NOVENA ISIYO SHINDWA KITU by Msgr Deogratius Mbiku

  Рет қаралды 145,980

The Servant Media

The Servant Media

Күн бұрын

Novena ya siku 54, ni novena isiyo shindwa kitu chochote unapata unachokiomba kwa 100% kwa sababu unamuomba Mungu moja kwa moja.

Пікірлер: 366
@bonifacemusyoki7030
@bonifacemusyoki7030 3 жыл бұрын
I promise to prepare and plan to Pray this novena, so May the Almighty God Guide me and walk with me through out the 54 days without breaking the chain,in Jesus Mighty Name AMEN 🙏🙏 🙏.
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Wonderful!
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@estermiho9612
@estermiho9612 5 жыл бұрын
Asante sana Baba Mbiku kwa mchanganuo huo wa Hii novena. Mimi niliwahi kuelezwa na Padre mmoja jina nimelihifadhi. Hakuna tofauti na ulichoeleza. Na nilijibiwa ombi langu. Tunakushukuru Ee MUNGU kwa zawadi ya Fr. Mbiku kuwepo pamoja nasi.
@mauramwingira8912
@mauramwingira8912 5 жыл бұрын
Nakushuru sasa Baba Mbiku, mimi nimekuwa nikisali novena hii lakini kwa mafundisho yako sasa nimefahamu kwamba nilikuwa naisali ndivyo sivyo na labda ndiyo maana sikujibiwa maombi yangu. Nimefarijika sana sana kwa tafakari na mwongozo huu. Mungu azidi kukubariki katika uijilishaji wako unatufunulia mengi sana. nasikiliza sana na kujifunza kupitia Believe and Be filled Amen
@richardmmakoi9009
@richardmmakoi9009 5 жыл бұрын
Maura Mwingira hii novena naipata wapi
@nelsonvinene8139
@nelsonvinene8139 4 жыл бұрын
Samhan hii novena n ipiii naomba kujua tafadhal
@catherinemazengo7776
@catherinemazengo7776 2 жыл бұрын
Naiomba hii novena
@catherinemazengo7776
@catherinemazengo7776 2 жыл бұрын
Naomba
@mansuethamichael544
@mansuethamichael544 Жыл бұрын
Hapo Fr.aliposema utasali misa mbili ni kwa namna gani maana Jumapili nikienda kanisani narudi tena ibada ingine au
@eliasmossae2637
@eliasmossae2637 3 жыл бұрын
Nakushukuru sana Baba mbiku nijiandaa kusali hii novena ee mungu nitangulie nisali na kuifuata sheria zake🙏
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu utazame Hazina ya Mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika Channel yetu ya THE SERVANT MEDIA Kwa ku SUBSCRIBE.
@MagdalenaJoseph-fm7jv
@MagdalenaJoseph-fm7jv 10 ай бұрын
Pumzika kwa amanii Baba naamini nimekuelewa nitaanza novena mda so mrefu 🙏🙏
@bahatikazungu670
@bahatikazungu670 3 жыл бұрын
Mm imenisaidia tu sana chnye ilikua nahitaji Mungu amenibariki nacho nashkuru sana
@kingdomnjimbi6725
@kingdomnjimbi6725 5 жыл бұрын
Really inspired i once tried this kind of novena but i have found that i skipped some of the principles. I'm thankful for this video
@albinatango7353
@albinatango7353 3 жыл бұрын
Mm pia Nina swali mmoj je? Kam nimechagua Sala na takiwa kuacha misa au nitafanyaje?
@mwlsimonitvchannel1577
@mwlsimonitvchannel1577 3 жыл бұрын
Mwaka 2020 nilifanya nikafanikiwa Asante Sana Mwisinyori Mbiku
@mastabethajohn8490
@mastabethajohn8490 3 жыл бұрын
Jamani..hyo novena ipoje au ndo hayo maelezo unafata kwa siku 54
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@rosemarywakolela1862
@rosemarywakolela1862 3 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristu samahan naomba namba zako
@janethnkwama1096
@janethnkwama1096 3 жыл бұрын
Baba umenibariki na umenifungua.AMINA.
