Tafadhali SUBSCRIBE kupata videos Zingine Nyingi. Pia Share videos hizi za Chenja na wengine wazipate na wa enjoy, wakongwe wakumbushie Enzi zao. SUBSCRIBE kupata chenja kali zaidi. Kwa group WhatsApp chat.whatsapp.com/JhFHLiG7OOvHYEdg35ranQ
@frankditrick31095 жыл бұрын
Poa
@benjaminpeter55605 жыл бұрын
Niungeni na mm kwenye group la wasap
@jumamussa24395 жыл бұрын
Mzee karume
@jumamussa24395 жыл бұрын
Pw
@AndrewMugaya5 жыл бұрын
Group whatsApp +255 752 08 96 51
@lowasameliyo4027 Жыл бұрын
Duuuu amenikumbusha op mererani kj 841 mafinga iringaaa fib Kam lote nakupendaa jeshi aiseee sidhan Kam Kuna maisha mazuri Kam ya jeshi
@josiahassery666018 күн бұрын
umepita mwaka gani pale
@raheemjafari37285 жыл бұрын
daaa...821kj bulombora ..op mereran ..ukumbi wa mikutano huooo...nakumbukaa mbali sanaaa...2018...gonga like km umepitia 821kj..
@fidelischarles18114 жыл бұрын
Nakmbuka 822kj
@fidelischarles18114 жыл бұрын
Nakmbuka 822kj
@fredyjuliusayoma77914 жыл бұрын
Wewe hao miaka 50 jkt
@bensoncleophace85003 жыл бұрын
Hapo ni RWAMKOMA JKT KJ 822 MUSOMA MARA. UKUMBI UNAITWA NDOMBA HALL. NILIKUWEPO HAPO OP TANZANIA YA VIWANDA 2017 MUJIBU WA SHERIA
@fredyjuliusayoma77913 жыл бұрын
@@bensoncleophace8500 wewe dogo acha uongo hao wote mimi nmepiga nao kozi 2013 bulombora au unataka nikutajie majina yao wote hao kuazia huyo kwaya master jakline kenedy hapo mbele
@NaomiDamian-g1f5 ай бұрын
Wanangu wa 841 kj OP SAMIA SULUHU, nimekumbuka mbali sana
@justinefelis87723 жыл бұрын
Naomba like watu wa 842kj (mlale),,2014 op muungano,,,,sir major wangu venue mzee wa red bull.
@tyivbra9 ай бұрын
Oya wanangu wa 841kj mafinga gongeni like zenu hapa
@davidotingo4095 жыл бұрын
Bravo coy ya demo
@sadamsellem30374 жыл бұрын
Morali morali Oyo Oyo oyooooo km umesikiya ndio Basi ndiooo basi Tena wakat mzigo ND hnz unanza unaimbiwa ety ndio bc tenaa 😁😁😁dondosha like za kutosha hpo chin ili tuendeeeee sawa......
@bennysanga2873 Жыл бұрын
Hizi nyimbo zinznihamasisha kufanya mazoezi kila siku. Safi Sana huyu mwamba anajua sana
@najmam23994 жыл бұрын
Niko marecan nakumbuka mazoez ya ngazimia wallah namiss kwetu sana. Love you TZ sn✌🇹🇿
@ramadhansururu89883 жыл бұрын
pole na karibu zenj ngazi mia zipo tu
@allytwahir62656 жыл бұрын
Bravo coy pltn no.04 mikono juu kwa chum boooy.....afande side mzee wa mitusi hahahaa....meli ya mgiriki bugalama.
@gabrielpeter53786 жыл бұрын
Apumzike kwa amani, co wangu meja singu, Mr RSM akonay,, 835kj mgambo skills mlizotupa ndio zimetufikisha hapa tulipo, akumbukwe pia oc kajiru kombania c, op kilimo kwanza 2009,meja kombania c, Sgt mihembo.
@mathiasmhoja63036 жыл бұрын
Sawa
@michaelkambili96944 жыл бұрын
Dah hatari Sana asee 835kj op sensa 2012
@awadhsalloum56906 жыл бұрын
Wanangu wa 8 2 1 Nahitaji like za kutosha apaaaaa Op Muungano
@gulacktechnologies1807 Жыл бұрын
ML mm mk
@FrankShadrack Жыл бұрын
1
@marcojonline7847 Жыл бұрын
B. Coy moja
@nathansolomoni97346 жыл бұрын
Daaah nimekumbuka mbali sana wadau wa 832jk ruvu 2017 A-coy sauti ya simba(Nathan),devi (diamond), baba yanga miss sana makamanda wangu
@paulmshanga41776 жыл бұрын
Iyanga Mashauri popote ulipo! Salamu zako mkuu, David Nindi, ST Zungu heshima yenu wakuuu
@emmanuelmasima99513 жыл бұрын
Afande almas , gaspar, mtan salut kwenu
@hillaryemmanuel119 Жыл бұрын
Na hizi chenja ni kama vile 832kj hapo bila shaka, shamba la bibi moja
@aloycemkumbwa8946 жыл бұрын
Duh hizi ngoma zina leta morali htr dadeki I like it
@danielwilliam33486 жыл бұрын
Wazee C.U pale kwa RUTA kijana alikuwa a coy Huyu kwa mlezi wetu Wa koy matiku big up sana kijana wangu Wa op
@adaking27867 ай бұрын
Deo Machenja 834kj Makutu tos like mnayekumbuka shughuli yake
@DionisEmmanuel6 ай бұрын
😅😅😅🙌Oya weeeeeh Mwanang wa Mkuza
@lowasameliyo4027 Жыл бұрын
Bravo 2018 kj 841 mafinga kampi tajiri kuliko yote tz
@tyivbra8 ай бұрын
Tatizo ni barid haise
@angelandohelo13225 жыл бұрын
Mafinga 841kj 😁😁😁.... Hatari sana jmn
@sennybrown85882 жыл бұрын
D coy nlkua hapo, ntumie namba yako kamanda
@pcmtv80336 жыл бұрын
838kj maramba jkt op tz ya vwanda @ bravo coy
@mashajohanes77273 жыл бұрын
Pamoja sana enzi izo....nlkua eagle coy kwa afande mwita 😅😅😅😅😅😅😅😅
@bizoojoh91453 жыл бұрын
Hamna danger coy Afande Mtweve op ya tz ya viwanda
@geofreykupenda21476 жыл бұрын
daaah nimemkubali sana muimbaji 😀😀😀 eti ananishangaza yero masasi yani yy ndio anaweka mizuka yote adi mm huku nacheza ndomboro ya soro yani hadi raha mm sio mjeshi ila nimevutiwa sna mungu awarinde makanda wetu na awape nguvu mlilinde taifa letu la TZ
@juliusjohn37945 жыл бұрын
duh show qalii
@ArtnoelMwanga3 ай бұрын
834 OP miaka 60 ya jkt tunalike hapa💯📌
@godwinegacharo90013 жыл бұрын
Hii ni Bravo coy Mgambo jkt
@agnesmbise66253 жыл бұрын
Ulikuwepo mwaka gan
@buka76825 жыл бұрын
hahahahahaaa daah raha sana ''Tatzo unapamic ila ndo uwezi kwenda kutembea kama shule uliyo maliza''...... ''NDOOO BAAAS NDOOO BAAAS TENA''
@AndrewMugaya5 жыл бұрын
😂😅😆😆😃😉 unaenda tu sifa .Mikazo. na unywe maji mengi
@rasheedyahmady68674 жыл бұрын
Wanangu wa 838Kj Tanga,,,,,,BRAVO COY.....👊
@zakariadouglas62752 жыл бұрын
Mwaka gan kjn
@aliveplusmedia2 жыл бұрын
Mwaka gan
@athanaskipeto57229 күн бұрын
Hongeleni sana muimbishaji yuko vizuri sana pumzi ya kutosha
@selemanbrt5 жыл бұрын
I remember those days. Muimbishaji mapafu ya mbwa akikufata ulipo nyuma na morali hyo lazima nguvu iongezeke
@hassanmugire14976 жыл бұрын
Nakumbuka maramba 838 kj op kikwete mamaeeee
@georgemaweta87905 жыл бұрын
841 kj op mererani daaah ni nomaah 💣
@furahagabriel40534 жыл бұрын
Mafinga yetu
@yusuphkisoma76693 жыл бұрын
Mafinga moja A coy ya demo.
@ramadanjabir16646 жыл бұрын
Daaah wanangu we 832kj kama tuko pamoja gonga like ya nguvu
@marthaephata33616 жыл бұрын
Afande chae noma sana😅 op tz ya viwanda 2017 @ chali coy
@kilwaboysmatteacher31676 жыл бұрын
832 kj op miaka 50 ya JKT -2013
@mtaalammwijuma53946 жыл бұрын
Ramadan Jabir Hahahahaha
@hajishauri65105 жыл бұрын
832 kj op miaka 50 ya jkt B-coy 2013,,,
@rajabumohamedy25395 жыл бұрын
Op mereran c koy mpoooo chini ya marey na mmole
@allymohamed78325 жыл бұрын
Aisee mzee baba umekimbusha mbali sana chenja ya kutosha hata kama ulikua umechoka lazima umalize luti chenja
@johnmakeja Жыл бұрын
Hahahaha noma xanaaa mwamba.
@lydiasonckatunguti35086 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sanaaa 835kj mambo yalikuwa fire na babu wa roliondo na afande lukosi eagle coy mgambo ya tanga kabuku vilee na rekuti elisantee mpenda chenja ukumbukwe sana napamc jeshin mnooo
@akleymassawe36845 жыл бұрын
Lydiaso nc Katunguti daaaaah babu wa roliondo lina matusi lile
@mchingamaally16062 жыл бұрын
Weee huyu tulikuw na elsante roli na lukosi F coy, Op kikwete 2015 hapohapo mgambo.
@naomidamian87373 ай бұрын
841 kj, umenikumbusha mbali
@FadhiliOmaryFadhili Жыл бұрын
❤❤❤ Dah! Nikiwa mabio huwa natamani Sana kuwekewa chenjaaa ka hizi ila basi tuuu....mujibu wa sheria shkamoo
@Nigeriaswahilimovies Жыл бұрын
kikosi gan weww
@corethamsemwa50526 жыл бұрын
Ya mtoto hyooo haina maji😁😁 841kj likes zenu
@sennybrown85882 жыл бұрын
2018 , nlkua hpo
@tyivbra8 ай бұрын
841kj Mafinga Kunabarid ka uturuki haise😂😂 Nlikua Eagle coy
@alhajiomary22945 жыл бұрын
Dah! Inanikumbusha mbali,kanembwa Kama umepitia kurutu Kama Mimi nipe like zang jama.
@aminayusuphu80234 жыл бұрын
Dah!!atal sana
@fadhilyussuf3224 жыл бұрын
Dah we acha tu
@salumubulugu40436 жыл бұрын
Nomaaa!!! sana babu kapata wapi wakucheza nae
@abdallahmkonge62575 жыл бұрын
845kj op makao makuu dodoma ikumbukwe hyooooo
@emmanuelmweruka8156 жыл бұрын
Enzi hizo aisee 2014, 832KJ ilikuwa hatari Sana, A coy aka Bulombora coy ilikuwa hatari, bogi likiongozwa na Afande mshono, na omary daah, bila kumsahau chae, na msila aisee daah ilikuwa hatari Sana, Afande best jamanii nimemmiss Sana kwny kitengo cha karate
@amosboni93876 жыл бұрын
mwenzangu uko wp mbona tulikua kikosi kimoja
@omarylugusha6 жыл бұрын
EMMANUEL MWERUKA da mwanangu umenikumbusha mbali afande best , musira, boko, alafu kuna huyo wa kuitwa afande magumashi hatari sanaa kiungo cha kati unamkuta RSM ISSA MGIMBE 832KJ hatupoiiii
@priscamlaki96526 жыл бұрын
pamoja
@daudireuben98986 жыл бұрын
Dah bro umenikumbukusha sana afande chae na best
@daudireuben98986 жыл бұрын
832kj 2018
@mofiretv20103 жыл бұрын
843 kj nachingwea..OP makao makuu dodoma daaahhh mnanikumbusha mbali sanaaa
@faithmangaka60903 жыл бұрын
Dah wananikumbuksha 843 kj
@frankditrick31095 жыл бұрын
2014/2015 mgambo JKt gonga like twende sawa!!! Kwamsanga
@jumakinana11984 жыл бұрын
Hahaha sio pw huko
@augustinhomaguha45274 жыл бұрын
@@jumakinana1198 gendagenda vp
@samsonbalige16273 жыл бұрын
Dirt songa nlitaka fia kule
@Taito-brand8 ай бұрын
Oya dert songa balaaa😂😂😂😂
@makangeomary80526 жыл бұрын
Huwezi kuchoka hta mkimbie kilometres ngapi.. 824 KJ gonga like OP kikwete 2015
@emmanueljackson21436 жыл бұрын
Daaaah... Nlikiwa hapo op maguful 2016.. Noma sana..
