janemwangi6053 ай бұрын
Thanks nungari kwa kujitolea kusaidia, na kuweza KUFIKA huko kwa shosho. Mama John hayuko Sawa, she have depression and she needs to be treated. At the same time huyo mchana mwingine anastahili matibabu ya haraka na pia yy hueda yuko depressed. Mungu wewe ulisema hutawaacha watu wako wakihangaika, please God remember this family do something to them AMEN.
@Njeri243 ай бұрын
Ata kwa cucu hajakaa poa vile kuishi na John aki, maa nûngari korwo no ûcangithie we can stand with this boy kaende ata kama ni boarding school, akifunga anakuja kwa cucu siku chache…. I wish God to bless me niwe niki saidia this kind of kids aki
@cathrinegitau94073 ай бұрын
Very true
@CynthiaWanjiru-f1b3 ай бұрын
True
@musakei24723 ай бұрын
True
@lynnmwangi19233 ай бұрын
Thanks mom Nungari kwa kuvisit this family with kashopping ,may you never luck
@ruthkibue3 ай бұрын
Nungari is a vibe😂 always simatii🎉 let us help this family with a house 😊
@VeronicaDunbar3 ай бұрын
Ana nguo smart.
@alicemumbi75853 ай бұрын
Kamau is Soo Mature and humble May God see him through 🙏🙏🙏
@teresakimani58923 ай бұрын
Njambi ndakaneo John. Atampiga ya mwisho na kumuua,so pls,Nungari don't give back that boy to that mother.Hspo kwao kuna curse,try to break it with prayers. God bless you Nungari.
@nonig88163 ай бұрын
Aki huyu shush ni mfunny😂😂😂. Aki Mungu aongezee huyu shosh miaka. Amejaribu sana❤ Aki God just have mercy on this family and bless them🙏
@MageeSheperd3 ай бұрын
Ablaziz got me 😅😅😅,,,,,,,,bt nabo mengine ni spiritual sana..
@rosendunge42173 ай бұрын
😢😢😢hii imeniuma walahi..ati ulee watoto kisha uwalelee watoto wao then watoto wa watoto wao..aiii
@liliangitau19943 ай бұрын
Imagine
@maryamk76002 ай бұрын
It's a chain na haiwezi malizwa na maombi...kuna traditional steps za kumaliza,,coz hii familia iko na alot of things zinaebdelea kwa life zao. Ata vile huyu shosh aliambiwa asiolewe, izo words zitaishi kujirudia kwa watoto wote wanaitwa kama yeye...ata huyu ameolewa, probability sio ndoa ya kudumu
@Beliers3 ай бұрын
Huyu mama ni hero❤❤❤
@WinnieMobil3 ай бұрын
Ngai witu ririkana nungari muheyage hinya akahota gukinyagira aria mahinyikiriire in Jesus name Amen Amen Amen ❤❤❤❤❤
@shiimi-p7f3 ай бұрын
Cucu is in pain,much love mum good job Ev Mercy 🙏🙏
@ruthkaruru86623 ай бұрын
Mucii uyu niukwenda mahoya huyo msichana WA mwisho wee😭😭😭😭😭😭😭 mungu amukumbuke
I lv yr Dress Madaam Nungari n yr work!! Kip up.. God will reward u...Amen
@nancynjambi23423 ай бұрын
Mungu kumbuka njambi pia coz kunakitu inamushumbua aki
@glorioussue94893 ай бұрын
Nungari let me stay with John...if possible..
@gw77683 ай бұрын
..who are you?
@carolinewanjiru1423 ай бұрын
Na vile huyu njambi anaanguka ni mrembo,jameni mungu kumbuka hii familia
@marymuthoni2843 ай бұрын
Epilepsy can be controlled by medication and she can live a normal life. She really needs help as for John. I think cucu aki jengewa and also get financial assistance she can stay with John. The best place to bring a child is where he/she knows the family and environment. He is also happy to stay with cucu. It’s best to build a big house for cucu.
@angel.----3 ай бұрын
Khaii imagine shosho maitu amefanya kazi nzuri
@carolinewanjiru1423 ай бұрын
😅😅cucu ni funny aty abdul aziz
@Grace-p2u3 ай бұрын
Onaniii gwakwa ndikeda Ngai akireka kugie duriri nyingi na mitugo na undire o wandu nioi andu makururanie na ao ,anyway sisi tulikanywa na guka baba sio ukabila lkn culture differences are eating families na inyui guku no deliverance lol
@liliangitau19943 ай бұрын
Shosh amefanya nicheke abdul
@alicemumbi75853 ай бұрын
Wooi Mwathani....Ino family ikweda mahoya ma deliverance... Shush is very sharp and wise...she is soo hardworking and should have peace at her old age now.... Mwathani igua tha😢😢😢
@janemwangi6053 ай бұрын
NGUGI WA KARANJA UKO WAPI UUUUIII HURUMIA HII FAMILIA TUWANJENGEE NYUMBA AMBAO WATAWEZA TOSHEA WOTE SHOSHO AACHE KUHANGAIKA.