@mr.kibaiskelithedesertroot8419
@mr.kibaiskelithedesertroot8419 3 жыл бұрын
💝💖💗💞
@cellyassenga2020
@cellyassenga2020 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mbinguni baba capilano. Hakika maneno yako yanaishi. Ulale salama mzee baba
@cellyassenga2020
@cellyassenga2020 3 жыл бұрын
Mungu nisaidie shida yangu
@patrickmukambilwa584
@patrickmukambilwa584 4 жыл бұрын
Asante sana baba kwa makumbusho ayo bora ya novena Mungu akubariki pia akulinde na akujalie nguvu zaroho mtakatifu ili upate ku mtumikia sikuzote zamaisha yako amina
@magdalinekomen1631
@magdalinekomen1631 3 жыл бұрын
Rest in eternal peace Fr. Thanks for your teaching
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina karibu utazame hazina ya mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika channel yetu.
@annalyimo-py3pt
@annalyimo-py3pt Жыл бұрын
naomba unisaidie😢🙏
@janemlesi5932
@janemlesi5932 4 жыл бұрын
We Mungu upe afya njema msr mbiku namwombea maisha ya kiroho aendelee kutuimatisha kiroho ubarikiwe baba
@mathaphilipo9257
@mathaphilipo9257 Ай бұрын
Mungu ampe mume wangu kazi nzuri
@gregorymajenga9072
@gregorymajenga9072 2 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa kutupa mtumishi wako Mwalimu bora wa imani Mungu abarki kazi zake zote na naomba tuzitumie tupate wokovu.
@tabithajanethmhella3364
@tabithajanethmhella3364 4 ай бұрын
Asante baba, maelezi yako yamenifungua vyema sana, amina
@uwimanaaline232
@uwimanaaline232 2 жыл бұрын
Nabarikiwa saaaana kupita maelezo, Nina shida inayo nisumbuwa, Mwenyezi MUNGU anisaidiye, niendeye sharti hizo niziweze 😭😭
@fulkomlwale5790
@fulkomlwale5790 4 жыл бұрын
Tumsifu yesu kristo.. .. Je Kuna kitabu maalum au io novena. .
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 4 жыл бұрын
Hakuna kitabu cha hii novena
@brhchannel6618
@brhchannel6618 5 жыл бұрын
Amina Nimekusikiliza kwa Makini Sana Father Mbiku Deogratius H. Inawezekana kusali hii Novena with the Help of God.
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 5 жыл бұрын
Ndo maana unaitaji kutubu ili uwemsafi wa moyo n.a. Mungu atakutangulia
@sibilinamboki6806
@sibilinamboki6806 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na maelezo ya baba Mbiku. Pumzika kwa amani mtumishi mwema
@rosekiwale8302
@rosekiwale8302 4 жыл бұрын
Kweli Leo nimejifunza sana Asante Sana padri kwa ufafanuzi mzuri
@elizagervas5751
@elizagervas5751 5 жыл бұрын
Asante sana father mbiku nawezaje kuwasiliana na wewe nina matatizo nahitaji msaada wa kiroho na ushauri
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 5 жыл бұрын
Unaweza kuja ukumhona hapa chuo kikuu
@elizagervas5751
@elizagervas5751 5 жыл бұрын
@@theservantmedia7566 nipo mbali kidogo nipo udom
@adelardiwoisso135
@adelardiwoisso135 4 жыл бұрын
Asante sana baba Askofu , umenijenga kiimani sana, Amina.
@felisterligwa
@felisterligwa 4 жыл бұрын
Asante sana baba Mbiku
@PraxedaMahendeka
@PraxedaMahendeka 5 ай бұрын
Upumzike kwa amani baba🙏mafundisho yako yatabaki kizazi hata kizazi
@kabibirwechungura9813
@kabibirwechungura9813 3 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristu. Naomba Padri unisaidie ku-clarify katika ku-establish nia ya novena. Naomba Mungu nifanikiwe ku-recover malipo katika kesi ya madai pamoja na kupokea uongozi wa Roho Mtakatifu katika restoration ya maisha baada ya kupoteza mali zangu zote. Je hili ni ombi moja au zaidi ya moja katika nia? Asante sana kwa lishe hii bora ya kiroho. Amen.
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Hayo Ni maombi 2 changua moja Kati hizo nia
@marthakilawe9293
@marthakilawe9293 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na ujumbe wako baba Padre hakika naomba Mungu aniongoze nifanye hii novena kwa uaminifu... Naamin Mungu ataniwezesha
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@petronillajuma3299
@petronillajuma3299 3 жыл бұрын
May you Rest In Peace Padre Mbiku,umetufundisha mengi sana katika maisha yetu
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu utazame Hazina ya Mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika Channel yetu ya THE SERVANT MEDIA Kwa ku SUBSCRIBE.
@johnpetrosono1189
@johnpetrosono1189 3 жыл бұрын
Tumsifu yes kiristo jinalangu John Lucas Petro swali mmi ninauchumba wapata miaka 18 Sasa mchumba wangu nimwisilam tunaishi vizuri tuna watoto 3nilishajalibu kumshawishi lakin sijafanikiwa nae anamsimamo namim sishiliki komniyo nifanye Nini ilinifanikiwe 2kazi yangu ni dereva wamagar makubwa yanayo safir nje ya nnchi ya Tanzania padri nifanye nn iwapo nataka kusali hiyo novena
@irenekongwa1224
@irenekongwa1224 Ай бұрын
@@johnpetrosono1189 nashauri ukafunge ndoa ya serikali
@thelesiakabadi2155
@thelesiakabadi2155 3 жыл бұрын
Mungu tuogezee imani
@lisaernest2844
@lisaernest2844 3 жыл бұрын
Mungu akupe pumziko la amani Baba.AMINA
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
AMINA
@jamesassey5583
@jamesassey5583 3 жыл бұрын
Nakushukuru sana Baba nimemueleza vizuri sana Fr
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@neemacharles9848
@neemacharles9848 2 жыл бұрын
Amina , asante kwa maelekezo mazuri mtumishi wa Mungu ubarikie sana
@pendojuma8075
@pendojuma8075 3 жыл бұрын
Asantee baba kwa mafunzo
@levismaximillian2176
@levismaximillian2176 5 жыл бұрын
nimejifunza kwa uzuri kabisa Msgr Deogratuius Mbiku, mbarikiwe sana @believe and be filled
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Ok Sasa ire ya mwisho ya sita Kuna misa ya wajibu ok na miss yanovena mfano mie naishi daa kz zangu Zanzibar kanisa ni Moja tu kama hakuna Sara ya novena nitafantaje hapo mnisaidie Kwa bars sawa viwasini Sasa naomba msaada Nina siku mbili tu dareslaam nasafili huko visiwani
@gustavkunkuta6733
@gustavkunkuta6733 3 жыл бұрын
Ahsante sana Baba Padri kwa mafundisho hayo mazuri yahusuyo hiyo Novena ya siku 54, na kwamba tukumbuke pia kumshukuru Mungu kwa mengi aliyotujalia na si kuomba tuu kama wengi wetu tunavyofanya.
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina Karibu Sana
@winnermariah
@winnermariah 3 жыл бұрын
Nimejifunza Mengi.....Asante Padre 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@emmanuelachengula9978
@emmanuelachengula9978 Жыл бұрын
Ahsante sana. Nimefunguka
@josephinepancrasy3194
@josephinepancrasy3194 Жыл бұрын
MAFUNDISHO mazuri
@theresiakimaryoaugustin2854
@theresiakimaryoaugustin2854 3 жыл бұрын
Asante sana father nimebarikiwa na nimejifunza kitu kikubwa sana maishani mwangu, Mungu akujalie maisha marefu ili uzidi kutoa elimu kwa jamii.
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@emmakinyamagoha3577
@emmakinyamagoha3577 3 жыл бұрын
Asante baba kwa maarifa haya, nitaanza novena hii Mungu anisaidie kwenda kitakatifu wakati wote wa Novena
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@victoriamallya9102
@victoriamallya9102 3 жыл бұрын
Mana Mana@@theservantmedia7566 9plllñ
@victoriamallya9102
@victoriamallya9102 3 жыл бұрын
Ni Ni o9oo789
@rodgersakaya7158
@rodgersakaya7158 5 жыл бұрын
Asante sana Mosinyori Mbiku.
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 5 жыл бұрын
Karbu unaweza kushare kwa wengine
@goldnandy4804
@goldnandy4804 5 жыл бұрын
Ni novena ipi hiyo Mimi siijui
@priscapascal9738
@priscapascal9738 4 жыл бұрын
Kristu. Sara ya Mt inyasi inafaa katika novena hii
@winnermariah
@winnermariah 3 жыл бұрын
Sala au Tendo lolote, unaweza itumia pia
@haikangowi3828
@haikangowi3828 5 жыл бұрын
Asante sana sana father....hakika nimebarikiwaaa
@beatricenyamba8820
@beatricenyamba8820 4 жыл бұрын
Ikiwa nipo kwenye novena na nimetenda dhambi na wakati huo kumpata padri in vigumu yaan Yuki mbali na ninapoishi nitafanyaje?
@olgachaula9383
@olgachaula9383 4 жыл бұрын
Hakikisha unaungama kwa padre. Usipoungama na siku ikaisha Novena inayeyuka na itabidi uanze upya.
@floraritha1454
@floraritha1454 5 жыл бұрын
Asante sana father kwa kutusaidia kuweza kujua masharti ya novena hii,ila shida yangu kubwa nikutamani kuonana na wewe kwa ushauri zaidi baba
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 5 жыл бұрын
Unaweza kuja chuo kikuu ukaonananae karibu chuo kikuu
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 5 жыл бұрын
Unaweza kuja ukaonana nae chuo kikuu cha Dar es salaam Karbu sana siku za kazi j4 adi ijumaa mda Saa 9:00 asubui adi 1:00 Alafu jion 4:30 adi 6:30 jion
@evamringo2331
@evamringo2331 3 жыл бұрын
Mbona anachukua nafasi ya Yesu Kristo .. Yeye ni Bwana na ni Mwokozi wa Maisha ya kila mwanadam
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@evernyongesap7314
@evernyongesap7314 Жыл бұрын
Asante Padri kwa kunipa mwelekeo kamili.
@elizabethmapile9795
@elizabethmapile9795 Жыл бұрын
Asante sana Mungu akubaliki
@eliasmossae2637
@eliasmossae2637 3 жыл бұрын
Tumsifu yesu kristo, ahsante sana kwa maelezo mazuri. Nilikuwa na swali Je kama nimejagua tendo la kusali sala nitayochagua inakuajebhapo? kwenye shariti la sita naona umelezea tendo moja tu la kwenda kanisani kama wajibu wako.
@berthamichael372
@berthamichael372 3 жыл бұрын
Kama huwezi kwenda Misa chagua Sala yoyote ile ndo usali inaweza kuwa rosal takatifi,litania ya Mt yoyote ile
@ANDREACHARO-i3l
@ANDREACHARO-i3l 8 күн бұрын
Upumzike kwa amani baba monsinyori
@ireneassey3685
@ireneassey3685 4 жыл бұрын
Dah hakik mejifunz meng mm ni m kristo lkn cikua nafaham mambo haya ...
@NdewedoMichael14
@NdewedoMichael14 4 жыл бұрын
Father tumsifu yesu Kristu. Hakika nimefurahi sana kupata mafundisho haya. Naomba kama kuna uwezekano wa kuongea na father hata kwa simi mimi nipo Arusha
@esterkihwelo2228
@esterkihwelo2228 3 ай бұрын
Alishafariki
@matemangamhema6541
@matemangamhema6541 4 жыл бұрын
Asante kwa elimu kubwa kuhusu NOVENA YA SIKU 54 lakini naomba tupate elimu ya NOVENA YA SIKU 9
@mosescharles5477
@mosescharles5477 3 жыл бұрын
Mungu aniongoze niweze kusali hii Novena
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
na ikawe hivyo. "YL
@dionisialazaro2352
@dionisialazaro2352 4 жыл бұрын
Tumsifu yesu kristu , Je naweza nikasali tena novena hii kwa ombi jingine baada ya kumaliza novena ya kwanza
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 4 жыл бұрын
Ndio unaweza kuomba ombi jingine baada ya ombi la kwanza
@kattopeter7280
@kattopeter7280 5 жыл бұрын
ahsante sana Baba yangu uliyebadili sehem ya maisha yangu kwa asilimia kubwa sana.. tunawashukuru pia wote wanaousika na chanel hii, msichoke kufanya hivo
@kelvintech3797
@kelvintech3797 4 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni
@jeremiahmassawe9042
@jeremiahmassawe9042 3 жыл бұрын
@@kelvintech3797 Na Amani duniani. 🙏🙏🙏
@jamesassey5583
@jamesassey5583 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana jamani
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie maana mioyo mh
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@renatuskarushaija8438
@renatuskarushaija8438 5 жыл бұрын
Asante Padre,Mungu akubariki.
@saumsaum1916
@saumsaum1916 3 жыл бұрын
Amina baba,mi niko mbali na hakuna kwenda kanisani,je sasa ntaungama wapi,?na nifanyeje
@happyjohn7630
@happyjohn7630 3 жыл бұрын
Baba angekuja kutujibu hapa
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Kwa kanisa katoliki kama umeshindwa kuonana na Padre kuungama, Unashauriwa kupiga goti na kuomba toba kwa MUNGU Mwenyezi, Nilimuuliza swali enzi za uhai wake kama unaruhusiwa kutoa sakrament ya kitubio kwa njia ya simu alijibu hairusiwi kabisa. Fatilia video ya siku tatu za neema siku ya tatu alijibu hili swali vizuri kabisa
@dingadinga6674
@dingadinga6674 4 ай бұрын
Amina kubwa
@doreendinamica3473
@doreendinamica3473 4 жыл бұрын
Ameeeeeeen
@petromachanga29
@petromachanga29 4 жыл бұрын
Doreen Lyimo,safi,nakupena pia
@Memoj1214
@Memoj1214 4 жыл бұрын
Nimekusoma mpendwa doreen
@peterfanyeni3134
@peterfanyeni3134 3 жыл бұрын
Novena hii ilinipatia Mume Mwema. nakumbuka nilienda kwa Fr Mbiku ofc kwake ana kwa ana nikaandika. a nikaifanyia nikaaza kusali. na huwa nimewafundisha wengi
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Unapatikana wapi kwa sasa???
@bibianaamede7845
@bibianaamede7845 3 жыл бұрын
Baba umenibariki sana nakushukuru sana
@olivaaloyce7272
@olivaaloyce7272 3 жыл бұрын
Naomba kuwasiliana na ww ndgu
@olivaaloyce7272
@olivaaloyce7272 3 жыл бұрын
Naomba Namba yako ya Simu
@rosemarywakolela1862
@rosemarywakolela1862 3 жыл бұрын
Naomba namba yako
@devisshirima6780
@devisshirima6780 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Baba Padre !!
@johnsanga7895
@johnsanga7895 3 жыл бұрын
Ahsante
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu utazame Hazina ya Mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika Channel yetu ya THE SERVANT MEDIA Kwa ku SUBSCRIBE.
@catherineluoga6288
@catherineluoga6288 3 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristu swalilsngu ni hiv nimramua kuchagua matendo ya mwanga sasa je naanza kusema nos ndio nasali mate do ama
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Fatilia mafundisho ya Rozari aliyotoa Baba utapata majibu ya swali lako. Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Daaaa jamani kifo hiki hakina huruma.R.I.P baba mbele yako nyuma yetu.
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina
@theresiathadayo3622
@theresiathadayo3622 4 жыл бұрын
Naweza kusali novena Mimi ni zehebu lingine padre naomba kujua
@mjm9806
@mjm9806 4 жыл бұрын
unaweza.
@fideliskimati4619
@fideliskimati4619 5 жыл бұрын
Nilichelewa kupata ichi chakula cha roho hakika ni kitamu sana
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 5 жыл бұрын
Kimati Karbu sana unaweza kushare n.a. kwa wengine utabalikiwa
@hermesrulagirwa5101
@hermesrulagirwa5101 4 жыл бұрын
NAshukuru sana nimeelewa
@RaphaelMachinda-ih5we
@RaphaelMachinda-ih5we Жыл бұрын
❤aminaaaa
@mengikiguruwe6750
@mengikiguruwe6750 4 жыл бұрын
Ahsante sana Baba Paroko kwa somo hili muhimu; Nilipokuwa na miaka 10 baba yangu alipata ajali na kufariki hivyo nikalelewa na mdogo wake ambaye aliasi Ukristo (RC) na kuwa muda mfupi kabla ya ajali; kifupi niliiishi ktk jamii mchanganyiko inayoongozwa na Muislam na hivyo sikuweza kupata Sakramenti mbalimbali japo nimehakikisha wanafamilia wangu ninaowaongoza wapitia ngazi/sakramenti zote; Je kwa mapungufu hayo nitashiriki vipi kusali novena hiyo?
@oliverrwechungura1413
@oliverrwechungura1413 3 жыл бұрын
Nakushauri utafte padri akuongoze na akuelekeze zaidi..au muone father Mbiku mwenyewe...mtafte ili uweze kupata maelekezo zaidi ...natamani upate maelezo ya kina
@happymariki824
@happymariki824 2 жыл бұрын
ASANTE
@mamalisa3773
@mamalisa3773 3 жыл бұрын
Tumsifu Yesu kristu swali langu narusiwa kuomba maombi mengi kabla ya novena
@berthamichael372
@berthamichael372 3 жыл бұрын
Nia ni moja tuuu Kama alivoeleza baba paroko chagua Nia moja tuuu ktk hii novena
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@saraphinemoshi2868
@saraphinemoshi2868 5 жыл бұрын
Mimi ni mkristo wa KKKT natamani sana nisali hii Novena lakini nitafanyaje kuhisu kuungama kwa padri pamoja na ekaristi jamani naomba mwongozo
@haikangowi3828
@haikangowi3828 5 жыл бұрын
Saraphine Moshi naamini hata ninyi mnautaratibu wa toba..fanya hivo itafaa
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 5 жыл бұрын
Asante sana kwa swali hii novena kwa wakristo wanao pokea ekaristi n.a. kuhungama kwa padri tu au ubadili zehebu
@safarijuma3811
@safarijuma3811 4 жыл бұрын
Salafina Mimi nakushauri kapate Ushauli kwa padre yeyote ayapuma ushauli mzuri zaidi
@petromachanga29
@petromachanga29 4 жыл бұрын
Saraphine Moshi,heri nyinyi mnaoulizauliza kupata kufaham bila kujali madheheb
@veronicaalfred5739
@veronicaalfred5739 3 жыл бұрын
Saraphine Moshi; iman yako ni kubwa maana haujal dhehebu la mwingne; Mwenye imani anatumikia popote, penye kumwabudu MUNGU kwa roho na kwel, UBARIKIWE sana mpendwa wa MUNGU.
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Baba,
@florachogo5537
@florachogo5537 3 жыл бұрын
asante sana baba
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@chrismukaja7771
@chrismukaja7771 6 ай бұрын
⁠@@theservantmedia7566nafanyaje novena hii kama sipokei ekaristi tktf maana nina kizuizi na nataka kuomba ili kizuizi hiki kiondoke maana kinanikera
@barikiwa22
@barikiwa22 3 жыл бұрын
Baba ubarikiwe sana, nitaianza mara moja.
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@judamsaki5609
@judamsaki5609 3 жыл бұрын
mimi dr msaki nimebarikiwa sana
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@issomhagama3127
@issomhagama3127 4 жыл бұрын
Asante baba nimejifunza kitu kikubwa
@godfreyluoga7504
@godfreyluoga7504 4 жыл бұрын
Namba ya Mseja Mbiku nimepoteza naomba mnisaidie kwa sasa maana ningekuwa Mjini DSM ningeenda ofisini kwake. Tafadhali
@esterkihwelo2228
@esterkihwelo2228 3 ай бұрын
Alishafariki
@elizabethmapile9795
@elizabethmapile9795 Жыл бұрын
Baba padri mimi naswali je,mimi nataka kusali lakini nyumbani asubuhi saa Moja na je ikitokea nimesafili au nipo nje na nyumbn napoishi naluhusiwa kuendelea na Novena
@shelindion261
@shelindion261 2 жыл бұрын
Nimejifunza mengi ashate badri
@felisterligwa
@felisterligwa 4 жыл бұрын
Amina nitaisali hii novena
@celinatairo8966
@celinatairo8966 3 жыл бұрын
Nami nitasali Baba! Asante ubarikiwe
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@maryathanas587
@maryathanas587 5 жыл бұрын
Mimi Nina maswali 2.moja.tayari nahudhuria clinic Kwa ajir ya shida niliyonayo muda mrefu,niache clinic pindi ninapoanza novena hii?pili,nina novena nyingine ya cku 144 naendelea nayo,je nifanyeje?
@josephchagula2483
@josephchagula2483 2 жыл бұрын
Na Je kama palokia ninayo sali ikiewa Kuna ibada moja Tu Je yanipasa kufanyaje
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 2 жыл бұрын
Badili tendo unaweza sali rozari au litaniaaa
@annajoseph706
@annajoseph706 3 жыл бұрын
Naweza kusali zaburi?
@theresiathadayo3622
@theresiathadayo3622 3 жыл бұрын
Novena ya siku 9 au siku. 12 inaweza jibu maombi yangu naweza jibiwa najua padre mbiku ametangulia mbele za haki
@nyandabusiga5637
@nyandabusiga5637 Жыл бұрын
Baba, ninashauku sana kuanza kusali novena hii. Ila sasa nina mwanamke ambaye hatujafunga pingu za maisha, ila mbele yetu tunania yakufunga pingu za maisha. Je, ninaweza kusali novena hii
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 Жыл бұрын
Ndio unaweza kusali lkn uitaji kujiusisha na zambi youote kama alivyofafanua kwenye video
@nyandabusiga5637
@nyandabusiga5637 Жыл бұрын
Ninashukuru sana, kwa kuniondolea mashaka. Kwani ninaamini ninaweza kufika siku hizo zote. Hofu ilikuwa kwenye tendo la ndoa na huyu mwenzangu.
@nyandabusiga5637
@nyandabusiga5637 Жыл бұрын
Nami nitawafundisha wenzangu namna ya kusali novena hii. Nilinunua kitabu cha novena hii, nilikisoma nikashindwa nianzie wapi. Nilikisoma mara kwa mara. Ninashukuru sana sana kwa maelezo na maelekezo ya Baba.
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 Жыл бұрын
Ndo usifanye
@nyandabusiga5637
@nyandabusiga5637 Жыл бұрын
Ninapenda kufahamu juu ya Baba(Padre), nimeneona ameandukwa HAYATI, wameandika sawa au wamekosea? Na kama ameshafariki, nilini?
@mayungaagnes5660
@mayungaagnes5660 Жыл бұрын
Asante sana kwa MAFUNDISHO mazuri. Mi nina swali Natamani sana kuifanya hii novena na ninamiezi miwili sjaungama je ninatakiwa Tena kuungama? Na je novena hii ntafunga na chakula au nafunga mfungo wa kawaida tu huku nakiwa napata na chakula sjaelewa vzr hapo
@agneskagombe5123
@agneskagombe5123 4 жыл бұрын
Baba nashukuru kwa somo zuri. Naomba kuuliza kama mtu yuko na kimada anataka asali hii novena atafanyaje kwa kuwa bado yumo ndani ya kimada akiungama dhambi nyingine hiyo ya kimada inakuwaje?
@josephchagula2483
@josephchagula2483 2 жыл бұрын
Mimi Joseph naomba kuuliza kwenye swala la ibada ya wajibu Na kutimiza ahadi ya novena Je hapo ya nipasa kusali Misa ya Kwanza Na ya pili Na pia swali la pili kama Nina mke naishi naye hatuja funga ndoa napaswa kushiliki naye ki mwili
@Memoj1214
@Memoj1214 4 жыл бұрын
Asante Baba
@fransiskamkalawa6745
@fransiskamkalawa6745 Жыл бұрын
Monalisa wewe mpumbavu kama huelewi mambo ya novena yanakuhusu nini?
@blezmlundi682
@blezmlundi682 3 жыл бұрын
Tumsifu YESU kristo... samahani jamani mimi nimeitafuta hii NOVENA Google hata nisiipate hivyo nawaombeni ndugu zangu yeyote yule ambae anayo hii NOVENA naomba sana anisaidie nitashukuru mbali na kufurahi kama nitaipata NOVENA hii asanteni sana... Tumsifu YESU kristo......🙏🙏🙏
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
milele amina, ukisikiliza vizuri utagundua novena iko kwenye hayo maelezo anayotoa so sikilia vizuri tena hiyo video asante, ukipata shida tena uliza
@agathaphoteen350
@agathaphoteen350 4 жыл бұрын
Father Mbiku naomba no yako Nina matatizo ya mengi nahitaji msaada wa kiroho
@simionikengere3930
@simionikengere3930 3 жыл бұрын
Amina
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Amina, Karibu utazame Hazina ya Mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika Channel yetu ya THE SERVANT MEDIA Kwa ku SUBSCRIBE.
@cristinageminus1349
@cristinageminus1349 3 жыл бұрын
Mimi nimeolewa bila ndoa ila huwa naungama na pia napokea kwani nilifata padre nikaomba niungame nilikubaliwa kwasababu mume nile nae nidini nyingine sasa na weza fanya hii novena maana natamani Maana toka nimeanzaa kungama nimeona mabadiliko sana kwenye maisha je naweza kushiliki
@deogratiusshirima6172
@deogratiusshirima6172 3 жыл бұрын
Ninauliza mm nifanye nini ili niweze kuiga sifa ZA Mtakatifu Deogratius Wa kathiago
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 3 жыл бұрын
Kwanza tafuta kumjua huyo mt. historia yake vema na usali kwa maombezi ya mt. huyo uweze kuyaishi maisha mfano wake. Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika KZbin Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
@valenciamuhumbaqaspuita8103
@valenciamuhumbaqaspuita8103 Жыл бұрын
R.i.p father
@irenebeichumila6555
@irenebeichumila6555 2 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristo.!..Je hamna hardcopy ya maelekezo hayo?
@christopherkajuti3054
@christopherkajuti3054 4 жыл бұрын
Krsto bb naomba no yakp ninashida
@theservantmedia7566
@theservantmedia7566 4 жыл бұрын
0684 664 446 Msgr Mbiku
@YasntaGeorgy
@YasntaGeorgy 5 ай бұрын
Tumsifu Yesu Kristo hii novena kwa yule ambaye hajafunga ndoa au kipaimara harusiwi kusali???
Je, Unajua Jinsi ya Kusali??| SIKILIZA HII VIDEO
23:23
The Servant Media
Рет қаралды 85 М.
Je, mimi huwa nashukuru Mungu?? | jifunze kitu.
28:46
The Servant Media
Рет қаралды 11 М.
SALA YA USIKU KABLA YA KULALA
7:05
Ambah
Рет қаралды 37 М.
NAMNA YA KUTAFSIRI NA KUOMBEA NDOTO, NA CHRISTOPHER MWAKASEGE
1:35:32
Florid Mapunda
Рет қаралды 4,3 М.
JE NI SAHIHI KUNYWA POMBE   | Msgr. Deogratius Mbiku
5:45
The Servant Media
Рет қаралды 35 М.
NAMNA YA KUSALI NOVENA YA MASAA 15 KATIKA SHIDA KUBWA #beatusbenedicto
9:11
Tunatubu Kweli? Na kama Tunatubu, Tunatubu nini??
17:14
The Servant Media
Рет қаралды 9 М.
Novena ya Siku 54
40:10
Mkatoliki Leo
Рет қаралды 10 М.
Surah Yasin 13 Times Recited By Sheikh Mishary Rashid Al Afasy
3:49:40
NOVENA ISIYOSHINDWA KITU | Msgr. D.H. MBIKU PHD
39:58
The Servant Media
Рет қаралды 12 М.