UKIONA HAYA KWA MPENZI WAKO, HATA KAMA UNAMPENDA SANA MWACHE AENDE

  Рет қаралды 37,609

liza Media

liza Media

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@romzinhamiduh-lo4jd
@romzinhamiduh-lo4jd Жыл бұрын
we mzuri sana
@RehemaRehemaAlly
@RehemaRehemaAlly 12 күн бұрын
Asante sana dada kwa ushauli wako
@hassanjuma6510
@hassanjuma6510 Жыл бұрын
Yah Nice
@AvityNjau-tz8gq
@AvityNjau-tz8gq 7 ай бұрын
Umeongea point kubwa zaidi ya sana nimejifunza kikubwa. Maana sahii anazingua nishachukua point. Asante
@maigajonathan1491
@maigajonathan1491 6 ай бұрын
Dah! Ni kama unaelezea nn kimetokea katika maisha yangu kwa sasa
@maalinmaalin3094
@maalinmaalin3094 5 ай бұрын
Thank you so much dada angu dah sijui nikupe nini hayo hayo yalinitokea mm dada angu
@ImanueliImanueli
@ImanueliImanueli Жыл бұрын
Asanteee dada
@Enockbwayo
@Enockbwayo 3 ай бұрын
You are absolutly correct madam❤❤❤❤❤
@David-fq1rd
@David-fq1rd Жыл бұрын
Thank you so much, God bless you
@SelemanRashid-is7zc
@SelemanRashid-is7zc 8 ай бұрын
Madaw we mzuri kwel na saut yako inanogesha i love uu,u deserve this
@InezaSuzanaIdem-wr8zw
@InezaSuzanaIdem-wr8zw Жыл бұрын
Safi sana
@FatumaBakari-q2b
@FatumaBakari-q2b 2 ай бұрын
Dada asante kwa mada ya leo
@KarimMiraji
@KarimMiraji 4 ай бұрын
Nikuelewa Asante,mm ni muhanga
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 7 ай бұрын
Asante sana ❤️❤️
@TwalibumsaaMusharaba
@TwalibumsaaMusharaba Ай бұрын
Dada ww karembo sana nakpenda mno nataman ❤ck moja nikuone love❤ asante kwa kpindi
@laylayl5166
@laylayl5166 Жыл бұрын
Hiyonikweli mdogo wangu
@rehemagunda1033
@rehemagunda1033 3 ай бұрын
Ila kweli
@mwamvitakituka6628
@mwamvitakituka6628 Жыл бұрын
Lizzy Hongera sana mwanangu. madam Kitu
@lizamedia
@lizamedia Жыл бұрын
Dah, Madam nimekumiss sana, hope Uko poa na Asante sana
@samuelsesei1098
@samuelsesei1098 Жыл бұрын
Kwakweli unasema ukweli
@maalinmaalin3094
@maalinmaalin3094 5 ай бұрын
Insha Allah amepoteza sana mda wangu
@DavidMusonda-o5v
@DavidMusonda-o5v Ай бұрын
Ungekuwa mke wangu ningenenepa sina raha na mke wangu
@Abdulbasitomar-dm7lp
@Abdulbasitomar-dm7lp 5 ай бұрын
Dada ilza hongera madam yako nzuri
@DavidMusonda-o5v
@DavidMusonda-o5v Ай бұрын
Mimi mu Zambia
@JaphetyKilango
@JaphetyKilango 5 ай бұрын
Dah umeenigusaa allow 😢 what you say it's the carbon copy of what am facing Dr.😢😢 it's hurting 💔
@FrankSifa
@FrankSifa 3 ай бұрын
Wee Dada nmzur
@MeshackNyabuto-m5s
@MeshackNyabuto-m5s 6 ай бұрын
N ukwl dadangu
@misanaalphayo2091
@misanaalphayo2091 Жыл бұрын
Kuna mwanamke aliwahi kuniambia mpaka mchungaji wake akubali ndo ataniruhusu kwenda kwao
@pastorhenry55
@pastorhenry55 7 ай бұрын
Congratulations sister
@rehemaedward9494
@rehemaedward9494 Жыл бұрын
ishanikuta hyo,mkak yy anataka mm ndo nitatue matatizo yake ,hta kodi ya nyumba umpe ,lkn weee ukiwa nashida hta elfu20000,hkupi
@SalamaKija-po9zh
@SalamaKija-po9zh Жыл бұрын
we mtamu
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 7 ай бұрын
Inamana wew ni wahudumu tu.😂😂🤠
@jamesandanje8459
@jamesandanje8459 Жыл бұрын
Amepunguza upendo
@asteriashios1852
@asteriashios1852 7 ай бұрын
Kabisa utaumia sana lakini mwache aende aendako utaumia muda ila maumivu yataacha tu
@loishiyelaizer058
@loishiyelaizer058 3 ай бұрын
Wewe group partner na Chris Mauki? Explanation is very Excited
@jamesandanje8459
@jamesandanje8459 Жыл бұрын
Tuko kwa mahusiamo
@FatumaBakari-i6m
@FatumaBakari-i6m Ай бұрын
Wacha aende
@عبدالرحمنمحمد-د9ز6ي
@عبدالرحمنمحمد-د9ز6ي 7 ай бұрын
Poa sana kama mimi tumejuana siku kumi na yeye.lakini atujaonana na yeye kwanza.ni kwa simu tu .
@saidmalik6714
@saidmalik6714 5 ай бұрын
Kiukwel nampenda Rahima lkn acha aende😢
@devidisimoni
@devidisimoni 7 ай бұрын
8:43
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk 5 ай бұрын
How you My friend nikweli kabisa nitumie namba yako nikwambie kitu kinantexa
@michaelfabianmiambo
@michaelfabianmiambo 9 күн бұрын
