Noah fungua mlango by Mbarikiwa Mwakipesile [English subtitle]

  Рет қаралды 100,254

Helbeth Mlelwa 🎖️

Helbeth Mlelwa 🎖️

Күн бұрын

Kwa mahitaji ya kitabu cha BILA MAOMBI MENGI UTAHANGAIKA SANA DUNIANI, VYAMA VYA KUFA NA KUZIKANA NA VIKUNDI VIKUNDI NI USHETANI ULIOINGIA KANISANI KWA KIVULI CHA UPENDO, au kile kinachosema SABABU INAYOSABABISHA MABAYA MFULULIZO MAISHANI MWAKO NI KUTOA SADAKA UKIWA NA DHAMBI wasiliana na mwandishi +225 769 015 164 or +225 655 436 603 au tuma barua pepe kupitia mbarikiwamwakipesile@gmail.com
Kwa uponyaji zaidi wa Roho yako angalia video hizo apo chini
1. Njia rahisi ya kushinda dhambi...... • Video
2. Njia rahisi ya kushinda tamaa ya uzinzi • Video
3. Kijana inawezekana kuishi bila kuwa na mahusiano (mchumba)......
• MBARIKIWA'S SON KIJAN...
4. Tiba ya kibiblia ya kutoka kwenye tabia chafu kama kujichua ni nidhamu ya ibada na maombi. [Angalia hadi mwisho]..... • Jinsi ya kuacha kujich...
5. Aina hii ya imani au maombi vitasababisha kifo cha mapema na matatizo mfululizo maishani mwako....... • Video
6. Aina ya maombi yatakayoweza kukubadilisha kirahisi..... • Aina ya maombi yanayow...
Neema ya Kristo Yesu iwe pamoja nawe. Aamen

Пікірлер: 92
@SaidiKabwe-m2y
@SaidiKabwe-m2y Ай бұрын
😊😊i love the song thas why you trust Noah and not laugh at him❤🎉😊
@erastomgumba
@erastomgumba Жыл бұрын
huu wimbo wa fungua mlango niingie wanikumbusha mbali sanna ktk maisha yangu lakini Mungu yu mwema
@evodiaephulaim4684
@evodiaephulaim4684 2 жыл бұрын
Ubalikiwe wewe mtumishi wa mungu nilisikia nyimbo zako nisikia kubarikiwa moyoni
@samwelmwaijumba6018
@samwelmwaijumba6018 3 жыл бұрын
Noah mim ni mjomba wako.....Noah mim ni jilan yako.....Bwana Yesu naomba unisaidie mwisho mzuri niitunze imani hakika....Mungu akubariki sana mtumishi Mbarikiwa.....
@SolomonNkoze
@SolomonNkoze 17 күн бұрын
Kazi kubwa, mungu nifungulie mlango niingie katika mafaniko
@nasimamwamilo4402
@nasimamwamilo4402 4 жыл бұрын
Naomben mniombee niokoke kupitia huu wimbo najifunza meng
@edrysarashidy2489
@edrysarashidy2489 4 жыл бұрын
Unahitaji kuonana na muinjiristi upate neno halisi 0765090005
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 3 жыл бұрын
Uko wapi?? Piga simu 0711824288
@kagomaramso4892
@kagomaramso4892 2 ай бұрын
Barikiwa ubarikiwe kama jina lako amen
@francyskantega169
@francyskantega169 3 жыл бұрын
Jamani ubarikiwe mtumishi kwa uduma yako
@kinashisilayo3323
@kinashisilayo3323 3 жыл бұрын
Nimebarkiwa sana,na jna lake bwana Yesu lihimidiwe amina
@hoseasirili8878
@hoseasirili8878 2 жыл бұрын
Mungu akubark ndugu mwimbo nimzur...sn
@kalistachatila69
@kalistachatila69 4 жыл бұрын
Nimebarikiw San Mungu azidi kukutumia
@stivinnnko
@stivinnnko Жыл бұрын
Mze unajituma
@linetatieno9004
@linetatieno9004 3 жыл бұрын
It is true that the world is coming to an end
@hawahakikaumejuakunifurahi5543
@hawahakikaumejuakunifurahi5543 3 жыл бұрын
Wimbo huuu unanigusa San MUNGU akubariki kwa kazi unayofanya mwakipesile amina
@AdamuMartin
@AdamuMartin Жыл бұрын
Kazi yako njema songa mbele mtumishi Mungu yupo
@YvesMunezero-ti1es
@YvesMunezero-ti1es 11 ай бұрын
Asante sana kwahiyo nyimbo yanifunguliye murango niyingiy
@ZamoMartin-i2e
@ZamoMartin-i2e 10 ай бұрын
Huu wimbo naupenda sana kila siku kazima niusikilize . Ongera sana mbalikiwa kiukweli umeimba
@tsongovirikundi4742
@tsongovirikundi4742 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana tusije lia kama Wale wawakati wa Noah. Mungu tuwezeshe🇨🇩
@bonndieexmwema5800
@bonndieexmwema5800 3 жыл бұрын
huu wimbo naupenda sana#barikwa sana baba...
@keshukakurubay6178
@keshukakurubay6178 Жыл бұрын
Huuu ndio ukweli ubarikiwe sana mtumishi
@elisamehecharles5432
@elisamehecharles5432 4 ай бұрын
Ogaaah! MUNGU WEWE NI MKUU
@espoirmlondani-ue2fm
@espoirmlondani-ue2fm Жыл бұрын
Mungu ni mwema sana
@estardaniel1768
@estardaniel1768 3 жыл бұрын
Barikiwa sanaaaaa
@esaumalanji5985
@esaumalanji5985 Жыл бұрын
Aise Safi Sana wimbo huu siuchoki
@ZamoMartin-i2e
@ZamoMartin-i2e Жыл бұрын
nikisikilizaga huu wimbo, napata hof kubwa sana, juu ya kesho yangu, MUNGU nisadie
@cathelinemaurid898
@cathelinemaurid898 3 жыл бұрын
Baba saluti si kwa biti
@erastosanga6247
@erastosanga6247 2 жыл бұрын
Mbarikiwa mwakipesile fungua mlango tuingie wimbo mzuri sana
@janemlasi4071
@janemlasi4071 2 жыл бұрын
Nakushuku kwa huu wimbo nimeupenda
@florencemorice4005
@florencemorice4005 2 жыл бұрын
Mung akutunze baba kupitia nyimb hiz namuon mung anabadirish maish yang
@bernardyona4564
@bernardyona4564 Жыл бұрын
Aminaaaa mtumishii wamunguuu
@nelsonbreidon6600
@nelsonbreidon6600 3 жыл бұрын
Wimbo umenigusa sana sana ubarikiwe mtumishi amen kazi vzr sana
@jastinimchilo6559
@jastinimchilo6559 3 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen ubarikiwe
@raphaelbensonmuyao8703
@raphaelbensonmuyao8703 Жыл бұрын
Pray for us. Mchungaji tuingie binguni
@classfordmaster4254
@classfordmaster4254 Жыл бұрын
Baba saluti kaz nzr .Mungu akusaidie zaid
@keshukakurubay6178
@keshukakurubay6178 Жыл бұрын
Oooh yesu fungua mlango tuingie!
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 4 жыл бұрын
Wimbo umevuviwa hasa, Mungu azidi kukutumia Mbarikiwa.
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu kwa kazi njema unayofanya. Wimbo huu unagusa mioyo ya watu na kuwabadirisha wamfuate Yesu awaokoe. Asante sana.
@samwellmeshack794
@samwellmeshack794 2 жыл бұрын
Very good song
@jenyymbwambo771
@jenyymbwambo771 3 жыл бұрын
Hii nyimbo INA nibariki sana na pata wapi sidii
@brigedmusonga
@brigedmusonga Жыл бұрын
Baba Nifungulie mlango 🙏🙏🙏🙏
@dansisala1285
@dansisala1285 2 жыл бұрын
Matthew 24:37 [37]But as the days of Noe were, so shall also the coming of the Son of man be. Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
@izakaperice
@izakaperice Жыл бұрын
Mungu akuinue na akulinde na mabaya yote mtumishi wa Munngu
@IreneJohn-l8j
@IreneJohn-l8j Жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu 🙏
@MariaMossi
@MariaMossi 8 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@aminaagnita6757
@aminaagnita6757 3 жыл бұрын
Amen barikiwa sana wapendwa
@FestoMwaipungu
@FestoMwaipungu 8 ай бұрын
Nyimbo hii na Ile ya dhambi zimekamata ubongo wangu ila ukitaka kudanloadi hazipatin kwenye platform zingine tusaidie Ili tuweze kuzipata
@sharonadema6378
@sharonadema6378 3 жыл бұрын
Huu wimbo hunibariki sana,
@gelishomleonard9232
@gelishomleonard9232 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana, sijaacha kusikiaa uwepo wa KiMungu ukishuka juu yangu napo sikiliza nyimbo zako, napenda sana, Lakini vitabu vyako vimeimarisha maisha yangu ya kiroho nafurahiaa wokovu kwanamna ambavo haielezekiiii,,, Nasikiaa Raha Sana kuwa na Yesu wangu!
@velokigunga2876
@velokigunga2876 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@happyjoseph2089
@happyjoseph2089 3 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi 🙏
@aidaraphael1956
@aidaraphael1956 Жыл бұрын
Haleluyaaa,
@MariaLazaro-p2l
@MariaLazaro-p2l 9 ай бұрын
Aminaaaaa
@janethdaniel9624
@janethdaniel9624 3 жыл бұрын
Ubarikiwe na Yesu
@brightthabit9749
@brightthabit9749 4 жыл бұрын
Open the door let us in noah , it's very nice song
@gabrielndula921
@gabrielndula921 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana wimbo huu
@veronikarobert6965
@veronikarobert6965 3 жыл бұрын
Huwa nafarijika Sana na huuu wimbo mtumishi ubarikiwe na kazizako ,,,
@neymarwa8900
@neymarwa8900 2 жыл бұрын
@@veronikarobert6965 Mungu ambariki mtumishi Wake
@khairatsarah2870
@khairatsarah2870 3 жыл бұрын
Mungu atusamehe kwakweri
@YvesMunezero-ti1es
@YvesMunezero-ti1es 11 ай бұрын
Asante sana mucungajiwangu mimi Niko murundi lakini napenda nyimbo Zako zinanifikicha mbari
@tumbwenekilale6962
@tumbwenekilale6962 2 жыл бұрын
Ahsante
@MwanaharusiayubuMwalukasa
@MwanaharusiayubuMwalukasa Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@MwanaharusiayubuMwalukasa
@MwanaharusiayubuMwalukasa 10 ай бұрын
Amen 🙏
@neemasanya5914
@neemasanya5914 3 жыл бұрын
Amina
@OSKA-q1y
@OSKA-q1y 2 ай бұрын
🙌🙏💯
@TheresiaMwakibinga
@TheresiaMwakibinga 9 ай бұрын
Amen
@jafaridaudi8679
@jafaridaudi8679 Жыл бұрын
Oooooh! Hallelujah, 🙌🙌🙌
@MwanaharusiayubuMwalukasa
@MwanaharusiayubuMwalukasa 10 ай бұрын
AMEN😢😢😢
@Andreamalalat
@Andreamalalat 4 ай бұрын
❤❤
@gabrielndula921
@gabrielndula921 3 жыл бұрын
Ameeeen
@fredmarwa1727
@fredmarwa1727 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@MariamBashilu
@MariamBashilu Жыл бұрын
Amee
@MwanaharusiayubuMwalukasa
@MwanaharusiayubuMwalukasa 10 ай бұрын
❤❤😢😢
@eliyachaulema7135
@eliyachaulema7135 3 жыл бұрын
danlodi
@salomeadam4562
@salomeadam4562 Жыл бұрын
😢🙏🙏🙏🙏😢
@MwanaharusiayubuMwalukasa
@MwanaharusiayubuMwalukasa 10 ай бұрын
😢😢😢
@joshualwinga
@joshualwinga 4 жыл бұрын
Ameeeeen ameeeen
@aidaraphael1956
@aidaraphael1956 Жыл бұрын
Unaupako
@MichaeliSimwinga-sq5rc
@MichaeliSimwinga-sq5rc 4 ай бұрын
Ameni
@melkiorumaiko8057
@melkiorumaiko8057 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi waMungu
@andrewbuzizi4273
@andrewbuzizi4273 Жыл бұрын
Aminaaaaa
@MwanaharusiayubuMwalukasa
@MwanaharusiayubuMwalukasa Жыл бұрын
Amen
@rizikichigodi4316
@rizikichigodi4316 4 жыл бұрын
Amina
@MartinSiimay-jj9jk
@MartinSiimay-jj9jk Жыл бұрын
Amen
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 3 жыл бұрын
Ameeeeen
@bettysimiyu9776
@bettysimiyu9776 3 жыл бұрын
Amen
@nsimirrlove2139
@nsimirrlove2139 2 жыл бұрын
Ameeen
@nelsonbreidon6600
@nelsonbreidon6600 3 жыл бұрын
Amen
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 3 жыл бұрын
Amen
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen
@neemasanya5914
@neemasanya5914 3 жыл бұрын
Amen
Noah fungua mlango, Fungua mlango tuingie by Mbarikiwa Mwakipesile. Original mp3.
17:01
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 117 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 700 М.
MWANAMKE UKIMPENDA SANA NA AKAJUA UNAMPENDA SANA UTANYANYASIKA  "PASTOR MGOGO
36:53
New ,song by Salome Mwampeta
7:38
Alune Kyusa
Рет қаралды 995
Mbarikiwa video kutoka studio  Tenzi no 12  Roho wa mbinguni
9:55
Helbeth Mlelwa 🎖️
Рет қаралды 78 М.
MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI
20:44
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 46 М.
Kazi Yangu Ikiisha - Mbarikiwa Mwakipesile ( Tenzi no 102 ) video song
5:10
DANNY KISESA OFFICIEL 🎶
Рет қаралды 137 М.
Mbarikiwa Mwakipesile, Nyimbo zitakazokuingiza kwenye tafakari ya maombi
1:07:24
Helbeth Mlelwa 🎖️
Рет қаралды 30 М.
UST:SHAFI AMGEUZIA KIBANO MCHUNGAJI NDACHA//ELIMU YAKO BADO SANA
20:10
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 43 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 117 МЛН