@Njeri243 ай бұрын
This cucu need peace of mind amefanya kazi yake na wata mkill na stress za hawa watoto…. This cucu need to stay alone aki pata nyama 1/4 inamtosha aki but see the condition mpaka bed hawezi lala pekee yake aki at this age Ngai igua thaa
@leahngugi23683 ай бұрын
Woooii cucu 😢😢😢 blessings and many years to live
@mariabekki93613 ай бұрын
Childhood traumas are real and that is what Njambi is going thru'. Let's not be quick to judge people without knowing the root cause of their problems. Maybe Njambi had gone through a lot as a child and the only thing that understood her well is that "anger" Shosh has mentioned about. I am sure if Njambi can see a counselor she'll get well and be able to move on with her life. In the meantime, John can be taken to a boarding school as we deliberate on the way forward. Ev. Nungari, pls share a playbill where we can send whatever available so that John can go to a boarding school. Epilepsy is manageable if that other gal can get treatment/ Medication. Shosh has done a commendable job and I believe she also needs some assistance.. Let's continue praying for this family, they need God's intervention.
@LeahNduta-xk7bd3 ай бұрын
Ata huyo msichana tumshugurikieni tu,ju ata inaweza kuwa na depression,ju ata Mimi Niko na depression na hakuna kitu nafikiliaga ata sijuagi uzuri wa maisha
@lynnmwangi19233 ай бұрын
True cause hata hajawai pata love ya parents then Hana job stable ,wish she can get help 😢
@bethkinya36233 ай бұрын
Ata ww unataka usaidiwe
@esthernjerikimani3 ай бұрын
Cucu,nungari....good one👏👏👏👏asipiwe mtoto!
@SusanWanjiku-h4w3 ай бұрын
Hii jambo ni ya kujirudia rudia wanahitaji maombi sana
@doreenshii5633 ай бұрын
Kazi safi maitū ubarikiwe
@gracenjenga63803 ай бұрын
Nungari i notes huyo mtoto mdogo alikuwa anakula vizuri na kukunywa yoghurt, mean huwa hapewi chakula za kutosha, huyu njambi hawezi lea watoto chukuwa john but ata huyo mdogo hana malenzi mazuri
@bethnganga91353 ай бұрын
Nungari u are chozen may God bless you mum
@PurityKarimi-mq5ue3 ай бұрын
😂Nungari God bless soo much help that boy
@celinanjoroge3 ай бұрын
Wee micii ni ndogo.....ngiciria njambi nogukoro niari depression
@lucymwangilucy16263 ай бұрын
God bless shosh na amuweka maisha marefu
@susanbiermann69313 ай бұрын
Ngai witu akurathime muno Eva Nungari, niundu wa tha iria ukoraguo nacio.
@josephinewanjiku87103 ай бұрын
God bless Mercy Nungari for the good job she's doing bless the work of her hands in Jesus name we pray
@WinnieMobil3 ай бұрын
Uuuuuiiiiiiii maii nungari ona cucu waoo ndiguiciria niekuhota todu cucu onake enamathina
@patriciamuenimulwa18083 ай бұрын
Cucu hataki nduriri ...kuna vitu zingine huandamana na shida na umaskini.Good Nungari corrected her.
@gracenyoike72673 ай бұрын
Waah sad story, hii ni kitu inajirudia, watoto wake wote wanazaa na kukataa majukumu ya watoto.Waombee sana
@angel.----3 ай бұрын
Huyu msichana first of all,ako na pride secondly she's not sick juu unaona hadi anatafuna hata heshima hana...asipatiwe John Wacha aende na huyo mdogo akiskia atamkula amkule
@Bangala7733 ай бұрын
❤😂😂eti akiskia kumkula amkule
@angel.----3 ай бұрын
@@Bangala773 eeh aki mtu anaezakasirika
@ceciliawambui-v1i3 ай бұрын
Aki shosho Mungu akubariki,harafu huyo ugojwa mnasema ni kibaba apana,chunguzeni kutoka nyumbani
@ceciliawambui-v1i3 ай бұрын
That chain of not caring for their children must be break out
@pheridhiDan3 ай бұрын
Huyu dame ako na childhood trema,she also needs counselling coz ata huyu mdogo pia anadeserve the best
@nancyhiuko7133 ай бұрын
Woiye such a handsome boy
@catherinenjenga29713 ай бұрын
Nungsri may God see you thru n kp up the gd job👏
@KahiksKahiks3 ай бұрын
Woie, mwana na nii wakuu😢😢😢 Alafu hamkupea kanyau chakula😃😃😃
@ruthgithii60953 ай бұрын
Ata haka kadogo is in a big serious problem and anateseka ni vile hawezi jieleza so when considering how to help John let’s also think about the little baby before he gets crippled for ever.
@leahngugi23683 ай бұрын
Cucu love's John ❤😢
@maggyirunguofficial29963 ай бұрын
😭😭😭 this girl with epilepsy has touched my heart...has gone through alot...Mama Jonh pia najua amepitia mengi I speak God intervention over this family 🙏🙏🙏
@Grace-p2u3 ай бұрын
Alikuwa anataka ku arbort
@Homeiskenya2543 ай бұрын
Looks like generation thing going on, may njambi get help ,and john may he get a loving family
@liliangitau19943 ай бұрын
Madam Nungari kindly huyu mama woiye ajengewe hao
@MaggiemugoNjabini3 ай бұрын
Aki ona venye hawa watoto wanapendana shetani n mbaya sana😢
@EuniceMwangi-i1n3 ай бұрын
Now i know why kids are getting successful wanakataa wazazi wao.... some wazazi wako na tabia mbaya sana ya child neglect!it's becoming a habit to many. The boy needs to be rescued failure to which he will run to the streets 😢
@annenjuguna78593 ай бұрын
Muiritu ucio ni munini,Ngai aromuteithia eigue maa
@mercynims30203 ай бұрын
Ama alirapiwa akazaa john
@allthingsexplained42943 ай бұрын
I think so 😢😢
@elizabethnyaguthii61613 ай бұрын
Cucu are heroes
@carolinenjokikangangi52642 ай бұрын
Kana njambi niwa kindukuru anakula chakula na mtoto mdogo hajakula,,huyu hana love na watoi wake
@sarahwamboko20413 ай бұрын
Akii poverty ni kitu mbaya akii look huyu cucu na Idah odinga same year cucu uishi na uishi na ubarikiwe na kizazi chako.
@MaryKariuki-m2p3 ай бұрын
Cucu anapenda john sana
@AnnAnn-i4x3 ай бұрын
Yani anakula huyu dem nahawezi chukua katoi akarishe
@joyfrance5653 ай бұрын
She is very light. They need to get their babies. That’s wrong for this mum.
@MageeSheperd3 ай бұрын
Tiganai na njambi woiii kuna kitu inamsubua,,,vile mamake alimuacha,,,,,,labda ako na bitterness ya mamake labda tena akapitia something ,,no,no no,,,this gal need kuongeleswa,,,,,
@TabbyKimuhu3 ай бұрын
I second you coz sioni vile mtu anaweza chapa mtoto wake akiwa sawa
@doreenshii5633 ай бұрын
Hakuna bitterness hapo my😂dear,niguturika,pia sisi tulilelewa na shosh mama akiwa mtaa na tumeishi vizuri bila stress na sasa hivi tunalea watoto wetu
@wanjiruwanganga57073 ай бұрын
@@doreenshii563hata anafaa kumpenda zaidi
@doreenshii5633 ай бұрын
@@wanjiruwanganga5707 walahi
@MageeSheperd3 ай бұрын
@@doreenshii563 ,,,mimi naona kama alifanyiwa kushikwa na nguvu dio akapata hio miba ya first born aky,,,,,aai tena vile shushu alisema,,akishikwa na hasira anakaa wazimu,,,,,apo iko kitu ni vile huyu gal hunyamaza dear
@NaomiGikwa3 ай бұрын
Ano nyumba nirenda mahoya Nungari
@lucykagoru60603 ай бұрын
Nungari,huyo Hana Njambi mwenye seizure anafaa tu aone specialist,na kama watu ingewezekana wasimpatie stress,woooishe
@gracewaithira25123 ай бұрын
God have mercy on this innocent baby boy.
@carowanjohi32373 ай бұрын
Lets help this family nq njambi asipewe mtoto
@catewaweru97733 ай бұрын
Did you guys note something funny?? Imagine you as a mother unakula even without minding your kid... Shame on this woman
@margaretmungai58453 ай бұрын
Cucu uciu niwe watutumagira nguo gikuni
@rosamariewanjiru86592 ай бұрын
Ata mimi nimemkumbuka. They are from kabocha village. A place of very hardworking people blessed with fertile land and plenty of water. Nobody should go hungry there. Mboga na mayai percentage kubwa ya kenya inatokanga hii kijiji
@denamimms3 ай бұрын
Njambi ndakaneo mwana thaa ici ,eke mwana aikareee mokoini ma nungari enda kuona mwana niarithiaga kumwuona
@margaretikua20723 ай бұрын
Aki shughulikieni ata huyo anaanguka please 🥺❤️
@rosamariewanjiru86592 ай бұрын
Njoki rejects john because he's a result of defilement. She needs mental support too.