dada umependeza kila kitu upendeza kisura umependeza kimavazi hata kuongea kwako pia umependeza. yani namanisha haliekupata wewe akushikilie kwani wewe ni mtu sahihi kwake
@habibamfaume9013
@habibamfaume9013 2 ай бұрын
Nilikuwa nae huyo mbwa
@fazldon6829
@fazldon6829 Жыл бұрын
Dada unakuaj inakuwa unamtext lakn mbaka umwanze
@AgripinaShayo-oo6hc
@AgripinaShayo-oo6hc 6 ай бұрын
Mwache aende
@HilDonald
@HilDonald 7 ай бұрын
naomba kanipe suluhisho dadangu..ninayo hayo hayo matatizo dadangu yaniuma sana
@sadikathuman2662
@sadikathuman2662 2 ай бұрын
Vumilia hakuna asie na kasolo
@SharifuKasembe
@SharifuKasembe Жыл бұрын
Mwenza wako akichepuka unatakiwa ufanyaje dada?
@MayalaMasesa-gl9tz
@MayalaMasesa-gl9tz Жыл бұрын
dada mimi nimehangaika sana na mke wangu dalili zote zimenigusa
@LilianMgao
@LilianMgao 9 ай бұрын
Yan tunatofauti ya Kila kitu dini elimu uchumi Yan inauma san
@bushimani1544
@bushimani1544 Жыл бұрын
Zidisha sauti mrembo
@agneselias-po4fq
@agneselias-po4fq Жыл бұрын
Naomba no yako please mammy
@DebroDebaba-fl5ks
@DebroDebaba-fl5ks Жыл бұрын
tukopamojajwaushauri
@piuskenedymrosso4033
@piuskenedymrosso4033 7 ай бұрын
Habari Naomba kuongea na wewe please
@RehemaIssa-ii6kr
@RehemaIssa-ii6kr 9 ай бұрын
Habari za Leo dada.mimi nipo kwenye mausiano ila mpenzi wangu ajawai ata siku Moja kuongelea malengo yake juu yangu tukikaa kuchati Mimi nayeye anapenda kuongelea kufanya mapenzi tuuu ana story ingine zaidi ya mada iyo pia ata tukiwa tunachat akuna siku aloniambia mada yamaisha yetu ya badae yeye na ajawai kunioji jambo lolote lile zuri LA malengo na kama kwajana yake mulifanya mapenzi basi siku yapili ukitaka chat yenu iwe ndefu basi lazima atagusia mada ya tendo lajana tu lamapenzi pia anapenda sana kufanya mapenzi kuliko kukaa na kuongea maneno ya muhimu ukienda kwake anajali kufanya mapenzi tu nasio kupiga story ukikataa ananuna je uyo mtu yopo namalengo kweli namimi dada
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 7 ай бұрын
Wew ni wamazoezi tu,na sio wamalengo.💩💩😂🤠
@NaftalyNgeze
@NaftalyNgeze 3 ай бұрын
​@@ivomhagama9796ndugu hauna mtu
@RehemaTogwa
@RehemaTogwa 3 ай бұрын
Haupo kwenye future yake ...hakuoni kwenye maisha yake ya badae Ila anaona mtu mwingine au tayari anae nisuala la muda ataenda zake
@selevestoyohana
@selevestoyohana 2 ай бұрын
nikweli kabisaaa hapoooo@RehemaTogwa
@jamesandanje8459
@jamesandanje8459 Жыл бұрын
Dada wakati uko naye swala ya ndoa amelala sikama zamani na akija kutoka kazi anakua majimaji kama amelala na mme mwingine ..
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 7 ай бұрын
Hapo msosi unaliwa na kipofu.kuna mkono wa Siri pembeni.
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 7 ай бұрын
Hmmm majimaji Ninini?
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 ай бұрын
unatombewa mjomba
@KenedyMwamengo
@KenedyMwamengo Жыл бұрын
Wavunjaji wa mahusiano nyie ww wangekuacha uende na mapungufu yako ungeolewa
@SalamaKija-po9zh
@SalamaKija-po9zh Жыл бұрын
we mtamu
@Mpakauseme
@Mpakauseme 6 ай бұрын
Acha tabia yakukazimisha mapenzi
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk 5 ай бұрын
How you My friend nikweli kabisa nitumie namba yako nikwambie kitu kinantexa
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 487 М.
DALILI 4 UNALAZIMISHA MAHUSIANO💔  #lizamedia #Lizbethsimon
10:22
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
Dr. Chris Mauki: Dalili 4 Kwamba Mpenzi Wako Amekuchoka
9:45
Chris Mauki
Рет қаралды 248 М.
DALILI SABA (7) MPENZI WAKO ANAKUSALITI
12:45
Liza Media
Рет қаралды 17 М.
Dr Chris Mauki : Utajuaje kama mpenzi wako sio mwaminifu?
9:41
Chris Mauki
Рет қаралды 112 М.
Chris Mauki: Dalili 5 ameshakutoa moyoni mwake
6:27
Chris Mauki
Рет қаралды 215 М.
NJIA 3 ZA KUMUACHA MTU UNAYEMPENDA.
8:50
Mbeki TV
Рет қаралды 41 М.
SABABU 3 ZA MWANAMKE KUKUACHA
12:56
Mbeki TV
Рет қаралды 44 М.
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 143 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН