Nuruely Ft Mishi B - Chonde Chonde ( Video )

  Рет қаралды 10,695

BONGO ZA KITAMBO

BONGO ZA KITAMBO

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@SudyMohamedy
@SudyMohamedy Ай бұрын
Tunaongalia marudio nyimbo hii 2024 gonga like
@peterrichard9048
@peterrichard9048 2 ай бұрын
GOMA LANGU PENDWA LA MUDA WOTEEE 2024🙌🙌🎶👊🏿
@BakarAliy
@BakarAliy 4 ай бұрын
2024=mwezi wa tisa bado naisikiliza hii ngoma sio ngoma zaleo unacheza kama unapapatika
@BakariKitemi
@BakariKitemi Жыл бұрын
Mwnetu nuruely cku nilmuona chanika sehmu inaitwa buyuni aloo nikakumbka mbali sn
@andrewnyasuru2917
@andrewnyasuru2917 10 ай бұрын
Dah huu wimbo wangeurudia wasanii kwa melody ya taratibu ni bonge moja la wimbo
@djmagowotv
@djmagowotv 4 ай бұрын
vitamin za zamani namkubali sana huyu mwamba
@ibrahimmsanif4457
@ibrahimmsanif4457 Жыл бұрын
Aisee nimepata sapraiz san baada kuuona huu wimbo, niliutafuta sana. Ila ahsante kwa alietuekeaa. Nuruelly akiwa ktk ubora wake 🔥🔥🔥🔥
@CoachHafidh
@CoachHafidh Жыл бұрын
Hii video niliiona mara moja tu kisha ikanipotea...nikawa naisaka sana youtube, asante sana B2K kwa kuturegeshea😮❤❤😊
@odingaodinga6631
@odingaodinga6631 Жыл бұрын
Kitambo hichooo mpka sasa hii ngoma bado naipenda sana
@lucaskashimwita6386
@lucaskashimwita6386 7 ай бұрын
Kwa kweli vya zamani ni vizuri
@kisabihamadi7555
@kisabihamadi7555 Жыл бұрын
Weka ngoma za zamani zaidi
@NassorTwahiru-kf8fo
@NassorTwahiru-kf8fo Жыл бұрын
Aisee naukumbuka huu wimbo nilikuwa naishi kwa brother ilikuwa naurudia mara nyingi sana enzi za tape
@chrispinuse.mmavelle9872
@chrispinuse.mmavelle9872 6 ай бұрын
Nilichogundua ukisikiliza nyimbo za zamani watunzi walikuwa hawalazimishi vina
@nkurunzizaabou7029
@nkurunzizaabou7029 10 ай бұрын
Watuace 1999 tuburudike zetu 2000 mkalale kwanza
@lazarofrank3312
@lazarofrank3312 Жыл бұрын
Ila huyu mama ana sauti nzuri sana na anajua mpaka kero
@lazarofrank3312
@lazarofrank3312 Жыл бұрын
Naikubali sana hii miaka 800
@JoshuaMtimi
@JoshuaMtimi 9 ай бұрын
Those days, When the music was the real music
@mikolaTimothy
@mikolaTimothy 3 ай бұрын
Huyo ndo mishi mwenyewe kwenye video hii Yule wa Selina kwenye ile video akuwe yy aliiigiza Tu mwenye saut ndo huyu kwa sasa yupo Chanel ten kipindi cha taarabu
@mansourlikamba6289
@mansourlikamba6289 8 ай бұрын
Watu walikuwa wanaimbia jamani....
@rajabcharo1756
@rajabcharo1756 8 ай бұрын
Hii nyimbo wafanye remix na King kiba dah
@Abilaymfaume-xq8hr
@Abilaymfaume-xq8hr Жыл бұрын
Huyu dada sjui kapotelea wap
@CoachHafidh
@CoachHafidh 7 ай бұрын
Natamani kujua hivi ndo yuleyule mishi alieimba na Alicom "Selina" ?
@DaudWest
@DaudWest 7 ай бұрын
​@@CoachHafidhhuyu kwenye video hii katumia saut ya Mishi mwenyewe
@mikolaTimothy
@mikolaTimothy 3 ай бұрын
Huyu si ndo Yule Yuko channel ten kipindi cha taarabu
@SahimSalim-l5f
@SahimSalim-l5f 8 ай бұрын
Hawa wote mafudi
@CoachHafidh
@CoachHafidh 7 ай бұрын
Hivi huyu ndo yule Mishi alieimba na Alicom "Selina" au?
@DaudWest
@DaudWest 7 ай бұрын
Ndo uyo... Sema huyu wa umu katumia sauti ya Mishi
@lazarojohnmakenzi9260
@lazarojohnmakenzi9260 Жыл бұрын
😂
HAMA Q - LADY
4:35
ElodieMelodie
Рет қаралды 288 М.
Tundaman & Chege - Usiombe Ufiwe
4:09
BONGO ZA KITAMBO
Рет қаралды 4,7 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
MUME BWEGE PART 1 (KING MAMAJUTO, KINGWENDU, RINGO NA CHILI, ZIMWI)
30:05
Matonya feat.Fid Q - Taxi Bubu [Official Music Video]
4:34
Matonya
Рет қаралды 576 М.
WAHENGA - JACKSON MANENO (OFFICIAL MUSIC VIDEO )
6:04
Jackson Maneno
Рет қаралды 89 М.
Mandojo na Domokaya - Nikupe Nini (Official Video)
5:05
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 561 М.
Uhali Gani
4:06
sumz81
Рет қаралды 1,2 МЛН
Suma Lee-Hakunaga HQ
4:25
fahmi salum
Рет қаралды 441 М.
Hardmad  Tamala by Mika Mwamba production
4:52
Biorn Productions
Рет қаралды 444 М.
MUME BWEGE PART 2 - KING MAJUTO, KINGWENDU, ZIMWI  CHILI NA RINGO
30:11
BONGO ZA KITAMBO
Рет қаралды 9 М.
Belle 9 - Masogange
4:53
fanjorsolo
Рет қаралды 1,2 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН