NO MORE LIMITATIONS(DAY THREE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 2,634

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

Күн бұрын

Katika siku hii ya tatu ya Semina tulikuwa na maombezi mazuri sana kwa ajili ya mipaka iliyowekwa kwenye familia/koo tulizotoka na hakika tulimuona Mungu akiwafungua watu kwa ukubwa sana.
Hakuna umbali katika ulimwengu wa roho, kinachohitajika ni Imani yako tu..kama nawe kuna changamoto za mipaka kwenye familia/ukoo uliotoka unavyojiungamanisha na maombezi haya pia Mungu akakufungue wewe na ukoo wako!

Пікірлер: 9
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Kila napokuona tu Bishop Sanbella 🙏. nabarikiwa at kabla ya kuniombea na kuniwekea mkono.. Asante Sana YESU wangu kwa kutupatia kibali kila week utakuwa Arusha..at kma Niko mbali nakujaa.piya. Jamani NEEMA hi ifike na Mkoa wa Kilimanjaro Moshi. Blessed Bishop nmefurah Sana kukuona Dad Sanbella 🙏🙏
@teresiamwandanji603
@teresiamwandanji603 8 ай бұрын
am pragnant, i have a history of incomplete abortion with no reason,i connected with Jesus kupitia hii madhabu had nijifungue, Amen
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 2 жыл бұрын
Asante Yesu Kristo kwa ukombozi na kuniokoa mimi na uzao wangu. Amina.
@gwantwamwakajela4362
@gwantwamwakajela4362 Жыл бұрын
Namshukuru MUNGU sana kwa jili ya siku hii ndio nipokea wokovu mpaka Leo nimeokoka
@hwenys
@hwenys Жыл бұрын
ASANTE SANA MTUMISHI. JESUS REIGNS
@beatricemwaura786
@beatricemwaura786 2 жыл бұрын
Hizi live zinanipita aje, aiiiiih!
@consolataishengoma757
@consolataishengoma757 2 жыл бұрын
Usinipite mwokozi.....
@preciousgeorge4212
@preciousgeorge4212 2 жыл бұрын
Amen
@paulashuma3042
@paulashuma3042 2 жыл бұрын
Amen🙏
MIGUU ILIYOHAMISHWA (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:11:18
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 22 М.
Live: NO MORE LIMITATIONS (DAY TWO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
2:11:35
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 6 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 40 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 12 МЛН
ROHO ZIZUIAZO MATOKEO (III)  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:09:05
Reality of Christ Church
Рет қаралды 13 М.
NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:15
Reality of Christ Church
Рет қаралды 49 М.
ULIMWENGU WA ROHO NA UKWELI WAKE 1 - BIENVENU WANZIRE (Day16 prayer)
23:42
Bienve Ministries online
Рет қаралды 2,8 М.
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 7 М.
Live: NO MORE LIMITATIONS(DAY ONE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
2:05:32
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 9 М.
ROHO MTAKATIFU(SEHEMU YA KWANZA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:27:16
Reality of Christ Church
Рет қаралды 69 М.
NO MORE MISTAKES (DAY 2) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:09:37
Reality of Christ Church
Рет қаралды 7 М.
SIKU KUU YA MATARUMBETA
1:08:35
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 4,3 М.
ROHO MTAKATIFU (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:30:38
Reality of Christ Church
Рет қаралды 34 М.
SHULE YA ROHO MTAKATIFU-PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:08:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 19 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 40 МЛН