MTANZANIA ANAEFUGA MENDE "MMOJA NAUZA Tsh.1000, SOKO NI KUBWA MPAKA NAPAGAWA"

  Рет қаралды 264,095

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 639
@sarahmarshaymarshay2239
@sarahmarshaymarshay2239 5 жыл бұрын
Big up Milardy habari zako zinakwenda sawa nakichwa cha habari sio kama wale wengine matapeli tu kama timu ayo mupo gonga like yako hapo chap kwa haraka ili twende sawa
@hermankoba4970
@hermankoba4970 5 жыл бұрын
Umeona eeh Jamaa ajajitahid kwakwer
@gumbojr9172
@gumbojr9172 5 жыл бұрын
kiukweli mippard ayo nimahiri katika habar yaani mtu anaweka kichwa chahabar kingine habari nyengine ila kwako tunapata tunachostahili chakula kizuri toka kwampishi mahir
@pastorymziba1683
@pastorymziba1683 5 жыл бұрын
Uyo Jamaa anakla men de
@saidahj2543
@saidahj2543 5 жыл бұрын
I don't regret subscribing to this channel....only good en relevant news...ila naogopa mende mm😃😃..love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fredkakamilion5497
@fredkakamilion5497 5 жыл бұрын
Saidah licious 254 nyc. but Usiwe muoga
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 5 жыл бұрын
It's opportunity to this man.
@TanzaniOman
@TanzaniOman 5 жыл бұрын
Huyu milad ayo anahabar nzr san hana upumbavu kwenye kaziyake
@scholasticamabena7239
@scholasticamabena7239 4 жыл бұрын
Tanzani Oman kabisa habar zake nzur na znaukwel
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 5 жыл бұрын
Hongera sana hizo ndizo habari ambazo nahitaji kuskia sio kina super star flani kilasiku habari zao this is good news
@estghermilton8910
@estghermilton8910 5 жыл бұрын
Sana sana
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 5 жыл бұрын
şß
@asnathassan1224
@asnathassan1224 5 жыл бұрын
Acha umbeya kuma wewee angalia habr unayoelew syo kutajataja star mavi wewe
@sabinaassenga3086
@sabinaassenga3086 5 жыл бұрын
Hahahaaa
@nathanjunior7694
@nathanjunior7694 5 жыл бұрын
Best blogger in TZ...big up Sana kwa kazi nzuri unayoifanya
@mkakampole7802
@mkakampole7802 5 жыл бұрын
Daah!! Bro Millard nappreciate sana kazi yako, hujawahi tuangusha hata siku moja aise. Tanzania nzima hakuna reporter kama wewe, kweli wewe umeletwa kwaajili ya watanzania. Tufungulie dunia tuzione fursa sisi ambao hatupati muda wa kutembea maeneo mbalimbali na Mungu atazidi kukubariki brother
@millardayoTZA
@millardayoTZA 5 жыл бұрын
Shukrani sana ndugu yangu John
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 5 жыл бұрын
John Ndahani k
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 5 жыл бұрын
Kweli kabisa brother
@luthermajoji7300
@luthermajoji7300 5 жыл бұрын
@@millardayoTZA Honestly, you are the best katika kuleta habari zenye tija 🙏🙏🙏 naomba namba ya huyo jamaa please
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 5 жыл бұрын
Harufu ya mende na jinsi alivyo tu sijui atapitaje mdomoni nitatapika mpaka moyo
@mamachris6811
@mamachris6811 5 жыл бұрын
Ha ha haaaaaa !!!!!!
@asnathassan1224
@asnathassan1224 5 жыл бұрын
Hahahaaaaaa
@aminashabani6021
@aminashabani6021 5 жыл бұрын
Jona Mnyone hahahahahahaha umenchosha 😂😂😂😂😂
@issaalfani1030
@issaalfani1030 5 жыл бұрын
Hahahahahahah
@kamandab7976
@kamandab7976 5 жыл бұрын
Jona Mnyone shida ulisha aminishwa uwo ukinyia
@faizaboubacar5064
@faizaboubacar5064 5 жыл бұрын
Milard tunamshukuru kwa taarifa mbali mbali kama hizi #👌🙏
@mamachris6811
@mamachris6811 5 жыл бұрын
We ndugu yangu ulikuwa Brazil,utakuwa umekula mkate wa mende
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
Duu! nilijua walewale wanaoandika kichwa cha habari ukianza kuangalia unakuta vilivyomo tofauti na alivyoandika aise kweli we jamaa hubahatishi huyo baba nae yuko vizuri hadi mende kala makubwa
@mariyamgharib940
@mariyamgharib940 5 жыл бұрын
Hizi ndo story za kusisimuwa na zenye manufaa kwa jamii kujuwa dunia inaendaje kitaaluma. Shukran Millard kwa habari nzuri km hizi.
@kilaboy2261
@kilaboy2261 Жыл бұрын
Qqei8
@billalphilip5776
@billalphilip5776 5 жыл бұрын
Aliagiza mende toka Kenya?? Duuhhh Kwangu nimeua wengi sikujua unanunua😂😂😂
@shamsaabdallah2047
@shamsaabdallah2047 4 жыл бұрын
Mbavu zangu.n mende😂😂😂😂😂
@edlumala9428
@edlumala9428 5 жыл бұрын
Hesabu za daftari hizo, mende 1 tsh 1000, mende 3000= 3 millions! Anza kufuga uone pasuka kichwa yake! Kila kitu kina ugumu wake jamani hamna kitu rahis kikakupa pesa!
@edlumala9428
@edlumala9428 5 жыл бұрын
Dorcas Mkambeni Bro wewe fanya wachana na wachawi kama mimi! Wabongo tunapenda sana short cuts, wewe una amini soko la mende ni kubwa? Na bei yake 1000? Si kila mtu angefuga mende? Wacha kuwa fala kaka! Siri ya biashara ni siri! Huyo jamaa mwenyewe njaa tupu anaonekana.
@msetyntorah804
@msetyntorah804 5 жыл бұрын
Fact.
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 3 жыл бұрын
Aswaa umeongea point
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 5 жыл бұрын
Good jobs message from USA
@hellenopundo1715
@hellenopundo1715 5 жыл бұрын
Kumbe ndo maana siku hizi sioni mende eeeeeeeee
@barakawarioba4617
@barakawarioba4617 4 жыл бұрын
Hahahha umeone
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 5 жыл бұрын
mimi nilizoweya kuwaona mende chooni leo inakuwa chakula,wanadamu itafika muda tutakulana wenyewe kwa wenyewe.
@hassanbwire9033
@hassanbwire9033 5 жыл бұрын
😂😂
@blandinajuma1449
@blandinajuma1449 5 жыл бұрын
jamani mm namuogopa mende yaan akiingia. dani nakimbia,umenifanya nipunguze woga,axante pia ongera.
@adammveyange9638
@adammveyange9638 5 жыл бұрын
@@blandinajuma1449 tofauti na hao uliowazoea hao ni special
@neemawilliam8415
@neemawilliam8415 5 жыл бұрын
Dalili za siku za mwisho
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 5 жыл бұрын
Kwani wewe hujawahi kumla MTU 😀😀😀 mi namlaga demu wangu kila siku
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 жыл бұрын
Hongera sana Millard Ayo kwa kutuletea habari nzuri ambayo inahusu mende maana mimi nilikuwa najua mende ni wadudu wanaoleta magonjwa kumbe ni chakula cha watu hongera sana kwa taarifa nzuri hakika taarifa zako zote ni za ukweli na uhakika.
@josephmkunja9808
@josephmkunja9808 5 жыл бұрын
Millard hakika utakua juu kilelenii chiii
@selemanimasambula1216
@selemanimasambula1216 5 жыл бұрын
Tunaomba namba za huyo jamaa anaefuga mende atuelekeze vzr
@ashuramahali6643
@ashuramahali6643 5 жыл бұрын
Haha mende Jmn 😁😁😁😁 aje achukue wengne huku jikon kwet ni weng mno
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 5 жыл бұрын
Hao wanakula sana watamfirisi
@ashuramahali6643
@ashuramahali6643 5 жыл бұрын
Haha
@hidayahussein7342
@hidayahussein7342 5 жыл бұрын
hahaaa Ashura
@babukasiaka2833
@babukasiaka2833 5 жыл бұрын
Nawe fuga maendeleo huigwa we vipi?
@officialdstar9288
@officialdstar9288 5 жыл бұрын
Hahaha
@majaliwampika5417
@majaliwampika5417 5 жыл бұрын
Nampenda Millard anatoa vitu vya ukweli na uhakika, niwashaur wanahabari wengine wajifunze kwake
@faduladula7414
@faduladula7414 5 жыл бұрын
Hongera kaka una habari nzuri hua sichoki kusikiliza habari zako
@petermim
@petermim 5 жыл бұрын
Thank u
@zacqtv9855
@zacqtv9855 5 жыл бұрын
nakuomba kaka Millard Ayo nikutanishe na huyo Baba please nitashukuru sana
@yusuphnyansika490
@yusuphnyansika490 5 жыл бұрын
Mawasiliano ya MUHUSIKA ni muhimu kwa tunaohitaji kuqnza ufungaji huo.
@daudintambala3896
@daudintambala3896 5 жыл бұрын
Bro miladi "namimi nakuhakikishia naanza utafikti na nikimaliza naanza kufuga"
@mamaagi8629
@mamaagi8629 5 жыл бұрын
Namm nataka kufuga nitawapataje
@georgematahimba5242
@georgematahimba5242 3 жыл бұрын
Tupe contact zake
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 жыл бұрын
Kwa staili hii vijana mkisema hakuna kazi itakua mnasingizia Serikali tu..
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 5 жыл бұрын
Ayo nyie sio matapeli habari zinakamilika leoleo.
@mumybhay6561
@mumybhay6561 5 жыл бұрын
vitu vi4 naviogopa sana maishani mwangu mende..panya..jongoo..na kijusi..mamaaaaaa😭😭nakufaaaa!😣😣
@elizapanga9532
@elizapanga9532 5 жыл бұрын
Hahahahah acha woga fursa hiyo
@lucykilonzo2749
@lucykilonzo2749 5 жыл бұрын
Uwiiiiiiiii ach tu loly yaaaan APA naangalia lakin najixkia vbay chiiii naogp mend htr
@wahidawahida6675
@wahidawahida6675 5 жыл бұрын
Natamni na mimi kufuga ila kuwashika ndo shida naogop
@mamachris6811
@mamachris6811 5 жыл бұрын
Ha haaaaaa !!!! Watakushikia we fuga tu
@musaabuebker1750
@musaabuebker1750 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣kukamata nd shda
@elidasimon504
@elidasimon504 5 жыл бұрын
hahahahah
@denzlilly4797
@denzlilly4797 5 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆this is crazy by also creative ,bora kipato kinaingia hapo freshy kaka
@ybsportstz7629
@ybsportstz7629 5 жыл бұрын
Wakwanza kabisa basi mende ni boonge la mboga🔥🇰🇪
@williamsville3493
@williamsville3493 5 жыл бұрын
Wachina nimepiga saluti wanakula hadi mende
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 5 жыл бұрын
@@williamsville3493 cyo mende wachina wanakula hata nyoka
@williamsville3493
@williamsville3493 5 жыл бұрын
@@user-rd7jt1vi5x Aisee ndiyo maana akili zao za ajabu sana
@moseskayan3705
@moseskayan3705 5 жыл бұрын
Safi sana miladi ayo anakubali kazi zako
@mwanamisaomar346
@mwanamisaomar346 5 жыл бұрын
Asante xana millard ayo kwa taarifa nzuri..pa1 mfugaji.
@iddytamba1907
@iddytamba1907 4 жыл бұрын
Good nice
@mbumbulicomedians3286
@mbumbulicomedians3286 5 жыл бұрын
safi sana ayo kwa habari nzuri, big up sana kwa huyo dingiiiiii
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Ruvuma kuna maajabu mm nimesha shuudia kuna mzee anatumia gesi ya mavi ya ngo'mbe songea pare masigila
@afamatv4848
@afamatv4848 5 жыл бұрын
Bigup sana bro Millard pia hata mfugaji wa mende hongera sana!!
@angelazizi4831
@angelazizi4831 5 жыл бұрын
Millard ayo upo vzr kwny hbr zako. .nice hongera
@kajorotz.4058
@kajorotz.4058 2 жыл бұрын
Nakukubali sana millard ayo👊 lete vitu
@hijazhija316
@hijazhija316 5 жыл бұрын
"Periplaneta Americana".
@noahvan6890
@noahvan6890 5 жыл бұрын
Hijaz Hija bios logos
@abdulmapunda5329
@abdulmapunda5329 5 жыл бұрын
Duh hiyo fulsa hao wateja waje morogoro mazimbu wapo wengi yaani tutatajirika
@alexmahenge3817
@alexmahenge3817 5 жыл бұрын
AYO. Heshima kwako Nimependa saana saana wewe ni mtafiti wa kweli saana kwa habari ya News
@mgangajuma7720
@mgangajuma7720 4 жыл бұрын
Mimi namende ndani njoo uchukue nawachukia sitaki atakuwa ona
@princespider5854
@princespider5854 5 жыл бұрын
Hahaha so funny na ndio mtu anamake pesa jamaa ametoa fursa watu wafuge mende nayo serikali haiko mbali kutoza ushuru wa mende 😂
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤭🤭
@nadystyle339
@nadystyle339 5 жыл бұрын
Mie habari nkama sio ya milard ayo huwa siangalii kabisa .milard kuanzia muonekano mzuri hadi habari ni mwaa
@issahhussein1922
@issahhussein1922 5 жыл бұрын
MTU mwenye muonekano mzuri huwa mnaangalia nini haswa
@Philipoupdates
@Philipoupdates 5 жыл бұрын
Ayo tupia namba ya huyo baba
@florachanga6983
@florachanga6983 5 жыл бұрын
Good job my bro nilikuwa cjuagi
@tabuselemani6869
@tabuselemani6869 5 жыл бұрын
hahaha ukitaka mende wengi nenda kwenye vyoo vya mashimo 😂😂😂utapata wengi balaa na ukauza
@binthawa2973
@binthawa2973 4 жыл бұрын
Komaa ding miaka ijayo tutakuskia ushapig maendeleo kuhus biashar ya mende...
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 жыл бұрын
Asanteh Kaka Kwa habari
@ahmednahidkid1330
@ahmednahidkid1330 5 жыл бұрын
doh mende na wapiga na viatu kumbe dili
@lilianemil4195
@lilianemil4195 5 жыл бұрын
Interesting
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 5 жыл бұрын
Nina shida na hela lakini....sijawahi pata mchukia mdudu kama ninavyo mchukia mdudu mende yani akikatisha mbele yangu hata kama ni ugenini nitamuua
@allykassim1120
@allykassim1120 3 күн бұрын
ayo wewe noma nakubal sana big up
@kasmirilamiye6991
@kasmirilamiye6991 5 жыл бұрын
itabidi nianzee kuwafuga but kwaupande wa kigoma kunamaeneo kuna mende sana
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 5 жыл бұрын
Naaaje znz kuma mende haratiiiiii loo
@Pastorlenhardkyamba
@Pastorlenhardkyamba 5 жыл бұрын
YAO GOD BLESS YOU SIR. YOU ARE MY INSPIRATIONAL KAKA
@elishasolomon9742
@elishasolomon9742 2 жыл бұрын
Aliyeona mkono w millard ayo unaogopa mende gnga like twende sawa
@deboramatpapaztv
@deboramatpapaztv 5 жыл бұрын
Jamani porini kote huko connection alipataje jmnnn????hongera zake ..
@massoudsalum2038
@massoudsalum2038 5 жыл бұрын
Connection sio issue
@si-qm1ki
@si-qm1ki 5 жыл бұрын
Connection ni ww mwnyw
@ibrahimchoray8530
@ibrahimchoray8530 4 жыл бұрын
Mmh!! Dunia imefika mwisho kwa kweli🤔
@mohdiddi8203
@mohdiddi8203 4 жыл бұрын
njoo uchukue bure kwangu, nawapiga dawa kila siku
@stevepaintertz7252
@stevepaintertz7252 5 жыл бұрын
Nice ideas
@user-te4cp5mh7z
@user-te4cp5mh7z 2 жыл бұрын
𝐃𝐚𝐚𝐚𝐡 𝐃𝐮𝐧𝐢𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐛𝐞𝐛𝐚 𝐦𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐡𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐱𝐚𝐧𝐚 𝐛𝐫𝐨
@bigmamaa2198
@bigmamaa2198 5 жыл бұрын
254 kenya 🇰🇪 nakupenda Millard
@evancekimath7405
@evancekimath7405 2 жыл бұрын
So nice ....!!
@com_sci123
@com_sci123 5 жыл бұрын
Eeww that's disgusting
@keagleeagle821
@keagleeagle821 5 жыл бұрын
Niliona Azan news hii habari.8 months ago alisema anauza mmoja 500. Naomba wamepanda bei
@romanilyimo7822
@romanilyimo7822 2 жыл бұрын
Ongera sana milard ayo kwa riport big up
@agathapaul2285
@agathapaul2285 5 жыл бұрын
Huyo mfanya biashara siwezi kuwa jirani yake imagine mende zikienda strike zinakuja kwako na hiyo time uko na wangeni
@dalaylatv9532
@dalaylatv9532 5 жыл бұрын
Na mm naanza biashara mmoja sh mía kama tuko pamoja like, hahahaha
@charlesowuor7939
@charlesowuor7939 5 жыл бұрын
Mimi nimekuwa interested na hiyo biashara nina hayo matrey kibao sasa huyo jamaa nitampataje Niko Dares salaam
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 5 жыл бұрын
Dunia INA mambo
@jacobgabrel9718
@jacobgabrel9718 5 жыл бұрын
Safi sana milard Millard ayo kazi yako ni nzuri Sana'a Mimi wananisumbua kila day nawawekea dawa lakini hawaishi uko WAP millad ayo
@zulekhakhassun6858
@zulekhakhassun6858 5 жыл бұрын
Mama weeee 😁😁😁. That's good news kwakweli .. lets all make money
@agathaagustino2820
@agathaagustino2820 5 жыл бұрын
Elimu nzuri sana
@moyesinfotainment25
@moyesinfotainment25 5 жыл бұрын
Very interested
@jimmyjullius1670
@jimmyjullius1670 5 жыл бұрын
Good job @millard Ayo keep it up
@officialdstar9288
@officialdstar9288 5 жыл бұрын
Dah aisee noma
@junioramos2997
@junioramos2997 5 жыл бұрын
Yule jamaa repoter wako was Arusha ajitaid Sana Sana ackuige ila yy aende kivyake coz awez kukufikia mfundishe
@mohamedisaidi3380
@mohamedisaidi3380 4 жыл бұрын
hatakama siwezi kula
@judithmushi5869
@judithmushi5869 4 жыл бұрын
Mbona kazee hivyo
@mbingaheaven9899
@mbingaheaven9899 5 жыл бұрын
Good idea Bro
@jansidorkas2749
@jansidorkas2749 5 жыл бұрын
Mende ni mududu sipendi kabisa
@mariammussa2540
@mariammussa2540 5 жыл бұрын
@@Ali Ali 😂😂😂😂
@mariammussa2540
@mariammussa2540 5 жыл бұрын
@@Ali Ali hatariii sana kwa hiyo hayo mavi yanaliwa au yanakaz gani kwa mfano😂😂😂mbona sijakupata vzr nijuze wenda ikawa fursa kwangu maana maisha magum balaa
@m-blnlabenie3138
@m-blnlabenie3138 5 жыл бұрын
@Ali Ali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@williamsville3493
@williamsville3493 5 жыл бұрын
@@mariammussa2540 Jamani mbavu zangu zinauma
@aisianamasawe4421
@aisianamasawe4421 5 жыл бұрын
@Ali Ali ni kweli kabisa mimi nipo Denmark kila kitu kina kazi yake mavi pia wanatengeneza ges na umeme
@salehegiza3305
@salehegiza3305 5 жыл бұрын
🙆🙆🙆 Jamaa ameshakula mende.
@vivianabraham3200
@vivianabraham3200 5 жыл бұрын
Doooh jaman mende sawa keet up baba
@gastordominic410
@gastordominic410 5 жыл бұрын
Hapo sawa Kumbe ni mende special Yaan kama panya vile
@bafaello2619
@bafaello2619 4 жыл бұрын
Wow
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 5 жыл бұрын
Aise, Ahsante sana millard. Mi naomba namba ya huyo mfugaji nimeona fursa nzuri sana hapo.
@zakhiahassani1011
@zakhiahassani1011 4 жыл бұрын
Me mwenyew naomb namba jmn mevutiwa Sana na huo mrad aisee
@hancemagembe7554
@hancemagembe7554 3 жыл бұрын
Da milarde Ayo hakika unaipenda kazi yako hongera
@stevenmkuwa8588
@stevenmkuwa8588 5 жыл бұрын
Hongera sana kwa taarifa za kujenga nimeipenda sana hiyo.
@GegoMnete
@GegoMnete 5 жыл бұрын
✊🏻✊🏻✊🏻
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Yuuuuuk msitutapishe. Huyu mdudu hata aki ingia ndani si lali hadi nimtoe jwa hurufu mbaya aliyo nayo
@atienosimbi2553
@atienosimbi2553 5 жыл бұрын
Aje aondowe za kwangu Nampa bure
@jamesakhabuhaya6194
@jamesakhabuhaya6194 5 жыл бұрын
Kaka mungu azidi kukubariki habari zako kali sanaaa sanaaa
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 5 жыл бұрын
Hongera sana mirlad ayo kwa habari mzuri za ujasiliamari
@andersonmwanga6414
@andersonmwanga6414 5 жыл бұрын
Naomba
@annastephen50
@annastephen50 5 жыл бұрын
doh, ipo siku watauza mayai ya mende
@salmasalim6055
@salmasalim6055 5 жыл бұрын
Oh my god 😳
@nyamarungujr7834
@nyamarungujr7834 5 жыл бұрын
This is a good business😕 will do a research on this!!
@williamsville3493
@williamsville3493 5 жыл бұрын
Kikubwa pesa tu kama ni dili tunasababisha
@mungunimwemakilawakati1299
@mungunimwemakilawakati1299 Жыл бұрын
Jamani Milard Ayo naomba namba ya Simu ya Huyo Mzee nataka mbegu ya Mende!
@aminakasim1198
@aminakasim1198 3 жыл бұрын
Mungu wanguu hadi nahis kichefuchefuu sanaa mmmmmmh
@wilsontukai6400
@wilsontukai6400 2 жыл бұрын
Ayo mimi npo Arusha naomba unisaidie mawasiliano na huyo mkulima mwenzangu na mm nafuga pia Ila kwa ajili ya mashuleni.
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 5 жыл бұрын
Ah utaelewa box likitoboka waingie room mzee baba 😂
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 8 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 30 МЛН
WACHINA WANAVYOKULA CHURA, NYOKA, KONOKONO, MENDE, NG'E NA MAMBA
7:29
WADUDU WANA KIASI KIKUBWA CHA PROTINI KWA AJILI YA KUKU NA SAMAKI
8:51
Mwananchi Digital
Рет қаралды 14 М.
SUA kuzalisha Nzi Chuma kama chanzo cha Protini kwa Samaki, Kuku
14:01
SUA MEDIA TANZANIA
Рет қаралды 2,1 М.
Biashara ya mende yashamiri Tanzania
4:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 3,1 М.
Mzinga wa Nyuki wa Kibiashara Mwaka 2010, Kisaki-SINGIDA,Tanzania.
9:42
KIJIJI CHA NYUKI
Рет қаралды 10 М.