NOMA!! HILI NDIYO CHIMBO JIPYA LA AUNT EZEKIEL “NIMETUMIA ZAIDI YA MILLION 70, SIJAPEWA NA BWANA”

  Рет қаралды 230,850

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 221
@deogratiusoforo285
@deogratiusoforo285 5 жыл бұрын
Congratulation my sister good inspiration for other dadaz in town instead ov depending for men
@zainabual_tz5623
@zainabual_tz5623 5 жыл бұрын
Wema ana roho nzuri sana jaman 😍😍👌🏽
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 5 жыл бұрын
Kabisa bint wawatu
@ahmedothman8765
@ahmedothman8765 5 жыл бұрын
Roho zuru kwenye vya watu mbona yeye ajafanya vyake
@zainabual_tz5623
@zainabual_tz5623 5 жыл бұрын
@@ahmedothman8765 we fala kwel una taka afanye dunia nzima??
@shanimwakipesile3341
@shanimwakipesile3341 5 жыл бұрын
Waoooo wanawake tunaweza congratulations aunt
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Duh hii fire kulko ya irene uwoya.hongera aunt
@angelsylvester4795
@angelsylvester4795 5 жыл бұрын
Aunt umetisha mbaya many hongera sana💪💪
@aminahasan3564
@aminahasan3564 5 жыл бұрын
Nimependa sana hiyo kitu...ni hatua kubwa sana....In Shaa Allah nitafanya na mimi ipo siku
@tabithanjeri493
@tabithanjeri493 5 жыл бұрын
Congratulations Auntie Ezekiel Wema nakupenda sana
@evelynmon9423
@evelynmon9423 5 жыл бұрын
Yaan wasanii wetu hakika wamekua sasa hivi yaan wanashindana vitu vya maendeleo sasa hivi vinavyoonekana sio zamani walikuwa wanashindana kubadilisha wanaume big up kwenu nawapenda wote mliofungua miradi mikubwa @uwoya @shilole @wolper @auntezekiel 😘😘😘
@azzaalsalty4806
@azzaalsalty4806 5 жыл бұрын
Kweni wewe unahisi kuendelea ndo kufungua biashara za ulevi...mnazidi kupoteza watu
@priscaandrew554
@priscaandrew554 5 жыл бұрын
Safii sana, ndio maendeleo yanayotakiwa hayo
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Ongera sana Aunt,nimeiona juzi.
@binthawa2973
@binthawa2973 5 жыл бұрын
Wema na aunt ni marafiki zaidi ya ndugu
@hellenkalambo737
@hellenkalambo737 5 жыл бұрын
Safi sana aunt uko juu wanawake hatushindwi bado tupo juuu
@fatimaemma833
@fatimaemma833 5 жыл бұрын
Wooow congrats Aunty 😍😍😍😍😍😍
@elienezarumisha9996
@elienezarumisha9996 5 жыл бұрын
Vijana msijisahau sana, Yesu anawapenda!!
@saidmtb3013
@saidmtb3013 4 жыл бұрын
Welldone
@deborahsabimbonna8279
@deborahsabimbonna8279 5 жыл бұрын
Hongera sana ma chrie
@lilianngowo8014
@lilianngowo8014 5 жыл бұрын
Hongera aunt umefanya LA maana ifike wkt wasani muige wenzenu Kwa mazuri yao
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 5 жыл бұрын
Ongera sana Anty pazuri sana hapo dont hiev ap
@dianarobert5640
@dianarobert5640 5 жыл бұрын
Wanawake mnaotaka kuwezeshwa mnakeama wapii,,,jiwezeshe mwenyewe àta ukianza kuuza mandazi we uza tyuuu,,,hongera sana mama cookie
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 жыл бұрын
Mashaallah wanawake mnaweza tupambane kujenga taifa
@ashamniga8515
@ashamniga8515 5 жыл бұрын
ongela sana ushoga wenu uwendelee vizuli mudhidi kupendana wenye wivu wajinyonge nawapenda sana
@childofgodthroughjesuschri3326
@childofgodthroughjesuschri3326 5 жыл бұрын
Like kama,still bado,better vizuri anarudia maneno ongeeni kiswahili bwana unaambiwa hongera thank you very much. Basi bwana umefanya vizuri sana hongera zako
@gloryjulius1108
@gloryjulius1108 5 жыл бұрын
Hongera sana Anti sasa wema na yy ajitahidi
@mbokachawe9657
@mbokachawe9657 5 жыл бұрын
This is lit....
@monicaalute1777
@monicaalute1777 5 жыл бұрын
Km umemsikia aunt akisema still bado gonga like yko hapa. Otherwise nampongeza sana
@awatiffhassan5983
@awatiffhassan5983 5 жыл бұрын
Monica Alute hahaaa ni furaha tu muelewe
@advocatekarama4917
@advocatekarama4917 5 жыл бұрын
Monica Alute 🤣🤣
@tinnashemetili8596
@tinnashemetili8596 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Monika
@aishakidotigakii6157
@aishakidotigakii6157 5 жыл бұрын
Pazuri kweli Mashaallah
@catenzeki678
@catenzeki678 5 жыл бұрын
Napenda wanawake wanaojituma na kuekeza katika kujenga nchi.Big up Aunty
@linnetakoth8547
@linnetakoth8547 5 жыл бұрын
Kazi nzuri auntie we love you from Kenya
@familywatende5111
@familywatende5111 5 жыл бұрын
Wanawake wengi tunatamani Sana maendeleo ila hyo mitaji inakuwa ni shida, mtu anakwambia wanawake tupambane lakini unajikuta hata ukipambana hupati maendeleo kama hv, ila hawa wengi wanawatu wanawapush ila wakiulizwa wanaficha
@salomealphonce5711
@salomealphonce5711 5 жыл бұрын
Sana2
@veronicapaul499
@veronicapaul499 5 жыл бұрын
Fanya kadli yauwezoulonao ukishidwa kidogoulonach baskikubwa hutokiweza
@aishaomari944
@aishaomari944 3 жыл бұрын
Wanahongwa nyuma ya mwanamke usiige
@aishaomari944
@aishaomari944 3 жыл бұрын
Mhhhhh wasaniaa wanahangaika na wanaume aki komn
@nellylimao5336
@nellylimao5336 5 жыл бұрын
Congratulations my sister
@joycematonya1241
@joycematonya1241 5 жыл бұрын
big up aunt nakupenda sana my hongera
@dyllanmartha1545
@dyllanmartha1545 5 жыл бұрын
Hongera mpenzi Mungu abariki kazi ya yako
@mamageorge469
@mamageorge469 5 жыл бұрын
anti nimekupenda bureeee umenifanya namm nijione kumbe naweza simama mwenyewe bila saport ya side b, hongeraaa xaaaana,
@imaniamani7671
@imaniamani7671 5 жыл бұрын
Hongera sana na Mungu akutangulie
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 жыл бұрын
Hongera sana Ant
@KulthumSaleh-r3d
@KulthumSaleh-r3d Жыл бұрын
Nice
@petermwantole9433
@petermwantole9433 5 жыл бұрын
Auntie ni mpambanaji ,, mil 70 na zaidi nadhani iko ndani ya uwezo wako ,good inipireration...
@fatumasalmini2241
@fatumasalmini2241 5 жыл бұрын
Good
@albertoarcangel5859
@albertoarcangel5859 5 жыл бұрын
Duu umetisha mamii, bonge la bar,
@daliamtanganaki6687
@daliamtanganaki6687 5 жыл бұрын
Congrats aunt
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 5 жыл бұрын
ONE DAY NAMIMI NAWEZA SAIZ SINA HATA BUKU LAKIN ONE DAY INSHAA ALLAH MTANIONA NIMEWEZA hongera sana ndio bongo yenye maendeleo
@hamadharerimana8187
@hamadharerimana8187 5 жыл бұрын
INSHALLAH
@dainesskisinda7531
@dainesskisinda7531 5 жыл бұрын
Rashid Busanya
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 5 жыл бұрын
Penye nia pana njia Rashidi
@awatiffhassan5983
@awatiffhassan5983 5 жыл бұрын
Zingatia sana bidii na swala
@vanessawilbert5016
@vanessawilbert5016 5 жыл бұрын
Ipo mikochen ipi jomon walev tukalewe leo
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 5 жыл бұрын
Hongera daa Aunty Ezekiel
@alineryzor1663
@alineryzor1663 5 жыл бұрын
hongera Aunty
@baltazaryleticia4451
@baltazaryleticia4451 5 жыл бұрын
Congratulations my
@dsouzamaguno7006
@dsouzamaguno7006 5 жыл бұрын
Hongera sana
@chikubijoumaulidi5897
@chikubijoumaulidi5897 5 жыл бұрын
Ongera sana Da Anty nakupenda sana nanitazidi kuku penda
@agnesmkanga5009
@agnesmkanga5009 5 жыл бұрын
Nimeipenda,ni kweli uwapo na kitu ni rahisi kuongezwa,kuliko huna kabsaa,ht aliyekuwa akivua Samaki alihuishwa kuweka kuvua watu!!!Aunt kapewa ndoano hakupewa Samaki!!
@zaituniamoki6092
@zaituniamoki6092 5 жыл бұрын
Hongera ant umenifanya nisikate tamaa
@lorineprince4170
@lorineprince4170 5 жыл бұрын
Hongera mama, me naomba kaz ata ya kufanya usafi
@leanahbusanga117
@leanahbusanga117 5 жыл бұрын
Hongera kabissaa😘😘😘
@gracedelence9163
@gracedelence9163 5 жыл бұрын
Uyo do kasara majibu kama yalipagwa... eti.. utamu wachai sio ragi...ni ...sukari 🤷‍♀️ big up gal congrats
@naominyamoya7615
@naominyamoya7615 5 жыл бұрын
Nine Nice aunt Mungu azid kktunza
@alijuma6502
@alijuma6502 5 жыл бұрын
Kawema sepetu kamezeeka sana
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 5 жыл бұрын
Nakushauri vitu viwili vikubwa vya kuweka ngumu. 1. Hakikisha chakula ni kizuri na bei zinawezekana kwa kila MTU. Pia wahudumu wajitambue siyo wahudumie ma-star tu watu wengine wawaone takataka. 2. Hakikisha vyoo vinaeleweka siyo kunuka mikojo. Maeneo mengi ya kinywaji vyoo uwa ni shida kwa kweli
@Kifyasi
@Kifyasi 5 жыл бұрын
Mh nduguyanguuu
@saudorsaugold6643
@saudorsaugold6643 5 жыл бұрын
Haya
@annamvamila1736
@annamvamila1736 5 жыл бұрын
hongera
@سعادالشمري-ز9ز
@سعادالشمري-ز9ز 5 жыл бұрын
Hongera sana mwanamke kupambana
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Jamani wanawake kumbe tunaweza
@Moses-Kuria
@Moses-Kuria 5 жыл бұрын
Mozeee iyoboo hongera
@أمينهالحبسي
@أمينهالحبسي 4 жыл бұрын
Jaman wema du
@dianamkuna2898
@dianamkuna2898 5 жыл бұрын
Good job
@awatiffhassan5983
@awatiffhassan5983 5 жыл бұрын
Wanaume mnafeli wapi jaman ..wanawake wanarun dunia na mambo makubwa makubwa bila support....wanaume pliiiiiiiiz
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Jabani anti nampenda hamuongeleagi vibaya mzazi mwenzake
@abrahamhassan351
@abrahamhassan351 5 жыл бұрын
Beautiful pub kwa kweli
@bupeadam3731
@bupeadam3731 5 жыл бұрын
Hongera mamy
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 5 жыл бұрын
Umefanya kitu kikubwa dada hongera
@sumayionesmo3554
@sumayionesmo3554 5 жыл бұрын
Da!hongera sana
@mariamkaaya8639
@mariamkaaya8639 5 жыл бұрын
Vodo vidox.safi kwa taarifa nzuri
@halisiaisaya7832
@halisiaisaya7832 5 жыл бұрын
Hongera sana mami
@beatricekingsley5062
@beatricekingsley5062 5 жыл бұрын
hongera mama
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 жыл бұрын
Hongera bb wew
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Hongera sana Aunt
@iabysaroeymar9243
@iabysaroeymar9243 5 жыл бұрын
Najma 3
@lucaswilliams5761
@lucaswilliams5761 5 жыл бұрын
Kitu poa sanaaaa! Japo huendi mbinguni
@zainabomar5512
@zainabomar5512 5 жыл бұрын
Kweli mbunguni haendi anafanya kazi aliokataza mung
@hainesurasa1503
@hainesurasa1503 5 жыл бұрын
Nyie mnao sema haendi mbinguni nyie mtaenda ? Hembu acheni wivu
@neyjoseph813
@neyjoseph813 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂jamani
@lucaswilliams5761
@lucaswilliams5761 5 жыл бұрын
@@hainesurasa1503 sishangai hata kidogo wachaga kwenu kawaida #bar
@petercley6230
@petercley6230 5 жыл бұрын
Great one Aunt, keep it up
@robertmolila7545
@robertmolila7545 5 жыл бұрын
Vido anajua sana kuuliza maswali
@nyamburawacoast305
@nyamburawacoast305 5 жыл бұрын
Kama unajua pombe si nzuri kumuita mtoto MUNGU anakubali pombeeee mmh pole kwako
@youngmummy1087
@youngmummy1087 5 жыл бұрын
Jus wow
@neemadamian7970
@neemadamian7970 5 жыл бұрын
Keep it up Cookie's mam
@erickputto3490
@erickputto3490 5 жыл бұрын
Neema Damian
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 жыл бұрын
NIMEIPENDA SANA HAKI KEEP IT UP
@azzaalsalty4806
@azzaalsalty4806 5 жыл бұрын
Umesema kuwa huwezi kufingua biashara ya kuuza ulevi ukaandika jina la mwanao kwakua si vizuri. ..sasa mbona anapoteza watoto wa wenzako kutumia huo ulevi kweni hivo sawa
@sizmaggymaggy5677
@sizmaggymaggy5677 5 жыл бұрын
Hongera Ezekiel
@umarsaid9912
@umarsaid9912 5 жыл бұрын
Mashallah
@biusimohamed1049
@biusimohamed1049 5 жыл бұрын
Hongera dada
@judithcosmas4639
@judithcosmas4639 5 жыл бұрын
Hongera sana anti
@bebycandkim1631
@bebycandkim1631 5 жыл бұрын
oyooo ongela aunty
@sulejiTv
@sulejiTv 5 жыл бұрын
Mimi nilikuepo na nili tamani kuingia ndani laki parking sija pata nika hona sombaya niki kahaa ndani ya gari langu watoto wa tauni wasije kunilia juga.
@susanahyera7110
@susanahyera7110 5 жыл бұрын
Iko wap
@pinahoscar6735
@pinahoscar6735 5 жыл бұрын
Suleji Official 😂😂😂😂 iko sehemu gani
@shanijafary127
@shanijafary127 5 жыл бұрын
Hongera
@johngburuna7233
@johngburuna7233 5 жыл бұрын
WEMA SHE IS ......... ONGEENI KISWAHILI JMN KAAAA!!!!!!
@mercynaava351
@mercynaava351 5 жыл бұрын
Hahaha
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 5 жыл бұрын
Irene akasome kwanza ni bonge la bar
@ab3ab313
@ab3ab313 5 жыл бұрын
mung akutanguriy mumipang yako mami
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
🙄Hii ya, muda kabla hajawa na baba lao baba nono?
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Yaani ni Kubwa hila ya lrene nayo nilisikia inabeba watu Mia tatu. Tulisoma naye lren wengi tuliosoma nawo now mastar abubakar mzur wote
@lykamlaki1218
@lykamlaki1218 5 жыл бұрын
Jamani mtangazaji wa millard ayo anauliza maswali mazuri
@nonenone4954
@nonenone4954 5 жыл бұрын
#Fantastic✅✅✅
@shafiibrown5609
@shafiibrown5609 5 жыл бұрын
Mwanamke maendelea safi dada
@hidayaking3383
@hidayaking3383 5 жыл бұрын
Wema 💞
@wardamwarami4789
@wardamwarami4789 5 жыл бұрын
Yaan you dada anakwaza dah, millad eeh bora ungemcrop uyo dada apo
@martinekallimbu661
@martinekallimbu661 5 жыл бұрын
kweli anabore sana,interview gani sasa mpaka unamshika nywele interviewee...
@billylovebilly9418
@billylovebilly9418 5 жыл бұрын
Ongera mamy
@neymarsuleyman8602
@neymarsuleyman8602 5 жыл бұрын
Pesa yakuhongwa ndo hesabu yake haijulikani. #uwezi kutuambia hujui umeweka shingapi wakati yaonyesha kwenye hiyo biashara it means haufanyi documentation na hilo nijambo lisiloingia akilini kwammliki wabiashara
@childofgod4412
@childofgod4412 5 жыл бұрын
Like kama,still bado si muongee tu kiswahili
@nadyahassan7924
@nadyahassan7924 5 жыл бұрын
hongera zako dd
@redemptarkanini966
@redemptarkanini966 5 жыл бұрын
Aunt Ezekiel nipe kazi nko Nairobi. Drop your email please.
@babrakashindye1548
@babrakashindye1548 5 жыл бұрын
Huyu mtangazaji wa Global hajui maswalii.... Msio muelewa gonga like.
@mohdmohdnurudin8700
@mohdmohdnurudin8700 5 жыл бұрын
Wema umezeeka
@deustutu1162
@deustutu1162 5 жыл бұрын
big up sana
@elirehemaismael6133
@elirehemaismael6133 5 жыл бұрын
Kesho utasikia siyo ya kwake ila alikuwa akipigia promo tu
@sekelamwangosi3289
@sekelamwangosi3289 5 жыл бұрын
😀😀😀umeona eee tusubir kitu kama icho
@saphinayona6359
@saphinayona6359 5 жыл бұрын
Hongera jamn ant nawema zaidi ya ndugu mbarikiwe san
@davisbravo2130
@davisbravo2130 5 жыл бұрын
duu!! wema kazeeka
@zainabkizenga8118
@zainabkizenga8118 5 жыл бұрын
Jamani
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 5 жыл бұрын
"Beverage" ni biashara kubwa sana na ikiwa inazidi kupanuka lazima watumiaji wawe na vibali maalumu kuleta restriction kwa under aged people, hilo suala Serikali walitazame otherwise raia wote watakuwa ni zao la "Liquid" no man power no doer.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 60 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 10 МЛН