NJIA 6 ZA KURUDISHA HESHIMA KWA WANAOKUDHARAU.

  Рет қаралды 21,578

Lazaro Samwel

Lazaro Samwel

Күн бұрын

Umeshawahi kuumia kwa kudharauliwa kwa hali ambayo unayo,hebu tazama video hii siku ya leo na utanishukuru siku moja.
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "Lazaro Samwel"
• Angalia Video Hii Enda...
~-~~-~~~-~~-~

Пікірлер: 54
@hillaryaugustine7141
@hillaryaugustine7141 5 жыл бұрын
Hakika nimepata kitu, thanks allot broo,god bless you,unakuta mtu mnafanya naye kaz lkn ukijishughulisha na Mambo mengne inayokuingizia pesa ukifanya kosa kidgo Ni kukoromeana kisa wivu tuu.
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 5 жыл бұрын
Shukrani sana ndugu kwa kusikia hili kutoka kwako....uzidi kubarikiwa sana na usiache Kualika na wengine pia katika channel hii🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@julianahermes1061
@julianahermes1061 4 жыл бұрын
Tumekuelewa sana endelea utuhabarisha
@meshackngadango6855
@meshackngadango6855 18 күн бұрын
Good work keep doing!
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 16 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@khammykisenga1364
@khammykisenga1364 4 жыл бұрын
Safi sana, hii kitu ilinitesa sana nilipokuja kugundua nikapuuza na mm nikaona kawaida tu.
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 жыл бұрын
Naimani sasa utakuwa umejifunza kitu cha kufanya
@shimenikavira6431
@shimenikavira6431 4 жыл бұрын
Unasema mzuri kaka Mungu akuzidishie maarifa🙏🙏
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 жыл бұрын
Shukrani sana,ubarikiwe pia
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
kweli kabisaa Coach, be blessed.
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 5 жыл бұрын
Karibu sana,ubarikiwe pia
@JoyceHaule-o7b
@JoyceHaule-o7b 4 ай бұрын
Safi sana
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 ай бұрын
Tupo pamojab
@nickynickson1200
@nickynickson1200 2 жыл бұрын
Hakika mimi nlikua nayafanya haya yoteee kabla ya kukutana na hili somo na ukwl n kuwa yanafanya kazi sana haya mambo yoteeee nmefurah sana kiukwli
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 2 жыл бұрын
Nafurahi umejifunza
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
kweli kabisaa Coach, be blessed.
@herimailo5350
@herimailo5350 Жыл бұрын
Brother. Asante maana saiv ndio kipindi ninachopitia.
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 8 ай бұрын
Ahsante nimejifunza kitu kaka kutoka kwako. Mngu akubariki❤☑️🙏📌
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 7 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana pia…Usiache kujifunza
@ShonyangaAbdoulrashid
@ShonyangaAbdoulrashid 6 ай бұрын
Nimekupata kaka
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 6 ай бұрын
Karibu sana
@mwangubilionea8503
@mwangubilionea8503 2 жыл бұрын
Asante
@Udindigwa
@Udindigwa 2 жыл бұрын
Yani unafundisha Vizuri Kaka angu yani Toka nianze KUFATILIA VIDEO ZAKO SIJAWAHI JUTIA MB Zangu hata Muda pia hata kwenye Midia Zingine kama Redio Upo Vizuri Mungu Asimame nawe
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 2 жыл бұрын
Shukrani sana kiongozi kwa appreciation zako...Mungu akubariki sana pia...!
@piusgiringa409
@piusgiringa409 5 жыл бұрын
kwel kabisa brother
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 5 жыл бұрын
Karibu sana ndugu....Endelea kushare na wengine zaidi
@ngogemuhammed4081
@ngogemuhammed4081 4 жыл бұрын
Nimeikubali sana hii
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 жыл бұрын
Shukrani sana ndugu ubarikiwe sana
@chrissmalloy9
@chrissmalloy9 5 жыл бұрын
Kweli kabisa 🙏🏻🙏🏻
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 5 жыл бұрын
Shukrani sana na karibu sana
@ayubumushi7030
@ayubumushi7030 3 жыл бұрын
Sana kk
@muddyadinani3145
@muddyadinani3145 2 жыл бұрын
Wewe safi sana
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 2 жыл бұрын
Karibu sana...!!
@msafilimashuhulitozi933
@msafilimashuhulitozi933 4 жыл бұрын
100 100 sana
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 жыл бұрын
Karibu sana ndugu na karibu tena 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@nickynickson1200
@nickynickson1200 2 жыл бұрын
Nmeamua ku subscribe kabisa nisipitwe tena na somo
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 2 жыл бұрын
Karibu sana mwanafamilia
@abdulrahmanhassan3334
@abdulrahmanhassan3334 4 жыл бұрын
Good
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@darenymsham2467
@darenymsham2467 3 жыл бұрын
Ila somo nimelipata vema
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 3 жыл бұрын
Karibu sana Dareny
@DianaAgustino-kd4yh
@DianaAgustino-kd4yh Жыл бұрын
Asant
@DianaAgustino-kd4yh
@DianaAgustino-kd4yh Жыл бұрын
Kaka samahani Mimi ndo nataka kuposit biashara lakini sijajua jinsi ya kufanya tafadhari unaweza kunisaidia
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel Жыл бұрын
Tunaweza wasiliana kupitia link hii wa.me/255678010334
@mcbabayo4424
@mcbabayo4424 4 жыл бұрын
Hili somo ni la kiwango cha hali ya juu
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 жыл бұрын
Shukrani sana ndugu...Ubarikiwe sana
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 жыл бұрын
Asante🙏
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 жыл бұрын
Karibu sana Tabitha
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 жыл бұрын
Asante sana🤝
@darenymsham2467
@darenymsham2467 3 жыл бұрын
Jammaani sauti kama sio ya Joel uwiiii
@emmanuelmeela3065
@emmanuelmeela3065 4 жыл бұрын
You
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 жыл бұрын
Yes
@focusnyigu3818
@focusnyigu3818 2 жыл бұрын
Truu
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 2 жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
JINSI NA DIRA YA KUPANGA/KUTENGENEZA BAJETI YAKO BINAFSI YA FEDHA ZAKO
25:58
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 58 МЛН
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 103 М.
Tengeneza Pesa Nzuri Wateja Wanapokuja INBOX
19:09
Lazaro Samwel
Рет қаралды 87
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 9 М.
HIVI UKIVIENDEKEZA VITAENDELEA KUKUANGAMIZA KILA SIKU.
18:13
Lazaro Samwel
Рет қаралды 909
Mafuta ya Mzeituni yanaondoa uchawi wowote, kurudisha nyota.
10:14
Hautafanikiwa Kama Kila Siku Unafanya Haya
10:02
Lazaro Samwel
Рет қаралды 419
LIFE WISDOM : FANYA HAYA ILI USIJUTE UZEENI - JOEL NANAUKA
12:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.