Madirisha mengi mana ukisema uanze kununua dirisha unaweza kutumia pesa zaidi ya pesa za ujenzi
@JanethMathias Жыл бұрын
Shukran
@johndeogratias80993 ай бұрын
Namba za simu weka kwenye Title
@HeryethAleck4 ай бұрын
Naomba namba zenu
@EllyBoy-th3bk11 ай бұрын
💪💪💪
@OfficialA836408 ай бұрын
Yaani unaenda kuoga uanze kupita jikoni hiyo ni hatari ss
@innocentcareen8187 ай бұрын
NAOMBA kujua inagharimu bei gani Hadi iishe
@DeBeasts665 ай бұрын
NAI NI META NGAPIIIIIIII URF UFP
@ShaeebMohammed-e1h Жыл бұрын
Unapo zungumzia Mpka kozi 3 unmaanisha nini?
@erickmedard7931 Жыл бұрын
Km wee ni mtu wa ujenzi,iko ivi unapofikia kwenye madrisha au milango unamwa zege,tunasema boma,ila sasa ili nyumba iwe na mvuto inatakiwa ukishamwaga zege yakubidi nyumba nzima uongeze tofali tatu nzima kwenda