@WinnieMobil3 ай бұрын
Nungari niugiaheana namba ya muiritu ucio mundu wawrndi muega noamungurire ndawa
@janengina-be7ln3 ай бұрын
Wuii,Nungari ata Nimelia aki usiache huyo Mtoto uko aki
@paulinengimam3 ай бұрын
Koki ako roho safi❤
@RachealWanjiru-c9g3 ай бұрын
Sana mungu ambless❤
@Kenyanomad3 ай бұрын
Njambi stop chewing especially when a serious matter is going on.. inaonyesha dont care attitude 😊
@wanjiruwanganga57073 ай бұрын
Saa huyu mtoto akikua mkubwa aone hizi picture ataambia mamake Nini 😢😢😢
@PatrickMwaniki-o5y3 ай бұрын
Even the girl might have depression and maybe she was not willing to have that baby at that early age....she needs help to accept that boy.
@rosamariewanjiru86592 ай бұрын
Ukiskiza story vizuri, she waa raped by a man who found them after the mother abandoned them. Maybe that's why she rejects john
@MaryNgigs3 ай бұрын
Dont blame njambi labda hayuko sawa,,,aperekwe mental checkout
@tracysonia923 ай бұрын
i love how shosh speaks, nungari help john leave her mum out of johns life.....she is not serious. until she comes to her senses
@lynnmwangi19233 ай бұрын
Aki hapo penye umesema njambi apate time na mtoto wake mdogo it true last time kwa previous video huyo mtoto alikunywa yogurt ni kasituka look now the way he's eating mukimo,aki njambi please if you will read this message pea mtoto wako time
@Jedida-zs5fp3 ай бұрын
Give me the small boy John please
@rizmwash97153 ай бұрын
Nungari nipatiwe huyu John nikae na yeye nimempenda sana
@zippyanacret8663 ай бұрын
Hope if u r able u can follow ...ata Mimi naweza taka bt now siko poa this is sad ...
@susanngugi24893 ай бұрын
This cucu also need help
@roxannesheemwangi34253 ай бұрын
GOD have mercy
@liliangitau19943 ай бұрын
Huyu mwingine Mungu amponye she's nt ok to she need counseling too n the way they're btiful
@KagweNduta3 ай бұрын
I know this family all through
@rosamariewanjiru86592 ай бұрын
What happened to the other older njambi who was retarded Back in the 1990s? I remember her tukiwa nyathuna nursery . Hakujua kuongea vizuri na but this cucu used to care for her
@abigalchege27113 ай бұрын
Haiya I know this cucu
@liliangitau19943 ай бұрын
Huyu hayuko poa either she's depressed ama anatumia kitu apelekewe counseling hiyo kunyamaza sio ya ukweli ata kuua anaweza
@bilharwambui20353 ай бұрын
Ata uyu mtoto mndogo wa Njambi hayuko Kwa mikono mizuri.ata Njambi afya Sio mzuri maybe food pia Hana.
@janewangari61093 ай бұрын
Huyu mama adabu haskii wanaomba,anafikilia chakula tu,shidwe
Hii screen inaboo ata mtu haelewi mwenye anaongelelewa juu hatumuoni 😮
@melisamburu12153 ай бұрын
Cameraman ako na upuzi
@testzoutune11913 ай бұрын
KUSEMA UKWELI NUNGARI HUYO MTOTO HAFAI KUKAA NA HUYU CUCU CHANGISHA MTOTO AENDE BOARDING SCHOOL PLEASE WAKIFUNGA SHULE AKAE KWA CUCU BUT UWE UKI MONITOR
@wahumwangi19113 ай бұрын
She could be the like that akikasirika hajui anafaa kupeleka the anger to who..thats why she ends up beating up her own kid that way...Its sad
@FunnyBorderCollie-qt4wq3 ай бұрын
Mschana ako na shida tangu utotoni don't blame her asaidiwe roho ya rejection huwanga inafuata mtu,waperekwe,mambo please
@zahraibrahim12163 ай бұрын
Those girls got childhood traumas caused by rejection and abandonment from their mothers .they need therapy to heal they have no ability to love their own kids due to rejection. They having these kids looking for love in the wrong places. Very damged and broken kids
@TabithaWangeci-k1v3 ай бұрын
Ika ugwo cucu auga thii na mwana
@mercimerci95403 ай бұрын
Sasa jambi baada utafutie cucu wee unaenda kumtafutie watoto
@CatherineMwaniki-jw9ni3 ай бұрын
Si huyu Njambi apelekwe mental hospital maybe she has something bad in mind.Wooiye growing without a mother,it painful.Better akure hapo ata kama ni kiwete mnamona.