@midopestmtumakini21896 жыл бұрын
nakubalii]i
@jonathanjohn51436 жыл бұрын
yala kido changu ,,,,wap t maloda
@jamesmakali61966 жыл бұрын
Kamanda kamwenje Fundi
@johnjackson56606 жыл бұрын
832kj G coy
@williammsemo97162 жыл бұрын
Daah now nipo USA but nimekumbuka OP maguful 832 Kj hakuna maishaa mazur kama ya Jeshn happy life ... Shout out to all our soldiers ..
@greysonmwaki9532 Жыл бұрын
Wa op wewe,, mm nilikua coy ya afande best,,832KJ kushoto private Marley kulia Mzee wa kwata Adam liganja😂😂
@yonafedrick-ny7nc Жыл бұрын
Daaa umenkumbusha kweli afande Marley,liganja,Kerobuku,Masangula at 832KJ
@theraptor_ed6 ай бұрын
Eagle coy Tz ya viwanda Afande masangula, Marley, Kerobuku
@guzohmnyama5166 жыл бұрын
BULOMBORA JKT 821 KJ OP Tanzania ya viwanda 2017 pamoja Sana 💪💪💪💪💪
@salumramadhan89505 жыл бұрын
Nakubal sana mkal wangu, WAP st ezra
@rojadetamwadri4345 жыл бұрын
Pamoja port 821KJ 2018. Port Ambali, Kadurege wa ukweli
@hajimasoud90695 жыл бұрын
Rojadeta Mwanri manina kadurege
@danielmsayeth96553 жыл бұрын
Pamoja sana mwamba! Wapi Afande KADULEGE,AMBARI na MZEE WA KITENGO MAGOGO NGUTANI?
@Adrext Жыл бұрын
Ulikua coy gani Mzee wangu😂😂
@martinkawishe53055 жыл бұрын
825kj..chenja kilaa mabio..full molali.palee kazaul..adi magofu.bila chenja utoboi.mkuu wa mafunzo capt EP LeMa.RIP kamanda.
@silyivanusselialis90323 жыл бұрын
Tukutane manguluwe
@kelvinbenedicto5745 жыл бұрын
838kj maramba op magufuli c coy ya demo salute afande msuya, afande george na madoja wenzangu man abel salute
@jameskabwijage30253 жыл бұрын
Tulikuwa hatar kipindi kile
@jacklinewiseman54343 жыл бұрын
Aiiiii C coy ya demooooo
@aliveplusmedia2 жыл бұрын
@@jacklinewiseman5434 acha2 yaan naomba namba ako jack
@samsongisiri89136 жыл бұрын
Dah! Mwanangu nyimbo tamu sana.
@frankditrick31095 жыл бұрын
Waliopita mgambo kwenye mashamba ya dunia gonga like twende sawa!
@kanonigenge46274 жыл бұрын
Kwa msanga
@mchingamaally16062 жыл бұрын
Jamaa wana mashamba km ugomvi aisee, kwa msanga moja hyo
@benjaminjulius80216 жыл бұрын
Hatari sana... Hii ni zaidi ya konki fire....
@paulmshanga41776 жыл бұрын
832kj op tz Ya viwanda, Hizo chenja za kuendea Shamba La vitunguu ( Kwa Trump)
@rashleymwanyokx34705 жыл бұрын
hhhhhh dah
@obecksimkwai16816 жыл бұрын
haha nmekumbuka 2015 ..821kj Bravo coy ilikuwa ya makomando bigup afande ngwasho
Hapa makamanda ndo mahari petu raia pita kushotooo, kama nakuona Bugalama CCP no J Uwiiiiii!!!!
@israelmwakapala29136 жыл бұрын
Pamoja sana kamanda
@josephnjulai51676 жыл бұрын
Bugalama uyo J one ndani ya Mr Price CCP
@rashidyussufsaid65756 жыл бұрын
No j kidole juuu
@blackmamba75536 жыл бұрын
AF mbona kama sauti ya bugalama mamae hatari sana daaaaaaaah
@jofreyrobert24406 жыл бұрын
2017 ecoy na afande meshack hatari sana 832 kj
@justineombela17275 жыл бұрын
832kj op Tanzania ya viwanda😓😓😓😓 natamani ijirudie tena
@edwinjoseph11114 жыл бұрын
Ndo bac tenaaa mwambaaa.....
@edwinjoseph11114 жыл бұрын
Watoto wa Charles mbugee
@nassoro65906 ай бұрын
Hahaha hatari sana
@godluvmtegajr.61546 жыл бұрын
daaaahhh noma sana mzeee.... 838 kj maramba, ett... A coy ya demo... umenkumbusha mbal sana mzeee
@saidomar68065 жыл бұрын
Unamkumba solider mzee wa Congo alikuwa service pale 838kj maramba
@comfortanderson85444 жыл бұрын
A coy ya demo
@comfortanderson85444 жыл бұрын
Daah kuna service man anaitwa Razack mkal wa chenja tumeenjoy San watu wa A coy 2020 OP uchumi wa kati
@comfortanderson85444 жыл бұрын
Kj 838 maramba jkt tanga
@mrsuccess50573 жыл бұрын
C coy afande X 2015 ST wao npo hapa🤣
@isayakasamala1366 жыл бұрын
Wow iyoo song nimeikumbuka
@josiahlameck13196 жыл бұрын
Wazee wanzangu nakumbuka 2009 OP Kilimo kwanza kosi 821 kj Bulombora kikosi kikiongozwa na afande Thomasi mungu ampumzishe mahali pema pepon CI afande Musira comb C coy chini ya s/sgt Mwanja ni nooma saana uku wakisaidiwa na babu omary, bwana pepsi private Idrisa na Tarimo uku msengi ni nooma saaana mabio kama gote adi Ilagara, kaseke, miyobozi hatareee
@raphaelkimanyilo89867 ай бұрын
Boma kichaka miba😅😅😅
@reginajeremiah79436 жыл бұрын
mnanikumbusha mbali Sana jaman 2016 op Magufuli
@robertpeter42836 жыл бұрын
Ok ulienda wapi wewe saivi
@angelkitinya95253 жыл бұрын
So poa
@gerardmalyos39283 жыл бұрын
Nimeipenda
@theosaimon69336 жыл бұрын
Oljoro moja hiyo balaa nakumbuka mbali sana asubuhi asubuhiiiiii
@EmmyJerutich9 ай бұрын
Waoo I like this songs
@josephnjulai51676 жыл бұрын
841 kj 2014. , bt uyo mwamba Ni Bugalama ndani ya CCP 2015/2016 J 1 , Kama wa Op na wa d gonga like
@danielkikoko82896 жыл бұрын
841kj mwendo wa kutoloka kwenda kwenye kangalaaaaaaa😁😁😁😁
@philemonleonard15326 жыл бұрын
841
@josiahassery666018 күн бұрын
nilikua C coy tulikua pembeni pale tunawaona mnavokula doso mwaka ule 2014 mujib.
@josephnjulai516718 күн бұрын
@josiahassery6660 😅😅😅
@fikirieliah18156 жыл бұрын
Wanangu wa 842kj - Mlale Jkt...Op MAGUFULI 2016....C COY huwez kumsahau afande George, Mahamud, baba Mnyilamba, matron, Zuena,,,
@williamcharles92646 жыл бұрын
Mahamud mzee wa Lile trekta la mlale
@fikirieliah18156 жыл бұрын
@@williamcharles9264 eeeeh mzee
@teejoee9934 жыл бұрын
Matron zuena alikuepo tu 😂😂mm 2016 shakira je alikuepo na kopakopa??
@fikirieliah18154 жыл бұрын
@@teejoee993 Matron zuena hawezi sahaulika yule dada😂😂
@nsikanyigwinshimpinga91323 жыл бұрын
Those day in the 2015 in 841 kj mafinga with my fan kadeghe, ismail And Nshikanyi aka selina hahahahaha. Nimekumbuka mbali
@leahuisso73322 жыл бұрын
11
@leahuisso73322 жыл бұрын
11
@leahuisso73322 жыл бұрын
11
@mohamedmoremi979610 ай бұрын
Op Kikwete sir meja pilato
@josiahassery6660Ай бұрын
hivi afande pilato bado yupo!?@@mohamedmoremi9796
@maduhujoel74606 жыл бұрын
nimekumbuka 822kj Rwamkoma...2016.,, safi sana ..tudumishe uzalendo.
@hajimhesi79146 жыл бұрын
Maduhu Joel acha tu rwamkoma moja
@rhodanzella18736 жыл бұрын
rwamkoma!!!!!!!!!!! mimi bado na liaaa tu !!1 shebunge!!!
Nimekumbuka 821jk miaka ya 2013-2014 op miaka 50 ya jkt
@kadengedeus28886 жыл бұрын
mbali sana long sana
@rogermbogo24235 жыл бұрын
Dah nakubaliii xaana wazeee wa kazii
@felicianjoseph12845 жыл бұрын
Wanang wa 832kj OP Makao makuu Dodoma mujibu ....Danger coy ..conga like apa
@omaryrajabu29706 жыл бұрын
Nakumbuka kj825 mtabila kigoma 2016,,daaah jesh mwanzo mgum ila fulu morali ukiyakubali hayo maisha na kunywa maji mengi moyo uelee,,,respect kwako afande wangu Mpuche,Ngasa,Mapunda,na jembe,,,,kurutiii wenzangu devie,,kasimu,baraka,mahira ,devi,dani,zai,daaah heahima kwenu
@alexjohn23146 жыл бұрын
napenda sana jeshi ila sijapata tu nafas
@felixdavid1326 жыл бұрын
Bugalamaaaaaaaaaaaa....wauweeeeehhh!!
@felixdavid1326 жыл бұрын
Bugalamaaaaaaaaaaaa mzee wamasongi wapi pachawako zakayoooo aliyesoma elimu ya mbele rashiaaaaaaaa!!!
@ayoubchapita60706 жыл бұрын
838KJ--OP KIKWETE 2015 EAGLE COY
@mwajabujuma44966 жыл бұрын
825kj daaaaah inanikumbusha mbali
@khamisiluhaga17166 жыл бұрын
Hakuna kazi nzuri duniani kama ya jeshi
@mkandaabushiri54815 жыл бұрын
Nakumbuka 841 maisha Bora 2007 mafinga iyo chenja namkumbuka s/m mandepo balaa .bigap pte tuma .pte ngozi.pte nzali.pte tuma ndani D_coy
@georgeeliudi37856 жыл бұрын
Kama unamkubali Bugalama gonga like twende pamoja
@johnhezronmkwizu31736 жыл бұрын
nakumba ruvuu 832 kj kilima nyege atar. ...
@rashiedmtulia58836 жыл бұрын
Namkumbuka huyu jamaa alikuwa akiimbisha tunamkimbilia aseee
@ellyminja57076 жыл бұрын
George Eliudi buga the done
@thehunter59206 жыл бұрын
A coy maramba op muungano 838kj. 2014
@andrewkipesha11946 жыл бұрын
Buga noma
@bahatisalumu49736 жыл бұрын
dah ndo bas tena A coy ya demo 822 kj Rwamkoma op magufuli 2016
@rhodanzella18736 жыл бұрын
maafande sisi
@lotridahenjewele84314 жыл бұрын
Daaaaaa 2013 rwamkoma, afande Hassan, makange
@abuumuunguja15074 жыл бұрын
@@lotridahenjewele8431 so poa
@charlzysaul32574 жыл бұрын
Pamoja mkuu
@joxiahmendez13254 жыл бұрын
Op Mererani 2018..!! Afande Assam Jeneza
@huzzyhussein98406 жыл бұрын
Hahahah daah apa ndo nakumbukaa op merelan awam ya kwanza @834 kj Dodoma Bila morali unakufaa ila kwa chenja ata kilometa 40 huchoki RAIA haelew apo tunaelewa makamanda tu
@georgegodfrey88756 жыл бұрын
huzzy hussein makutupora jkt
@huzzyhussein98406 жыл бұрын
@@georgegodfrey8875 mujibuu kk
@georgegodfrey88756 жыл бұрын
huzzy hussein hata mm nilikuwa mujibu 2015 now nimemaliza degree nataka nirud jeshinu
@hamisslondeee84706 жыл бұрын
huzzy hussein @haha 😄😄 hatari maku tu 834 tunahesabu tupooo makutupora
@huzzyhussein98406 жыл бұрын
@@hamisslondeee8470 daaahhh kitamboo San kk
@chagenyakamoti31976 жыл бұрын
824kj Kanembwa 2013 mujibu wa sheria & volunteers noma Sana R.I.P dakanyama na magesa
@jescajosiah32425 жыл бұрын
Chage Nyakamoti
@melkizedekibugemwe48513 жыл бұрын
Kwani Magesa naye alishafariki?
@deogratiaskatabwa52303 жыл бұрын
825 KJ kikosi mtabila operation miaka 50 ya muungano C- Coy ya demo chenja Kali sanaaa jeshi tamu sanaaaa
@davidtynah5661 Жыл бұрын
Kwenye ndizi😁
@reendaisy77616 жыл бұрын
Jeshi was the best experience ever.. 🙌😅 #mgambojkt
@AndrewMugaya5 жыл бұрын
Sure 😊
@hassankawawa29213 жыл бұрын
Reen
@christianpeter76892 жыл бұрын
Mabio ya Gendagenda,
@christianpeter76892 жыл бұрын
Mabio ya Gendagenda
@mchingamaally16062 жыл бұрын
@@christianpeter7689 hahahahaa kwa bojo, kwa msanga. Zile ruti za rest house usipime kaka. #mgambokj Op. Kikwete, mujibu. F coy ya demo😂😂😂
@sanyamwita18536 жыл бұрын
R.I.I ALEX 822kj op kikwete nmekukumbuka baada ya kusikiliza chenja za mabio
@daudrulla13373 жыл бұрын
Maktopolajkt 332 amshaamsha sana
@taresndunguru45669 ай бұрын
832 op Uzarendo.mambo yalikuwa moto.
@denismakweba38704 жыл бұрын
832 JK 2013 'Danger Coy ya molali'🔥🔥🔥 raia ni ngumu kuelewa kwanza wapite hivi🤣😂🤸kama umemkubali mwana twende sawa! 👇
@papaamanmira69604 жыл бұрын
Msira Meja
@lizamakala3 жыл бұрын
Aisee mbona sikukumbuki mie pia nilikuwa danger coy kwa bi bhoke
@aliveplusmedia2 жыл бұрын
@@lizamakala heeh kwelihh
@rajabuhassani15132 жыл бұрын
Hahaha kaka Andrew hii umenikumbusha mbali sana
@AndrewMugaya2 жыл бұрын
wapi huko
@frankmweta58656 жыл бұрын
Wote watoto,gonga like kama unaijua Op Jajiri,2005-2006
@sadalanyumbu2583 жыл бұрын
Daah!!!kitambo sana nikiwa 842kj mwk 2011 op miaka 50 ya Uhuru.
@muharas00593 жыл бұрын
Kawaida ya course ukimaliza ndo unaona raha kama irudiwe wale wa 838 kj like
@aliveplusmedia2 жыл бұрын
Mwaka gan
@marcodavid41833 жыл бұрын
INANIKUMBUSHA MBALI SANA.... OPERATION MIAKA 50 YA MUUNGANO 2014 834 KJ.......DENJA COY YA MORALI....CHINI YA AFANDE SIMBA......WAZEE WA DEMO KWENYE KWATA.....HAKUNA NANGA HATA MMOJA.
@ezraozem62216 жыл бұрын
Nakumbuka sana 821kj danger coy bulombora chenja hatar nikiwa Kama St .maafande wakina ngwasho,shingishi,kaswaili,matron msiba,seba,mweta......OP TANZANIA YA VIWANDA GONGA LIKE 2017
@darlphonesosthenes67216 жыл бұрын
821 danger coy ya demo 😁😁😁
@ezraozem62216 жыл бұрын
@@darlphonesosthenes6721 unaikumbuka eeeh
@fideliswarioba14696 жыл бұрын
Dah! Naikumbka xana Denja coy ya demo a.k.a wa kujtolea op TV 2017,821 kj bulombora sir meja kaswahili
@justinbeaver7336 жыл бұрын
Nn
@richardmachage5056 жыл бұрын
821kj danger ya demo Now inakamatwa na koplo ambari
@raphaelfadga96396 жыл бұрын
Duuuuuh nakumbuka 838 kj maramba op magufuliii bnaaaa
@jamalmageser93906 жыл бұрын
Ulikuwa maramba intake ipi?
@georgekiangi13276 жыл бұрын
Aaaah Danger coy afande manyama + Duba ilikua hatari
@godluvmtegajr.61546 жыл бұрын
hahahahaha noma sana
@farajanyaulingo75886 жыл бұрын
Daaaaa nakumbuk san op magufur 2016
@giftlugome95386 жыл бұрын
Coy gan kaka?
@trueexplorer8943 жыл бұрын
Hizi nyimbo zinanikumbusha machungu tu
@zizzouhamidu24554 жыл бұрын
Wale warwamkoma tupia likes za kutosha
@joxiahmendez13254 жыл бұрын
Op Mererani..!! B-Coy Afande Assam Jeneza
@ramadhankhatibkhamis80273 жыл бұрын
good job Bugalama wa depo
@thefinalwhistle808 ай бұрын
Rwamkoma 822KJ Mujibu wa sheria 2019 "Operation Makao makuu Dodoma 😅" Pale charlie Coy ,huku Afande mtete kule Afande Sule ,huku afande Jeneza pale Bravo coy 😂
@deusjitesa11013 жыл бұрын
These Songs thou 😊😊
@ernestrichard3180 Жыл бұрын
Wanangu wa 822kj op Mererani ndomba Hall hapoo
@atuganilekitego86167 ай бұрын
Ndomba hall nimepamiss jaman 2014
@iqrammafumo72355 жыл бұрын
821 kj ni kikosi cha makomando aise acha kabisa kile kikosi.ukienda men get ukikutana na mp tasi ni shida.kama umepitia 821 gonga like hapo
@philemonsavutu15435 жыл бұрын
Mp nick mtabila ni mwisho
@priscabagwele7590 Жыл бұрын
Inapendeza Sanaaaa Inanikumbusha mbali aiseee
@danieldaudiyaghambe13796 жыл бұрын
824Kj kamembwa gonga like hapa tuende sawa
@lucienassantha95754 жыл бұрын
Nyote kama hamkuepo kanembwa enzi za wakimbizi basi hamku enjoy vyakutosha 😅😅😅😅 Mimi sio askari bali ni Mumarecani asili ya Congo mwana kin nime enjoy sana kukaa Na Na J. K.T enzi hizo 2008 up to 2010 bila ku sahau Afande Emanuel Mtumbili... Na Cople Mabenga jomba jomba 😅😅😅😅😅
@danieldaudiyaghambe13794 жыл бұрын
Mabenga nimemkuta
@edwinfweni4 жыл бұрын
Aq3551
@mabubakitambi65994 жыл бұрын
@@lucienassantha9575 za tt
@joramfrancis88054 жыл бұрын
Kama kawa
@edwardalick56166 жыл бұрын
822kj op kikwete 2015,,like hapa
@rajabumohamed5564 жыл бұрын
Oyoooo ulikuwa coy ip mwambaaa
@BarakaMwaipopo-s7l9 ай бұрын
dah Nilikua A-Coy
@leonardmagesa71296 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana ndani ya 835KJ MGAMBO KABUKU,OP MIAKA50yajkt2013,WAP Afande kalyata.....
@husseinkawamba3086 жыл бұрын
Afande ndunguruuuu
@crecenciamashauri2985 жыл бұрын
oyoooo myk, matron nakusalimu hapa..c coy moja
@saidomar68065 жыл бұрын
Nakumbuka kabuku tuliwapitia wakat tumechakuliwa kwenda Msata walifurah sn ilikuwa 2015 int 34 tuliingia na simba mtoto kabuku Toka Maramba
@jumabakili19943 жыл бұрын
Hongoli mmoja
@ujasusinaupeleleziduniani72526 жыл бұрын
Daah man bugalama huyoo op muungano 2014 maramba jkt hzo nymbo tupo ccp 2015-2016 asee siku zrud nyuma
@saidomar68066 жыл бұрын
838 moja iyo
@jowsetz18156 жыл бұрын
Aiseeee unaweza tamani ziludi nyuma pale b coy
@josephnjulai51676 жыл бұрын
Acha kabisa man app kwenye kale kamtelemko tunaitafuta keep left ya kwanza
@midopestmtumakini21896 жыл бұрын
sahihiii mzee bab ndan ya c.u
@saidomar68065 жыл бұрын
Uyu dogo alikuwa anatisha anaemfahamu afande wenu mzee wa Congo Yule wa 838 Maramba nilowafundisha Muungano anichek apo...
@humphrymbilla16356 жыл бұрын
835Kj Op miaka 50 ya JKT Afande Ndolile mkali wa machenja full morali adi kwa msange.
@elinawingachao63096 жыл бұрын
Humphry Mbilla bila kumsahau laizer MZEE wa tobo
@mrasimussa826 жыл бұрын
@@elinawingachao6309 hahaha hiya my alikuwa hatari...
@mrasimussa826 жыл бұрын
@@elinawingachao6309 kina kaliata
@elinawingachao63096 жыл бұрын
Meja kanole jaman yupo?
@husseinkawamba3086 жыл бұрын
Bagdad mojaaaaa
@edwinfweni5 жыл бұрын
Kanembwa op Magufuri #bravo
@kijantemi84613 жыл бұрын
Op meralani
@mkumbosamson79813 жыл бұрын
Tujuane intake ya 2014 kanembwa,walimu mliimba nyimbo mkatengeneza Cd
@gilbertkasikila52942 жыл бұрын
Mimi nilikuwa 833kj jkt oljioro same year. Natamani sana ningepata hizo nyimbo