NYUMBA 74 ZA WAATHIRIKA WA MAPOROMOKO KATESH ZAKAMILIKA, JKT WAKABIDHI KWA SERIKALI,BIL1.6 ZATUMIKA

  Рет қаралды 7,179

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@Datiuspp
@Datiuspp 2 ай бұрын
Bwana Yesu Kristo alibariki jeshi letu limejitoa kwa moyo mkuu sana.
@hussenikija6699
@hussenikija6699 2 ай бұрын
Mungu awabariki Afande.
@KingMandama
@KingMandama 2 ай бұрын
Tumepiga kazi sana mahali hapa🔨🔨
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 ай бұрын
Dah hongera serekali!!🙏🙏
@mariasafari1004
@mariasafari1004 2 ай бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri, Mungu awabariki🙏🏽
@doreengomes3489
@doreengomes3489 2 ай бұрын
Hongera sana! Mbarikiwe wote!
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 2 ай бұрын
Manshaallah 🎉🎉🎉🎉mama samia 5tena
@seneu.2128
@seneu.2128 2 ай бұрын
Hongera serikali kwa hili, sasa naomba wakazi waoteshe miti yakutosha eneo hilo, naomba kuuliza hivi MIHAYO ni watu wa wapi? Hao majamaa wanapendana itakuwa aisee wako wengi sana jeshini 🙌 kila badge ya jwtz ukiisoma hilo jina lazima ulione tuu
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 ай бұрын
Mm nikipendi chama cha mapinduzi na mambo yake mengne lakni kwa hili niwapongeze mmefanya kazi nzuri sana sana sanaaa tusije tu tukasikia wengne walioathirika hawajapata nyumba kama mmewajengea wote na mgawanyo ukawa wa haki itakuwa poa sana rais
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 ай бұрын
SAF SANA MUNGU AWABARIKI
@jaypna6814
@jaypna6814 2 ай бұрын
That's great
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 2 ай бұрын
Hongera sanaa jkt mmetumia pesa vizuri nyumba nyingi bei ya kawaida huwa nashangaa daraja fupi lakawaida eti hiliona sabaa mambo ya ajabu
@HansChuma
@HansChuma 2 ай бұрын
Kumbe serekali inaweza kujenga nakuwapa wananchi wake nyumba bureèeee kama south africa kwann wasiwe wanafanya hvyo kwa wananch masikin kila nyakat inawezekana ili kupunguza ujenz horela
@YusraThomas-cb6ll
@YusraThomas-cb6ll 2 ай бұрын
👏👏
@sadamissa5687
@sadamissa5687 2 ай бұрын
Msizigawe Kwa mchongo tu tendeni haki
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 ай бұрын
Hongera sana Kwa serikali yetu inayoongozwa na Mh Rais Dr Samia suluhu Hassan. Mitano tena
@Zubaiba
@Zubaiba 2 ай бұрын
Hongera sana serikali yetu
@ConsalvaMumbara
@ConsalvaMumbara 2 ай бұрын
MUNGU akupe maisha marefu RAIS wetu.
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 ай бұрын
Nimependa huyu askari alivyosema "nyumba hizi za wananchi wenzetu, ...!" Yaani "WANANCHI WENZETU" huwa sipendi kusikia mwanasiasa akisema "Wananchi wetu", ni dharau sana wanapojikweza hivyo
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 2 ай бұрын
Hy ndo kz yenu c kupiga na kuuwa
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 2 ай бұрын
Kutoka kuishi nyumba za udongo hadi nyumba za block kwa raha zenu
@AirinSumeno
@AirinSumeno 2 ай бұрын
Kuna raha gani watu wamewapoteza wapendwa wao
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 2 ай бұрын
@@AirinSumeno inatakiwa ifikie kipindi usahau yote ya nyuma my dear ukiyashikilia yatakuumiza. Matukio mabays na mazuri maadam yamepita haijalishi achilia kama ulipoteza wapendwa wako achilia na usahau alafu uanze maisha mapya
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 2 ай бұрын
@@AirinSumeno kwa hivyo kuna kila sababu za wao kufurahia kwa sababu haya ni maisha mapya wanaanza na hakuna mtu aliyepanga hilo tukio ni ajari tu hata ukihuzunika miaka 100 ndio watarudi, jibu ni kwamba hawawezi kurudi sasa cha kufanya furahia tu na usahau
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 16 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 74 МЛН
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 201 М.
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
Kenyan GENIUS makes Old Engines outdo Modern Engines!
14:23
KnowledgeIN
Рет қаралды 689 М.
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 16 МЛН